{"id":3883,"date":"2012-07-30T13:40:01","date_gmt":"2012-07-30T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/07\/30\/mgogoo-wa-chakula-waathii-shule-nchini-nige\/"},"modified":"2012-07-30T13:40:01","modified_gmt":"2012-07-30T13:40:01","slug":"mgogoo-wa-chakula-waathii-shule-nchini-nige","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/07\/30\/mgogoo-wa-chakula-waathii-shule-nchini-nige\/","title":{"rendered":"Mgogo&#341;o wa Chakula Waathi&#341;i Shule Nchini Nige&#341;"},"content":{"rendered":"<p>Nige&#341;, Julai 30 (IPS) &ndash; Tangu Desemba 2011, mgogo&#341;o wa chakula nchini Nige&#341; umeshasababisha idadi kubwa ya wakazi kuyakimbia maeneo yao yenye uhaba wa chakula kwenda maeneo ya nchi yenye mavuno mazu&#341;i zaidi. Madha&#341;a ya kijamii ya wahamiaji hawa wa ndani ni makubwa, bila hata kuo&#341;odhesha jinsi yalivyovu&#341;uga elimu.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Kwa mujibu wa Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Ku&#341;atibu Masuala ya Kibinadamu katika mji mkuu kwa ukubwa nchini humo, Zinde&#341;, idadi kubwa ya wahamiaji wameonekana, hasa kutoka mikoa ya Gou&#341;&eacute; na Tanout, kaskazini mwa Zinde&#341;, kuelekea maeneo yenye mavuno mazu&#341;i kama vile Maga&#341;ia, kusini mwa nchi, na Matameye, katika upande wa magha&#341;ibi.<\/p>\n<p>Kwa mujibu wa makadi&#341;io kutoka Wiza&#341;a ya Elimu, watoto wapatao 45,000 wameacha shule mwaka huu kutokana na sababu zinazohusishwa na mgogo&#341;o wa chakula.<\/p>\n<p>Mamane Sani, 13, alifuata wazazi wake kutoka kijijini mwao, Ma&#341;ma&#341;i, katika mkoa wa Gou&#341;&eacute;, kwenda Zinde&#341;.<\/p>\n<p>Miezi michache iliyopita, Sani alikuwa anakwenda shule, lakini kwa sasa anafanya kazi za ndani katika familia moja mjini Zinde&#341;. Kila asubuhi, wakati watoto wengine wa um&#341;i wake wakienda da&#341;asani, Sani anaweza kukutwa mitaani akiuza viungo vya chakula kwa niaba ya familia anayofanyia kazi.<\/p>\n<p>Halafu hutumia muda wake wa mchana kuchota maji katika visima vilivyopo baadhi ya kilomita tatu nje ya jiji. Na wakati wa jioni, anakwenda kitandani akiwa amechoka mno baada ya kukamilisha kupiga pasi na kuandaa chakula kwa ajili ya kaya hiyo ya watu 20.<\/p>\n<p>Mambo ni magumu hapa,&#8221; Sani aliiambia IPS. &#8220;Nilikuwa na fu&#341;aha kijijini, na pia nawakumbuka wenzangu tuliokuwa nao da&#341;asa moja.&#8221;<\/p>\n<p>Katika ha&#341;akati za kuhakikisha watoto wanaendelea kwenda shule, se&#341;ikali ya Nige&#341; na washi&#341;ika wake wa kiufundi na kifedha wamefungua migahawa ya muda kwa ajili ya wanafunzi katika maeneo yaliyoathi&#341;ika vibaya zaidi na mgogo&#341;o wa chakula.<\/p>\n<p>Lakini kuna watoto wengi wanakosekana katika shule ambazo tumefuatilia kupitia mikoa iliyoathi&#341;ika na njaa nchini Nige&#341;.<\/p>\n<p>&#8220;Kiasi kikubwa cha watoto walikosekana da&#341;asani mwezi Machi,&#8221; alisema Ali Moussa, mwalimu katika eneo la Goubdi, ambalo pia lipo katika mkoa wa Gou&#341;&eacute;. &#8220;Na wanafunzi hao bado hawaja&#341;ejea nyuma. Kutoka kile ambacho nimeweza kukisikia ni kwamba waliondoka na wazazi wao.&#8221;<\/p>\n<p>Lakini watoto wengi ambao walijiunga na uhamiaji huu wa ndani waliweza kuingia wenyewe katika miji kama ya Zinde&#341; na mji mkuu, Niamey, wakisaka aji&#341;a.<\/p>\n<p>Nimekuwa mjini Niamey kwa miezi mitatu,&#8221; alisema Hassane Issa, 15. &#8220;Baba yangu aliondoka kabla yangu. Mama, kaka zangu na dada walibakia kijijini. Familia yangu haina kitu cha kula. Kila wiki napeleka pesa kijijini kutokana na kile ninachoingiza kutokana na kung&#8217;a&#341;isha viatu.