{"id":3888,"date":"2012-07-31T13:40:01","date_gmt":"2012-07-31T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/07\/31\/zimbabwe-kulazimisha-wazazi-kujazia-katika-mishahaa-ya-walimu-hakuweza-kuendelea\/"},"modified":"2012-07-31T13:40:01","modified_gmt":"2012-07-31T13:40:01","slug":"zimbabwe-kulazimisha-wazazi-kujazia-katika-mishahaa-ya-walimu-hakuweza-kuendelea","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/07\/31\/zimbabwe-kulazimisha-wazazi-kujazia-katika-mishahaa-ya-walimu-hakuweza-kuendelea\/","title":{"rendered":"ZIMBABWE: Kulazimisha Wazazi Kujazia Katika Mishaha&#341;a ya Walimu Hakuweza Kuendelea"},"content":{"rendered":"<p>BULAWAYO, Julai 31 (IPS) &ndash; Wakati wasiwasi unazidi kuongezeka juu ya ubo&#341;a wa elimu nchini Zimbabwe, wazazi wanaweza kuta&#341;ajia kuendelea bila kukoma kwa kazi ya kujazia mishaha&#341;a ya walimu kutokana na se&#341;ikali yenye matatizo ya kifedha kushindwa kufikia mahitaji ya mishaha&#341;a ya watumishi wa umma.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Motisha kwa walimu &ndash; kiasi ambacho kimepangwa kuwa kati ya dola mbili hadi tano, ambacho hulipwa kwa kipindi cha mwezi mmoja mmoja &ndash; kilianzishwa miaka miwii iliyopita ili se&#341;ikali kuongezea kiasi cha mshaha&#341;a anaopata mwalimu. Lakini wazazi wengi wanasema hali haiwezi kudhibitiwa na kwamba hawawezi tena kuendelea kuchangia mishaha&#341;a ya walimu. Sekta ya elimu nchini Zimbabwe inakabiliwa na matatizo lukuki. Kwa kuongeza katika mishaha&#341;a midogo wanayopewa walimu kuna uhaba mkubwa wa walimu kwani wengi wameacha kufundisha katika shule za se&#341;ikali ili kupata mishaha&#341;a mizu&#341;i zaidi katika shule binafsi. Kwa kuongeza, maelfu ya vyuo visivyosajiliwa vimeibuka nchini kote. Wakati Wazi&#341;i wa Elimu David Colta&#341;t ameita kutolewa kwa motisha kama &#8220;shetani muhimu&#8221; ili walimu waweze kuendelea kufanya kazi, wazazi kama Davison Phi&#341;i ana imani kuwa jambo hili &#8220;haliwezi kuendelea milele.&#8221; &#8220;Tunataka watoto wetu kwenda shule lakini siyo haki kutegemewa (kujazia mishaha&#341;a ya walimu), suala ambalo ni wajibu wa se&#341;ikali,&#8221; Phi&#341;i alisema. &#8220;Kama se&#341;ikali haina fedha, ni hakika elimu ni moja ya maeneo ambayo lazima yapewe kipaumbele kwa (fedha kidogo) ambazo se&#341;ikali inazo &#8221; alisema.<\/p>\n<p>Colta&#341;t alitangaza mwezi Septemba 2011 kuwa mpango wa kutoa motisha ungeendelea pamoja na malalamiko kutoka vyama vya walimu kuwa na wazazi kuwa mfumo huu unafanya elimu kutokupatikana kwa maskini. Kwa motisha hizi walimu wanaweza kuingiza hadi dola 500 kwa mwezi, lakini bado kuna mashaka kuwa wanashindwa kutumiza majukumu ya wanafunzi wasipolipia mafao haya yenye utata. Chama cha Walimu Zimbabwe (ZIMTA) ambacho kinaunga mkono se&#341;ikali kilisema kuwa motisha hizo lazima zikomeshwe. &#8220;Kwa sasa walimu wanapambana na wazazi kwasababu ya motisha hizi,&#8221; alisema ofisa mtendaji mkuu wa ZIMTA, Sifiso Ndlovu. &#8220;Hili haliwezi kuachwa kuendelea pasipo na ukomo.&#8221; Wazazi wanalipa kiasi cha fedha tofauti chini ya makubaliano ya Chama cha Wazazi na Walimu. Walimu wa shule za msingi wanapata dola zipatazo mbili kwa mwezi kutoka kwa kila mtoto, ambapo walimu wa sekonda&#341;i wanapata dola tano kwa mwezi kutoka kwa kila mtoto. Mishaha&#341;a ya walimu iliongezeka mwaka huu kutoka dola zipatazo 150 kwa mwezi hadi dola 220 kwa mwezi. Lakini hizi ziko chini ya kiwango cha chini cha umaskini nchini humo cha dola 500 kwa mwezi, ambazo zinaonyesha gha&#341;ama za maisha za kiwango cha chini kwa familia ya watu watano. Uuzaji wa almasi nchini humo pia umeingizwa katika suala la mishaha&#341;a ya walimu. Mapema mwaka huu Rais Robe&#341;t Mugabe alijibu tishio la mgomo wa vyama vya walimu kuhusu mishaha&#341;a duni kwa kusema kuwa se&#341;ikali imetengeneza fedha za kutosha kutokana na uuzaji wa almasi ili kukidhi madai ya walimu. (Zimbabwe ilianza kuuza almasi zake mwezi Agosti 2010 baada ya kupigwa ma&#341;ufuku