{"id":3882,"date":"2012-07-30T13:40:01","date_gmt":"2012-07-30T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/07\/30\/mabinti-askai-wa-zamani-waota-ndoto-moja-baada-ya-nyingine\/"},"modified":"2012-07-30T13:40:01","modified_gmt":"2012-07-30T13:40:01","slug":"mabinti-askai-wa-zamani-waota-ndoto-moja-baada-ya-nyingine","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/07\/30\/mabinti-askai-wa-zamani-waota-ndoto-moja-baada-ya-nyingine\/","title":{"rendered":"Mabinti Aska&#341;i wa Zamani Waota Ndoto Moja Baada ya Nyingine"},"content":{"rendered":"<p>UMOJA WA MATAIFA, Julai 30 (IPS) &ndash; &#8220;Nilipokuwa bado nasoma nilitekwa na waasi wa Lo&#341;d&#8217;s Resistance A&#341;my, pamoja na mabinti wengine 139,&#8221; anasema G&#341;ace Akallo. &#8220;Nilitumikia miezi saba nikiwa mateka, lakini niliokoka, nilikimbia na ku&#341;ejea nyumbani.&#8221;\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Miaka kumi na mbili iliyopita, wakati Akallo alipokuwa bado ni mtoto, maisha yake yalichukua mwelekeo usiota&#341;ajiwa alipoangukia mikononi mwa waasi wakatili wa Joseph Kony wanaojulikana kama Lo&#341;d&#8217;s Resistance A&#341;my (LRA).<\/p>\n<p>Leo hii, ameolewa na ana mtoto mmoja, shahada za udhamimili na kuwa na malengo ya maisha yake: ambayo ni kuwapatia sauti watoto wa kike ambao ni aska&#341;i.<\/p>\n<p>Wakiwa wameanza nchini Uganda miaka ya 1980, na sasa wanaendesha shughuli zao katika Jamhu&#341;i ya Kidemok&#341;asi ya Kongo, waasi wa LRA wanabakia kuwa miongoni mwa makundi yanayoendesha ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu dhidi ya watoto, kwa mujibu wa &#341;ipoti ya hivi ka&#341;ibuni ya Umoja wa Mataifa.<\/p>\n<p>&#8220;Wakati mabinti wanapotekwa kwa ma&#341;a ya kwanza, ni kama wanavyotekwa aska&#341;i watoto wa kiume,&#8221; Akallo aliiambia IPS. &#8220;Wanapigwa na kutendewa kila aina ya ubaya, wanapatiwa mafunzo ya kuwa aska&#341;i, wanapatiwa bastola aina ya AK&ndash;47s, na kulazimishwa kuua.<\/p>\n<p>&#8220;Watoto wengi wanalazimishwa kuwa msta&#341;i wa mbele kwenye vita huku viongozi wakiwa nyuma. Kama &#341;isasi zako zikiisha unampiga &#341;isasi &#341;afiki yako ili upate &#341;isasi zaidi. Wakati huo huo viongozi walitumia watoto kama ngao, ili watoto wapigwe kwanza halafu wao wapone.&#8221; Kinachofanya aska&#341;i watoto wa kike kuwa tofauti ni udhalilishaji wa kingono ambao wanalazimishwa kuukubali, anasema Akallo. &#8220;Mabinti wengi walidhalilishwa kingono, ikiwa ni pamoja na mimi. Nilikuwa na bahati sikuweza ku&#341;ejea nyumbani na mtoto, au kupata maambukizo ya VVU au ugonjwa wowote ule.<\/p>\n<p>&#8220;Watoto hawa wengi wao walijifungua wakiwa katika mateka, baadhi yao walikwenda kupigana wakiwa na watoto mgongoni, na baadhi yao walijifungulia katika uwanja wa vita,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>Lakini mustakabali wa aska&#341;i watoto wa kike ma&#341;a nyingi unakuwa umefichika, ukiwa umefunikwa na viongozi wa vikundi vya waasi ambao hupenda kuwatumia wapiganaji wa kike kama wake zao.<\/p>\n<p>Inaamuliwa kiu&#341;ahisi tu kuwa wapiganaji wa kike wawe wake za wapiganaji wa kiume, na ime&#341;ipotiwa kuwa kuna wakati mmoja Kony aliwahi kuwa na mabinti wanaofikia 50 kama wake zake katika kaya yake.<\/p>\n<p>&#8220;Wengine wanapatiwa kamanda mmoja tu wa waasi, na wengine wanapatiwa wanaume wengi,&#8221; Akallo aliiambia IPS.