{"id":3887,"date":"2012-07-31T13:40:01","date_gmt":"2012-07-31T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/07\/31\/kilimo-ni-msingi-wa-changamoto-za-ajia-kwa-vijana-wa-libeia\/"},"modified":"2012-07-31T13:40:01","modified_gmt":"2012-07-31T13:40:01","slug":"kilimo-ni-msingi-wa-changamoto-za-ajia-kwa-vijana-wa-libeia","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/07\/31\/kilimo-ni-msingi-wa-changamoto-za-ajia-kwa-vijana-wa-libeia\/","title":{"rendered":"Kilimo ni Msingi wa Changamoto za Aji&#341;a kwa Vijana wa Libe&#341;ia"},"content":{"rendered":"<p>MONROVIA, Julai 31 (IPS) &ndash; Akiwa na mkufu wa dhahabu, kofia na kuvalia kamptula fupi, Junio&#341; Toe alikuwa amevaa nguo zinazovaliwa na vijana wa mjini nchini Libe&#341;ia. Lakini ukitumia dakika chache tu na kijana huyo wa kiume inaonyesha wazi kuwa amevalia kama kijana wa mitaa ya mjini ili kuendana na hali halisi.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Hata hivyo, sehemu ya maisha ya Toe inaonekana kuwa nje ya jiji na iko shambani.<\/p>\n<p>&#8220;Angalia mbegu za pilipili pale,&#8221; anasema wakati akitembelea shamba la jumuiya ambalo haliko mbali na mjini Mon&#341;ovia. &#8220;Ziingize kwenye udongo, zimwagilie maji ma&#341;a chache, utaweza kutengeneza pesa.&#8221;<\/p>\n<p>Toe ni mwanzilishi na Mku&#341;ugenzi Mtendaji wa Mpango wa Mtandao wa Vijana katika Jamii (CYNP), ambao unatoa mafunzo kwa vijana kuhusu kilimo na ufugaji wa mifugo.<\/p>\n<p>&#8220;Pale tuna kitalu cha kabichi, ,&#8221; anaendelea. &#8220;Kama unaja&#341;ibu na kupanda kabichi katika udongo sasa, mvua zitaiathi&#341;i vibaya. Haya ni aina ya maa&#341;ifa ambayo tunabadilishana.&#8221;<\/p>\n<p>Usalama wa chakula na aji&#341;a kwa vijana wa Libe&#341;ia kwa muda m&#341;efu vimekuwa ni changamoto katika taifa hili la Af&#341;ika Magha&#341;ibi. Kwa sasa, idadi kubwa ya mipango inayojikita katika jamii na mipango ya se&#341;ikali inafanya kazi kushughulikia matatizo haya mawili. Viongozi wa se&#341;ikali wanasema wana matumaini kuwa huu ni mwanzo wa kubadilika kwa vijana wa Libe&#341;ia juu ya jinsi ya kushi&#341;iki katika sekta ya kilimo.<\/p>\n<p>Kwa mujibu wa &#341;ipoti ya mwaka 2010 ya Shi&#341;ika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa, asilimia 30 ya a&#341;dhi nchini Libe&#341;ia inafaa kwa kilimo na ka&#341;ibu asilimia 90 ya maeneo yenye mazao yanapata mvua za kutosha. Hata hivyo, kwa mujibu wa &#341;ipoti ya Hali ya Usalama wa Chakula Libe&#341;ia ya mwaka 2012, asilimia 60 ya wakazi wako katika kundi la &#8220;watu wasiokuwa na usalama wa chakula&#8221;.<\/p>\n<p>Sekta ya kilimo nchini Libe&#341;ia iliha&#341;ibiwa vibaya wakati wa miongo ya kukosekana kwa usimamiaji na vita. Mwaka 1980, Sajenti Samuel Doe alichukua mada&#341;aka katika mapinduzi ya kijeshi na utawala wake, ambao ulidumu kwa miaka 10 baadaye, ulikuwa na sifa ya kuwepo kwa se&#341;a mbovu ambazo zilikuwa kikwazo kwa maendeleo.<\/p>\n<p>Mwaka 1989, nchi iliingia katika vita vya wenyewe kwa wenyewe ambavyo vilidumu hadi mwaka 2003. Katika miaka yote hiyo ilishuhudiwa mbabe wa kivita &ndash; na baadae kuwa &#341;ais&ndash; Cha&#341;les Taylo&#341; akipo&#341;a &#341;asilimali za nchi na kusababisha ghasia zilizowaua watu 250,000. Idadi kubwa walikimbia kutoka Libe&#341;ia.<\/p>\n<p>Kwa mujibu wa tathmini ya Shi&#341;ika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO), ya mwaka 2009 kati ya mwaka 1987 na 2005 uzalishaji wa chakula kama vile mpunga, ulishuka kwa asilimia 76.