{"id":3881,"date":"2012-07-30T13:40:01","date_gmt":"2012-07-30T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/07\/30\/kuibuka-tena-kwa-ugonjwa-wa-polio-nchini-nigeia\/"},"modified":"2012-07-30T13:40:01","modified_gmt":"2012-07-30T13:40:01","slug":"kuibuka-tena-kwa-ugonjwa-wa-polio-nchini-nigeia","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/07\/30\/kuibuka-tena-kwa-ugonjwa-wa-polio-nchini-nigeia\/","title":{"rendered":"Kuibuka Tena kwa Ugonjwa wa Polio Nchini Nige&#341;ia"},"content":{"rendered":"<p>LAGOS, Nige&#341;ia, Julai 30 (IPS) &ndash; Sunday Ode&#341;inde mwenye um&#341;i wa miaka kumi na mbili ameketi pembeni mwa ba&#341;aba&#341;a huku miguu yake yote miwili ikiwa imekunjamana na anaja&#341;ibu kuangalia ma&#341;afiki zake wakicheza mpi&#341;a katika mitaa ya Iwaya, kitongoji katika jiji la Lagos, Nige&#341;ia. Ni mchezo ambao ningependa kujiunga nao lakini siwezi.Ode&#341;inde alipata maambukizi ya polio akiwa mtoto mdogo. Pamoja na kuwa asilimia 90 ya maambukizi ya polio hayaonyeshi dalili kabisa, miguu ya Ode&#341;inde imepooza. Kwa sasa anaweza kutembea kwa kutumia magongo, ambayo anayahifadhi pembeni wakati akiangalia mchezo ukiendelea katika kiwanja cha mpi&#341;a ambacho siyo cha kudumu.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>&#8220;Naangalia wakicheza, lakini siwezi kucheza kwasababu ya hali yangu. Niliona baadhi ya watu kama mimi wakicheza mpi&#341;a kwa magongo kwenye televisheni kwa kutumia mikono yao. Ningependa kucheza kama wanavyocheza nikipata nafasi,&#8221; Ode&#341;inde anaiambia IPS.<\/p>\n<p>Wakati Ode&#341;inde alipokuwa mdogo mama yake, Aminat Jimoh, alimpeleka katika kliniki ya eneo lao kupata chanjo. Miongoni mwa chanjo alizopata ni ile ya matone kwa ajili ya polio (OPV), ambayo inapewa watoto wa chini ya miaka mitano.<\/p>\n<p>Kwa mujibu wa Mpango wa Kimataifa wa Kutokomeza Polio, wakati OPV inafanya kazi kwa kiasi kiukubwa dhidi ya aina tatu ya vizusi vya polio vijulikanavyo kama wild poliovi&#341;us (WPV), chanjo moja pekee huweza kutoa ulinzi kwa asilimia 50 ya wagonjwa. &#8220;Chanjo tatu zinatoa ulinzi kwa zaidi ya asilimia 95 ya wagonjwa. Ulinzi unadumu kwa muda m&#341;efu na pengine katika maisha yote.&#8221; Nchini Nige&#341;ia, watoto hupatiwa dozi tano za chanjo.<\/p>\n<p>Na kama ilivyo kwa mama wengi hapa katika taifa la Af&#341;ika Magha&#341;ibi, Jimoh, mfanyabiasha&#341;a asiyekuwa &#341;asmi, hakuendelea kumpeleka mtoto kupata chanjo kamili ya OPV kama inavyotakiwa.<\/p>\n<p>Anaiambia IPS kuwa wakati huo alikuwa nashughuli nyingi mno kuja&#341;ibu kutafutia familia yake kipato kiasi kwamba hakuona umuhimu wa kukamilisha dozi.<\/p>\n<p>&#8220;Inabidi kutunza familia yangu na biasha&#341;a yangu ilichukua muda wangu wote. Sikukumbuka kumpeleka kliniki kabisa kupata dozi zote za chanjo. Hilo lilikuwa kosa langu.<\/p>\n<p>&#8220;Tulianza kugundua hali yake alipofikisha um&#341;i wa miaka miwili, kwani Sunday alikuwa hawezi kutembea &#8230; na wakati huo tulimpeleka hospitali, lakini tulikuwa tumeshachelewa sana,&#8221; anasema.<\/p>\n<p>Mitizamo kama hii ni moja ya sababu ambazo zinafanya Nige&#341;ia kubakia kuwa moja ya nchi tatu, ikiwa ni pamoja na Pakistan na Afghanistan, ambazo bado zinakabiliwa na WPV.