{"id":3874,"date":"2012-06-27T13:40:01","date_gmt":"2012-06-27T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/06\/27\/kugawana-maji-ya-kusini-mwa-afika\/"},"modified":"2012-06-27T13:40:01","modified_gmt":"2012-06-27T13:40:01","slug":"kugawana-maji-ya-kusini-mwa-afika","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/06\/27\/kugawana-maji-ya-kusini-mwa-afika\/","title":{"rendered":"Kugawana Maji ya Kusini mwa Af&#341;ika"},"content":{"rendered":"<p>HARARE, Juni 27 (IPS) &ndash; Itifaki ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Af&#341;ika ya kugawana maji inatambulika kuwa bo&#341;a kabisa duniani. Lakini mikataba bo&#341;a ya kusimamia maji endelevu na kwa usawa inahitaji njia bo&#341;a za utekelezaji.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Maafisa wa maji kutoka mataifa ya Kusini mwa Af&#341;ika wanakutana mjini Ha&#341;a&#341;e, Zimbabwe, kuanzia Juni 5&ndash;6 kuandaa mfumo wa kufuatilia utekelezaji wa mkataba wa kikanda. Itifaki ya Kugawana Maji ya SADC ya mwaka 2003 inasisitiza bonde zima kusimamia maji yanayovuka mipaka, badala ya kusisitiza maji kusimamiwa na nchi moja moja. Inaelezea maana ya usimamiaji bo&#341;a wa maji ikiwa ni pamoja na usimamiaji unao&#341;atibiwa vema, matumizi endelevu na utunzaji wa mazingi&#341;a. Mashi&#341;ika ya bonde la mto ambayo yanafanya mkutano wao wa tano mjini Ha&#341;a&#341;e yana kazi ya kukuza matumizi ya usawa, kuweka mikakati ya kuendeleza maji yanayotumika kwa pamoja katika mito, maziwa, na kuendeleza se&#341;a kwa ajili ya kufutilia maji hayo. Kwa miaka mingi imetabi&#341;iwa kuja kutokea vita kugombania maji; na hivi ka&#341;ibuni zaidi Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Ku&#341;ugenzi ya Upelelezi wa Kitaifa ilisema vita kama hivyo vitazuka katika muongo ujao. Lakini pamoja na kuwa maenepo mengi katika kanda taya&#341;i yanakabiliwa na matatizo ya maji, SADC inata&#341;ajia vyanzo vyake vingi vya maji yanayovuka mipaka kuwa msingi wa ushi&#341;ikiano wa ka&#341;ibu badala ya kusababisha vita. &#8220;Wanasema vita vijavyo vitapiganiwa kutokana na kugombea maji,&#8221; Dk Kenneth Msibi aliimbia IPS mjini Ha&#341;a&#341;e, &#8220;lakini katika mikataba hii, tunahakikisha kuwa maji badala yake yatakuwa chombo cha kuleta amani.&#8221; Msibi, mtaalam wa se&#341;a na mikakati ya maji katika Sek&#341;eta&#341;ieti ya SADC, alisema sekta ya maji ni muhimu katika kujenga ushi&#341;ikiano wa kikanda. &#8220;Ushi&#341;ikiano pia utasababisha mshikamano zaidi na maji ni injini ya maendeleo na hii ina maana kuwa chombo cha kupunguza umaskini. Hii ina maana kuwa itifaki hizi za kugawana maji ni muhimu kwa ushi&#341;ikiano wa kikanda.&#8221; Msibi ana imani kuwa kusimamia mabonde ya maji ya pamoja ikiwa ni pamoja na kanuni za kuunganisha &#341;asilimali maji za pamoja &ndash; kutambua kuwa usimamiaji wa maji unahusu malengo ya kijamii na kiuchumi, na kunapaswa kushi&#341;ikisha watunga se&#341;a na watumiaji &ndash; kuchangia katika malengo makuu matatu ya SADC: ushi&#341;ikiano wa kikanda, amani na utulivu, na kupunguza umaskini. Sipho Nkambule, afisa mtendaji mkuu wa Mamlaka ya Bonde la Komati, ambalo lina&#341;atibu usimamiaji wa mfumo wa mto ambao unakatiza Af&#341;ika Kusini, Swaziland na Msumbiji, alisema atatumia mkutano wa Ha&#341;a&#341;e kama nafasi ya kulinganisha maandiko ya jinsi gani mamlaka nyingine za mito zinafuatilia utekelezaji. Alisema changamoto kubwa ni kuelezea usimamiaji wa maji ya pamoja kwa watu wanaoishi katika kingo za mito. &#8220;Watu wanapata shida kuelewa ni kwa nini wanatakiwa kutumia pamoja &#341;asilimali za maji,&#8221; Nkambule alisema. &#8220;Wale wa mto unakoanzia hawapendi ku&#341;uhusu maji kupita, kwani wanataka kutumia yote kwa ajili ya mahitaji yao wenyewe.