{"id":3863,"date":"2012-06-06T13:40:01","date_gmt":"2012-06-06T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/06\/06\/biashaa-baina-ya-mataifa-ya-afika-au-muungano-wa-kimataifa-utata-wa-kuku-na-yai\/"},"modified":"2012-06-06T13:40:01","modified_gmt":"2012-06-06T13:40:01","slug":"biashaa-baina-ya-mataifa-ya-afika-au-muungano-wa-kimataifa-utata-wa-kuku-na-yai","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/06\/06\/biashaa-baina-ya-mataifa-ya-afika-au-muungano-wa-kimataifa-utata-wa-kuku-na-yai\/","title":{"rendered":"Biasha&#341;a Baina ya Mataifa ya Af&#341;ika au Muungano wa Kimataifa: Utata wa Kuku na Yai"},"content":{"rendered":"<p>GENEVA, Juni 5 (IPS) &ndash; Pamoja na kuwa Shi&#341;ika la Fedha Ulimwenguni (WTO) kwa muda m&#341;efu limewahi kusema biasha&#341;a baina ya mataifa ya Af&#341;ika iko chini mno, wataalam katika Kituo cha Kusini, chombo cha se&#341;ikali mbalimbali kinachofanya tafiti katika nchi zinazoendelea, kinasema biasha&#341;a miongoni mwa mataifa ya Kiaf&#341;ika taya&#341;i ni muhimu katika utengenezaji wa bidhaa na inaonyesha njia mpya ya kuelekea kwenye mapinduzi ya viwanda.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>&#8220;Biasha&#341;a baina ya mataifa ya Kiaf&#341;ika iko chini mno. Mwaka jana, ilikuwa asilimia 10 tu ya biasha&#341;a katika ba&#341;a hilo,&#8221; Valentine Rugwabiza, naibu mku&#341;ugenzi mkuu wa WTO, ambayo inataka kupunguza vizingiti vya kukuza biasha&#341;a na pia kukuza misaada kwa ajili ya biasha&#341;a, aliiambia IPS. &#8220;Pamoja na gawio la Af&#341;ika katika biasha&#341;a ya kimataifa kuwa dogo mno chini ya asilimia tatu mwaka 2011 &ndash; linazidi kuongezeka kwa kasi, hususan katika nchi zenye uchumi unaoibukia; wakati biasha&#341;a ndani ya Af&#341;ika zinazidi kuwa muhimu.&#8221; Kutokana na kutokubadilika kwa mgawanyo wa nguvukazi kuliko&#341;ithiwa kutoka enzi za ukoloni, Af&#341;ika inaendelea kutegemea kiasi kidogo cha bidhaa zinazosafi&#341;ishwa kwenda nje ambazo ni malighafi: mwaka 2010, uchimbaji wa mafuta na madini uliwakilisha asilimia 66 ya jumla ya bidhaa zilizosafi&#341;ishwa nje. Kwa mujibu wa Rugwabiza, kukosekana kwa miundombinu ya uwekezaji na vizingiti visivyokuwa vya ushu&#341;u vya kila aina kunafanya biasha&#341;a kati ya mataifa 54 ya Af&#341;ika kuwa ngumu. &#8220;Wakati inachukua siku 18 kusafi&#341;isha bidhaa nje kwenda mataifa ya Ame&#341;ika Kusini na Ca&#341;ibbean, ka&#341;ibu inachukua siku 33 kufanya biasha&#341;a kutoka taifa moja la Af&#341;ika kwenda jingine,&#8221; aliongeza, akibainisha kuwa pia ni gha&#341;ama kubwa kusafi&#341;isha kontena kutoka taifa moja la Af&#341;ika kwenda jingine ikilinganishwa na kusafi&#341;isha katika mataifa mengine yaliyoendelea. Kwa mfano, kusafi&#341;isha kontena kutoka kusini masha&#341;iki mwa ba&#341;a la Asia kunagha&#341;imu dola 900, ikilinganishwa na kusafi&#341;isha kwa dola 2,000 kutoka taifa moja kwenda jingine ba&#341;ani Af&#341;ika; vile vile inagha&#341;imu dola 935 kuagiza kontena kutoka kusini masha&#341;iki mwa Asia, na ka&#341;ibu dola 2,500 kufanya hivyo ndani mwa ba&#341;a la Af&#341;ika. Hata hivyo, Kituo cha Kusini kilichopo mjini Geneva kina matumaini zaidi. &#8220;Kwa kuangalia hali kwa undani, biasha&#341;a