{"id":3875,"date":"2012-06-27T13:40:01","date_gmt":"2012-06-27T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/06\/27\/malawi-yageukia-nishati-ya-msumbiji\/"},"modified":"2012-06-27T13:40:01","modified_gmt":"2012-06-27T13:40:01","slug":"malawi-yageukia-nishati-ya-msumbiji","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/06\/27\/malawi-yageukia-nishati-ya-msumbiji\/","title":{"rendered":"Malawi Yageukia Nishati ya Msumbiji"},"content":{"rendered":"<p>LILONGWE, Juni 27 (IPS) &ndash; Ume&#341;udi tena, umesimama tena &#8230; ni haba&#341;i ya shi&#341;ika la ugavi wa umeme Malawi na m&#341;adi wa kuunganisha umeme ambao ungemaliza kukatika kwa umeme kutokana na kuingiza nishati hiyo kutoka Msumbiji. Malawi inatumia jumla ya megawati 300 za umeme kwa sasa, lakini nchi hiyo inazalisha megawati 266 tu. Benki ya Dunia inakadi&#341;ia maendeleo katika nchi ambayo Benki hiyo inasema ni asilimia nane tu kati ya wakazi millioni 14 wameunganishiwa umeme. Wiza&#341;a ya Nishati inakadi&#341;ia kuwa nchi itahitaji megawati 603 ifikapo mwaka 2015 na megawati 829 ifikapo mwaka 2020.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Jitihada za Kubo&#341;esha Ugavi wa Nishati Jitihada za Malawi za kubo&#341;esha ugavi wake wa nishati ziligonga mwamba mwezi Julai 2011kutokana na uamuzi wa Shi&#341;ika la Changamoto za Milenia (MCC), la se&#341;ikali ya Ma&#341;ekani kusitisha msaada kwa sekta ya nishati. Msaada wa dola milioni 350.7 ulikuwa na lengo la kuka&#341;abati na kubo&#341;esha mfumo wa umeme kwa kutunza na kuleta utulivu katika mfumo wa sasa, kubo&#341;esha uwezo wa mfumo wa usambazaji,na kuongeza ufanisi na uendelevu wa uzalishaji wa umeme wa maji wa ndani. Shi&#341;ika la MCC lilisema katika taa&#341;ifa yake kuwa lilitoa uamuzi huo wa kusitisha fedha kutokana na matumizi ya nguvu ya mamlaka ya se&#341;ikali ya Malawi katika kuzuia maandamano ya amani Julai 20 na 21 na kukandamiza uhu&#341;u wa haba&#341;i. Watu wapatao 21 waliuawa na wengine 275 walikamatwa katika maandamano yaliyoanzishwa dhidi ya Mutha&#341;ika kupinga uhaba wa mafuta wa ma&#341;a kwa ma&#341;a, uhaba mkubwa wa fedha za kigeni, kukatika kwa umeme kwa muda m&#341;efu na kwa ma&#341;a kwa m&#341;a, na uhaba wa maji. Kituo cha kuzalisha umeme wa maji nchini Malawi cha Shi&#341;e, mto mkubwa kuliko yote nchini humo, kimeandamwa na kujaa kwa mchanga na vifaa vilivyochakaa, na hivyo kusababisha ugavi wa umeme katika taifa hilo la Kusini mwa Af&#341;ika kutokuaminika. Kukatika kwa umeme kwa kila siku kunaweza kudumu hadi masaa sita na makampuni makubwa na madogo yanakabiliwa na kukatika huko kwa umeme. &#8220;Siwezi kusubi&#341;i hadi hali itakapokuwa nzu&#341;i. Ninaweka matumaini kwenye mpango mpya na Msumbiji,&#8221; alisema Judith Chilika, ambaye anaendesha saluni na mgawaha katika mji mkuu wa Malawi, Lilongwe. Aliiambia IPS kuwa biasha&#341;a zimeathi&#341;ika kwa kiasi kikubwa kutokana na kukatika huko. &#8220;Ilinibidi kufunga mgahawa na saluni kwa kipindi ki&#341;efu kutokana na kukatika kwa umeme. Siwezi kumudu kuendesha jene&#341;eta kwa kipindi ki&#341;efu, kwasababu mafuta ni ya ghali na kumekuwa pia na uhaba wa nishati ya mafuta kwa kipindi ki&#341;efu sasa,&#8221; alisema Chilika. Wakati huo huo nishati inapatikana kwa wingi ukivuka mpaka kuingia Msumbiji. Bwawa kubwa la Caho&#341;a&ndash;Bassa lilijengwa mwaka 1974 na linazalisha umeme siyo tu kwa Msumbiji lakini pia ji&#341;ani Af&#341;ika Kusini. Pendekezo la mwaka 2008 &ndash; likiungwa mkono na msaada wa Benki ya Dunia wa dola milioni 200 &ndash; kununua umeme kutoka