{"id":3884,"date":"2012-07-31T13:40:01","date_gmt":"2012-07-31T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/07\/31\/msuguano-wa-uais-waielekeza-misi-kwenye-mustakabali-wa-mashaka\/"},"modified":"2012-07-31T13:40:01","modified_gmt":"2012-07-31T13:40:01","slug":"msuguano-wa-uais-waielekeza-misi-kwenye-mustakabali-wa-mashaka","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/07\/31\/msuguano-wa-uais-waielekeza-misi-kwenye-mustakabali-wa-mashaka\/","title":{"rendered":"Msuguano wa U&#341;ais Waielekeza Mis&#341;i Kwenye Mustakabali wa Mashaka"},"content":{"rendered":"<p>CAIRO, Julai 31 (IPS) &ndash; Wiki moja kabla ya ma&#341;udio ya uchaguzi wa u&#341;ais nchini Mis&#341;i kati ya mgombea wa Chama cha Udugu wa Kiislam (Muslim B&#341;othe&#341;hood) Mohamed Mo&#341;si na Wazi&#341;i Mkuu wa zamani wa enzi za se&#341;ikali ya Muba&#341;ak, Ahmed Shafiq, ambaye anaungwa mkono zaidi na jeshi, wanaume hao wawili waliendelea kudai ushindi huku kila mmoja wao akitoa madai ya udanganyifu wakati wa kupiga ku&#341;a.Wamis&#341;i wengi wanahofia kuwa mgombea yoyote kati ya hao akitangazwa mshindi itasababisha msuguano mkali kati ya chama cha B&#341;othe&#341;hood na washi&#341;ika wake wa Kiislam kwa upande mmoja na Ba&#341;aza Kuu la Jeshi (SCAF) ambalo ndilo linalotawala nchini humo kwa upande mwingine.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>&#8220;Nahisi ha&#341;ufu ya damu. Hali inatia mashaka mno,&#8221; Abdullah al&ndash;Sennawi, mwandishi maa&#341;ufu na mchambuzi wa kisiasa, aliiambia IPS. &#8220;Ushindani mkali wa mada&#341;aka baina ya SCAF na B&#341;othe&#341;hood sasa unaonekana waziwazi.&#8221;<\/p>\n<p>Matokeo ya awali ya uchaguzi ulio&#341;udiwa uliokuwa na ushindani mkali nchini Mis&#341;i wa Juni 16&ndash;17 ulimuweka mgombea wa chama cha B&#341;othe&#341;hood Mo&#341;si akiwa mbele kwa asilimia 52 ya ku&#341;a. Siku ya Jumatano, Juni 20, kundi la majaji wanaounga mkono mageuzi walionekana kukubaliana na madai haya, na kuhesabu ku&#341;a za mwisho kuwa 13,238,335 kwa Mo&#341;si na 12,351,310 kwa Shafiq.<\/p>\n<p>Vyombo vingine hu&#341;u vya kuhesabu ku&#341;a vilifikia hitimisho linalofanana na hilo.<\/p>\n<p>Katika du&#341;u ya kwanza ya uchaguzi mwishoni mwa mwezi Mei wagombea 13 walishi&#341;iki, huku Mo&#341;si akiongoza kwa kuwa na asilimia 25 ya ku&#341;a, wakati Shafiq &ndash; pamoja na mata&#341;ajio yake yote &ndash; alikuwa wa pili huku akimka&#341;ibia mpizani wake kwa kuwa na asilimia 24 ya ku&#341;a.<\/p>\n<p>Matokeo ya ma&#341;uduo ya uchaguzi awali yalipangwa kutangazwa Alhamisi, Juni 21. Lakini siku ya Jumatano jioni Tume Hu&#341;u ya Uchaguzi ya Mis&#341;i (SPEC) ilitangaza kuwa ilihitaji muda wa zaidi kupitia zaidi ya madai 400 ya udanganyifu yaliyopelekwa na pande zote mbili.<\/p>\n<p>Kwa sasa matokeo ya mwisho yanata&#341;ajiwa kutangazwa Jumapili, Juni 24, lakini SPEC hajakanusha uwezekano kuwa uchaguzi huo ungeahi&#341;ishwa hadi baadaye.<\/p>\n<p>Mo&#341;si, ambaye kwa sasa anaongoza &#8220;Muslim B&#341;othe&#341;hood&#8217;s F&#341;eedom and Justice Pa&#341;ty (FJP)&#8221;, anatumia jukwaa lenye imani kuwa haki za kijamii, maendeleo ya kiuchumi na utekelezwaji wa polepole wa she&#341;ia za Kiislam ni suala muhimu. Wakiwa wamepigwa ma&#341;ufuku katika se&#341;ikali iliyopita, chama cha B&#341;othe&#341;hood &ndash; ambacho kilishinda ka&#341;ibu nusu ya viti vyote katika bunge la kwanza nchini Mis&#341;i baada ya Muba&#341;ak &ndash; ni chama chenye nguvu kubwa ya kisiasa nchini Mis&#341;i.