{"id":3877,"date":"2012-07-30T13:40:01","date_gmt":"2012-07-30T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/07\/30\/tanzania-saccos-kupunguza-umaskini-wilayani-pangani\/"},"modified":"2012-07-30T13:40:01","modified_gmt":"2012-07-30T13:40:01","slug":"tanzania-saccos-kupunguza-umaskini-wilayani-pangani","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/07\/30\/tanzania-saccos-kupunguza-umaskini-wilayani-pangani\/","title":{"rendered":"TANZANIA: SACCOs Kupunguza Umaskini Wilayani Pangani"},"content":{"rendered":"<p>PANGANI, Julai 30 (IPS) &ndash; Umaskini ni adui namba moja nchini Tanzania. Kiongozi wa kwanza kutangaza vita dhidi ya umaskini ni Rais wa awamu ya kwanza hayati Julius Kamba&#341;age Nye&#341;e&#341;e, pale aliposema nchi inakabiliwa na maadui watatu ambao ni umaskini, ujinga na ma&#341;adhi.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Tangu wakati huo, se&#341;ikali mbalimbali zilizopokezana mada&#341;aka kwa awamu zimekuwa zikibuni mipango mbalimbali ya kuutokomeza umaskini. Na sasa nchi inaongozwa na se&#341;ikali ya awamu ya nne, ambayo dhami&#341;a yake ya kuutokomeza umaskini ilionekana tangu kipindi cha kampeni za kuingia mada&#341;akani pale mgombea wake wa U&#341;ais, Dk. Jakaya M&#341;isho Kikwete alipokuja na kaulimbiu ya &#8220;maisha bo&#341;a kwa kila Mtanzania&#8221;. <\/p>\n<p>Akisisitiza kuwa maisha bo&#341;a yataletwa na kila mwananchi, Rais Kikwete alisema wakati wa hotuba yake ya kwanza bungeni mjini Dodoma Disemba 30, 2005 &#8220;Maisha bo&#341;a kwa kila Mtanzania yanawezekana, kila mmoja wetu atimize wajibu wake&#8221;.<\/p>\n<p>Hata hivyo, pamoja na jitihada hizi takwimu zinaonyesha kuwa bado Tanzania ni moja ya nchi maskini zaidi duniani huku Watanzania wengi hasa waishio katika maeneo ya vijijini wakiendelea kuishi katika umaskini uliokithi&#341;i. Kwa mujibu wa Utafiti wa Bajeti katika Ngazi ya Kaya wa mwaka 2007, &#8220;asilimia 34 ya Watanzania, hasa katika maeneo ya vijijini, wanaishi chini ya umaskini wa kuweza kupata mahitaji yao ya lazima&#8221;.<\/p>\n<p>Ni hali hii ya umaskini ambayo imefanya wadau mbalimbali wa maendeleo kubuni njia za kuwanasua wananchi hasa wa vijijini kuondokana na janga hili. Moja ya wadau hao ni M&#341;adi wa Pwani wa Mpango wa Kusimamia Mazingi&#341;a na Rasilimali za Ukanda wa Pwani (TCMP&ndash;Pwani) ambao unaendesha shughuli zake za kutunza mazingi&#341;a kwa kubo&#341;esha maisha ya wananchi wa pwani ya Baha&#341;i ya Hindi.<\/p>\n<p>M&#341;adi huo unaofadhiliwa na Shi&#341;ika la Misaada ya Kimataifa la Watu wa Ma&#341;ekani (USAID) na kupata msaada wa kiufundi kutoka Kituo cha Rasilimali za Baha&#341;i cha Chuo Kikuu cha Rhode Island, unaendesha shughuli mbalimbali za utunzaji wa mazingi&#341;a kwa kubo&#341;esha vipato vya wananchi katika wilaya za Bagamoyo, Pangani na eneo la Ghuba ya Menai huko Zanziba&#341; ili kupunguza utegemezi mkubwa katika mazingi&#341;a na &#341;asilimali za pwani na baha&#341;i ambazo matumizi yake makubwa yatasababisha vizazi vijavyo kukosa u&#341;ithi wa &#341;asilimali hizo.<\/p>\n<p>Akizungumza hivi ka&#341;ibuni wakati wa mafunzo ya kubo&#341;esha utunzaji wa kumbukumbu wa vyama vya ushi&#341;ika vya kuweka na kukopa (SACCOs) katika vijiji vya Sange, Mwembeni na Ushongo wilayani Pangani, M&#341;atibu wa Kitengo cha Kujenga Uwezo wa Kiuchumi katika m&#341;adi wa TCMP&ndash;Pwani, Pat&#341;ick Kajubili alisema &#8220;Sababu kubwa zinazosababisha kuendelea kuha&#341;ibu mazingi&#341;a ya ukanda wa pwani ni umaskini. Na umaskini kwa kiasi kikubwa unatokana na kukosekana kwa mtaji.&#8221;<\/p>\n<p>Alisema kuwa TCMP&ndash;Pwani inaunga mkono jitihada za wananchi za kuweka na kukopa kwa ajili ya kujipatia mtaji kwa kutoa mbegu ya milioni moja na nusu. Baada ya miezi sita na kuonekana maendeleo ni mazu&#341;i inaongeza tena kiasi kama hicho cha fedha.<\/p>\n<p>Moja ya makundi yanayokabiliwa na umaskini mkubwa nchini ni wanawake. Takwimu zinaonyesha kuwa pamoja na wanawake kuwa msta&#341;i wa mbele katika kuendesha kaya nchini Tanzania, ndiyo wanaobeba mzigo mkubwa wa umaskini kuliko wenzao wanaume.