{"id":3880,"date":"2012-07-30T13:40:01","date_gmt":"2012-07-30T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/07\/30\/shule-za-kijani-zinazostahimili-kimbuga-nchini-madagasca\/"},"modified":"2012-07-30T13:40:01","modified_gmt":"2012-07-30T13:40:01","slug":"shule-za-kijani-zinazostahimili-kimbuga-nchini-madagasca","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/07\/30\/shule-za-kijani-zinazostahimili-kimbuga-nchini-madagasca\/","title":{"rendered":"Shule za Kijani, Zinazostahimili Kimbuga Nchini Madagasca&#341;"},"content":{"rendered":"<p>ANTANANARIVO, Julai 30 (IPS) &ndash; Mwaka huu, mvua kubwa za kimbuga hazikuonekana kutokuwa za kawaida kwa watoto wanaokwenda shule wa Ma&#341;olondo, kijiji katika wilaya ya F&eacute;n&eacute;&#341;ive&ndash;Est, kilomita zipatazo 450 kaskazini masha&#341;iki mwa Antanana&#341;ivo, mji mkuu wa Madagasca&#341;.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Mada&#341;asa mapya, yakiwa yamejengwa kwa msaada wa Shi&#341;ika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa (UNICEF), yamekuwa na maana kuwa wanafunzi wanaweza kujifunza bila kubughudhiwa na mvua na jua. Mada&#341;asa ya miti ambayo yamebomoka sasa yanatumiwa kama viwanja vya kuchezea.<\/p>\n<p>Angita, mwanafunzi wa da&#341;asa la tatu katika shule ya msingi mwenye um&#341;i wa miaka kumi na moja, alisema alikuwa anafu&#341;ahia majengo mapya.<\/p>\n<p>&#8220;Inavutia mno kusoma ndani ya mada&#341;asa mapya,&#8221; aliimbia IPS. &#8220;Jua halituchomi vibaya na mvua inaponyesha tunakuwa tumehifadhiwa vizu&#341;i.&#8221;<\/p>\n<p>Kwa mujibu wa Daniel Timme, mkuu wa mawasiliano wa UNICEF Madagasca&#341;, mapaa ya mada&#341;asa hayo yamebuniwa na kujengwa ili kufanya joto lisiwabughudhi.<\/p>\n<p>Angita anakumbuka miaka ya nyuma, baada ya majengo kuha&#341;ibiwa na kimbunga mwaka 2008. &#8220;Baada ya kimbunga, tulianza kujifunza katika mahema. Lakini yalikuwa na joto kali, na ma&#341;a zote nilikuwa nasinzia,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>&#8220;Halafu baadaye, upepo ulibomoa mahema. Maji yaliingia wakati wa mvua na mvua iligeuza kila kitu kuwa tope. Hivyo ikabidi ku&#341;udi nyumbani na ku&#341;ejea shule wakati wa maji&#341;a ya kiangazi.&#8221;<\/p>\n<p>Wazazi wame&#341;idhishwa pia na majengo mapya, ambayo yanaweza kustahimili kimbunga. F&eacute;n&eacute;&#341;ive&ndash;Est ni ukanda ambao unaathi&#341;ika na vimbunga ma&#341;a kwa ma&#341;a, na wazazi ma&#341;a nyingi wana wasiwasi kuhusu kupeleka watoto wao shule wakati wa msimu wa mvua. Tangu shule mpya ilipojengwa, wazazi zaidi wali&#341;uhusu watoto wao kwenda shule.<\/p>\n<p>&#8220;Wazazi hawana wasiwasi sasa, na tunaona ongezeko la idadi ya watoto walioandikishwa katika shule za msingi za umma,&#8221; chifu wa kijiji hicho, B&#341;uno Tsimitoa, aliiambia IPS.<\/p>\n<p>Kwa upande wa UNICEF, ambayo ilitoa dola zipatazo milioni 1.3 kwa ajili ya ujenzi katika Ma&#341;olondo na maeneo mengine 57 nchini kote Madagasca&#341;, m&#341;adi unakwenda zaidi ya kujenga mazingi&#341;a salama na yanayovutia kwa kusoma. Lengo pia ni kupunguza madha&#341;a ya ujenzi katika mazingi&#341;a wakati huo huo kufikia malengo ya Mpango wa Elimu kwa Wote.