{"id":3878,"date":"2012-07-30T13:40:01","date_gmt":"2012-07-30T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/07\/30\/kuwaejesha-katika-maisha-wakazi-wa-makazi-duni-nchini-uganda\/"},"modified":"2012-07-30T13:40:01","modified_gmt":"2012-07-30T13:40:01","slug":"kuwaejesha-katika-maisha-wakazi-wa-makazi-duni-nchini-uganda","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/07\/30\/kuwaejesha-katika-maisha-wakazi-wa-makazi-duni-nchini-uganda\/","title":{"rendered":"Kuwa&#341;ejesha Katika Maisha Wakazi wa Makazi Duni Nchini Uganda"},"content":{"rendered":"<p>KAMPALA, Julai 30 (IPS) &ndash; Ma&#341;a tu Sanyu Nagia anapoketi katika makazi yake Ba&#341;ba&#341;a Nami&#341;imu, anataka kuona mfuko wa dawa wa mgonjwa wake. Ni mzito mno kubebwa na Nami&#341;imu ambaye ni mgonjwa, hivyo mama yake, Ef&#341;ance Namakula, anautoa na kumkabidhi.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Umejaa madawa ya ku&#341;efusha maisha kwa wagonjwa wa UKIMWI, madawa ya kupambana na kifua kikuu, madawa ya kupunguza maumivu ya vidonda vya ngozi na kiasi kikubwa cha madawa mengine.<\/p>\n<p>Wakati Nagia akiangalia madawa hayo kuhakikisha kuwa Nami&#341;imu anayatumia kwa kufuata &#341;atiba, mgonjwa wake anampatia haba&#341;i mpya. Bado anahisi hana nguvu na hajisikii kula chakula. Jicho lake la kulia halifunguki lote. Lakini anajipa moyo, anatabasamu na kutoa utani. Anamwambia Nagia kuwa ana ndoto aliyoota usiku uliopita.<\/p>\n<p>&#8220;Ma&#341;a nyingine,&#8221; Nami&#341;imu anamwambia Nagia, &#8220;Siamini kuwa wewe ni mtu halisi.&#8221;<\/p>\n<p>Nagia ni mfanyakazi wa afya katika jamii katika Kituo cha Malezi cha Kawempe (KHC). Shi&#341;ika hilo linapatikana katika makazi duni ya Kawempe mjini Kampala, eneo lenye mzigo mkubwa zaidi wa magonjwa katika jiji, na linahudumia tak&#341;ibani wagonjwa wa VVU 1,200 katika eneo ambao pia wanatibiwa kifua kikuu na magonjwa ya sa&#341;atani. <\/p>\n<p>Wafanyakazi wa afya wa jamii 24 wanatembelea kitongoji hicho kila siku, kuwauliza kama watu wanahisi wanaumwa na kuwahamasisha kwenda kupata ushau&#341;i nasaha na kupima VVU. Kliniki pia inatoa madawa ya ARVs ikiwa ni pamoja na madawa mengine.<\/p>\n<p>Pia wanatembela wagonjwa kama Nami&#341;imu, ambao ni dhaifu mno kwenda kupata tiba katika ofisi zao. Nagia amekuwa akienda nyumbani kwa Nami&#341;imu kila Alhamisi tangu mgonjwa huyo mwenye um&#341;i wa miaka 26 alipojiunga na KHC mwezi Janua&#341;i. Wakati wa kumtembelea, Nagia anapata taa&#341;ifa mpya juu ya afya ya mgonjwa wake, anamsadia kufanya kazi za nyumbani na kufanya naye mazungumzo. <\/p>\n<p>Pamoja na kuugua kifua kikuu, VVU na maambukizi mengine ambayo yanazidi kupunguza kinga yake dhaifu, Nami&#341;imu alisema kuwa anajua anapata nafuu. Anaipongeza KHC, hasa Nagia, kutokana na kupata kwake nafuu.<\/p>\n<p>&#8220;Nilikuwa naka&#341;ibia kufa,&#8221; aliiambia IPS. &#8220;Sasa nime&#341;ejea katika maisha.&#8221; <\/p>\n<p>KHC itashe&#341;ehekea miaka yake mitano mwezi ujao. Mwaka 2007 ilianzishwa kuendeleza mpango wa se&#341;ikali wa upatikanaji wa tiba na upimaji wa VVU kwa wote. Ahadi ambayo haijawahi kufikiwa na mfumo wa afya wa taifa wenye matatizo ya kifedha.