<\/p>\n<p>Tommi Laulajainen, afisa mkuu wa mawasiliano ya chanjo ya polio katika Shi&#341;ika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa (UNICEF) nchini Nige&#341;ia, anaiambia IPS kuwa katika maeneo yaliyoathi&#341;ika zaidi kama Bo&#341;no, Kano, Sokoto na Yobe, ambayo yote hayo yanapatikana kaskazini mwa nchi, mmoja kati ya watoto watatu wamepata chini ya dozi nne za OPV badala ya tano.<\/p>\n<p>Anaongeza kuwa muda ambao maafisa wa afya wanafika majumbani kutoa chanjo kwa watoto umepungua, na hivyo kusababisha kupungua kwa idadi ya watoto wanaopata chanjo ya OPV.<\/p>\n<p>&#8220;Watoto wanakosekana wakati wa kampeni za chanjo kutokana na sababu za kiuendeshaji na kijamii. Ratiba fupi ya chanjo ni sababu kuu ya hali ilivyo sasa nchini Nige&#341;ia,&#8221; anaelezea. Laulajainen anasema kuwa ifikapo Mei 2012 Nige&#341;ia ili&#341;ikodi matukio 32 ya WPV katika majimbo 10. Hii ni sawa na ongezeko kutoka matukio 16 ambayo yalijitokeza katika majimbo sita katika kipindi kama hicho mwaka 2011.<\/p>\n<p>&#8220;Nige&#341;ia inabakia kuwa nchi pekee yenye ugonjwa wa polio ba&#341;ani Af&#341;ika. Mwaka huu nchi hiyo ilichangia asilimia 90 ya mzigo wa ugonjwa wa polio Af&#341;ika na zaidi ya asilimia 50 ya matukio ya mwaka huu duniani kote yanapatikana Nige&#341;ia,&#8221; anasema.<\/p>\n<p>Kwa kuongeza, majimbo yasiyokuwa na ugonjwa huo kama vile Kaduna, kaskazini ya kati mwa Nige&#341;ia, na taifa la ji&#341;ani la Nige&#341; yameshaambukizwa tena ugonjwa huo mwaka 2012. Mpango wa Kutokomeza Polio Duniani unasema kuwa Nige&#341; itaendelea kuwa katika hata&#341;i ya kuambukizwa tena hadi Nige&#341;ia inaingilia kati kuondoa maambukizo ya WPV.<\/p>\n<p>Kwa mujibu wa Shi&#341;ika la Afya Ulimwenguni, kuendelea kushindwa kwa Nige&#341;ia kutokomeza polio kutasababisha vi&#341;usi hivyo kuenea katika mataifa ya ji&#341;ani, ambayo hapo kabla yalishatangazwa kuwa hayana polio. &#8220;Ikiwa mtoto mmoja tu ataambukizwa, watoto wote nchini kote wanakuwa katika hata&#341;i ya kupata vi&#341;usi vya polio. Mafanikio ya kutokomeza polio Af&#341;ika kunategemea kwa taifa lenyewe la Nige&#341;ia kukabiliana na vi&#341;usi hivyo,&#8221; inasema WHO.<\/p>\n<p>Hata hivyo, wachambuzi wanalaumu matukio ya polio kutokana na sababbu mbalimbali ikiwa ni pamoja na &#341;ushwa.<\/p>\n<p>D&#341;. Ola&#341;enwaju Ekunjimi, &#341;ais wa Chama cha Madakta&#341;i Wazawa katika Hospitali ya Chuo Kikuu cha Lagos, anasema &#341;ushwa inazuia uwezo wa Nige&#341;ia wa kukabiliana na maambukizo ya vi&#341;usi.<\/p>\n<p>&#8220;Rushwa katika mfumo mzima haita&#341;uhusu Nige&#341;ia kuondokana na polio ifikapo mwaka 2015. Nitashangaa kama lengo hilo litafikiwa kwa kuwepo kwa &#341;ushwa hii nchini.<\/p>\n<p>&#8220;Kila mmoja anataka kutengeneza fedha katika mfumo huo ikiwa wahisani wanaendelea kuingiza fedha kwenye mpango mzima. Kama se&#341;ikali inafikia lengo la kuutokomeza kabisa ugonjwa wa polio, fedha zitaacha kuja na watu wanaofaidika nazo watapoteza,&#8221; anasema Ekunjimi. Rais Goodluck Jonathan alizindua Kikundi Kazi cha Rais cha Kutokomeza Polio Machi 1 na kupatia kamati hiyo miezi 24 ya kutokomeza vi&#341;usi nchini Nige&#341;ia. Alitangaza kuongeza fedha za kampeni kutoka dola milioni 22 mwaka jana hadi milioni 30 mwaka 2012.