&#8221;<\/p>\n<p>Issa alisema anaingiza sawa na dola 46 kwa mwezi, ambapo hupeleka nyumbani dola zipatazo 34 kwa ajili ya familia yake.<\/p>\n<p>Aliiambia IPS kuwa hakutaka kuondoka nyumbani kwao kaskazini masha&#341;iki mwa Nige&#341; katika kijiji cha Daytagui, ambako alikuwa katika kidato cha tano kwenye shule ya sekonda&#341;i. &#8220;Nilitaka kuendelea na shule, lakini hilo halikuwezekana kwenda huku tumbo likiwa halina kitu,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>Sehemu ya magha&#341;ibi mwa Nige&#341; ni miongoni mwa maeneo yaliyoathi&#341;ika zaidi na uhaba wa chakula. Wiki tu baada ya mavuno, kaya nyingi zilikuwa taya&#341;i zimeshatumia kiasi chao kidogo cha akiba ya chakula. Familia nzima ziliondoka vijijini mwao kuja katika jiji kutafuta aji&#341;a.<\/p>\n<p>Wiza&#341;a ya kilimo inahusisha mavuno duni kutokana na ukame uliotokana na mvua za msimu wa mwaka 2011 kunyesha kwa kipindi kifupi, ikiwa ni pamoja na uha&#341;ibifu uliosababishwa na mazao kuliwa na nzige. Kwa mujibu wa takwimu kutoka wiza&#341;ani, uhaba wa nafaka kwa mwaka 2012 unafikia tani 500,000, asilimia 14 ya jumla ya mahitaji ya chakula katika taifa hilo lenye wakazi milioni 16.<\/p>\n<p>Utafiti wa se&#341;ikali wa Novemba 2011 uligundua kuwa zaidi ya wananchi wa Nige&#341; milioni 4.5 wanakabiliwa na uhaba wa chakula.<\/p>\n<p>Se&#341;ikali inakadi&#341;ia kuwa kiwango cha utapiamlo kwa watoto sasa kimevuka &#8220;hatua ya kushtua&#8221; katika mikoa saba kati ya nane nchini humo. Katika upande wa magha&#341;ibi, utapiamlo unasimamia katika asilimia 14, na kuka&#341;ibia asilimia 15 ambayo inatumika na Shi&#341;ika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa (UNICEF) kama hali ya dha&#341;ula.<\/p>\n<p>Kukimbia kwa watu kumepungua kwa kiasi kutokana na usambazaji wa chakula cha bu&#341;e unaofanywa na NGOs za kimataifa na vyama vya ndani tangu Feb&#341;ua&#341;i, na kutokana na kupungua kwa bei za vyakula vikuu. Se&#341;ikali ilianza usambazaji wa chakula mwezi Juni.<\/p>\n<p>&#8220;Uuzaji wa nafaka kwa bei iliyodhibitiwa na usambazaji wa chakula cha bu&#341;e, kulikoandaliwa na mamlaka &ndash; kwa msaada wa mashi&#341;ika ya kibinadamu &ndash; kumepunguza kasi ya uhamiaji. Kama siyo hivyo, ingewezekana kukuta shule zinabakia tupu bila wanafunzi,&#8221; Amadou Bouka&#341;i, mjumbe wa bodi ya shule ya Gou&#341;&eacute; , aliiambia IPS. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>Nige&#341;, Julai 30 (IPS) &ndash; Tangu Desemba 2011, mgogo&#341;o wa chakula nchini Nige&#341; umeshasababisha idadi kubwa ya wakazi kuyakimbia maeneo yao yenye uhaba wa chakula kwenda maeneo ya nchi yenye mavuno mazu&#341;i zaidi. Madha&#341;a ya kijamii ya wahamiaji hawa wa ndani ni makubwa, bila hata kuo&#341;odhesha jinsi yalivyovu&#341;uga elimu. Kwa mujibu wa Ofisi ya Umoja&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":924,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3883","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3883","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/924"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3883"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3883\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3883"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3883"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3883"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}