<\/p>\n<p>TCMP&ndash;Pwani inalitambua hilo ndiyo sababu moja ya malengo yake ni kuhakikisha watu kutoka makundi maalum ya walemavu, wajane, yatima na wanaoishi na vi&#341;usi vya Ukimwi ambao wengi wao ni wanawake wanapewa kipaumbele cha kuongezewa mitaji wanapojiunga na SACCOs.<\/p>\n<p>&#8220;Nimefu&#341;ahi sana kuwa kati ya wanachama 40, wa SACCOs ya kijiji cha Mwembeni, 30 ni wanawake, huu ni ukombozi mkubwa sana kwa wanawake,&#8221; alisema Kajubili.<\/p>\n<p>Aliongeza kuwa katika kila kijiji TCMP&ndash;Pwani itasaidia watu 15 kutoka makundi maalum. Kwa kuwapatia mtaji watu kutoka makundi hayo itawasaidia kuanzisha shughuli za kujiingizia kipato ambazo ni &#341;afiki wa mazingi&#341;a na kupunguza mzigo kwa wananchi na uongozi wa kijiji kwani watu hawa wakianza kujitegemea wataweza kusaidia watoto wao, kuwasomesha na kuwapatia matumizi ya lazima.<\/p>\n<p>Akiongea katika kijiji cha Ushongo, Afisa Ushi&#341;ika wa Wilaya ya Pangani ambaye pia alikuwa mwezeshaji katika mafunzo ya siku tatu, Julius Chagama, alisema njia pekee ya kuwezesha watu wa kipato cha chini na hasa waliopo kijijini kuweza kupata maendeleo ni kujiunga na SACCOs. <\/p>\n<p>&#8220;Hakuna njia ya kumkomboa Mtanzania ila SACCOs,&#8221; alisema. &#8220;SACCOs iko katika msingi wa kishe&#341;ia &ndash; kama ikifuata she&#341;ia &ndash; itaweka kumbukumbu vizu&#341;i, itakaguliwa kila mwaka na kutengenezewa hesabu za mwisho yaani balance sheet na inakuwa na uwezo wa kukopa katika vyombvo vikubwa vya fedha&#8221;. <\/p>\n<p>Aliongeza kuwa taasisi za fedha zinatafuta jinsi gani ya kusaidia watu wa kijijini ambao mali zao hazija&#341;asimishwa, ila kupitia SACCOs ni &#341;ahisi kupata mikopo kutoka vyombo hivyo. Alisema kwa hali ilivyo sasa siyo &#341;ahisi kumpatia mtu chakula, unachotakiwa ni kumwezesha mtu ili ajisaidie mwenyewe. <\/p>\n<p>Akitoa mfano wa TCMP&ndash;Pwani alisema m&#341;adi unataka kusaidia makundi maalum ili badala ya kuwasaidia watu hao misaada, wanapatiwa mitaji kupitia SACCOs na pia kuwawezesha kujiwekea akiba na hivyo kushindwa kuwa tegemezi. Alitoa wito kwa Halmashau&#341;i ya Wilaya na mashi&#341;ika mengine kutambua kuwa hii ndiyo njia pekee ya kuwaondoa wananchi katika umaskini.<\/p>\n<p>Akizungumzia manufaa aliyoyapata kutokana na mafunzo hayo, mshi&#341;iki wa mafunzo na mwanachama wa SACCOs ya Mwembeni, Shuku&#341;a Mdoe Selemani alisema &#8220;Nilikuwa sijui kuwa nikiitoa hela yangu itakuwa salama, nilidhani italiwa na chama, lakini sasa nimeelewa. Nitazidi kuelimisha wale ambao hawakuhudhu&#341;ia juu ya umuhimu wa kujiunga na SACCOs&#8221;. <\/p>\n<p>Kwa upande wake, Mweka Hazina wa SACCOs hiyo iliyoanzishwa mwaka jana, Zuhu&#341;a Awadhi alisema &#8220;mafunzo yametusaidia sana, asilimia tisini ya wanachama hatukuwa tunajua umuhimu wa vyama hivi vya kuweka na kukopa. Sasa tunajua kuna umuhimu wa kuanzisha vyama ambavyo vitatuwezesha kupata misaada kutoka taasisi mbalimbali.&#8221;<\/p>\n<p>Alisema mtaji wa milioni moja na laki tano waliopatiwa na TCMP&ndash;Pwani utaongeza mtaji wao. Hii itawezesha kutoa mikopo kwa watu wengi zaidi kuliko ilivyokuwa hapo kabla.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>PANGANI, Julai 30 (IPS) &ndash; Umaskini ni adui namba moja nchini Tanzania. Kiongozi wa kwanza kutangaza vita dhidi ya umaskini ni Rais wa awamu ya kwanza hayati Julius Kamba&#341;age Nye&#341;e&#341;e, pale aliposema nchi inakabiliwa na maadui watatu ambao ni umaskini, ujinga na ma&#341;adhi. Tangu wakati huo, se&#341;ikali mbalimbali zilizopokezana mada&#341;aka kwa awamu zimekuwa zikibuni mipango&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":536,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3877","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3877","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/536"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3877"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3877\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3877"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3877"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3877"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}