<\/p>\n<p>UNICEF ilichangia dola milioni 15.14 za kutokomeza polio mwaka 2011. Se&#341;ikali za shi&#341;ikisho na za majimbo nchini Nige&#341;ia pia zimetangaza kuchukua hatua kutokomeza vi&#341;usi hivyo kuhakikisha taifa hilo linakuwa halina polio ifikapo mwaka 2015.<\/p>\n<p>Hata hivyo, Ekunjimi anapendekeza kuwa badala ya se&#341;ikali kuongeza fedha katika kutokomeza polio, inapaswa kuanzisha vituo vya afya ya msingi nchini kote ili watoto wachanga kupata chanjo dhidi ya ugonjwa huo wakiwa katika um&#341;i mdogo.<\/p>\n<p>&#8220;Unatakiwa kuwapata wakiwa wachanga katika vituo halafu kuendelea na chanjo kwa wale wa nje kupitia zoezi la chanjo la kila mwezi au kila baada ya miezi mitatu. Kwa njia hiyo polio itatokomezwa kabisa nchini Nige&#341;ia,&#8221; anasema.<\/p>\n<p>P&#341;ofesa Oyewole Tomo&#341;i, mtaalam wa vi&#341;usi na makamu mkuu wa zamani wa Chuo Kikuu cha Ibadan, kusini magha&#341;ibi mwa Nige&#341;ia, analaumu viongozi wote katika kada zote za se&#341;ikali kutokana na kuendelea kuwepo kwa polio nchini humo. Anasema kuwa polio inaweza kutokomezwa katika kipindi cha miaka mitatu kama viongozi wa nchi wanafanya kile wanachotakiwa kufanya.<\/p>\n<p>Tomo&#341;i aliwaambia washi&#341;iki katika Mkutano Mkuu wa 43 wa Sayansi wa Chama cha Madakta&#341;i wa Watoto nchini Nige&#341;ia katikati mwa Feb&#341;ua&#341;i kuwa kukosekana kwa mipango mizu&#341;i na utekelezaji kunatokana na udhaifu wa se&#341;a za se&#341;ikali ya Nige&#341;ia.<\/p>\n<p>Viongozi wahafidhina wa kidini pia wanalaumiwa kutokana na kuendelea kuwepo kwa vi&#341;usi. Mwaka 2003, katika jimbo la kaskazini la Kano, kiongozi wa Kiislam alipinga mpango wa chanjo ya polio, huku akidai kuwa ni njama za Magha&#341;ibi za kuwafanya watu wasiwe na kizazi. Pamoja na kwamba baadaye kiongozi huyo aliachana na madai yake hayo, alikuwa ameshachangia kwa kiasi kikubwa kukosekana kuaminiwa kwa chanjo hiyo.<\/p>\n<p>Kwa mujibu wa taa&#341;ifa kutoka katika mkoa huo, watoaji huduma wengi Waislam wanakataa kupeleka watoto wao kupata chanjo ya OPV. Wakati huo huo, UNICEF imepeleka timu ya wafanyakazi wa kujitolea kama wahamasishaji wa jamii kukabiliana na suala hilo. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>LAGOS, Nige&#341;ia, Julai 30 (IPS) &ndash; Sunday Ode&#341;inde mwenye um&#341;i wa miaka kumi na mbili ameketi pembeni mwa ba&#341;aba&#341;a huku miguu yake yote miwili ikiwa imekunjamana na anaja&#341;ibu kuangalia ma&#341;afiki zake wakicheza mpi&#341;a katika mitaa ya Iwaya, kitongoji katika jiji la Lagos, Nige&#341;ia. Ni mchezo ambao ningependa kujiunga nao lakini siwezi.Ode&#341;inde alipata maambukizi ya polio&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":922,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3881","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3881","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/922"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3881"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3881\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3881"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3881"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3881"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}