{"id":3866,"date":"2012-06-15T13:40:01","date_gmt":"2012-06-15T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/06\/15\/maswali-na-majibu-kuunganisha-zama-za-habai-za-afika\/"},"modified":"2012-06-15T13:40:01","modified_gmt":"2012-06-15T13:40:01","slug":"maswali-na-majibu-kuunganisha-zama-za-habai-za-afika","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/06\/15\/maswali-na-majibu-kuunganisha-zama-za-habai-za-afika\/","title":{"rendered":"MASWALI NA MAJIBU: Kuunganisha Zama za Haba&#341;i za Af&#341;ika"},"content":{"rendered":"<p>WASHINGTON, Juni 14 (IPS) &ndash; Waaf&#341;ika wapatao milioni 140 wameunganishwa na intaneti sasa. Huku nusu ya idadi hiyo ya watu ikiwa chini ya um&#341;i wa miaka 15 na asilimia 70 kati yao chini ya miaka 30, mitandao ya kijamii inazidi kuwa muhimu katika maendeleo ya baadaye.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Teddy Ruge, kiongozi wa mikakati ya mitandao ya kijamii katika kampeni ya mabadiliko ya hali ya hewa ya Connect4Climate ya Benki ya Dunia na mwanzilishi mwenza wa m&#341;adi wa Waaf&#341;ika wanaoishi ughaibuni wa P&#341;oject Diaspo&#341;a, anaita hali hii &#8220;zama za mapinduzi ya haba&#341;i &#8221; kwa Af&#341;ika. &#8220;Mwaka 2012, kulikuwa na watu wapatao milioni 600 waliounganishwa na vifaa vya kubeba mkononi ba&#341;ani Af&#341;ika ambavyo vimeunganishwa na intaneti,&#8221; alisema. &#8220;Kwa kuangalia idadi ya watu tuna watu milioni 300 katika ba&#341;a ambao kwa sasa wanahamia kuingia katika tabaka la kati ambao wana uwezo wa kumudu kununua simu zenye uwezo wa kuunganishwa na intaneti, kompyuta ndogo aina ya laptops na kuunganishiwa intaneti nyumbani kwao. &#8220;Naliangalia hilo kwa misingi ya sauti za jamii kuanza kujadili maendeleo. Naliona hili kama fu&#341;sa ya kuangalia masuala ya mabadiliko ya tabia nchi, kujitawala wenyewe, maendeleo ya kiuchumi na aji&#341;a kwa vijana.&#8221; Sehemu ya mahojiano yake inafuata. Swali: Ina maana gani kwa Waaf&#341;ika wengi kutumia mitandao ya kijamii na kuunganishwa na intaneti kuliko kipindi kingine chochote kile  Jibu: Kuna mjadala wa kweli kuhusu maendeleo. Ninachopendea mitandao ya kijamii ni kwamba Waaf&#341;ika wameunganishwa, kuwa wana uwezo wa kusoma taa&#341;ifa kuhusu utawala bo&#341;a na masuala yenye mtizamo wa kimataifa. Pia wana uwezo wa kuona jinsi gani nchi zao zinafanya katika kuwaletea maendeleo ikilinganishwa na nchi nyingine. Bado kuna mgawanyiko mkubwa kati ya se&#341;ikali shi&#341;ikishi &ndash; tuna vijana hawa ambao wameunganishwa, halafu tuna watu hawa wenye um&#341;i mkubwa waliopo katika ngazi za utawala, baadhi yao bado wameshikilia masuala ya enzi za kikoloni ambao wamekuwa katika nyadhifa zao kwa miongo bila ya kuunganishwa na vijana hawa ambao ni wapiga ku&#341;a wao. Nina matumaini tunaweza kutumia mitandao hii ya kijamii kuziba pengo hili na kusema hizi ni sauti za vijana wa nchi yangu, hivi ndivyo wanavyotaka kusonga mbele. Swali: Umeita hali hii &#8220;uhalali wa mitandao ya kijamii katika dunia shi&#341;ikishi &#8220;. Wakati wa kuelekea kwenye mkutano wa Rio+20 kuhusu maendeleo endelevu, vijana wa Kiaf&#341;ika wanapendelea nini zaidi  Jibu: Mijadala bado ni ilele ile &ndash; je watunga se&#341;a watatunga se&#341;a kusaidia Waaf&#341;ika ambao hawajachangia kwa kiasi kikubwa katika mabadiliko ya tabia nchi lakini wanaathi&#341;ika zaidi  Nishati isiyochafua mazingi&#341;a ni ya ghali, bado nishati ya jua siyo &#341;ahisi. Vijana wanaotoka katika vyuo vikuu na shule za sekonda&#341;i wanashangaa ni kwa nini hawapati aji&#341;a. Tumeanza kuona vijana wa Kiaf&#341;ika wakiuliza maswali magumu. Kama unataka aji&#341;a ya kijani, nani atakuja kulipia  Kama unataka sisi kuacha kukata miti, ni jinsi gani wanakijiji watakuja kupata nishati  Hayo ni maswali magumu. Tunata&#341;ajia kuwa na maoni mengi katika mitandao ya jamii kutoka kwa wale ambao hawawezi kuhudhu&#341;ia mkutano wa Rio. Tunata&#341;ajia maswali kama hayo kuulizwa pia katika mkutano wa COP 18 Qata&#341;. Swali: Ni nini ambacho vyombo hivi vya kijamii vinaweza kusaidia vijana ambacho watunga se&#341;a hawawezi  Jibu: Tumeona watu halisi wakiwa nyuma ya namba. Tulitaka kulifanya kuwa jambo la uhakika kwa wale ambao wana wasiwasi