{"id":3865,"date":"2012-06-15T13:40:01","date_gmt":"2012-06-15T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/06\/15\/maandamano-mengine-nchini-tunisia\/"},"modified":"2012-06-15T13:40:01","modified_gmt":"2012-06-15T13:40:01","slug":"maandamano-mengine-nchini-tunisia","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/06\/15\/maandamano-mengine-nchini-tunisia\/","title":{"rendered":"Maandamano Mengine Nchini Tunisia"},"content":{"rendered":"<p>TUNIS, Juni 14 (IPS) &ndash; Maelfu ya waandamanaji wenye msimamo wa wastani walipambana na polisi katika vita vya mtaani ambavyo vilifunga kabisa mitaa ya katikati mwa jiji la Tunis wiki iliyopita, na kuacha watu kadhaa wakiwa wame&#341;ejuhiwa na kuonyesha kuendelea kuwepo kwa jamii iliyogawanyika nchini Tunisia.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Maandamano hayo yaliandaliwa na vyama kadhaa vya siasa, vyama vya wafanyakazi na mashi&#341;ika ya haki za binadamu. <\/p>\n<p>Wakiwa na nia ya kuadhimisha siku ya mashujaa ya taifa, lengo lao la ka&#341;ibu zaidi ni kupinga hatua ya se&#341;ikali ya hivi ka&#341;ibuni kupiga ma&#341;ufuku maandamano katikati mwa jiji la Tunis.<\/p>\n<p>Polisi ilitumia nguvu kubwa na ilionekana kutokujipanga, na hivyo kufanya watu kuhoji sifa za kidemok&#341;asia za se&#341;ikali na uwezo wake wa kusimamia utulivu hasa katikati mwa Tunis.<\/p>\n<p>Shida ilianza wakati se&#341;ikali ya Tunisia, ambayo imejaa watu wengi ambao ni Waislam wenye msimamo wa wastani kutoka chama cha Kiislam cha Ennahda, kutoa tangazo la sababu ya kupiga ma&#341;ufuku maandamano yote mwishoni mwa mwezi uliopita, kwa kuita hatua hiyo jitihada ya &#8216;kuleta utulivu&#8217; katika msimu wa watalii wengi wa maji&#341;a ya kiangazi hapa.<\/p>\n<p>Hata hivyo, upinzani wenye msimamo wa kati uliona ma&#341;ufuku hayo kama uvamizi wa wazi wa uhu&#341;u wa kisiasa. Baada ya maandamano madogo dhidi ya uhaba wa aji&#341;a ambayo yalizimwa kwa nguvu na polisi Ap&#341;ili 7, upinzani ulianza kuandaa maandamano makubwa kupinga ma&#341;ufuku hayo.<\/p>\n<p>Maandamano yalianza asubuhi ya Ap&#341;ili 9 na punde tu yalivamiwa na ppolisi ambao walikuwa na &#341;isasi za machozi. Polisi waliokuwa na sa&#341;e walisaidiwa na vijana walioziba nyuso zao ambao hawakuwa na sa&#341;e (ambao wanajulikana kama wanamgambo wa Tunisia) ambao pia walishambulia waandamanaji na waandishi wa haba&#341;i kwa kutumia fimbo na mawe.<\/p>\n<p>Mamia kadhaa ya waandamanaji walijipanga na kutupia mawe vikosi vya usalama. Hadi mwishoni mwa siku watu kadhaa, ikiwa ni pamoja na mwandishi wa haba&#341;i wa Ufa&#341;ansa Julie Schneide&#341;, walikimbizwa hospitali.<\/p>\n<p>Matumizi makubwa ya mabomu ya machozi, ushi&#341;iki wa wanamgambo na vitendo vya uvamizi wa makusudi dhidi ya waandishi wa haba&#341;i na wapita njia wenye kame&#341;a kulisababisha kuchukiwa kwa dikteta wa zamani Zine el Abidine Ben Ali na ikathibitika hiyo ni njia mbaya kabisa ya mahusiano ya umma kwa se&#341;ikali ya umoja wa kitaifa hapa.<\/p>\n<p>Kutokana na nguvu kubwa inayotumika kuzima maandamano sasa, se&#341;ikali iliachana na ma&#341;ufuku ya maandamano. Ku&#341;a za maoni za hivi ka&#341;ibuni zilionyesha kuwa se&#341;ikali ya Tunisia bado inapendwa, lakini inakabiliwa na changamoto nyingi.