{"id":3860,"date":"2012-06-06T13:40:01","date_gmt":"2012-06-06T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/06\/06\/vyoo-vingi-maisha-boa-nchini-zimbabwe\/"},"modified":"2012-06-06T13:40:01","modified_gmt":"2012-06-06T13:40:01","slug":"vyoo-vingi-maisha-boa-nchini-zimbabwe","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/06\/06\/vyoo-vingi-maisha-boa-nchini-zimbabwe\/","title":{"rendered":"Vyoo Vingi, Maisha Bo&#341;a Nchini Zimbabwe"},"content":{"rendered":"<p>BULAWAYO, Zimbabwe, Juni 5 (IPS) &ndash; Se&#341;ikali na wataalam wa usafi wa mazingi&#341;a wanasema Zimbabwe inahitaji kuongeza jitihada za kukuza usafi na kuwekeza katika vyoo na utoaji wa maji salama, wakati nchi ikikabiliwa na ugonjwa wa homa ya matumbo.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Taifa hilo lime&#341;ipoti kuwa zaidi ya watu 3,000 wamekabiliwa na gonjwa la homa ya matumbo tangu Machi. Homa ya matumbo inaambukizwa kwa kula chakula au kunywa maji yenye kinyesi cha binadamu aliyeambukizwa ugonjwa. Wagonjwa wengi wanatoka mji mkuu wa nchi hiyo wa Ha&#341;a&#341;e, na kwa uchache kume&#341;ipotiwa vifo vya watu wawili. Hata hivyo, matumizi ya &#8220;vyoo vya kichakani&#8221; au kujisaidia katika maeneo ya wazi ni kitendo kinachotumika kwa kiasi kikubwa, ambapo se&#341;ikali ya Zimbabwe ina mashaka juu ya gonjwa hilo. Wazi&#341;i wa Rasilimali Maji wa Zimbabwe Samuel Sipepa Nkomo alisema inaonyesha mtizamo uliojengeka kwa kiasi kikubwa juu ya suala zima la usafi wa mazingi&#341;a na usafi wa mwili miongoni mwa watu katika taifa hili la kusini mwa Af&#341;ika. &#8220;Tuna tatizo kubwa la kujisaidia katika maeneo ya wazi na inabidi kufanya kazi kwa pamoja kushughulikia tatizo hilo,&#8221; Nkomo aliiambia IPS. Zimbabwe ilipata hasa&#341;a kubwa katika kuwekeza kwenye p&#341;og&#341;amu ya usafi wa mazingi&#341;a kati ya mwaka 2008 na 2009. Zaidi ya watu 4,000 walifa&#341;iki kutokana na kipindupindu na zaidi ya watu 100,000 waliambukizwa kutokana na kutokuzingatia tabia za usafi na kukosekana kwa vyoo. Kipindupindu pia kinaambukizwa kwa kula chakula au maji yenye kinyesi cha mtu aliyeambukizwa. &#8220;Kuenea kwa kipindupindu kunasemekana kusababishwa na usafi duni wa mwili na kutokunawa mikono yetu ma&#341;a kwa ma&#341;a. Mbali ya hilo, homa ya matumbo ni ugonjwa unaotokana na usafi duni wa mwili,&#8221; alisema Noma Neseni, mku&#341;ugenzi wa Tasisi ya Maji na Maendeleo ya Usafi wa Mazingi&#341;a, shi&#341;ika lisilo la kise&#341;ikali ambalo ni kituo cha kikanda cha kujenga uwezo wa maendeleo ya maji na sekta ya usafi wa mazingi&#341;a. Neseni alisema changamoto kubwa ya Zimbabwe ilikuwa ni kubadili mitizamo ya watu kuhusu usafi wa mazingi&#341;a na usafi wa mwili. &#8220;Hatulengi katika kukuza masuala ya usafi wa mwili, lakini katika miundombinu, jambo ambalo halipaswi kuwa hivyo.