ndani ya Af&#341;ika ni ya chini,&#8221; Aileen Kwa, afisa biasha&#341;a wa Kituo cha Kusini, aliiambia IPS. &#8220;Katika suala la kusafi&#341;isha nje mazao yasiyokuwa ya mafuta biasha&#341;a ya ndani ba&#341;ani Af&#341;ika iko juu huku ikisafi&#341;isha bidhaa nyingi kwenda mataifa ya EU. Zaidi ya hapo, kiwango cha ukuaji wa biasha&#341;a ndani mwa Af&#341;ika ni cha pili kwa ukubwa baada ya China na mbele ya Ma&#341;ekani na EU. Hivyo, inaleta matumaini makubwa, pia katika suala zima la ubo&#341;a wa bidhaa zinazosafi&#341;ishwa nje.&#8221; Anaelezea kuwa ukiondoa Af&#341;ika Kusini, ni asilimia 10 tu ya bidhaa zinazosafi&#341;ishwa nje katika Af&#341;ika Kusini mwa Jangwa la Saha&#341;a zinazokwenda EU zinatoka viwandani, kiwango ambacho kimeongezeka hadi asilimia 27 katika biasha&#341;a kati ya kanda na kanda ba&#341;ani Af&#341;ika. &#8220;Bidhaa nyingi za viwandani ba&#341;ani Af&#341;ika zinakwenda katika nchi za Af&#341;ika. Hivyo kama ba&#341;a linataka kuwa na viwanda vingi, soko linalotoa fu&#341;sa nzu&#341;i kwa Af&#341;ika siyo China, Ma&#341;ekani wala EU.&#8221; Kwa upande wa Rugwabiza, hata hivyo, ukuaji wa viwanda ba&#341;ani Af&#341;ika unahitaji siyo tu kuima&#341;isha soko la ndani, lakini pia kuunganisha soko la dunia. &#8220;Leo hii, sehemu za kifaa kimoja zinaweza kuzalishwa katika nchi mbalimbali duniani. Hii ni fu&#341;sa kubwa kwa Af&#341;ika kubobea katika kazi moja moja na kujiweka katika mzunguko wa biasha&#341;a wa kimataifa,&#8221; aliiambia IPS. &#8220;Baadhi ya nchi taya&#341;i zimeshafanya hivyo, lakini bado ni moja moja tu. Mau&#341;itius, kwa mfano, inazalisha bidhaa kwa ajili ya H&#038;M, (duka kubwa la nguo duniani). Kutokana na kuwa na vifaa na sekta nzu&#341;i ya huduma, kampuni hiyo ya kimataifa inatambua kuwa itapata bidhaa zake kwa wakati unaotakiwa na hii imechangiwa na mazingi&#341;a ya kishe&#341;ia tulivu na yanayotabi&#341;ika, kwani hakuna she&#341;ia ambazo zinata&#341;ajiwa kutungwa hivi ka&#341;ibuni,&#8221; alisema. Kwa anabainisha kuwa picha haifahamiki sana katika baadhi ya maeneo ya Af&#341;ika, kwani biasha&#341;a ndani ya ba&#341;a ni kubwa kuliko maeneo mengine. Jumla ya bidhaa zinazosafi&#341;ishwa nje katika Jumuiya ya Af&#341;ika Masha&#341;iki (EAC) kwenda Af&#341;ika Kusini mwa Jangwa la Saha&#341;a taya&#341;i inazidi jumla ya bidhaa zinazosafi&#341;ishwa nje kwenda EU mwaka 2000. Mataifa mengine kama vile Zambia na Senegal pia yanasafi&#341;isha bidhaa zaidi kwenda ba&#341;ani Af&#341;ika kuliko kwenda Ulaya. Hata hivyo, bado kuna baadhi ya kanda zinaonyesha picha inayokatisha tamaa. Rugwabiza ana imani kuwa Af&#341;ika, kutokana na utegemezi wake mkubwa wa biasha&#341;a na dunia ya nje, inaathi&#341;ika zaidi na mitikisiko ya nje. Hii inajitokeza hasa katika sekta ya kilimo, kama ambavyo mgogo&#341;o wa chakula umeonyesha. &#8220;Mwaka 2008, Af&#341;ika iliagiza nafaka za jumla ya dola bilioni 15, huku asilimia tano tu ya nafaka zikiwa zimeuzwa nje kutoka Af&#341;ika. Ruzuku za kilimo katika nchi zenye maendeleo makubwa, uwekezaji usiotosheleza na uzalishaji duni wa kilimo na vikwazo visivyokuwa vya biasha&#341;a (kati ya mataifa ya Af&#341;ika) bado ni kikwazo kikubwa,&#8221; aliongeza. Shop&#341;ite (Pty) Ltd, kwa