<\/p>\n<p>Kwa mujibu wa Chama cha Taifa cha Takwimu Tunisia, jumla ya uhaba wa aji&#341;a umeongezeka kwa asilimia 0.6, kutoka asilimia 18.3 katika &#341;obo ya pili ya mwaka 2011 hadi asilimia 18.9 mwezi huu wa Feb&#341;ua&#341;i. Kiwango cha uhaba wa aji&#341;a kwa wahitimu wa vyuo ni kibaya zaidi, na kimepanda kutoka asilimia 29.2 hadi 30.5 katika kipindi kama hicho.<\/p>\n<p>Wakati matatizo ya kiuchumi yanayoendelea yanaweza kuondoa kuungwa mkono kwa Ennahda, pia wamezingi&#341;wa katikati mwa ongezeko la msuguano wa kitamaduni kati ya watu wenye msimamo mkali wa Salafis kwa upande mmoja, ambao wanataka kufuta katiba ya Tunisia na kuingiza she&#341;ia za Kiislam, na watu wenye msimamo wa m&#341;engo wa kushoto ambao wanataka kuendeleza jadi za ulibe&#341;ali wa kijamii nchini Tunisia na kuongeza ulinzi dhidi ya wanawake na makundi ya wachache.<\/p>\n<p>Itikadi &#341;asmi ya Ennahda inataka kuwa na demok&#341;asia shi&#341;ikishi bungeni ambayo inalindwa kwa kiasi na kanuni za Kiislam. Wakati wa uchaguzi mchanganyiko huu ulifanya Ennahda kupata kuungwa mkono na sehemu kubwa ya wanajamii wa Tunisia, kutoka kwa watu wenye msimamo mkali wa Salafis hadi Waislam wasiofuata mafundisho ya dini yao.<\/p>\n<p>Hata hivyo, kutokana na kwamba sasa inapaswa kutawala wigo huu mkubwa wa wapiga ku&#341;a, Ennahda na umoja wa washi&#341;ika wake wanajitahidi kuwafanya wapiga ku&#341;a waliokata tamaa kuwa na fu&#341;aha.<\/p>\n<p>Mapema mwezi huu, katika kile kinachoonekana kama dalili ya wanachama wa kihafidhina zaidi wa chama hicho, se&#341;ikali ilizungumzia juu ya kupitisha uamuzi wa jaji wa jimbo kutoa adhabu kwa vijana wawili ya kifungo cha miaka saba kwa kila mmoja wao kutokana na kumtukana Mtume Muhammad katika ku&#341;asa za mtandao wa kijamii wa facebook.<\/p>\n<p>Uamuzi huu wa kuwaadhibu vijana hao wawili uliungwa mkono na wananchi wengi wa Tunisia lakini ulizua hasi&#341;a miongoni mwa wasomi na makundi mengi ya wachache kijinsia na kidini ambao walihofia kuwa hii ni hatua ya awali katika kampeni pana ya kukosekana kwa uvumilivu.<\/p>\n<p>Pamoja na yote hayo, hata hivyo, jamii ya Tunisia inabakia imegawanyika katika masuala ya kijamii na kuandamwa na matatizo ya kiuchumi. Na ili demok&#341;asia mpya iweze kushami&#341;i hapa, ni lazima kuwepo na baadhi ya hatua kuelekea kwenye ma&#341;idhiano. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>TUNIS, Juni 14 (IPS) &ndash; Maelfu ya waandamanaji wenye msimamo wa wastani walipambana na polisi katika vita vya mtaani ambavyo vilifunga kabisa mitaa ya katikati mwa jiji la Tunis wiki iliyopita, na kuacha watu kadhaa wakiwa wame&#341;ejuhiwa na kuonyesha kuendelea kuwepo kwa jamii iliyogawanyika nchini Tunisia. Maandamano hayo yaliandaliwa na vyama kadhaa vya siasa, vyama&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":918,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3865","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3865","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/918"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3865"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3865\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3865"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3865"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3865"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}