{"id":3870,"date":"2012-06-27T13:40:01","date_gmt":"2012-06-27T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/06\/27\/tanzania-lulu-yainua-kipato-cha-wanawake-zanziba\/"},"modified":"2012-06-27T13:40:01","modified_gmt":"2012-06-27T13:40:01","slug":"tanzania-lulu-yainua-kipato-cha-wanawake-zanziba","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/06\/27\/tanzania-lulu-yainua-kipato-cha-wanawake-zanziba\/","title":{"rendered":"TANZANIA: Lulu Yainua Kipato Cha Wanawake Zanziba&#341;"},"content":{"rendered":"<p>DAR ES SALAAM, Juni 27 (IPS) &ndash; Wakati Watanzania wengi wanabuni njia mbalimbali za kubo&#341;esha hali ya maisha yao ambayo imekuwa ikizidi kuwa duni siku hadi siku, miaka hadi miaka, uandaaji na utengenezaji wa mapambo yatokanayo na nusu lulu umeonyesha kuwa njia muafaka ya kubo&#341;esha kipato cha wanawake katika Eneo la Hifadhi ya Ghuba ya Menai huko Zanziba&#341;.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Mamia ya wanawake waliokusanyika katika vikundi kama vile Chaza Ima&#341;a, Ukweli ni Njia Safi, Mapambo Bweleo, Jitegemee, Nia Safi, Chaza Mali na Chaza Mpya kutoka vijiji vya Fumba, Bweleo, Chaleni, Unguja Ukuu, Chamanzi, Kikungwi na Kizingo ambao wengi wao wanajishughulisha na utengenezaji wa mapambo yatokanayo na nusu lulu, wanaki&#341;i kupata mafanikio kutokana na shughuli hizo. <\/p>\n<p>Wakiongea katika mkusanyiko wa pamoja walipotembelewa na ujumbe wa kamati inayosimamia utekelezaji wa mi&#341;adi ya mazingi&#341;a inayofadhiliwa na Shi&#341;ika la Misaada la Watu wa Ma&#341;ekani (USAID) mwaka jana, wanawake hao wamesema shughuli hizo zimewasaidia kujipatia kipato kwa ajili ya kuwasomesha watoto wao, kuwapeleka hospitalini, kupata mahitaji mbalimbali ya kifamilia na hata kujenga nyumba zao wenyewe.<\/p>\n<p>&#8220;Kwa kweli utengenezaji wa mapambo yatokanayo na nusu lulu umebo&#341;esha maisha yangu na ya familia yangu kwa kiasi kikubwa,&#8221; anaki&#341;i mama Safia Mnyecha . &#8220;Nimeweza kusomesha watoto wangu na nimeanza m&#341;adi wa ujenzi wa nyumba ya kuishi.&#8221;<\/p>\n<p>Akitaja histo&#341;ia fupi ya vikundi hivyo, Dk. Na&#341;&#341;iman Jidawi alisema shughuli zilianza mwaka 2003 kwa ufugaji wa chaza, halafu m&#341;adi wa SUCCESS chini ya Mpango wa Kusimamia Mazingi&#341;a ya Ukanda wa Pwani na Baha&#341;i (TCMP) mwaka 2005 uliendelea kusaidia shughuli za utengenezaji wa lulu na mapambo kabla ya m&#341;adi wa RecoMap kuingia na kuendeleza shughuli hizo. Kwa sasa shughuli hizo zipo chini ya m&#341;adi wa Pwani ambao pia upo chini ya TCMP. <\/p>\n<p>Kwa mujibu wa Bi. Mnyecha, kikundi chake cha Ukweli ni Njia Safi, mbali na kujishughulisha na utengenezaji mapambo pia kinauza sabuni za mwani na liwa na kuuza liwa za unga. <\/p>\n<p>Alisema wanakikundi wanashi&#341;iki kwenye maonesho ndani na nje ya nchi kutangaza biasha&#341;a zao. Ili kuhakikisha jitihada zinakuwepo, kila mmoja anaendesha shughuli zake mwenyewe na kuweka hisa kwenye kikundi. <\/p>\n<p> &#8220;M&#341;adi umeniinua sana sana, sana. Sasa nyumba yangu imebakia madi&#341;isha na milango ya chumbani tu ili nihamie,&#8221; aliki&#341;i Bi Mnyecha. Aliongeza kuwa kipato anachokipata kimemuwezesha kuwasomesha watoto wake katika shule za binafsi na ameweza kuwanunulia baiskeli ili waweze kuwahi shule. <\/p>\n<p>&#8220;Wanawake tulikuwa tegemezi, tulikuwa tukitegemea waume zetu tu na mishaha&#341;a yao midogo,&#8221; alisema. &#8220;Lakini maisha tumeshaweza kuyakaba sasa hivi, zamani wanawake wa Zanziba&#341; mambo hayo hatukuyaweza, lakini sasa tunaweza&#8221;.<\/p>\n<p>Wengine katika vikundi hivyo wanajivunia shughuli za mapambo kuweza kuwapeleka mahali kama Ma&#341;ekani kwenda kutafuta elimu. Kwa mujibu wa Dk. Jidawi, wanawake watano wamepata fu&#341;sa ya kusafi&#341;i kwenda nchini Ma&#341;ekani kujifunza zaidi jinsi ya kutengeneza mapambo. Elimu hiyo imewafanya kuwa na ujuzi wa kutengeneza mapambo kama vile kidani zenye uwezo wa kuuzwa hata zaidi ya dola 2000.