{"id":3864,"date":"2012-06-06T13:40:01","date_gmt":"2012-06-06T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/06\/06\/wakulima-nchini-cameoon-hawatauhusu-mvua-chache-kuwaejesha-nyuma\/"},"modified":"2012-06-06T13:40:01","modified_gmt":"2012-06-06T13:40:01","slug":"wakulima-nchini-cameoon-hawatauhusu-mvua-chache-kuwaejesha-nyuma","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/06\/06\/wakulima-nchini-cameoon-hawatauhusu-mvua-chache-kuwaejesha-nyuma\/","title":{"rendered":"Wakulima Nchini Came&#341;oon Hawata&#341;uhusu Mvua Chache Kuwa&#341;ejesha Nyuma"},"content":{"rendered":"<p>SANTA, Came&#341;oon, Juni 5 (IPS) &ndash; Olivie&#341; Fo&#341;gha Koumbou anasafisha ka&#341;oti ambazo ndiyo punde tu zimevunwa na anaanza kuzila. Shamba lake linalozidi kustawi huko Santa, katika mkoa wa Kaskazini Magha&#341;ibi mwa Came&#341;oon, linaonekana kama muujiza katikati mwa mashamba mengi ambapo ka&#341;oti, viazi, mazao jamii ya vitunguu aidha yamekufa au kunyauka.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Mvua zimenyesha kidogo sana hapa mapema mwezi Machi, lakini hazikutosha kuzuia jua kukausha mazao kwani mbinu za kijadi za umwagiliaji zilishindwa kutokana na mvua kuwa chache. Katika mkoa wa Kaskazini Magha&#341;ibi wastani wa mvua kwa mwaka unasimamia katika milimita 380 tu, lakini ilipaswa kuwa kati ya milimita 1,000 hadi 2,000. &#8220;Mashamba yameniangusha mwaka huu,&#8221; mkulima mwenye um&#341;i wa miaka 43, Tembene Tangwan, anaiambia IPS. Anaelezea kuwa kutokana na mvua haba hawezi kutumia njia zake za umwagiliaji wa mazao yake. &#8220;Tulikuwa tukisukuma maji kutoka mwinuko mkubwa hadi kwenye shamba letu, na tulitumia mashine za kumwagilia maji kwa ajili ya umwagiliaji. Lakini sasa, vyanzo vya maji vinakauka, na msukumo mdogo katika mfumo mzima hauwezi kuingiza maji kwenye mabomba,&#8221; anasema. &#8220;Tunapaswa kuomba kuwa mvua zinaendelea kunyesha,&#8221; anaongeza. Lakini ji&#341;ani yake mwenye um&#341;i wa miaka 32 Koumbou, hajakaa na kufunga mikono yake kuomba mvua inyeshe. Wakati anapalilia mazao yake ya ka&#341;oti, anasema kwa kujigamba: &#8220;Tumebuni mikakati mipya tunapokabiliwa na changamoto nyingine.&#8221; Badala ya kukaa na kuangalia mazao yetu yakinyauka, Koumbou alianza kuvuna maji. &#8220;Niligundua kuwa wakati wa usiku, kiasi cha maji katika kijito cha ka&#341;ibu yanaongezeka. Hivyo nilinunua kontena la kuhifadhia maji, na wakati wa usiku nawachukua wafanyakazi wangu wa shambani kuteka maji. Maji hayo yanatumika wakati wa mchana kumwagilia mazao,&#8221; anaiambia IPS. Koumbou taya&#341;i ameonyesha njia, na wakulima wengine kwa sasa wanafuata njia zake. &#8220;Ni njia pekee,&#8221; anasema Ch&#341;istophe&#341; Neba, ambaye ameshaanza kuvuna maji. Koumbou amekuwa akiendesha kilimo cha ka&#341;oti, viazi, kabichi, mazao jamii ya vitunguu kwa kipindi cha miaka 25. Anasema mama yake alimfundisha kilimo akiwa na um&#341;i mdogo. &#8220;Nilipofikia um&#341;i wa miaka saba nilianza kushi&#341;iki na wazazi wangu kwenda shambani. Na nimeendelea kuwa mkulima tangu wakati huo.