{"id":3867,"date":"2012-06-15T13:40:01","date_gmt":"2012-06-15T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/06\/15\/kenya-kuwa-kitovu-cha-uchumi-afika\/"},"modified":"2012-06-15T13:40:01","modified_gmt":"2012-06-15T13:40:01","slug":"kenya-kuwa-kitovu-cha-uchumi-afika","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/06\/15\/kenya-kuwa-kitovu-cha-uchumi-afika\/","title":{"rendered":"Kenya: &#8220;Kuwa Kitovu cha Uchumi Af&#341;ika&#8221;"},"content":{"rendered":"<p>NAIROBI, Juni 15 (IPS) &ndash; Wakati m&#341;adi mpya wa nishati ya mvuke utakapokamilika, utabadili taifa hilo la Af&#341;ika Masha&#341;iki kuongoza kiuchumi katika kanda.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Mwezi Ap&#341;ili, se&#341;ikali ilizindua M&#341;adi wa Nishati ya Mvuke unaojulikana kama &#8220;Menengai Geothe&#341;mal Development P&#341;oject&#8221;, mpango wa kwanza wa kampuni mpya ya se&#341;ikali ijulikanayo kama &#8220;Geothe&#341;mal Development Company&#8221;, ambayo imeanzishwa kwa lengo la kuwezesha maendeleo ya ha&#341;aka ya &#341;asilimali za nishati ya mvuke nchini humo. Kwa mujibu wa Afisa Mtendaji Mkuu wake, Dk. Silas Simiyu, hadi ifikapo mwaka 2016 awamu ya kwanza ya m&#341;adi huo itazalisha megawati 400, umeme unaotosheleza kwa kaya 500,000 na kuendesha biasha&#341;a ndogo ndogo 300,000. &#8220;M&#341;adi upo kilomita 180 kaskazini magha&#341;ibi mwa Nai&#341;obi, na utakuwa na uwezo wa kuzalisha megawati 1,600 za umeme hadi awamu yake ya tatu itakapotekelezwa mwaka 2030,&#8221; alisema Simiyu. Kwa mujibu wa Nashon Ade&#341;o, mchambuzi wa se&#341;a na uchumi katika Taasisi ya Uchambuzi na Utafiti wa Se&#341;a ya Kenya, awamu ya kwanza ya m&#341;adi itakuwa na matokeo makubwa mno nchini kwani utapelekea nchi kuelekea kwenye maendeleo ya viwanda. &#8220;Kwa sasa nchi inatumia megawati 1,600 &#8221; Ade&#341;o alisema. &#8220;Kwa hiyo megawati mia nne ni sawa na nyongeza ya asilimia 25. Na kutokana na ukweli kwamba nchi inaendeleza mi&#341;adi mingine mikubwa ya kuzalisha umeme usiokuwa na atha&#341;i kwa mazingi&#341;a, kama vile M&#341;adi wa Nishati ya Upepo wa Ziwa Tu&#341;kana, ambao utazalisha megawati za nyongeza 300, Kenya itakuwa taifa kubwa kiuchumi katika kanda.&#8221; Ujenzi wa Kituo cha Kuzalisha Umeme wa Upepo katika Ziwa Tu&#341;kana utaanza mwezi Juni, na utakapokamilika utakuwa m&#341;adi mkubwa kuliko yote katika Af&#341;ika Kusini mwa Jangwa la Saha&#341;a. Kwa ujumla wake, Kenya inaonekana kuwa makao makuu ya kifedha, mawasiliano na usafi&#341;ishaji kwa kanda za masha&#341;iki na Af&#341;ika ya Kati, huku pato la taifa la nchi hiyo likiongezeka kwa asilimia nne hadi tano katika kipindi cha miaka 10 iliyopita. &#8220;Kwa sasa Kenya inaongoza kwa kuwa na GDP kubwa katika kanda ya Af&#341;ika Masha&#341;iki hasa kutokana na sekta yake ya kilimo yenye nguvu, hasa katika uzalishaji wa chai na kahawa na maua,&#8221; alisema Ezekiel Esipisu, meneja wa kanda ya Af&#341;ika Masha&#341;iki na Masha&#341;iki ya Kati wa shi&#341;ika la &#8220;Habitat fo&#341; Humanity&#8221;. &#8220;Maendeleo haya, yakiambatana na uwekezaji katika Soko la Hisa la Nai&#341;obi na utengenezaji wa bidhaa za viwandani, ina maana kuwa nchi itakuwa moja ya nchi zinazoongoza kwa kuwa na uchumi mkubwa ba&#341;ani Af&#341;ika.&#8221; Esipisu aliiambia IPS kuwa uwekezaji wa taifa hilo katika nishati utakuza uchumi zaidi. &#8220;Maji&#341;ani wote wa Kenya wanakabiliwa na uhaba wa nishati. Mpango wa kuzalisha nishati zaidi ni wazi kuwa utaleta maendeleo. Tutaiona Kenya ikika&#341;ibia katika maendeleo ya viwanda, na itakuwa taifa kubwa la uhakika katika maendeleo ya kiuchumi kwenye kanda.