{"id":3869,"date":"2012-06-15T13:40:01","date_gmt":"2012-06-15T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/06\/15\/seikali-ikiachwa-peke-yake-haiwezi-kufikia-malengo-ya-milenia\/"},"modified":"2012-06-15T13:40:01","modified_gmt":"2012-06-15T13:40:01","slug":"seikali-ikiachwa-peke-yake-haiwezi-kufikia-malengo-ya-milenia","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/06\/15\/seikali-ikiachwa-peke-yake-haiwezi-kufikia-malengo-ya-milenia\/","title":{"rendered":"Se&#341;ikali Ikiachwa Peke Yake Haiwezi Kufikia Malengo ya Milenia"},"content":{"rendered":"<p>CAPE TOWN, Af&#341;ika Kusini, Juni 15 (IPS) &ndash; Mataifa ya Af&#341;ika yanahitaji msaada zaidi kutoka kwa sekta binafsi ili kuweza kufikia Malengo ya Maendeleo ya Milenia ifikapo mwaka 2015, ambayo ni pamoja na shabaha muhimu za kimaendeleo kama kupunguza umaskini, na kubo&#341;esha afya na elimu.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Se&#341;ikali haiwezi kufikia malengo hayo kama ikiachwa peke yake, wataalam wa uchumi na maendeleo waliwaambia washi&#341;iki katika Mkutano wa Kilele wa Kutathmini malengo ya MDG, uliofanyika mjini Cape Town, Af&#341;ika Kusini, kuanzia Mei 3 hadi 4. <\/p>\n<p>Biasha&#341;a, walielezea wataalam, zina nafasi kubwa ya kukuza uchumi na kujenga aji&#341;a mpya, ambazo zinahitajika kufikia lengo la kwanza la kutokomeza umaskini uliokithi&#341;i na njaa. <\/p>\n<p>&#8220;Kufikia MDG1 kunaweza kuwa na matokeo mazu&#341;i kwa MDGs nyingine zote,&#8221; alisema Beejaye Kokil, meneja wa Benki ya Maendeleo Af&#341;ika katika ida&#341;a ya takwimu. Malengo mengine ya maendeleo ni pamoja na kupunguza vifo vya watoto wachanga chini ya miaka mitano, kufikia usawa wa kijinsia au kuwa na mazingi&#341;a endelevu. <\/p>\n<p>Mataifa ya Af&#341;ika taya&#341;i yameshapata baadhi ya mafanikio katika maendeleo kupitia kubo&#341;eka kwa utawala wa uchumi na mageuzi, ikiwa ni pamoja na kushuka kwa gha&#341;ama za kufanya biasha&#341;a katika ba&#341;a, alibainisha Kokil. <\/p>\n<p>Matokeo yake, kwa sasa Af&#341;ika ni moja ya kanda zinazokua kiuchumi kwa kasi zaidi duniani na kuwa na wastani wa ukuaji wa pato la taifa wa asilimia sita kwa mwaka. Iko nyuma ya China na India, ambazo kila moja ina ongezeko la GDP la asilimia tisa.<\/p>\n<p>Lakini kujipenyeza kwa ukuaji wa uchumi katika kupunguza umaskini kumekuwa kwa polepole mno. Ka&#341;ibu asilimia 40 ya Waaf&#341;ika wanaendelea kuishi chini ya msta&#341;i wa umaskini wa dola 1.25 kwa siku, kwa mujibu wa takwimu za mwaka 2011 za Benki ya Dunia.<\/p>\n<p>&#8220;Hii inatokana na kwamba ukuaji wa GDP ba&#341;ani Af&#341;ika haujaunganishwa na aji&#341;a kwa maskini,&#8221; Kokil alielezea, kutokana na kuwa kukosekana kwa usawa wa kiuchumi na uhaba wa maa&#341;ifa kuna maana kuwa maskini wengi wanabakia kushindwa kupata fu&#341;sa mpya za aji&#341;a. <\/p>\n<p>Kwa kuongeza, ongezeko kubwa la idadi ya watu limepunguza kwa kiasi kikubwa mafanikio ya kiuchumi ya Af&#341;ika. Ba&#341;a hilo linaendelea kukabiliwa na changamto kubwa kama vile uzalishaji wa kilimo usiotosheleza, kukosekana kwa miundombinu, uhaba mkubwa wa aji&#341;a kwa vijana, maendeleo duni ya kibinadamu, kukosekana kwa usawa wa kijinsia, elimu duni na madha&#341;a hasi ya mabadiliko ya tabia nchi. <\/p>\n<p>&#8220;Siyo kwamba kila kitu kinaenda vizu&#341;i. Mafanikio ya MDG yanaendelea kuwa mchanganyiko. Lakini fu&#341;sa bado ipo,&#8221; alisema Kokil.<\/p>\n<p>Alipendekeza kuwa mataifa ya Af&#341;ika yanafaa kujinasua kutoka kwenye misaada ya wafadhili na mikopo na kuingia kwenye &#8220;misaada ya biasha&#341;a&#8221; mfumo ambao una lengo la kusaidia mataifa kuendeleza uhusiano wao wa biasha&#341;a na ujuzi na miundombinu na hatimaye kutokutegemea wahisani. Mfumo huu unaweka msisitizo zaidi katika kuifanya sekta binafsi sehemu ya maendeleo ya nchi.