{"id":3876,"date":"2012-06-27T13:40:01","date_gmt":"2012-06-27T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/06\/27\/zambia-vijini-wahofia-maji-kuwa-na-hatai-ya-magonjwa\/"},"modified":"2012-06-27T13:40:01","modified_gmt":"2012-06-27T13:40:01","slug":"zambia-vijini-wahofia-maji-kuwa-na-hatai-ya-magonjwa","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/06\/27\/zambia-vijini-wahofia-maji-kuwa-na-hatai-ya-magonjwa\/","title":{"rendered":"Zambia Vijini Wahofia Maji Kuwa na Hata&#341;i ya Magonjwa"},"content":{"rendered":"<p>LUSAKA, Juni 27 (IPS) &ndash; Bupe Bana&ndash;Victo&#341; ameishi katika wilaya ya Mwense katika Jimbo la Luapula kaskazini mwa Zambia kwa maisha yake yote. Na kwa upande wake, kuzungumzia maji ya Mto Luapula ni jambo la kawaida. Mto huo unapatikana mita 20 kutoka kijijini kwake na unapitia katika ukanda mzima kabla haujaungana na Mto Lualaba &ndash; tawi la Mto Kongo, ambao ni wa pili kwa ukubwa ba&#341;ani Af&#341;ika.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Akiwa katika um&#341;i wa miaka 45 hazina ya maa&#341;ifa juu ya taa&#341;ifa za mto huu wa asili zimejaa kichwa mwake. Anatambua kuwa katika mwezi wa kiangazi kati ya Mei na Oktoba unapungua hadi kufikia kiasi cha chini kabisa. Lakini mvua kubwa zinaponyesha mwezi Novemba, mto huo unafufuka kwa kiasi kikubwa na unajaa kama ilivyo chatu aliyeshiba vizu&#341;i. Mwezi Novemba, unamwaga maji katika kingo zake na kumwagika hadi ka&#341;ibu na milangoni mwa nyumba katika kijiji cha Nkonde, ambako anaishi Bana&ndash;Victo&#341;. Ni wakati ambapo wanawake katika kijiji wanaweza kuchota maji machafu ya mto kwa kufungua milango yao. Lakini kutumia mto kwa ajili ya maji ya kaya siyo chaguo kwa wale wanaoishi hapa. Ni chaguo lao la pekee kutokana na kijiji cha Nkonde, kama ilivyo kwa maeneo mengine ya Zambia vijijini, kukosa maji ya bomba. Shi&#341;ika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa linakadi&#341;ia kuwa watu wapatao milioni 4.8 kati ya milioni 13 nchini humo hawana maji salama ya kunywa. Shi&#341;ika hilo pia linakadi&#341;ia kuwa idadi ya wakazi nchini humo wapatao milioni 6.6, hawana vyoo bo&#341;a. Hata hivyo, kunywa maji ya mto siyo salama. Mto Luapula una hata&#341;i ya kueneza magonjwa kwani umejaa nzi weusi, ambao wanabeba vimelea wanaojukana kama &#8220;nematode&#8221; au minyoo wa dua&#341;a. Vimelea hawa wanapoenezwa kwa mwanadamu wanasababisha Ugonjwa wa Vikope unaoweza kusababisha Upofu. Mto Luapula pia una konono ambao hueneza ugonjwa wa Kichocho, ugonjwa ambao unasababisha ngozi kuwasha sana. Dalili nyingine ni pamoja na kuha&#341;a, homa, kutapika na kukojoa damu. Kama mama na bibi, Bana&ndash;Victo&#341; anajua hata&#341;i zote hizi. Lakini alikuwa na matumaini kuwa baada ya chama cha Pat&#341;iotic F&#341;ont (PF) kuchaguliwa kuingia mada&#341;akani Septemba 2011 kijiji chake hivi ka&#341;ibuni kitapatiwa maji safi ya kunywa. Katika kampeni za uchaguzi, Rais Michael Sata wa chama cha PF aliahidi kutoa pampu za mkono na vyoo vya jumuiya kwa wale ambao hawanavyo. Chama pia kiliahidi kuwa katika kipindi cha siku 90 za se&#341;ikali mpya, watu katika maeneo ya vijijini watapatiwa maji salama ya kunywa. Lakini sasa, ka&#341;ibu miezi tisa baadaye, Bana&ndash;Victo&#341; anashangaa kama ahadi hizo za kubadili maisha