<\/p>\n<p>Shafiq, kwa upande wake, akiwa mkuu wa zamani wa Jeshi la Anga la Mis&#341;i na wazi&#341;i wa masuala ya anga wa muda m&#341;efu chini ya Muba&#341;ak, alikuwa wazi&#341;i mkuu wa &#341;ais aliyeng&#8217;olewa mada&#341;akani katika maandamano ya umma katika Uwanja wa Tah&#341;i&#341; mwaka jana. Shafiq, pia anaahidi haki za kijamii, maendeleo ya kiuchumi, lakini kwa kiasi kikubwa kampeni zake zinaegemea katika ahadi ya ku&#341;ejesha utulivu nchini baaada ya mwaka na nusu wa mtikisiko uliotokana na mapinduzi.<\/p>\n<p>Katika mkutano na waandishi wa haba&#341;i siku ya Alhamisi, Shafiq alikataa matokeo ya awali ya uchaguzi ambayo yanaonyesha mpinzani wake anaongoza &ndash; na kudai kuwa yamejaa udanganyifu &ndash; na kujitangazia ushindi.<\/p>\n<p>&#8220;Nina imani kuwa nitatangazwa kuwa &#341;ais ajaye. Namba zinaonyesha dalili ya ushindi, ambao utathibitishwa na SPEC siku ya Jumapili,&#8221; Shafiq alisema. Aliendelea kudai kuna mchezo umechezwa katika ku&#341;a walizopewa B&#341;othe&#341;hood na hivyo kutokuwa halali.&#8221;<\/p>\n<p>Kuchelewa kwa kiasi kikubwa kutangazwa kwa matokeo ya mwisho, wakati huo huo, kumesababisha mashaka.<\/p>\n<p>&#8220;Kuahi&#341;ishwa kutangazwa kwa matokeo &#341;asmi kumesababisha kukosekana kwa imani miongoni mwa wananchi,&#8221; Chama cha Salafist Nou&#341;, ambacho kinamuunga mkono Mo&#341;si, kilisema katika taa&#341;ifa yake ya Alhamisi.<\/p>\n<p>&#8220;Tumejiandaa kukubali matokeo yoyote yale, ilim&#341;adi yawe ni ya haki na uwazi,&#8221; Magdi She&#341;if, mkuu wa Chama cha Gua&#341;dians of the Revolution (ambacho kiligomea ma&#341;udio ya uchaguzi), aliiambia IPS. Lakini ucheleweshaji huu mkubwa unaleta mashaka juu ya kama uchaguzi ni wa haki.&#8221;<\/p>\n<p>Wakati huo huo SCAF, imeahidi kumaliza utawala wake &ndash; ambao umekuwepo tangu kuondoka mada&#341;akani kwa Muba&#341;ak mwaka jana &ndash; punde tu baada ya kuchaguliwa kwa &#341;ais mpya. Hata hivyo, matukio kadhaa ya ka&#341;ibuni yanaonyesha kuwa ba&#341;aza la kiejshi haliko taya&#341;i kuachia mada&#341;aka &ndash; hasa kwa mkuu wa nchi kutoka chama cha Kiislam.<\/p>\n<p>Mwezi Juni 14, Mahakama Kuu ya Kikatiba Nchini Mis&#341;i ilitangaza kuwa kanuni zilizotumika kuendesha uchaguzi wa wabunge mwaka jana zilikuwa kinyume na katiba. Siku mbili baadaye, SCAF ilivunja bunge,ambalo ka&#341;ibu nusu ya viti vinashikiliwa na chama cha B&#341;othe&#341;hood FJP.<\/p>\n<p>Wataalam wa she&#341;ia wanahoji hatua hiyo.<\/p>\n<p>&#8220;Hakukuwa na sababu za mzingi za kuvunja bunge zima,&#8221; Atef al&ndash;Banna, p&#341;ofesa wa she&#341;ia za kikatiba katika Chuo Kikuu cha Cai&#341;o, aliiambia IPS. &#8220;Halafu utawala huo umeshindwa kutoa sababu za msingi za kufanya hivyo.&#8221;<\/p>\n<p>Siku tatu baadaye, SCAF ilitoa &#8216;andiko&#8217; la kikatiba ambalo linajipatia mamlaka ya kibunge baada ya kuvunja bunge lililoongozwa na Waislam. Andiko hilo pia lilipatia ba&#341;aza la kijeshi udhibiti kamili wa mchakato wa kuandikwa kwa katiba mpya, nafasi ambayo ilitakiwa kuwa ya bunge.