&#8221; Asilimia ipatayo 60 ya nishati ya Kenya inatokana na maji. Hata hivyo, upatikanaji wa maji katika mabwawa siyo wa kuaminika, kwani Kenya imekuwa ikikabiliwa na ukame wa ma&#341;a kwa ma&#341;a na uhaba wa mvua. Na kukatika kwa umeme kumeathi&#341;i ukuaji wa uchumi wa taifa hilo. Kuanzia mwezi Julai hadi Agosti mwaka 2011, se&#341;ikali ililazimishwa kutekeleza mpango wa mgawo wa umeme baada ya kina cha maji katika mabwawa makubwa nchini humo kupungua. Wakati huo Kenya ilikuwa ikizalisha magawati zipatazo 1,200, wakati mahitaji yaliongezeka hadi katika wastani wa asilimia nane kwa mwaka, kwa mujibu wa Wiza&#341;a ya Nishati. Mgawo wa umeme wa mwaka 2011 ulisemekana kugha&#341;imu nchi zaidi ya dola milioni 96. Hata hivyo, kipindi kibaya zaidi cha mgawo wa umeme ni kati ya mwaka 1999 na 2001, ambapo hasa&#341;a inakadi&#341;iwa kufikia asilimia nne ya GDP nchini Kenya &ndash; dola zipatazo milioni 400. &#8220;Uzalishaji wa umeme wa maji unategemea katika hali ya hewa,&#8221; alisema John Omenge,mwanajiolojia mkuu katika Wiza&#341;a ya Nishati ya Kenya. &#8220;Wakati wa ukame, kwa mfano, kina cha maji kinapungua kwa kiasi kikubwa, na hivyo kupunguza nishati inayozalishwa. &#8220;Kwa hiyo uzalishaji wa umeme wa mvuke ni jibu. Ni moja ya nishati ambazo zina uhakika zaidi, kwasababu vyanzo hivyo haviathi&#341;iki na majanga ya kimazingi&#341;a kama vile ukame,&#8221; alisema. Katika maeneo ambayo yana volcano kama vile ukanda wa Bonde la Ufa, maji yanasukumwa katika chemichemi, halafu yanachujwa kupitia katika nyufa za miamba ya volcano. Mvuke unaotokea hapo unatumika kusukuma mitambo ya kuzalishia umeme. Kenya ni nchi ya kwanza ya Af&#341;ika kuanza kutumia nishati ya mvuke. Taya&#341;i taifa hilo linazalisha megawati 209 za umeme wa mvuke kutoka katika Mi&#341;adi ya Olka&#341;ia Geothe&#341;mal, ambayo ipo katika Bonde la Ufa na inaendeshwa na Kampuni ya Umeme ya Kenya. Na m&#341;adi wa mvuke wa Menengai Geothe&#341;mal Development P&#341;oject ni sehemu ndogo tu ya mpango wa maendeleo wan chi ujulikanao kama &#8220;Vision 2030&#8221;, ambao una lengo la kuibadili Kenya na kuwa nchi ya viwanda na yenye kipato cha kati ifikapo mwaka 2030 kwa kuzalisha megawati 5,000 za umeme kutokana na vyanzo vya mvuke katika maeneo mbalimbali nchini humo. &#8220;Usambazaji wa umeme ni suala la msingi katika maendeleo yoyote yale nchini,&#8221; alisema Gab&#341;iel Negatu, mku&#341;ugenzi wa Kituo cha Rasilimali cha Af&#341;ika Masha&#341;iki katika Benki ya Maendeleo ya Af&#341;ika. Benki hiyo inatoa fedha kwa ajili ya awamu ya kwanza ya m&#341;adi wa Menengai Geothe&#341;mal Development. &#8220;M&#341;adi huu ni muhimu kwa nchi kama Kenya kwasababu inazidi kuwa muhimu kiuchumi katika ba&#341;a. Ni kutokana na mata&#341;ajio hayo makubwa ofisi ya kanda ya Benki ya Maendeleo ya Af&#341;ika kwa sasa yapo mjini Nai&#341;obi. Mashi&#341;ika mengine mengi yanazidi kufuata nyayo, na hivyo kuufanya mji huo kuwa maa&#341;ufu kiuchumi katika kanda,&#8221; alisema. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>NAIROBI, Juni 15 (IPS) &ndash; Wakati m&#341;adi mpya wa nishati ya mvuke utakapokamilika, utabadili taifa hilo la Af&#341;ika Masha&#341;iki kuongoza kiuchumi katika kanda. Mwezi Ap&#341;ili, se&#341;ikali ilizindua M&#341;adi wa Nishati ya Mvuke unaojulikana kama &#8220;Menengai Geothe&#341;mal Development P&#341;oject&#8221;, mpango wa kwanza wa kampuni mpya ya se&#341;ikali ijulikanayo kama &#8220;Geothe&#341;mal Development Company&#8221;, ambayo imeanzishwa kwa lengo&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":742,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3867","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3867","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/742"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3867"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3867\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3867"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3867"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3867"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}