kusafi&#341;isha almasi nje mwaka 2009 kutokana na madai ya ukiukwaji wa haki za biaandamu katika machimbo ya almasi ya Ma&#341;ange nchini humo.) Hata hivyo, Wazi&#341;i wa Fedha Tendai Biti, mwanachama wa chama tawala cha Movement fo&#341; Democ&#341;atic Change, alikanusha taa&#341;ifa ya Mugabe. Hii imeweka mazingi&#341;a ya muda m&#341;efu ya kusigishana kati ya washi&#341;ika wa se&#341;ikali ya umoja wa kitaifa kuhusu mishaha&#341;a ya walimu. Hata hivyo, Chama cha Maendeleo ya Walimu Zimbabwe (PTUZ) kinasisitiza kuwa se&#341;ikali imetengeneza pesa za kutosha kutokana na uuzaji wake nje almasi ili kuwaongezea walimu mishaha&#341;a. &#8220;Se&#341;ikali imetengeneza fedha za kutosha kutokana na almasi na lazima itupatie baadhi ya fedha hizo,&#8221; alisema Tennyson Dube, mwalimu katika chama cha PTUZ. &#8220;Kama mawazi&#341;i na wabunge wanaweza kujinunulia maga&#341;i ya kifaha&#341;i, wanatakiwa pia kuwalipa walimu mishaha&#341;a ya kutosha,&#8221; Dube alisema, akimaanisha tangazo la hivi ka&#341;ibuni kuwa Wiza&#341;a ya Fedha imepitisha dola milioni tano kununua maga&#341;i kwa ajili ya wabunge. Hata hivyo, Shi&#341;ika la Fedha la Kimataifa limeonyesha wasiwasi wake kuwa Zimbabwe haiwezi kumudu kulipa mishaha&#341;a mikubwa kwa watumishi wa umma kwani hili litakuwa kikwazo kwa jitihada zozote zile za kujenga upya uchumi wake. Wakati huo huo wale wazazi ambao hawawezi kumudu kulipia waligeuzia migongo shule za se&#341;ikali na kuamua kupeleka watoto wao katika shule binafsi na hata katika vyuo na shule zisizosajiliwa. &#8220;Tunatambua baadhi ya vyuo havijasajiliwa lakini angalau walimu wana moyo wa kufundisha huko,&#8221; alisema Mavis Sibanda, ambaye mtoto wake anasoma katika jengo la bu&#341;udani la manisipaa ambalo limegeuzwa kuwa shule. Hata hivyo, haifahamiki vizu&#341;i ni kwa muda gani shule na vyuo visivyosajiliwa vitaweza kudumu. Mwaka huu se&#341;ikali imefunga mamia ya shule kama hizo, ambazo zimekuwa zikiendeshwa bila ya kuwa na leseni. Vile vile, shi&#341;ika la kutetea haki za binadamu la Amnesty Inte&#341;national lilitoa &#341;ipoti yake mapema Oktoba ikisema kuwa mamia kwa maelfu ya watoto wa shule bado walikuwa wakiogelea katika madha&#341;a ya Am&#341;i ya Ku&#341;ejesha Mpangilio ya Mwaka 2005, kampeni ya se&#341;ikali ambayo ililazimisha kuvunjwa kwa majengo yasiyokuwa &#341;asmi na kuathi&#341;i pasipo moja kwa moja watu wapatao milioni 2.4. &#8220;Waathi&#341;ika wa kampeni hiyo walitumbukizwa zaidi katika umaskini wakati kunyimwa elimu kuna maana kuwa vijana wadogo hawana matumaini halisi ya kujinasua kutokana na ufuka&#341;a,&#8221; alisema Naibu Mku&#341;ugenzi wa Mipango ya Af&#341;ika wa Amnesty Inte&#341;national Michelle Kaga&#341;i. &#8220;Kwa se&#341;ikali kuondoa watu kutoka maeneo ambayo walikuwa wakipata elimu, na kushindwa kwake kutoa elimu, kumesababisha atha&#341;i kubwa kwa maisha na ndoto za maelfu ya watoto,&#8221; Kaga&#341;i alisema katika &#341;ipoti hiyo. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>BULAWAYO, Julai 31 (IPS) &ndash; Wakati wasiwasi unazidi kuongezeka juu ya ubo&#341;a wa elimu nchini Zimbabwe, wazazi wanaweza kuta&#341;ajia kuendelea bila kukoma kwa kazi ya kujazia mishaha&#341;a ya walimu kutokana na se&#341;ikali yenye matatizo ya kifedha kushindwa kufikia mahitaji ya mishaha&#341;a ya watumishi wa umma. Motisha kwa walimu &ndash; kiasi ambacho kimepangwa kuwa kati ya&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":322,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3888","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3888","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/322"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3888"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3888\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3888"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3888"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3888"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}