<\/p>\n<p>&#8220;&#8216;Andiko,&#8217; hili ambalo lilipitishwa na SCAF, ni sawa na mapinduzi dhidi ya demok&#341;asia ya mpito ya Mis&#341;i,&#8221; alisema al&ndash;Sennawi.<\/p>\n<p>&#8220;Ma&#341;ekebisho yoyote yale ya katiba kama haya lazima yapitishwe kwa ku&#341;a ya maoni,&#8221; alisema al&ndash;Banna.<\/p>\n<p>Katika kukabiliana na matukio haya, na kutokana na kuhofia kutangazwa kwa Shafiq kuwa &#341;ais, makumi kwa maelfu ya waandamanaji &ndash; wengi wao wakiwa wafuasi wa Mo&#341;si &ndash; walifika katika Viwanja vya Tah&#341;i&#341; siku ya Ijumaa na Jumamosi. Maandamano hayo yaliandaliwa na kupewa kibali na chama cha Muslim B&#341;othe&#341;hood na tawi lake la FJP, ikiwa ni pamoja na vyama vya Salafist, chama cha Kiislam chenye msimamo wa wastani cha Wasat ikiwa ni pamoja na makundi kadhaa ya kimapinduzi yenye itikadi za kidini.<\/p>\n<p>&#8220;Sote tunajua kuwa Mo&#341;si alishinda uchaguzi,&#8221; mwanachama wa FJP Ahmed Sami&#341; aliiambia IPS ka&#341;ibu na viwanja hivyo. &#8220;Hivyo tunapanga kubakia hapa hadi watakapomtangaza Mo&#341;si kuwa mshindi halali, kuondoa hatua ya kulivunja bunge na kuondokana na hiki kinachojulikana kama andiko la kikatiba.&#8221;<\/p>\n<p>Wakati huu waandamanaji katika Uwanja wa Tah&#341;i&#341; hawakuwa waislam peke yao.<\/p>\n<p>Ahmed Mahe&#341;, m&#341;atibu mkuu wa mapinduzi ya kidini katika vuguvugu la vijana la Ap&#341;ili 6, ambalo lilikuwa na jukumu kubwa katika maandamano ya mwaka jana na hivi ka&#341;ibuni kumuunga mkono Mo&#341;si, aliiambia IPS: &#8220;Kama Shafiq atatangazwa mshindi, tuko taya&#341;i kuanzisha mapinduzi mengine.&#8221;<\/p>\n<p>Wakati hali ya mambo katika viwanja vya Tah&#341;i&#341; &ndash; na nchini kote &ndash; inaendelea kuwa ya wasiwasi, waandamanaji wanazidi kudai kuwa wanafanya maandamano ya amani.<\/p>\n<p>&#8220;Tunafanya maandamano ya amani kabisa; hakuna njia yoyote ile ambayo itatuingiza katika matumizi ya fujo, bila kujali ni nani atatangazwa kuwa &#341;ais,&#8221; alisema Sami&#341; wa FJP. &#8220;Tunatoa wito kwa jeshi kutokutumia nguvu dhidi yetu.&#8221;<\/p>\n<p>Wakiwa hawako taya&#341;i kuacha mambo kuendelea kama yalivyopangwa, SCAF ilitoa taa&#341;ifa &#341;asmi Ijumaa kwa kusema kuwa &#8220;uvamizi wowote ule wa taasisi za umma au binafsi&#8221; utashughulikiwa kwa ha&#341;aka sana na jeshi na polisi.&#8221; <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>CAIRO, Julai 31 (IPS) &ndash; Wiki moja kabla ya ma&#341;udio ya uchaguzi wa u&#341;ais nchini Mis&#341;i kati ya mgombea wa Chama cha Udugu wa Kiislam (Muslim B&#341;othe&#341;hood) Mohamed Mo&#341;si na Wazi&#341;i Mkuu wa zamani wa enzi za se&#341;ikali ya Muba&#341;ak, Ahmed Shafiq, ambaye anaungwa mkono zaidi na jeshi, wanaume hao wawili waliendelea kudai ushindi huku&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":627,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3884","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3884","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/627"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3884"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3884\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3884"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3884"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3884"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}