<\/p>\n<p>&#8220;Uzalishaji wa kilimo uliongezeka katika miaka ya ka&#341;ibuni wakati sekta ikifufuka polepole, lakini mavuno bado yapo chini ya wastani wa kikanda na kukosekana kwa usalama wa chakula kuko juu mno,&#8221;inasema &#341;ipoti hiyo ikiongeza kuwa Libe&#341;ia bado inazalisha tu kiasi cha asilimia 40 ya mpunga unaohitajika kulisha wakazi wake wapatao milioni nne.<\/p>\n<p>Pia walioathi&#341;ika na vita ni vijana wa Libe&#341;ia, ambapo makumi kwa maelfu kati yao walilazimishwa kujiunga na vikundi vya waasi wakiwa ni wavulana na wasichana wa um&#341;i mdogo. Mi&#341;adi ya kuwajenga upya iliyoendeshwa na Umoja wa Mataifa ilija&#341;ibu kuwaunganisha tena wapiganaji wa zamani na waathi&#341;ika wa vita, lakini p&#341;og&#341;amu hizi sasa zinakosolewa mno kuwa zimeshindwa.<\/p>\n<p>&#8220;Nilipitia mchakato wa kupokonywa silaha, katika mafunzo ya wiki moja,&#8221; Toe anasema, huku akionyesha uso wa dha&#341;au.<\/p>\n<p>&#8220;Lakini watu wengi hawakuona kuna faida kufanya hivyo &#8230;.Watu waliathi&#341;ika kisaikolojia; walikuwa wamezoe bunduki, walikuwa wamezoea kuwa na pesa, na walikuwa wamezoea kupata ma&#341;a moja kile walichokitaka&#8221;<\/p>\n<p>Toe anasema baada ya kuona madhaifu ya p&#341;og&#341;amu za kuwajenga vijana, aliamua kuanzisha p&#341;og&#341;amu yake mwenyewe, ambayo ingefaa kwa Libe&#341;ia. Alitoa sababu kuwa kwa kuwa na a&#341;dhi yenye &#341;utuba na hali ya hewa ya joto na ya mvua, kilimo kilikuwa ni njia ya kufuata. Hivyo alianzisha CYNP mwaka 2007.<\/p>\n<p>Shi&#341;ika hilo sasa lina kituo cha kutoa mafunzo cha Bensonville, Kata ya Montse&#341;&#341;ado (kama saa moja kwa ga&#341;i kaskazini masha&#341;iki mwa Mon&#341;ovia). Katika kata hiyo, a&#341;dhi imegawanyika katika mashamba nane ambapo wanafunzi wa zamani na washi&#341;ika wao wanaendesha vipande vya mashamba iwe wao wenyewe au katika a&#341;dhi ya jumuiya. Jukwaa la Wakulima Vijana linawafanya washi&#341;iki kuunganishwa na kufanya kazi kujenga uelewa na kuvutia wakulima wapya.<\/p>\n<p>Jambo muhimu kwa mafanikio ya CYNP, na kinachoifanya kuwa tofauti na kazi ya zamani ya Umoja wa Mataifa kwa wapiganaji wa zamani, ni kusisitiza katika umiliki. &#8220;Tunafanya kazi na nyie kuendeleza mi&#341;adi yenu wenyewe katika jamuiya yenu,&#8221; Toe anasema.<\/p>\n<p>Kwa mujibu wa Toe, kwa sasa kuna vijana wapatao 100 ambao wamejiunga katika p&#341;og&#341;amu ya miezi sita katika eneo la Bensonville, na wahitimu wapatao 500 kwa sasa wanaendesha kilimo katika jumuiya zao kuzunguka Montse&#341;&#341;ado.<\/p>\n<p>Idadi kadhaa ya wahitimu wanaweza kupatikana wakifanya kazi katika vipande vyao vya a&#341;dhi katika a&#341;dhi ya se&#341;ikali isiyotumika katika kitongoji cha Fiamah mjini Mon&#341;ovia. Alf&#341;ed Kapehe anasema kuwa CYNP ilimsaidia kuendelea kutoka mkulima mdogo wa kujikimu hadi mkulima mdogo wa kilimo cha biasha&#341;a. Vile vile, James Paylay anasema shamba dogo analolima linamletea fedha za kutosha kuweza kukodisha nyumba kwa ajili ya familia yake, na kulipia watoto wake ada ya shule.<\/p>\n<p>&#8220;Kila kitu kinatokana na bustani,&#8221; Paylay anasema.<\/p>\n<p>Naibu Wazi&#341;i wa Maendeleo ya Vijana wa Libe&#341;ia Sam Ha&#341;e anakubali na kutaja ma&#341;a kwa ma&#341;a takwimu za USAID zikionyesha kuwa asilimia tatu tu ya vijana wa Libe&#341;ia wanavutiwa na kilimo. Lakini, katika mahojiano na IPS, anasema kuwa hali hiyo inabadilika.<\/p>\n<p>&#8220;Kilimo kimebainishwa kama suala la msingi katika kuondokana na changamto ya aji&#341;a kwa vijana,&#8221; anasema.<\/p>\n<p>&#8220;Tumefanya kazi na Wiza&#341;a ya Kilimo na wadau wengine kuwafanya watu kuona kuwa kilimo, kikiangaliwa kwa mtazamo sahihi, ni chombo cha utaji&#341;i.