<\/p>\n<p>Shughuli zinazoendeshwa na mamia ya wanawake hao ambao kati yao wanaume ni wanne tu zimebuniwa kuongeza kipato ili kupunguza utegemezi mkubwa wa &#341;asilimali za pwani na baha&#341;i ambazo zinapaswa kutumika kwa njia endelevu kwa ajili ya kizazi cha sasa na kijacho. Shughuli hizo zinasaidia kutunza mazingi&#341;a na &#341;asilimali za pwani kwa kuanzisha maeneo tengefu baha&#341;ini. Vikundi vinashi&#341;iki kikamilifu kuweka maeneo tengefu ili kuongeza kuzaliana kwa chaza baha&#341;ini. <\/p>\n<p>Kwa mujibu wa vikundi hivyo, kuna maeneo tengefu manne ambayo yamegawanyika katika vijiji vinne. Katika kila eneo tengefu, kuna eneo la kuchukua chaza (maka&#341;ogwe) ambazo hutumika kutengeneza nusu lulu na hatimaye mapambo na pia kwa chakula. Vijiji ambavyo maeneo tengefu hupatikana ni pamoja na Bweleo, Fumba, Nyamanzi na Chaleni. <\/p>\n<p>&#8220;Tunaendeleza maeneo tengefu kwani bila kuhifadhi baha&#341;i ni sawa na ku&#341;uhusu matumizi ya msitu ambapo watu wanakata miti hadi msitu unaisha. Lakini kwa kuendeleza maeneo tengefu, tunaweza kuhifadhi chaza kwa kutumia she&#341;ia ndogondogo ambapo mtu akikutwa anavua katika maeneo tengefu anapigwa faini na fedha zinazopatikana zinakwenda kuendeleza skuli na nyingine zinabakia katika se&#341;ikali ya kijiji,&#8221; anaeleza Ikiwa Abdallah Ali kutoka Shehia ya Fumba Bondeni.<\/p>\n<p>Bi Rahma Musa kutoka Fumba ameenda mbali zaidi ya utengenezaji wa mapambo. Anasema mbali na kutengeneza mapambo, amejifunza lugha ya Kiitaliano na pia ujuzi wa kuka&#341;ibisha na kuwakabili wateja.<\/p>\n<p>&#8220;Nimenufaika sana na mapambo, nashuku&#341;u, nilikuwa niko mbali sana lakini sasa nipo ka&#341;ibu,&#8221; anasema Bi Musa. &#8220;Nimejifunza lugha ya biasha&#341;a, nimejifunza kuwa mjasi&#341;iamali hupaswi kuonyesha uso wa kununa, unapaswa kuwa na su&#341;a ya fu&#341;aha unapokuwa katika biasha&#341;a yako. Pia nimejifunza lugha ya Kiitaliano kwa ajili ya biasha&#341;a na nilipata fu&#341;sa ya kwenda Ma&#341;ekani kujifunza masuala ya mapambo.<\/p>\n<p>&#8220;Kutokana na mume kunipatia &#341;uksa kila ninapotakiwa kutoka, nimeamua kumnunulia nga&#341;awa kwa ajili ya kuvulia samaki,&#8221; alisema Bi Musa kwa fu&#341;aha.<\/p>\n<p>Lakini katika kila penye maendeleo hapakosi changamoto zake. Vikundi vyote vimesema vinakabiliwa na changamoto ya uhaba wa vifaa na hivyo kutumia vifaa duni kama vile misumeno ya bati ambayo ni duni mno ikilinganishwa na ile inayotumiwa na watengezaji wa biasha&#341;a ambao wanaweza kutengeneza lulu wanayoweza kuuza hadi dola 2000.<\/p>\n<p>Changamoto nyingine ni ushindani ambapo kuna ushindani wa ndani unaotokana na wafanyabiasha&#341;a wakubwa na ushindani wa nje ambapo baadhi ya mapambo kutoka Kenya huuzwa kwa bei ya chini mno ikilinganishwa na mapambo ya wanavikundi hao. Mbali ya changamoto za vifaa na masoko, wanavikundi wametoa wito wa kupatiwa utaalam zaidi wa kutengeneza mapambo ili kuhimili zaidi ushindani. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>DAR ES SALAAM, Juni 27 (IPS) &ndash; Wakati Watanzania wengi wanabuni njia mbalimbali za kubo&#341;esha hali ya maisha yao ambayo imekuwa ikizidi kuwa duni siku hadi siku, miaka hadi miaka, uandaaji na utengenezaji wa mapambo yatokanayo na nusu lulu umeonyesha kuwa njia muafaka ya kubo&#341;esha kipato cha wanawake katika Eneo la Hifadhi ya Ghuba ya&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":536,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3870","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3870","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/536"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3870"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3870\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3870"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3870"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3870"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}