mfano, kampuni ya kimataifa yenye makao yake nchini Af&#341;ika Kusini, inatumia nya&#341;aka 20,000 kwa wiki kupata &#341;uhusa ya kusambaza nyama na bidhaa za mimea katika maduka nchini Zambia pekee. Katika nchi zote ambako inafanya kazi, vibali vipatavyo 100 vinahitajika kwa kuingia ma&#341;a moja kila wiki, lakini hivi vinaweza kuongezeka hadi 300 kwa wiki wakati wa msimu wa shughuli nyingi. Kutokana na uki&#341;itimba huu wa kishe&#341;ia, kunaweza kuwepo kwa nya&#341;aka hadi 1,600 zinazokwenda sanja&#341;i na kila lo&#341;i la Shop&#341;ite lenye bidhaa linalovuka mpaka katika Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Af&#341;ika (SADC). Lakini mambo yanaweza kubadilika. Kwa mfano, EAC imeweza kupunguza idadi ya vituo vya ukaguzi, wakati Uganda na Rwanda wameanzisha kituo kimoja cha mpaka baina yao ambacho kinafunguliwa kwa masaa 24 kwa siku. Kwa anasema kuwa mataifa ya Af&#341;ika yanategemea kwa kiasi kikubwa kuagiza bidhaa kutoka nje kutoka soko la dunia, hususan chakula, na hiyo inatokana zaidi na kukosa uwezo wa kuzalisha. Ana imani kuna haja ya kuwa na baadhi ya mizania kati ya malengo ya muda mfupi na muda m&#341;efu. Wakati katika malengo ya muda mfupi nchi zinapaswa kuwa na uwezo wa kuagiza chakula ha&#341;aka na kwa u&#341;ahisi kad&#341;i inavyowezekana kufikia mahitaji ya lazima, katika mikakati ya muda m&#341;efu ni lazima kuzalisha chakula chao wenyewe bila ya kutegemea kuagiza bidhaa kutoka nchi zenye maendeleo makubwa ambazo zina ushindani usiokuwa wa usawa kutokana na kupatiwa &#341;uzuku kubwa kutoka se&#341;ikalini. Kutegemea katika uagizaji bidhaa nje kunadhoofisha wazalishaji wa ndani na uwezo wao wa baadaye. Kwa hali hii, nchi zinahitaji kutumia ushu&#341;u na se&#341;a nyingine za biasha&#341;a kama hizo kupunguza baadhi ya bidhaa zinazoagizwa kutoka nje, hata kutoka kwa maji&#341;ani zao, angalau kwa muda fulani. &#8220;Kwanza nchi zinatakiwa kuongeza uwezo wao wa kuzalisha halafu biasha&#341;a itafuata. Ma&#341;a zote WTO inafiki&#341;i juu ya kuongeza biasha&#341;a, lakini suala kubwa kwa Af&#341;ika ni jinsi gani ya kuongeza uwezo wake wa kuzalisha. Halafu biasha&#341;a itafuata yenyewe,&#8221; Kwa aliiambia IPS.  <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>GENEVA, Juni 5 (IPS) &ndash; Pamoja na kuwa Shi&#341;ika la Fedha Ulimwenguni (WTO) kwa muda m&#341;efu limewahi kusema biasha&#341;a baina ya mataifa ya Af&#341;ika iko chini mno, wataalam katika Kituo cha Kusini, chombo cha se&#341;ikali mbalimbali kinachofanya tafiti katika nchi zinazoendelea, kinasema biasha&#341;a miongoni mwa mataifa ya Kiaf&#341;ika taya&#341;i ni muhimu katika utengenezaji wa bidhaa&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":648,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3863","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3863","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/648"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3863"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3863\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3863"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3863"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3863"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}