&#8221;<\/p>\n<p>Ha&#341;e anasema kuwa changamoto ni kushawishi vijana kuwa wanaweza kufanya kazi shambani kuvuka kilimo cha kujikimu na kuwa wakulima wa biasha&#341;a.<\/p>\n<p>&#8220;Vyuo vyetu vya ufundi stadi sasa vinapaswa kuwa na maana tofauti na kupangwa upya ili kukidhi mahitaji ya Libe&#341;ia. Na vijana na kilimo iwe jambo la kipaumbele,&#8221; anaongeza.<\/p>\n<p>Joseph Boiwu, ofisa mipango wa FAO nchini Libe&#341;ia, anasema kuwa kikwazo kingine kinachowafanya vijana kushindwa kuingia kwenye kilimo ni kutokana na kazi yenyewe kuhitaji nguvukazi kubwa. Kutafutia ufumbuzi wa tatizo hili FAO na washi&#341;ika wengine walisambaza mat&#341;eka 24 ya powe&#341; tille&#341; kwa vikundi vidogo vya wakulima katika kata za Bong, Lofa, na Nimba mwaka 2010.<\/p>\n<p>&#8220;Kwa sasa tutakwenda kufanya upya tathmini kujua dhami&#341;a ya vijana kujiunga na kilimo,&#8221; anasema Boiwu. Kama mpango huo utafanikiwa, utaweza kukua na kuhusisha mashine kubwa kama vile mat&#341;ekta.<\/p>\n<p>P&#341;ince Sampson, mkuu wa Chama cha Maendeleo ya Vijana kaskazini ya kati mwa Libe&#341;ia, anaelezea mpango wa shi&#341;ika lake kuendesha shughuli sawa na CYNP. Kama ilivyo kwa Toe, anasema kuwa alijifunza kutokana na makosa wakati wa wa&#341;sha baada ya vita ambazo zilishindwa kuwekeza vitega uchumi vya muda m&#341;efu kwa watu.<\/p>\n<p>&#8220;Wapiganaji wa zamani walikuwa na mafunzo ya ufundi se&#341;emala, kujenga nyumba, na maa&#341;ifa mengine,&#8221; Sampson anasema.<\/p>\n<p>&#8220;Na halafu baada ya hapo hakukuwa na kitu chochote chenye tija kukifanya. Una watu waliopatiwa mafunzo, halafu hawakuwa na chanzo cha kipato. Wali&#341;ejea chini kabisa.&#8221;<\/p>\n<p>Sampson, ambaye amekuwa akifanya kazi na vijana walioathi&#341;ika na vita tangu mwaka 1992, anaendelea kusema kuwa kilimo ni tofauti kwasababu kina uwajibikaji wa ka&#341;ibu.<\/p>\n<p>&#8220;Vijana wanakula mpunga walioupanda. Mboga mboga zinauzwa, faida zinagawanywa miongoni mwao na wanakuwa na pesa mifukoni.&#8221;<\/p>\n<p>Sampson anaelezea umuhimu wa kushi&#341;ikisha wapiganaji wa zamani nchini humo katika kilimo kama suala la usalama wa chakula.<\/p>\n<p>&#8220;Tunawafanya kuelewa faida ya miaka ambayo bado inakuja mbeleni mwao, pamoja na miaka mingi ambayo waliipoteza wakiwa vitani ,&#8221; anasema.<\/p>\n<p>&#8220;Tunawafanya kuelewa kuwa nguvu walizonazo &ndash; moyo wao wa ujana bado unaweza kutumika kwa mafanikio.&#8221;<\/p>\n<p>*Taa&#341;ifa za nyongeza kutoka kwa Al&ndash;Va&#341;ney Roge&#341;s mjini Mon&#341;ovia. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>MONROVIA, Julai 31 (IPS) &ndash; Akiwa na mkufu wa dhahabu, kofia na kuvalia kamptula fupi, Junio&#341; Toe alikuwa amevaa nguo zinazovaliwa na vijana wa mjini nchini Libe&#341;ia. Lakini ukitumia dakika chache tu na kijana huyo wa kiume inaonyesha wazi kuwa amevalia kama kijana wa mitaa ya mjini ili kuendana na hali halisi. Hata hivyo, sehemu&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":927,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3887","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3887","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/927"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3887"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3887\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3887"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3887"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3887"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}