<\/p>\n<p>Huduma za upimaji na ushau&#341;i nasaha nchini Uganda zinatolewa bu&#341;e, ikiwa ni pamoja na ARVs. Lakini ni tak&#341;ibani asilimia 20 tu ya Waganda wanatambua afya zao kama wameambukizwa VVU, kwa mujibu wa &#341;ipoti ya ka&#341;ibuni zaidi ya mafanikio ya kupambana na VVU\/UKIMWI. Utafiti ulionyesha kuwa asilimia 6.7 ya watu wazima kati ya miaka 15 na 49 walikuwa wanaishi na VVU katika taifa hilo la Af&#341;ika Masha&#341;iki lisilokuwa na banda&#341;i.<\/p>\n<p>Ma&#341;a wagonjwa wa VVU wanapoingia katika mfumo wa afya wa se&#341;ikali, ambao unakosa nusu ya wafanyakazi wa afya wanaohitajika, kunakuwepo na pengo la kutoa ushau&#341;i nasaha.<\/p>\n<p>Kabla ji&#341;ani hajatoa taa&#341;ifa kwa KHC juu ya hali ya Nami&#341;imu, alikuwa akipata huduma kutoka kituo cha afya cha se&#341;ikali. Wafanyakazi wa afya hawajakutana naye ka&#341;ibu mwaka na wameshindwa kujua kama ana maambukizi ya kifua kikuu.<\/p>\n<p>Olive&#341; Nami&#341;imu (ambaye hana uhusiano na mgonjwa) ni meneja wa ida&#341;a ya jamii wa KHC. Aliiambia IPS kuwa watu wanaoishi katika eneo linalopatiwa huduma na KHC wanapatiwa huduma katika vituo vya afya vitatu vya se&#341;ikali, ikiwa ni pamoja na hospitali ya &#341;ufaa ya taifa.<\/p>\n<p>&#8220;Kama hawana uwezo wa kusafi&#341;i, kama ni wagonjwa sana, hawawezi kwenda kwenye vituo vya afya vya se&#341;ikali,&#8221; alisema. &#8220;Mashi&#341;ika haya yanapotembelea na kuhudumia maeneo kama Kawempe yanakuja kujaza pengo la huduma za se&#341;ikali.&#8221; <\/p>\n<p>Katika suala la Ba&#341;ba&#341;a Nami&#341;imu, hajawahi kufuatwa na kituo cha afya cha se&#341;ikali na hivyo akaanza kuwa dhaifu polepole. Wakati KHC ilipokutana naye, alikuwa dhaifu mno kuweza kusafi&#341;i mahali popote.<\/p>\n<p>Pamoja na kuwa hakuna kumbukumbu za takwimu za kitaifa za p&#341;og&#341;amu za wafanyakazi wa jamii, mashi&#341;ika kama ya KHC yanaweka baadhi ya kumbukumbu. Lakini bado hazitoshi kuziba pengo katika mfumo wa afya wa Uganda. <\/p>\n<p>Se&#341;ikali imetoa mafunzo na kuwezesha wanachama wa timu za vijiji 80,000 tangu mwaka 2002, lakini wanata&#341;ajiwa kushughulika na masuala mbalimbali katika ngazi ya juu. Mpango wa KHC unalenga katika suala la VVU, Kifua Kikuu na kansa, ikiwa ni pamoja na wafanyakazi wa tiba wenye mafunzo ambao wanaweza kutoa msaada.<\/p>\n<p>Hata hivyo, kazi wanayofanya haiwezi kufanyika kiu&#341;ahisi &#341;ahisi, kuzuia kuanzishwa kwa mashi&#341;ika kama hayo. KHC ina uwezo wa kuendesha shughuli zake kutokana na fedha za wafadhili na michango ya madawa kutoka se&#341;ikalini. Olive&#341; Nami&#341;imu alisema bado wanatafuta fedha za nyongeza kuziba pengo la mafao wanayopatiwa wafanyakazi wa jamii &ndash; dola zipatazo 33 kwa mwezi, ambazo hazihusishi gha&#341;ama za mafuta.<\/p>\n<p>Huduma wanazotoa ni za muhimu kwa maeneo kama Kawempe na maeneo mengine yenye wakazi wengi. Pia inaweza kuwa muhimu kwa maeneo ya vijijini, ambayo yana miundombinu michache mno ya afya. P&#341;og&#341;amu za afya zina uwezo wa kuanzisha mfumo wa kufuatilia wagonjwa. <\/p>\n<p>Eneo la Kawempe, ambalo limejaa vibanda vya bei nafuu, ni mfano wa maeneo yenye makazi ya muda mjini Kampala, huku kukiwa na wakazi wengi wanaotaka kuhamia katika maeneo yenye usalama zaidi wanapokuwa na fedha au kama wanakuwa na nafuu ya maisha.