<\/p>\n<p>&#8220;Sekta binafsi ina jukumu muhimu la kufanya katika ukuaji wa uchumi wa Af&#341;ika,&#8221; Kokil alisisitiza. <\/p>\n<p>Baadhi ya wahisani muhimu wa Af&#341;ika, kama Ma&#341;ekani, taya&#341;i wanaangalia jinsi ya kujiondoa kutoka kutoa misaada ya kifedha isiyokuwa na masha&#341;ti na kuweka malengo ya kufikia vipaumbele vya kiuchumi, alisema Te&#341;&#341;i Robl, mwakilishi wa masuala ya uchumi katika Ubalozi wa Ma&#341;ekani nchini Af&#341;ika Kusini. <\/p>\n<p>Wazi&#341;i wa Mambo ya Nje wa Ma&#341;ekani Hilla&#341;y Rodham Clinton, kwa mfano, alitangaza mapema mwaka huu kuwa &#8220;kuwekeza katika kuwa na matokeo yanayoonekana&#8221; kungekuwa sehemu ya se&#341;a ya misaada ya Ma&#341;ekani, alisema Robl.<\/p>\n<p>Ina maana kuwa sekta binafsi itaanza kuwa na jukumu katika maendeleo na biasha&#341;a nyingi zimeshaanza kutambua fu&#341;sa hii. Pamoja na ukweli kwamba lengo kuu la kampuni ni faida, kuwajibika kwa jamii kumekuwa sehemu muhimu ya kufanya biasha&#341;a katika Af&#341;ika, Robl alisema. <\/p>\n<p>&#8220;Biasha&#341;a endelevu imekuwa mali muhimu kwa makampuni,&#8221; alielezea Robl. Ameshawishika kuwa &#8220;sekta binafsi inaweza kusaidia se&#341;ikali katika kasi ya kufikia MDGs&#8221;, kwa kuhakikisha kuwa ukuaji wa kiuchumi unajipenyeza katika maendeleo ya jamii. <\/p>\n<p>Kufikia maendeleo ya milenia, hata hivyo, kunahitaji zaidi ya ushi&#341;ikiano kati ya sekta binafsi na ya umma. &#8220;Ushi&#341;ikiano kati ya se&#341;ikali na makampuni kutatatua theluthi mbili tu ya tatizo. Theluthi ya tatu lazima ihusishe ushi&#341;iki wa jamii,&#8221; alisema P&#341;ofesa Ge&#341;ha&#341;d Coetzee, mku&#341;ugenzi wa Kituo cha Benki Shi&#341;ikishi Af&#341;ika katika Chuo Kikuu cha P&#341;eto&#341;ia na meneja mkuu wa benki ya ABSA nchini Af&#341;ika Kusini.<\/p>\n<p>Alisema kuwa Waaf&#341;ika wengi wanabakia kutokushi&#341;ikishwa siyo tu katika aji&#341;a lakini pia katika kutumia huduma za kifedha kwasababu ya ada kubwa za kibenki na she&#341;ia ngumu. <\/p>\n<p>Kwa sasa, taasisi nyingi za kifedha zinatoa huduma maalum kwa wakazi maskini, kama vile mikopo midogo midogo. <\/p>\n<p>&#8220;Hii inasaidia, lakini haitoshi kutokomeza umaskini katika muda m&#341;efu. Tunahitaji kuondoka katika mikopo midogo midogo na kuingia kwenye ushi&#341;ikishwaji katika taasisi za kifedha,&#8221; alisema Coetzee. &#8220;Naona uhusiano wa wazi kati ya wakazi kupata huduma za kifedha na uwezo wa nchi wa kufikia malengo ya MDGs. Kwa kuwafanya maskini kufikia huduma za kifedha, tunabo&#341;esha kipato chao, na hivyo kupunguza viwango vya umaskini.&#8221;<\/p>\n<p>Coetzee alishau&#341;i kuwa kuwe na punguzo la gha&#341;ama za moja kwa moja katika masuala ya kibenki, kama vile ada na huduma za kuweka na kutoa fedha. Aliongeza kuwa pia kuwe na punguzo la gha&#341;ama za bei za fedha zisizokuwa za moja kwa moja, ikiwa ni pamoja na gha&#341;ama za usafi&#341;i na muda ambao wakazi wa vijijini wanatumia kufikia huduma.<\/p>\n<p>Nchini Af&#341;ika Kusini, moja ya mataifa yenye uchumi wenye nguvu katika ba&#341;a, ni asiimia 63 tu ya watu wenye miaka 16 na zaidi wana amana za benki, huduma ya msingi kabisa ikilinganishwa na huduma nyingine, kwa mujibu wa utafiti wa mwaka 2011 wa kampuni ya utafiti wa masuala ya fedha Af&#341;ika ya FinScope. <\/p>\n<p>&#8220;Hii inaonyesha kuwa matumizi ya benki katika kukabiliana na umaskini na hivyo kufikia malengo ya MDGs yanabakia kuwa changamoto kubwa,&#8221; alisema Coetzee. &#8220;Bado tuna safa&#341;i ndefu kwenda.&#8221; <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>CAPE TOWN, Af&#341;ika Kusini, Juni 15 (IPS) &ndash; Mataifa ya Af&#341;ika yanahitaji msaada zaidi kutoka kwa sekta binafsi ili kuweza kufikia Malengo ya Maendeleo ya Milenia ifikapo mwaka 2015, ambayo ni pamoja na shabaha muhimu za kimaendeleo kama kupunguza umaskini, na kubo&#341;esha afya na elimu. Se&#341;ikali haiwezi kufikia malengo hayo kama ikiachwa peke yake, wataalam&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":211,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3869","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3869","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/211"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3869"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3869\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3869"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3869"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3869"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}