<\/p>\n<p>Madagasca&#341; inahitaji kujenga mada&#341;asa 3,000 kila mwaka hadi ifikapo mwaka 2015. Pamoja na hili, wiza&#341;a ya elimu inapaswa kujenga upya na kuka&#341;abati mada&#341;asa yapatayo 1,000 ambayo yaliha&#341;ibiwa na vimbunga kila mwaka, kwa mujibu wa UNICEF.<\/p>\n<p>&#8220;Fiki&#341;i madha&#341;a ya mazingi&#341;a kama matofali yaliyotumiwa katika ujenzi wote huu yangetenezwa kwa kutumia njia za jadi,&#8221; Timme aliiambia IPS. &#8220;Ili kujenga mada&#341;asa mawili tu unahitaji kutumia tofali za kuchoma 14,000, ambazo zinahitaji kuchoma kuni ambazo ni sawa na hekta moja ya msitu &ndash; na kutoa tani 200 ya gesi ukaa ya CO2 katika anga.&#8221;<\/p>\n<p>Na hivyo dhana ya shule ambazo ni &#341;afiki wa mazingi&#341;a imezinduliwa. &#8220;Inataka kutumika kwa mfumo ambao unakuza mbinu na vifaa vya ujenzi ambavyo vinaheshimu mazingi&#341;a,&#8221; Timme alisema.<\/p>\n<p>&#8220;Badala ya tofali za kuchoma, tunatumia tofali za udongo ambazo hazijachomwa, na vifaa vya kutengenezea tofali kama hizo vinapatikana vijijini,&#8221; Jacques Rama&#341;oson, m&#341;atibu wa NGO yenye dhamana ya kuendesha m&#341;adi wa ujenzi wa shule mjini Ma&#341;olondo, aliiambia IPS. &#8220;Tunaongeza tu kiasi kidogo cha udongo wa kichanga &ndash; na udongo kutumika kulingana na aina yake. Na hatuhitaji kuwa na sementi kujengea ukuta kwasababu matofali yanajifunga yenyewe.&#8221;<\/p>\n<p>Rama&#341;oson pia alisema kujenga na tofali hizo ni nafuu kwa asilimia 25 zaidi ikilinganishwa na tofali za jadi za kuchoma. Muda unaohitajika kujenga shule pia umepungua. &#8220;Majengo ya shule ya Ma&#341;olondo yalijengwa tu miazi mitatu iliyopita.&#8221;<\/p>\n<p>Kwa kuwa na majengo yake ya maja&#341;ibio katika mikoa yote saba ya kisiwa hicho, UNICEF pia inatumaini kujenga uwezo wa ndani na maa&#341;ifa na mbinu za jinsi ya kutengeneza vifaa, na kuwa mfano wa taasisi nyingine na biasha&#341;a zinazohusika katika ujenzi nchini Madagasca&#341;.<\/p>\n<p>Moja ya lengo la UNICEF taya&#341;i limeshafikiwa. &#8220;Makampuni binafsi ya ujenzi yameshaanza kutumia mchakato huo katika mikoa mingine,&#8221; alisema Rama&#341;oson, &#8220;wakati mafundi wa ndani wameshaanza kutengeneza mashine za kutoa tofali za udongo.&#8221; <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>ANTANANARIVO, Julai 30 (IPS) &ndash; Mwaka huu, mvua kubwa za kimbuga hazikuonekana kutokuwa za kawaida kwa watoto wanaokwenda shule wa Ma&#341;olondo, kijiji katika wilaya ya F&eacute;n&eacute;&#341;ive&ndash;Est, kilomita zipatazo 450 kaskazini masha&#341;iki mwa Antanana&#341;ivo, mji mkuu wa Madagasca&#341;. Mada&#341;asa mapya, yakiwa yamejengwa kwa msaada wa Shi&#341;ika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa (UNICEF), yamekuwa na&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":921,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3880","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3880","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/921"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3880"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3880\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3880"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3880"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3880"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}