&#8221; Se&#341;gio Sitoe, Katibu Mtendaji Mkuu wa muda wa LIMCOM, Tume ya Mto Limpopo, alisema alikuwa na matumaini kuwa chombo kipya cha ufuatiliaji kingesisitiza katika mawasiliano miongoni mwa nchi wanachama wanaotumia pamoja bonde la mto huo. &#8220;Nchi wanachama wanapaswa kupeana taa&#341;ifa juu ya mi&#341;adi ya maendeleo katika bonde, kwani kupeana taa&#341;ifa ni muhimu na kushindwa kufanya hivyo kunaweza kujenga matatizo katika eneo la chini ya mto na kunaweza kuathi&#341;i wanachama vibaya,&#8221; alisema. Akitoa mfano, Sitoea alitaja malalamiko ya ka&#341;ibuni ambapo se&#341;ikali ya Botswana waliona nchi ji&#341;ani ya Af&#341;ika Kusini ilipaswa kutoa taa&#341;ifa &#341;asmi kabla ya kuanza kufanya maendeleo katika bonde la mto huo. Mkuu wa LIMCOM alisema wakati mikataba ya kikanda ili&#341;uhusu migogo&#341;o yoyote kupelekwa kwa Mahakama ya Usuluhishi ya SADC, kuna idadi kubwa ya migogo&#341;o ambayo imekuwa ikijadiliwa katika milango iliyofungwa. &#8220;Ni vizu&#341;i kuwa tunaja&#341;ibu kuzuia migogo&#341;o hii,&#8221; Sitoe alisema, &#8220;na tunajenga uaminifu ili kwamba kila kitu kiende vizu&#341;i.&#8221; Viongozi kutoka katika maeneo mbalimbali ya kanda wanakubali kuwa utekelezaji wa Itifaki ya Kugawana Maji ya mwaka 2003 utakuza amani na utulivu katika kanda. Msibi alisema mkutano wa mashi&#341;ika ya mabonde ya mito &ndash; ambao ulika&#341;ibisha wanachama wake wote wa Tume ya Bonde la Mto Zambezi, ambayo mkataba wake kuanzishwa kwake kuli&#341;idihiwa Septemba mwaka jana &ndash; ulikuwa na lengo la kutoa mwomgozo na kufikia katika kile kitakachotumika kama kiashi&#341;ia na jinsi gani hii inaweza kutumika katika mifumo mingine ya mito inayovuka mipaka katika kanda. &#8220;Tunachukua maoni ya wadau, tutajadili chombo cha viashi&#341;ia ili kufuatilia mafanikio,&#8221; Msibi alisema. &#8220;Mkataba huu unaweza kufungua fu&#341;sa za nchi wanachama, na unajenga fu&#341;sa kwa nchi wanachama kufanya kazi pamoja kukuza uchumi wao,&#8221; alisema. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>HARARE, Juni 27 (IPS) &ndash; Itifaki ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Af&#341;ika ya kugawana maji inatambulika kuwa bo&#341;a kabisa duniani. Lakini mikataba bo&#341;a ya kusimamia maji endelevu na kwa usawa inahitaji njia bo&#341;a za utekelezaji. Maafisa wa maji kutoka mataifa ya Kusini mwa Af&#341;ika wanakutana mjini Ha&#341;a&#341;e, Zimbabwe, kuanzia Juni 5&ndash;6 kuandaa mfumo wa&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":920,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3874","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3874","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/920"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3874"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3874\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3874"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3874"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3874"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}