{"id":3886,"date":"2012-07-31T13:40:01","date_gmt":"2012-07-31T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/07\/31\/wakulima-vijana-wana-mahitaji-makubwa-na-mataajio-madogo-kutoka-rio20\/"},"modified":"2012-07-31T13:40:01","modified_gmt":"2012-07-31T13:40:01","slug":"wakulima-vijana-wana-mahitaji-makubwa-na-mataajio-madogo-kutoka-rio20","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/07\/31\/wakulima-vijana-wana-mahitaji-makubwa-na-mataajio-madogo-kutoka-rio20\/","title":{"rendered":"Wakulima Vijana Wana Mahitaji Makubwa na Mata&#341;ajio Madogo Kutoka Rio+20"},"content":{"rendered":"<p>RIO DE JANEIRO, Julai 31 (IPS) &ndash; Ulvia Abdullayeva, kutoka Ganja magha&#341;ibi mwa Aze&#341;baijan, amekuja mjini Rio kutoa ujumbe &#341;ahisi lakini muhimu kwa viongozi wa dunia na mamlaka zake za kitaifa: wakulima wadogo wanahitaji kulindwa na kufadhiliwa.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Abdullayeva, ambaye anafanya kazi katika nchi ya Aze&#341;baijan kwenye shi&#341;ika lisilokuwa la kise&#341;ikali (NGO) linalosaidia wakulima wa mkoa wake na kukuza maendeleo endelevu, anaelezea idadi kubwa ya matatizo ambayo yanawakumba wakulima wadogo nchini Aze&#341;baijan.<\/p>\n<p>Siyo tu kwamba wanakabiliwa na uhaba wa maji, uhaba wa fedha na uhaba wa miundombinu ya kuhifadhia, ambayo inasababisha kuoza kwa chakula, lakini upatikanaji wa masoko pia ni suala gumu kwa wakulima, kwani masoko yanahodhiwa na makampuni machache ya binafsi yakisaidiwa na se&#341;ikali na kujaa vyakula vya bei nafuu vilivyoagizwa kutoka nje.<\/p>\n<p>Akiwa pamoja na kundi la vijana zaidi ya kumi duniani kote, wenye um&#341;i kati ya miaka 18 hadi 25, Abdullayeva amekuja Rio kushi&#341;iki mpango wa pamoja wa vijana uliaondaliwa na shi&#341;ika la misaada ya kimataifa la Oxfam. Mpango huo unahamasisha vijana kuchochea mageuzi ya kijamii katika jumuiya zao na kujenga fu&#341;sa kwa ajili ya kujiweka kwenye mitandao na wengine. Mjini Rio, mpango huo unalenga katika kilimo na usalama wa chakula.<\/p>\n<p>&#8220;Inafu&#341;ahisha kweli kuwa hapa Rio,&#8221; anasema anapojiunga na maandamano ya haki za wanawake yanayofanyika katika Cupula dos Povos, Mkutano wa Kilele wa Watu, sehemu ya mkutano wa Rio+20 juu ya maendeleo endelevu siku ya Jumatatu. &#8220;Watu wote hawa wana wazo la kuwa &#341;aia wenye uhai, wazo linalokosekana nyumbani kwangu na nina matumaini kulipeleka nyumbani.&#8221;<\/p>\n<p>Kusema hapana kwa makampuni makubwa Daniel Ch&#341;isendo, kutoka Tulang Bawang Ba&#341;at, katika Kisiwa cha Sumat&#341;a, nchini Indonesia, ni mshi&#341;iki mwingine katika mpango huo. Anasema kuwa moja ya ujumbe wake mkubwa ambao vijana wanaja&#341;ibu kueneza kwa Umoja wa Mataifa na se&#341;ikali za kitaifa ni kutokuingia mikataba na makampuni makubwa.<\/p>\n<p>Ch&#341;isendo anasema kuwa suala la jamii yake, kuzalisha chakula kwa ajili ya kula inazidi kuwa kazi ngumu, kimsingi kutokana na kuzidi kuenea kwa kilimo cha miwese kwa ajili ya uzalishaji wa mafuta, miongoni mwa aina za kilimo cha zao moja.<\/p>\n<p>&#8220;Indonesia ni nchi ya kilimo, lakini ka&#341;ibu sote hatuzalishi tena chakula. Tunalazimika kutegemea kuagiza chakula cha bei kubwa kutoka nje, ambacho kina atha&#341;i kubwa mno kwa maskini, kwani hawawezi kukimudu,&#8221; Ch&#341;isendo anasema.<\/p>\n<p>Titilola Kazem, kutoka Lagos, Nige&#341;ia, ana wasiwasi zaidi kuhusu madha&#341;a ya mabadiliko ya tabia nchi katika kilimo nchini mwake. Kwa kufanya kazi na wakulima wadogo katika mkoa wake, anasema moja ya matatizo makubwa zaidi ni mvua zisizokuwa na uhakika, ambazo zinafanya kupanga kilimo cha mazao kuwa kazi ngumu. Katika baadhi ya maeneo, mabadiliko ya tabia nchi yamesababisha ukame mbaya na pia kuathi&#341;i kilimo.