{"id":3873,"date":"2012-06-27T13:40:01","date_gmt":"2012-06-27T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/06\/27\/hakuna-cha-kuonyesha-kutokana-na-kazi-nzui-ila-mahindi-yaliyokauka\/"},"modified":"2012-06-27T13:40:01","modified_gmt":"2012-06-27T13:40:01","slug":"hakuna-cha-kuonyesha-kutokana-na-kazi-nzui-ila-mahindi-yaliyokauka","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/06\/27\/hakuna-cha-kuonyesha-kutokana-na-kazi-nzui-ila-mahindi-yaliyokauka\/","title":{"rendered":"Hakuna cha Kuonyesha Kutokana na Kazi Nzu&#341;i Ila Mahindi Yaliyokauka"},"content":{"rendered":"<p>BULAWAYO, Juni 27 (IPS) &ndash; Ge&#341;t&#341;ude Mkoloi anaendesha maisha yake kwa kuvuna mahindi katika shamba lake dogo katika eneo la kijijini nchini Zimbabwe. Akiwa katika kijiji cha mbali kabisa cha Binga, zaidi ya kilomita 400 kutoka mji mkuu wa pili kwa ukubwa wa Bulawayo, Mkoloi alikodolea macho mazao yake ya mahindi, ambayo yamekauka kwa jua wakati wa maji&#341;a yaliyopaswa kuwa ya mvua.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>&#8220;Hiki ndicho ambacho nimepata kutokana na nguvu zangu,&#8221; alisema, huku akionyesha mashina ya mahindi yaliyokauka ambayo hayajatoa hata mbelewele. &#8220;Hakuna anayetumbua juu ya kupanga msimu wa kupanda, lakini tunachojua ni mabadiliko ya hali ya mvua,&#8221; alisema. Ni malalamiko ya kawaida miongoni mwa wakulima wanawake katika taifa hilo la kusini mwa Af&#341;ika, kwani sehemu kubwa ya kilimo inaendelea kutegemea mvua. Kwa mujibu wa Ida&#341;a ya Huduma za Hali ya Hewa, mvua zimepungua nchini kote, wakati ambapo joto limepanda katika miaka michache iliyopita. Na hii imekuwa na maana kuwa misimu ya kilimo iliyozoeleka imebadilika. Wanawake vijijini, ambao kwa mujibu wa Wiza&#341;a ya Kilimo ni zaidi ya asilimia 70 ya wakulima wa chakula hapa, wamekabiliwa na kushuka kwa mavuno katika miaka ya ka&#341;ibuni kutokana na kubadilika kwa kiasi kikubwa kwa hali ya mvua. Mwezi Ap&#341;ili, Wazi&#341;i wa Kilimo Joseph Made alitangaza kuwa mavuno ya mahindi yamepungua kwa asilimia 26, kutokana na mvua duni. Na se&#341;ikali ilishatoa tahadha&#341;i kuwa uhaba wa chakula unaweza kusababisha vifo. Katika taifa jingine la kusini mwa Af&#341;ika, Angola, mamilioni wanakabiliwa na uhaba mkubwa wa chakula kutokana na ukame uliodumu kwa kipindi ki&#341;efu na kuha&#341;ibu mazao na kuua mifugo katika miezi mitatu ya mwanzo wa mwaka huu. Hadi watoto 500,000 wanadhaniwa kuugua utapiamlo mkali uliosababishwa na kupungua kwa uzalishaji wa chakula. Na hali inawezekana kuwa mbaya zaidi. Shi&#341;ika la Kilimo na Chakula la Umoja wa Mataifa limetabi&#341;i kuwa mabadiliko ya tabia nchi yatasababisha kupungua kwa mavuno katika Af&#341;ika Kusini mwa Jangwa la Saha&#341;a kwa asilimia 20 na 50 ifikapo mwaka 2050. Lakini wakulima wadogo wadogo wanawake kama Mkoloi, ambaye kwa mujib u wa Muungano wa Mapinduzi ya Kijani Af&#341;ika ni zaidi ya asilimia 70 ya wakulima katika ba&#341;a hilo, hawana ufahamu juu ya masuala ya mabadiliko ya tabia nchi. Na kuna jitihada chache au hakuna kabisa kutoka se&#341;ikali ya Zimbabwe kuwasaidia wanawake hawa. Hazel Gumpo, mkulima mdogo mwanachama wa Chama cha Wakulima wa Biasha&#341;a Zimbabwe na mwanaha&#341;akati wa jinsia, alisema kuwa kuna mambo mengi ya kufanyika kuelimisha wanawake hawa kuhusu mabadiliko ya tabia nchi. &#8220;Hakuna shaka katika mawazo yangu kuwa wanawake wanalisha taifa kupitia shughuli zao za mashambani. Lakini kuna ufahamu mdogo sana au hakuna kabisa kwetu sisi kuelewa na kushughulikia madha&#341;a ya mabadiliko ya tabia nchi,&#8221; Gumpo alisema. Hii ndiyo sababu kuna wito unazidi kutolewa kutaka mataifa ya kusini mwa Af&#341;ika kuingiza suala la jinsia katika se&#341;a za mabadiliko ya tabia nchi. Gende&#341; Links, shi&#341;ika lisilokuwa la kise&#341;ikali kusini mwa Af&#341;ika ambalo linapigania usawa wa kijinsia, lina mipango ya kutetea kupitishwa kwa andiko lililopelekwa kwa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Af&#341;ika (SADC) kuingizwa kwenye Itifaki ya Jinsia na Maendeleo ya jumuiya hiyo. Itifaki hiyo ni