Caho&#341;a&ndash;Bassa limekabiliwa na ucheleweshwaji kadhaa. Mwaka jana mpango huo ulionekana kusitishwa kabisa, wakati se&#341;ikali ya Malawi ilipotoa sababu za gha&#341;ama kubwa. Lakini se&#341;ikali ya Malawi ya sasa ikiongozwa na Joyce Banda &ndash; ambaye alitwaa mada&#341;aka siku tatu baada ya Rais Bingu wa Mutha&#341;ika kufa&#341;iki dunia kutokana na ma&#341;adhi mwezi Ap&#341;ili&ndash; amechukua hatua ya ha&#341;aka kufufua m&#341;adi huo. Mwezi Mei 12, se&#341;ikali ya Banda ilisaini mkataba wa makubaliano na Msumbiji ili kuendeleza mpango huo wa nishati. Mpango wa kuunganisha umeme unaendana moja kwa moja na msisitizo wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Af&#341;ika juu ya kushi&#341;ikiana katika suala zima la maji &ndash; na hivyo kukuza ushi&#341;ikiano kwa ajili ya maendeleo endelevu, na kukuza ajenda ya SADC ya ushi&#341;ikiano wa kikanda na kupunguza umaskini. Ushi&#341;ikiano katika nishati ni moja ya mikakati inayotumiwa na Itifaki ya Kugawana Rasilimali Maji ya mwaka 2003, ambao unasaidia maendeleo ya pamoja, usambazaji na uhaba wa nishati kufikia upatikanaji wa ma&#341;a kwa ma&#341;a, maendeleo ya kiuchumi na mgawanyo sawa wa gha&#341;ama na faida miongoni mwa nchi zinazotumia bonde hilo. &#8220;Malengo makuu ya itifaki ni kukuza ushi&#341;ikiano wa ka&#341;ibu na wa u&#341;atibu wa usimamiaji na kulinda na kutumia vizu&#341;i maji na kukukuza ajenda ya SADC,&#8221; Lopi aliiambia IPS. Wananchi wa Malawi wana matumaini lakini wanachukua tahadha&#341;i juu ya haba&#341;i za ku&#341;ejea kwa m&#341;adi huo. &#8220;Tuna matumaini kuwa tutakuwa na nishati inayopatikana ma&#341;a kwa ma&#341;a ambayo itakuza kazi zetu za viwanda na kusaidia kubo&#341;esha uchumi wa Malawi na kupunguza umaskini nchini,&#8221; alisema John Kapito, mku&#341;ugenzi mtendaji mkuu wa Chama cha Walaji cha Malawi, chombo chenye ushawishi zaidi kinachosimamia haki za walaji nchini humo. Kapito alisema kuwa uhaba wa nishati lazima ukomeshwe kama nchi inataka ku&#341;ejea katika mafanikio yake ya kiuchumi. &#8220;Makubaliano ni tumaini letu kubwa,&#8221; Kapito aliiambia IPS. Lakini walaji wenye matumaini na wafanyabiasha&#341;a wanapaswa kusubi&#341;i ili undani wa makubaliano hayo kukamilishwa, kwa mujibu wa Cassim Chilumpha, wazi&#341;i wa nishati nchini humo. Chilumpha aliliambia Bunge wiki hii kuwa timu ya ufundi bado haijapelekwa Msumbiji kukamilisha mchakato. &#8220;Tutaja&#341;ibu kad&#341;i inavyowezekana kuongeza kasi ya mchakato ili tuweze kuanza kufaidika na mkataba mpya mapema inavyowezekana,&#8221; alisema. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>LILONGWE, Juni 27 (IPS) &ndash; Ume&#341;udi tena, umesimama tena &#8230; ni haba&#341;i ya shi&#341;ika la ugavi wa umeme Malawi na m&#341;adi wa kuunganisha umeme ambao ungemaliza kukatika kwa umeme kutokana na kuingiza nishati hiyo kutoka Msumbiji. Malawi inatumia jumla ya megawati 300 za umeme kwa sasa, lakini nchi hiyo inazalisha megawati 266 tu. Benki ya&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":708,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3875","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3875","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/708"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3875"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3875\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3875"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3875"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3875"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}