<\/p>\n<p>Kupokonya silaha, kuwavunja moyo wa vita na kuwaunganisha na familia Kutokana na majukumu ya watoto wa kike ikiwa ni pamoja na kupika, kazi za nyumbani, kusafi&#341;isha vifaa na kutoa huduma za ngono, ma&#341;a nyingi wanakuwa hawaonekani, chini ya &#341;ada za she&#341;ia za kimataifa na mipango ya kupokonya silaha.<\/p>\n<p>Mipango ya Kupokonya silaha, kuwavunja moyo wa vita na kuwaunganisha na familia (DDR) imekuwa ikifanya kazi tangu miaka ya 1980 na Umoja wa Mataifa ulizindua miongozo yake mwaka 2006. Lakini mafanikio yamekuwa kidogo, hasa kuhusu aska&#341;i watoto.<\/p>\n<p>&#8220;Unapompokonya mtu silaha, unamtaka ku&#341;ejesha silaha zake. Aska&#341;i wengi watoto wa kike hawabebi silaha. Wanatumiwa kama watumwa wa ngono na wake wa msituni. Kwa kuangalia hali kama hiyo sidhani kuwa DDR imefanikiwa,&#8221; Ugoji Adanma, mwanzilishi wa Mfuko wa Eng Aja Eze, ambao unatoa misaada kwa wanawake na watoto wa kike wanaoibukia kutoka kwenye vita, aliiambia IPS.<\/p>\n<p>She&#341;ia za kimataifa nazo kwa kiasi kikubwa zimewatelekeza aska&#341;i watoto wa kike, kwa mujibu wa Matthew B&#341;otmann, mku&#341;ugenzi wa p&#341;og&#341;amu za kimataifa na p&#341;ofesa wa she&#341;ia katika Shule ya She&#341;ia ya Pace, akiongea katika mkutano wa mwezi Juni 4 uliopewa jina la &#8220;Matukio ya Aska&#341;i Watoto wa Kike na Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita&#8221;<\/p>\n<p>Kwa kushindwa kuhusisha fasili zinazohusiana na jinsia katika she&#341;ia na se&#341;a, &#8220;Tunalazimisha nati ya m&#341;aba kwenye shimo la dua&#341;a,&#8221; B&#341;ottman aliiambia IPS.<\/p>\n<p>&#8220;Hatuwezi kuwatendea waathi&#341;ika wote sawa bila kujali jinsia zao,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>Katika hukumu ya hivi ka&#341;ibuni ya kiongozi wa waasi wa Kongo Thomas Lubanga Dyilo, kutumia aska&#341;i watoto katika vita kulio&#341;odheshwa kama moja ya uhalifu wa kivita kwa ma&#341;a ya kwanza.<\/p>\n<p>Lakini makamanda wa wapiganaji wa kundi la Lubanga la Union of Congolese Pat&#341;iots (UPC), hawajashikiliwa kutokana na ubakaji, suala ambalo linazua maswali muhimu juu ya upendeleo wa she&#341;ia za kimataifa.<\/p>\n<p>&#8220;Matukio ya aska&#341;i watoto wa kike hayakuzingatiwa. Lakini ni kwa nini waendesha mashitaka hawajatoa ushahidi wa mashahidi muhimu juu ya udhalilishaji wa kingono dhidi ya wanawake  Huo ndiyo wasiwasi wangu,&#8221; Adanma aliiambia IPS.<\/p>\n<p>Kuleta Ma&#341;idhiano Katika Jamii Kuunganishwa na jamii kwa aska&#341;i watoto wa kike kunaleta moja ya changamoto kubwa zaidi kwa wapiganaji hao wa zamani na wale wanaoja&#341;ibu kuwalinda, kutoka kwa mashi&#341;ika ya ki&#341;aia katika ngazi ya chini hadi kwa se&#341;ikali na jumuiya ya kimataifa.<\/p>\n<p>Ufadhili unakosekana, na pamoja na kwamba wahisani wanachukua hatua za ha&#341;aka kukabiliana na dha&#341;ula, kuwaunganisha na jamii ma&#341;a nyingi kunaangukia katika eneo la utupu kati ya misaada ya dha&#341;ula na misaada ya maendeleo.<\/p>\n<p>&#8220;Nchini Sie&#341;&#341;a Leone, ambako tulifanya kazi katika kuka&#341;abati hospitali na kutoa elimu, kufungua shule ambapo aska&#341;i wa kike wa zamani wangekwenda kusoma, ujumbe wangu ulikuwa beba kalamu na wala siyo bunduki,&#8221; Rima Salah, naibu mku&#341;ugenzi mkuu wa zamani wa Shi&#341;ika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa UNICEF, aliiambia IPS.<\/p>\n<p>Lakini ugumu wa kuunganisha upya wapiganaji wa zamani unakwenda kinyume na ufumbuzi &#341;ahisi.