chombo cha kikanda ambacho kinakuza usawa wa kijinsia na haki za wanawake. Wakati itifaki haihitaji mabadiliko ya tabia nchi, ina vifungu ambavyo vinaweza kutumika kukuza ajenda ya haki ya mabadiliko ya tabia nchi. Kwa mfano, Vifungu vya 12 na 13 vinahusu utawala na kutoa uwakilishi sawa wa wanawake katika nyanja zote za utoaji wa maamuzi. Ufunguzi wa itifaki unaelezea haja ya kutokomeza kukosekana kwa usawa wa kijinsia katika kanda na kukuza &#8220;upatikanaji kamili na wa usawa wa haki za wanawake&#8221; na Gende&#341; Links inasema kuwa mahitaji kama hayo yanaweza kupiganiwa katika suala zima la mjadala wa mabadiliko ya tabia nchi. &#8220;Sauti za wanawake na maslahi yao zinahitaji kutolewa kwa nguvu katika utungaji wa se&#341;a za mabadiliko ya tabia nchi, suala ambalo ni muhimu kwani wanakabiliwa zaidi na mabadiliko ya tabia nchi kutokana na majukumu yao ya kijamii,&#8221; Gende&#341; Links inasema. Matumaini yangu ni kuwa andiko hilo litapitishwa na Mkutano wa Kilele wa Wakuu wa SADC nchini Msumbiji mwezi Agosti. Andiko la mabadiliko ya tabia nchi litafanya wanawake kupatiwa uwezo wa maa&#341;ifa, hasa katika maeneo ya vijijini. Na ni jambo ambalo linahitajika mno katika ukanda huu, wanasema wachambuzi. &#8220;Bado kuna kazi kubwa mno ya kufanyika kuwapatia uwezo wanawake wa kijijini katika kanda hii,&#8221; alisema Nonhlanhla Siziba, mtafiti wa se&#341;a za jinsia mjini Bulawayo. &#8220;Angalau kupitisha se&#341;a za jinsia katika mabadiliko ya tabia nchi kukabiliana na mabadiliko katika ngazi hiyo kutakuwa na maana kuwa se&#341;ikali kama ile ya Zimbabwe inajitolea kufanya kazi kwa uka&#341;ibu zaidi na wakulima wadogo,&#8221; Siziba aliiambia IPS. Mandla Mhlanga, mtafiti wa masuala ya mabadiliko ya tabia nchi katika Chuo Kikuu cha Zimbabwe, aliiambia IPS kuwa nchi nyingi za Af&#341;ika zimekuwa zikichukua hatua ta&#341;atibu mno katika masuala ya mabadiliko ya tabia nchi hata kama &#8220;hali hii imekuwa ikiathi&#341;i sekta ya kilimo kwa miongo mingi sasa.&#8221; &#8220;Kwamba SADC inashinikizwa kuipitisha sasa kubo&#341;esha maisha ya wanawake ni hatua nzu&#341;i yenye mwelekeo sahihi. Pia ni muhimu kuwa hili linakuja wakati ambapo Zimbabwe inaandaa se&#341;a yake ya mabadiliko ya tabia nchi,&#8221; Mhlanga alisema. Lakini bado inaweza kuchukua muda m&#341;efu kabla wakulima wadogo kama Mkoloi hawajavuna faida. Gumpo alisema: &#8220;Watu wanapenda kutumia maneno yasiyokuwa na maana juu ya jinsi gani ya kuwapatia wanawake uwezo katika taifa. Lakini hatujaona vitendo vya kuwapatia uwezo, kwani mazungumzo yamejikita tu katika misimamo ya kisiasa na wala siyo maendeleo.&#8221; Wakati huo huo, Mkoloi hana la kuchagua lakini kwenda kupanda mazao yake kwa ajili ya msimu ujao. Hata hivyo, shamba lake la mahindi yaliyoungua kwa jua ni ukumbusho tosha juu ya hali inayomkali. &#8220;Taya&#341;i tunajiandaa kuandaa mashamba kwa ajili ya msimu wa kupanda ujao. Lakini bado hatujui ni lini msimu wa mvua utaanza hasa tukizingatia hali iliyojitokeza msimu uliopita,&#8221; Mkoloi alisema. *Taa&#341;ifa ya nyongeza imetoka kwa Busani Bafana wa mjini Bulawayo. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>BULAWAYO, Juni 27 (IPS) &ndash; Ge&#341;t&#341;ude Mkoloi anaendesha maisha yake kwa kuvuna mahindi katika shamba lake dogo katika eneo la kijijini nchini Zimbabwe. Akiwa katika kijiji cha mbali kabisa cha Binga, zaidi ya kilomita 400 kutoka mji mkuu wa pili kwa ukubwa wa Bulawayo, Mkoloi alikodolea macho mazao yake ya mahindi, ambayo yamekauka kwa jua&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":541,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3873","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3873","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/541"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3873"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3873\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3873"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3873"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3873"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}