ya watu wanaoishi vijijini nchini Zambia zitaweza kufikiwa. Hata hivyo, P&#341;ofesa Nkandu Luo, wazi&#341;i wa se&#341;ikali za mitaa, elimu ya awali na mazingi&#341;a, ana matumaini kuwa se&#341;ikali yake itatekeleza ahadi hizo. &#8220;Uhaba mkubwa wa maji safi na vyoo ni lazima kushughulikiwa mapema kama Zambia inataka kubo&#341;esha maisha ya watu wake,&#8221; alisema. Luo aliiambia IPS kuwa se&#341;ikali imetenga dola milioni 360 ambazo zitatumika kubo&#341;esha vyanzo vya maji na vyoo katika maeneo ya mijini na vijijini katika kipindi cha miezi mitatu ijayo. Se&#341;ikali ina matumaini kutokomeza kabisa matumizi ya visima vifupi, chemichemi, mito, vijito na maziwa kwa ajili ya maji ya kunywa. Dola milioni ishi&#341;ini na nne zitatengwa kwa ajili ya Majimbo ya Luapula na Majimbo ya Kaskazini chini ya Mpango wa Usambazaji wa Maji na Huduma za Vyoo Vijjini, ambao unasambaza maji safi na huduma za vyoo katika maeneo ya vijijini. Victo&#341; Muyeba, mwanauchumi wa jamii katika &#8220;Devolution T&#341;ust Fund&#8221;, taasisi ya fedha ambayo inapokea ufadhili kutoka se&#341;ikalini kuwezesha utekelezaji wa huduma endelevu za maji na vyoo, ana imani kuwa wanawake wa Zambia wanastahili msaada. &#8220;Huwezi kuwa na usalama wa chakula bila ya kuwa na maji safi na salama. Maji yasiyokuwa salama yanaathi&#341;i afya ya watu. Yananyima wanawake na wasichana, ambao wanasambaza maji safi kwa kaya zao, na nishati ambazo wanaweza kutumia kwa ajili ya kubo&#341;esha usalama wa chakula,&#8221; Muyeba alisema. Lakini inaonekana kuwa se&#341;ikali mpya inachukulia kwa uzito juu ya kuwapatia wananchi wote maji safi. Katika bajeti ya se&#341;ikali ya mwaka 2012, ilitenga dola zipatazo milioni 30 kwa ajili ya kutoa maji safi na huduma za vyoo. &#8220;Dola zipatazo milioni 30 zimetengwa kama mchango wa se&#341;ikali katika sekta ya maji na vyoo bo&#341;a, na kuwakilisha ongezeko la asilimia 26.1 kutoka kiwango cha mwaka 2011. Fedha hizo zitatumika kubo&#341;esha upatikanaji wa maji safi na salama ya kunywa katika maeneo ya vijijini na kandokando mwa miji,&#8221; Wazi&#341;i wa Fedha na Mipango ya Kitaifa Alexande&#341; Chikwanda aliliambia bunge alipotangaza bajeti yake ya taifa Novemba 2011. Wakati huo huo, Bana&ndash;Victo&#341; ataendelea kuteka maji ya kunywa kutoka Mto Luapula. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>LUSAKA, Juni 27 (IPS) &ndash; Bupe Bana&ndash;Victo&#341; ameishi katika wilaya ya Mwense katika Jimbo la Luapula kaskazini mwa Zambia kwa maisha yake yote. Na kwa upande wake, kuzungumzia maji ya Mto Luapula ni jambo la kawaida. Mto huo unapatikana mita 20 kutoka kijijini kwake na unapitia katika ukanda mzima kabla haujaungana na Mto Lualaba &ndash;&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":763,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3876","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3876","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/763"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3876"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3876\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3876"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3876"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3876"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}