<\/p>\n<p>&#8220;Nchini Nige&#341;ia, wakulima wadogo wanazalisha asilimia 70 ya chakula, na kuna chakula kingi mno kinachozalishwa nchini mwetu. Hata hivyo, watu wengi mno wanaendelea kuwa na njaa,&#8221; Kazem anasema, akiongeza kuwa watu wanahitaji kuelimika kuhusu madha&#341;a ya mabadiliko ya tabia nchi.<\/p>\n<p>&#8220;Wanapaswa kusaidiwa kuweza kuendesha umwagiliaji, huku wakiwa na vifaa vya kuhifadhia,&#8221; anaongeza, &#8220;na wanatakiwa kuhamasishwa kuendesha kilimo kinachotumia mbolea asilia, ambacho ni endelevu zaidi.&#8221;<\/p>\n<p>Maeneo tofauti, jitihada zinazofanana Wakati vijana hawa wanakabiliwa na changamoto tofauti katika kanda wanakotoka, hata hivyo wameweza kuandaa o&#341;odha ya mapendekezo yenye lengo la kupelekwa kwa watunga se&#341;a, ambayo yanaweza kuwa kama eneo la kuanzia kushughulikia masuala yanayokabili jamii za wakulima duniani.<\/p>\n<p>Mapendekezo yao ni pamoja na ushi&#341;iki mkubwa wa &#341;aia katika utoaji wa maamuzi; kuwepo na &#341;uzuku na kodi za kuingiza mazao ya kilimo ili kusaidia wakulima wadogo; kuwezesha upatikanaji wa mbegu zenye bei nafuu; kusaidia upatikanaji wa masoko; kuzuia kulazimishwa kuhama kwa wakulima na kuwapatia mikataba ya kumiliki a&#341;dhi; kukuza mambo mazu&#341;i ya jadi; na hatua za ha&#341;aka za kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi.<\/p>\n<p>Vijana wanaohudhu&#341;ia katika mpango wa Oxfam ambao walihojiwa na Te&#341;&#341;aViva hawakuwa na uhakika jinsi gani mkutano wa Rio+20 ungeweza kuwasaidia kutekeleza mahitaji haya, lakini walikuwa na matumaini kuwa mkutano ungesaidia kupeleka mapendekezo kwa se&#341;ikali zao na kwamba makubaliano ya Rio yanaweza kushinikiza mamlaka zao za kitaifa kutekeleza hatua hizo.<\/p>\n<p>Vijana wengine wanaohudhu&#341;ia Cupula dos Povos walikuwa na matumaini madogo. Katika moja ya viwanja vidogo vya majani katika ufukwe ambako mahema ya Cupula dos Povos yamewekwa, kulikuwa na ubadilishanaji wa mbegu. Mshi&#341;iki mmoja Elena Coope&#341;, anawakilisha Capim Limao, kikundi cha wanafunzi kutoka Chuo Kikuu cha Rio de Janei&#341;o ambacho kinakuza kilimo cha kiikolojia na ambacho wanachama wake wanaendesha kilimo kidogo katika mkoa wa Rio.<\/p>\n<p>Kwa mujibu wa Coope&#341;, hakuna matokeo yanaweza kuta&#341;ajiwa kutokana na mazungumzo maalum ya Rio+20, lakini mawasiliano yaliyofanywa miongoni mwa washi&#341;iki katika Cupula dos Povos yanaweza kuleta mabadiliko chanya katika siku zijazo.<\/p>\n<p>&#8220;Tuna matumaini makubwa kutokana na kubadilishana mawazo na watu wengine hapa, na wakulima, kutokana na kubadilishana mbegu hizi,&#8221; Coope&#341; alisema. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>RIO DE JANEIRO, Julai 31 (IPS) &ndash; Ulvia Abdullayeva, kutoka Ganja magha&#341;ibi mwa Aze&#341;baijan, amekuja mjini Rio kutoa ujumbe &#341;ahisi lakini muhimu kwa viongozi wa dunia na mamlaka zake za kitaifa: wakulima wadogo wanahitaji kulindwa na kufadhiliwa. Abdullayeva, ambaye anafanya kazi katika nchi ya Aze&#341;baijan kwenye shi&#341;ika lisilokuwa la kise&#341;ikali (NGO) linalosaidia wakulima wa mkoa&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":926,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3886","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3886","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/926"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3886"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3886\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3886"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3886"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3886"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}