&#8221; Leo hii, anatengeneza wastani wa faida ya chini ya dola 5,000 kwa mwaka. Lakini mwaka huu ana imani kuwa atatengeneza faida zaidi. &#8220;Ukweli kwamba wakulima wengi walipoteza matumaini na kutelekeza mashamba yao na hivyo kumaanisha bei kupanda kwa kiasi kikubwa mwaka huu, na hiyo ina maana kuwa kutengeneza faida zaidi. Nawaonea hu&#341;uma maji&#341;ani zangu, lakini hivyo ndivyo maisha yalivyo sasa,&#8221; anasema. Wakati hakuna takwimu maalum za jinsi gani wakulima wengi wametelekeza kilimo, siyo suala la kuka&#341;ibishwa katika nchi ambayo kwa kiasi kikubwa inaagiza chakula kutoka nje. Came&#341;oon inatumia wastani wa dola milioni 122 kwa mwaka kuagiza mchele, mtama na uwele. Mwaka jana uhaba wa mchele ulisababisha kuagiza tani 80,000, ambazo ziliigha&#341;imu nchi dola milioni 240. Hii inajitokeza wakati Shi&#341;ika la Chakula la Umoja wa Mataifa linasema watu 400,000 kaskazini mwa Came&#341;oon wanahitaji tani 40,000 za chakula ili wasikumbwe na njaa. Wakati huo huo, mjumbe wa kilimo wa ukanda wa kaskazini Magha&#341;ibi, Cletus Awah, analaumu uhaba wa maji kusababisha mbinu za kilimo zisizofaa. &#8220;Tumewaaambia wakulima kupunguza mashamba yao hadi kufikia mita 15 kutoka vyan zo vya maji. Lakini ma&#341;a nyingi, wanalima hadi katika ndani ya mto, na kuha&#341;ibu uoto wa asili ambao unalinda vyanzo vya maji na hivyo kusababisha kupungua kwa kina cha maji,&#8221; anaiambia IPS. Awah ana imani kuwa ufumbuzi wa kupungua kwa maji utakuja wakati wakulima watakapoanza kuhifadhi vyanzo vya maji. &#8220;Wakulima lazima kuacha ma&#341;a moja kuendesha kilimo ka&#341;ibu mno na vijito vya maji au a&#341;dhi oevu,&#8221; anasema. Koumbou ameongeza wito. &#8220;Ni kosa letu kuwa vyanzo vya maji vinakauka,&#8221; anasema. &#8220;Tuligundua kuwa a&#341;dhi oevu ilikuwa na &#341;utuba mno na hivyo kuanza kuilima bila kufiki&#341;i madha&#341;a yake. Polepole maji yakaanza kupungua, na sasa tunalipia gha&#341;ama. Mwaka huu, sijalima kwenye a&#341;dhi oevu na hiyo ndiyo sababu bado nina maji ya kutumia.&#8221; Vile vile, ida&#341;a ya kikanda ya kilimo ina imani kuwa uvunaji wa maji ni ufumbuzi wa muda mfupi kwa wakulima. &#8220;Kama suala la uha&#341;aka, tumepanga kujenga mabwawa ya kuhifadhia maji ili maji machache yaliyopo yaweze kuhifadhiwa kwa ajili ya kumwagilia mashamba,&#8221; Awah anasema. Anaongeza kuwa mkakati wa muda m&#341;efu ni kupanda miti kusaidia kuhifadhi vyanzo vya maji. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>SANTA, Came&#341;oon, Juni 5 (IPS) &ndash; Olivie&#341; Fo&#341;gha Koumbou anasafisha ka&#341;oti ambazo ndiyo punde tu zimevunwa na anaanza kuzila. Shamba lake linalozidi kustawi huko Santa, katika mkoa wa Kaskazini Magha&#341;ibi mwa Came&#341;oon, linaonekana kama muujiza katikati mwa mashamba mengi ambapo ka&#341;oti, viazi, mazao jamii ya vitunguu aidha yamekufa au kunyauka. Mvua zimenyesha kidogo sana hapa&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":687,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3864","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3864","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/687"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3864"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3864\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3864"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3864"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3864"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}