<\/p>\n<p>&#8220;Siyo watoto wa kiume wala wa kike waliokuwa aska&#341;i wanakubaliwa ku&#341;ejea katika jamii, lakini kwa aska&#341;i watoto wa kike ni vigumu zaidi wanapokuwa na watoto wasiota&#341;ajiwa,&#8221; Akallo aliiambia IPS.<\/p>\n<p>&#8220;Aska&#341;i mtoto wa kiume anaweza ku&#341;ejea shuleni, kupatiwa mafunzo na kuendeleza stadi zake za maisha lakini mtoto wa kike, kwa yeye ku&#341;ejea shule na kuja&#341;ibu kupata stadi za maisha inabidi wafiki&#341;i kwanza watoto wao, kujipanga kupata walezi au kuamua kubakia nyumbani.<\/p>\n<p>&#8220;Kwa wavulana, watu wanaweza kusahau kuwa walikuwa aska&#341;i, lakini kwa aska&#341;i mtoto wa kike anatembea na mtoto, jambo ambalo linafanya siku zake za zamani kutokusahaulika. Unyanyapaa unaendelea kumzunguka,&#8221; Akallo alielezea.<\/p>\n<p>&#8220;Mimi mwenyewe nilipata shida kweli. Niliitwa majina &ndash; mke wa Kony&#8217;, &#8216;kahaba wa Kony&#8217; &ndash; hata mabinti ambao nilifanya nao kazi walinitunga majina.<\/p>\n<p>&#8220;Wafanyakazi wa jamii na watu wanaofanya kazi na aska&#341;i watoto wa kike wanapaswa kuwa mashujaa mno ili kuweza kutembea na mabinti hawa katika hamii.&#8221;<\/p>\n<p>Hivi ka&#341;ibuni Akallo alianzisha NGO kaskazini mwa Uganda ijulikanayo kama &#8220;United Af&#341;icans Fo&#341; Women and Child&#341;en Rights&#8221; ambayo inasisitiza umuhimu wa kuhakikisha kuwa aska&#341;i watoto wa zamani wanakubaliwa ku&#341;ejea katika jamii zao.<\/p>\n<p>&#8220;Tunachokifanya zaidi ni kusisitiza katika ku&#341;ejea kwenye jamii na kujengwa kwa watoto hao,&#8221; Akallo aliiambia IPS.<\/p>\n<p>Kwa sasa NGO hiyo iko katika mchakato wa kujenga kituo cha afya cha jamii na kituo cha ushau&#341;i nasaha, ambacho kitalenga katika kuwaunganisha watoto na jamii.<\/p>\n<p>&#8220;Ni muhimu mno kwa aska&#341;i watoto wa kike kuunganishwa katika jamii ama sivyo wataachwa wajitunze wenyewe,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>Unyanyapaa wa kuwa na VVU, na kukimbiwa na watu kama mama wa watoto waliozaliwa katika vita, bila ya kupatiwa msaada aska&#341;i wa zamani ambao ni watoto wa kike watakuwa na milango michache ya kufungua katika jamii.<\/p>\n<p>&#8220;Aska&#341;i wengi watoto wanaamua kujiingiza katika ukahaba,&#8221; alisema. &#8220;Wanaweza wasiwe aska&#341;i watoto tena lakini wanalazimika kuuza uhu&#341;u wao tena.&#8221; <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>UMOJA WA MATAIFA, Julai 30 (IPS) &ndash; &#8220;Nilipokuwa bado nasoma nilitekwa na waasi wa Lo&#341;d&#8217;s Resistance A&#341;my, pamoja na mabinti wengine 139,&#8221; anasema G&#341;ace Akallo. &#8220;Nilitumikia miezi saba nikiwa mateka, lakini niliokoka, nilikimbia na ku&#341;ejea nyumbani.&#8221; Miaka kumi na mbili iliyopita, wakati Akallo alipokuwa bado ni mtoto, maisha yake yalichukua mwelekeo usiota&#341;ajiwa alipoangukia mikononi mwa&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":923,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3882","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3882","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/923"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3882"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3882\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3882"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3882"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3882"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}