<\/p>\n<p>Wakati wa zia&#341;a ya hivi ka&#341;ibuni kwa jamii, kibanda cha mmoja wa wagonjwa aliokuwa akihudumia Nagia kilikuwa kimefungwa. Mtu ambaye alikuwa akiishi hapo alikuwa anaishi na VVU na Nagia alipitia ili kumpatia tiba yake ya maambukizi nyemelezi ya kifua kikuu. Kwa sasa Nagia anatakiwa kuja&#341;ibu kumfutilia huko aliko na kumshawishi kumaliza madawa anayotumia kama sivyo ana hata&#341;i ya kupata usugu.<\/p>\n<p>Timu ilizungumza na baadhi ya wakazi, ambao wameambiwa kupiga simu kama mgonjwa huyo ata&#341;ejea. Lakini bado wana wagonjwa wengine nane wa kutembelea, ili wasisubi&#341;i muda mwingi wa kusubi&#341;i a&#341;ejee.<\/p>\n<p>&#8220;Anajua hatutamwacha,&#8221; alisema Aidah Nanozi, mtaalam wa kliniki ambaye alikuwa akisafi&#341;i na Nagia. <\/p>\n<p>Ni kazi ngumu mno. Kasi ya &#341;atiba ya wafanyakazi wa afya wa jamii inaweza kuleta mafanikio, alisema Olive&#341; Nami&#341;imu wa KHC. <\/p>\n<p>&#8220;Wanaona mgonjwa mmoja anakufa, halafu mwingine anakufa, halafu mgonjwa mwingine hataki kumeza dawa zake, na mwingine anawakimbia. Hivyo, ma&#341;a nyingine wanakata tamaa.&#8221; <\/p>\n<p>Lakini hilo halijitokezi ma&#341;a kwa ma&#341;a, alisema. Watoaji wa ushau&#341;i nasaha katika KHC wako pale kuwapatia msaada watoaji huduma wa afya katika jamii na kuzungumza kuhusu ugumu wa kazi zao.<\/p>\n<p>Ben Kabo&#341;o aliiambia IPS kuwa baada ya wiki mbili tu kazini taya&#341;i anaelewa jinsi gani kazi inaweza kuwa ngumu. <\/p>\n<p>Mgonjwa wa zamani wa KHC, alisema kuwa mchanganyiko wa VVU na Kifua Kikuu umemwacha &#8220;kitandani&#8221; na &#8220;iliniumiza mimi mno.&#8221; Uzoefu wake na mfanyakazi wa kujitolea wa KHC, ambaye alimtunza hadi alipopata nafuu, ulimfanya kutaka kusaidia wengine kwa njia kama hiyo. <\/p>\n<p>Amemfunika Nagia kabla hajaanza kufanya kazi mwenyewe.<\/p>\n<p>&#8220;Sikutaka kuona wengine kupitia kile ambacho nimeptia,&#8221; alisema. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>KAMPALA, Julai 30 (IPS) &ndash; Ma&#341;a tu Sanyu Nagia anapoketi katika makazi yake Ba&#341;ba&#341;a Nami&#341;imu, anataka kuona mfuko wa dawa wa mgonjwa wake. Ni mzito mno kubebwa na Nami&#341;imu ambaye ni mgonjwa, hivyo mama yake, Ef&#341;ance Namakula, anautoa na kumkabidhi. Umejaa madawa ya ku&#341;efusha maisha kwa wagonjwa wa UKIMWI, madawa ya kupambana na kifua kikuu,&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":901,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3878","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3878","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/901"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3878"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3878\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3878"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3878"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3878"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}