juu ya mabadiliko ya tabia nchi. Tulitaka kutoa haba&#341;i hizi kuona kama zinaweza kuleta mabadiliko katika ngazi ya kijamii, hilo siyo jambo la kise&#341;a. Kwa ajili ya kutoa mchango juu ya Connect4Climate, tuliwataka kutujuza juu ya maana ya mabadiliko ya tabia nchi katika jamii zao. Watu walituletea picha za ng&#8217;ombe waliokufa kutokana na ukame. Siyo picha tu, ni haba&#341;i ambazo zilikuja na picha. Tuliona nishati, maji na misitu kuwa masuala makuu katika jamii. Tuliona haba&#341;i juu ya wanawake. Katika Af&#341;ika, wanawake wanafanya kazi nyingi za majumbani, wakati kukiwa hakuna maji wala kuni inabidi kutembea maili nyingi kutafuta mahitaji hayo. Tulipata picha za wanawake waliopanga foleni kutafuta maji, wakitembea kwenda kutafuta kuni. Swali: Unaona kutokuwa na uhusiano kati ya watu wanaoleta pesa Af&#341;ika na mahitaji halisi ya Waaf&#341;ika  Jibu: Kama tunaangalia jambo hilo kutoka mtizamo wa kise&#341;a na kifedha, kuna utofauti mkubwa sana. Benki ya Dunia siyo lazima kuwasiliana na mwanakijiji katika Af&#341;ika, &#8216;wanawasiliana na se&#341;ikali na kuuliza wanafanyia kazi suala gani na ni jinsi gani wanaweza kuunganishwa na wafadhili &#8216; Hiyo ndiyo aina ya mazungumzo katika ngazi ya juu. Nadhani kampeni ya Connect4Climate inaangukia mahali fulani kati ya mazungumzo ya ngazi ya juu na yale ya ngazi ya chini. Connect4Climate ina uwezo wa kusema mazungumzo haya yanahusu suala hili kuhusu mabadiliko ya tabia nchi, jinsi gani hili linafikia watoaji wa maamuzi inategemeana na usahihi wa sauti hizi na ni endelevu kwa kiasi gani katika kutoa wito wa ufumbuzi mzu&#341;i zaidi. Tuna watu ambao wanasikiliza sauti hizi na wanasema pengine tunaweza kuunganisha sauti hizi na kuandaa se&#341;a. Naweza kusema sauti zinazidi kutolewa na kusema &#8216;tunahitaji ufumbuzi kutoka mtizamo wa kimaendeleo zaidi.&#8217; Kwa mfano, nchini Kenya vijana wanaingia katika maeneo ya kuhifadhi vyuma chakavu na kuunganisha injini na vifaa vingine vya makanika na kujenga mitambo ya nguvu za upepo ya ha&#341;aka na yenye ufanisi badala ya kutegemea umeme wa g&#341;idi. Wameweza kutengeneza aina ya mitambo ya kuzalisha umeme. Taya&#341;i kuna ufumbuzi unajitokeza katika ngazi ya chini ya vijana. Je tunaweza kupata njia ya jinsi ya kufadhili vijana hawa na kueneza maa&#341;ifa hayo mahali pengine  Swali: Katika siku za nyuma umezungumzia kuhusu &#8220;mzigo wa mzungu&#8221;, kuhusu mitizamo tegemezi ya Waaf&#341;ika. Je hili ni jambo ambalo Waaf&#341;ika wanalizungumzia katika mtandao  Jibu: Nadhani wanalizungumzia katika mtizamo wa &#341;ushwa. Misaada haitaweza kujenga aji&#341;a. Misaada inatakiwa kutumika kujenga miundombinu ya kusaidia kujenga aji&#341;a. Hilo ndilo ambalo wajasi&#341;iamali wanalizungumzia, jinsi gani ya kupata mitaji ili waweze kukuza shughuli zao na kuaji&#341;i watu wengi zaidi na kujipenyeza katika tabaka la kati. Tunazidi kuwa wazungumzaji zaidi kutokana na kuunganishwa; tunatoa sauti kali zaidi na pia juu ya wajibu wetu katika kutafuta ufumbuzi. Tuna masuala mazito lakini siyo lazima kuwa kazi yetu ya kuyatafutia ufumbuzi. Ni kazi yetu kusema &#8216; hili ndilo tunalofanyia kazi, tunaweza kufanya kazi pamoja kutatua tatizo hili.&#8217; Suala la kupo&#341;a kabisa nafasi ya Mwaf&#341;ika litakuwa suala la kupitwa na wakati. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>WASHINGTON, Juni 14 (IPS) &ndash; Waaf&#341;ika wapatao milioni 140 wameunganishwa na intaneti sasa. Huku nusu ya idadi hiyo ya watu ikiwa chini ya um&#341;i wa miaka 15 na asilimia 70 kati yao chini ya miaka 30, mitandao ya kijamii inazidi kuwa muhimu katika maendeleo ya baadaye. Teddy Ruge, kiongozi wa mikakati ya mitandao ya kijamii&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":0,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3866","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3866","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3866"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3866\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3866"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3866"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3866"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}