&#8221; Takwimu zilizotolewa na Mpango wa Ufuatiliaji wa Pamoja wa Shi&#341;ika la Afya Ulimwenguni na Shi&#341;ika la Watoto la Umoja wa Mataifa (UNICEF) zinaonyesha kuwa shabaha za taifa nchini Zimbabwe ni kufikia asilimia 80 ya usafi wa mazingi&#341;a katika eneo la vijijini, asilimia 100 kwa maeneo ya mjini, na asilimia 100 katika kusambaza maji vijijini na mijini. Kwa kuangalia makadi&#341;io ya ka&#341;ibuni zaidi ya utoaji wa huduma za usafi wa mazingi&#341;a mwaka 2010, Zimbabwe inahitaji kuongeza kiasi hicho kutoka asilimia 52 hadi asilimia 77 katika maeneo ya mijini na kutoka asilimai 32 hadi asilimia 68 katika maeneo ya vijijini ili kufikia Malengo ya Maendeleo ya Milenia, malengo nane kuhusu kupambana na umaskini na kuleta maendeleo ambayo nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa walikubaliana kuyafikia ifikapo mwaka 2015. &#8220;Kama kunakuwepo na kunawa mikono kwa ma&#341;a kwa ma&#341;a, kusingekuwepo na mtu yoyote ambaye angeandamwa na magonjwa hayo,&#8221; alisema Neseni. &#8220;Tuna maendeleo makubwa ya miundombinu, lakini miundombinu bila kubadili mtizamo hautatufikisha popote. Tunahitaji watu kuwa na ufahamu juu ya masuala ya usafi wa mwili. Sehemu ya tatizo ni kuwa tunachukulia suala la usafi wa mazingi&#341;a na maji kama la se&#341;ikali; tunahitaji sekta binafsi kufanya kazi kwa kushi&#341;ikiana na kila mtu.&#8221; Neseni alitoa wito wa kuwepo kwa u&#341;atibu wa sekta binafsi na za umma katika kukabiliana na changamoto zinazokabili usafi wa mazingi&#341;a, usafi wa mwili na ugavi wa maji nchini Zimbabwe. Masuala haya muhimu yatakuwa masuala ya msingi katika Mkutano wa Pili wa Viongozi wa Juu kuhusu Usafi wa Mazingi&#341;a na Maji kwa Wote (SWA) ushi&#341;ikiano unaoendeshwa na UNICEF mjini Washington D.C. Ijumaa Ap&#341;ili 20. Mkutano huo umeleta pamoja zaidi ya mawazi&#341;i 60 wanaohusika na masuala ya maji na usafi wa mazingi&#341;a na fedha kutoka mataifa zaidi ya 30 yaliyoendelea. Pia waliokuwepo walikuwa mashi&#341;ika ya wahisani na mashi&#341;ika ya ki&#341;aia ambayo yanafanya kazi ya kukuza upatikanaji wa maji salama, usafi wa mazingi&#341;a na usafi wa mwili kwa wote (WASH) kupitia kuongezeka kwa vitega uchumi. Kwa mujibu wa taa&#341;ifa fupi ya SWA, mawazi&#341;i hao wanata&#341;ajiwa kuja na ufumbuzi wa jinsi gani ya kushughulikia mgogo&#341;o wa WASH. Nkomo anaunga mkono kuwa hali hiyo inatokana na Zimbabwe kuwa na utendaji mbovu katika eneo hilo. &#8220;Sisi tupo nyuma mno katika usafi wa mazingi&#341;a, pamoja na kuwa ni wazu&#341;i kidogo katika ugavi wa maji,&#8221; Nkomo aliiambia IPS kutoka mjini Washington D.C. &#8220;Kuzuka kwa kipindupindu mwaka 2008 na homa ya matumbo mwaka huu ni tahadha&#341;i kuhusu madha&#341;a ya kutokutumia fedha zaidi katika usafi wa mazingi&#341;a na miundombinu ya maji. Lakini tunafanya jitihada kubo&#341;esha hali.&#8221; Nkomo, ambaye anaongozana na Wazi&#341;i wa Fedha wa Zimbabwe Tendai Biti katika mkutano huo, alisema nchi hiyo ilikuwa inaandaa &#341;asimu ya mkakati wa kitaifa wa usafi wa mazingi&#341;a na maji kwa ajili ya kuwasilishwa kwa wadau mwishoni mwa Ap&#341;ili. &#8220;Huu utakuwa ni mfumo wa sekta nyingi za kuhamasisha watu juu ya hata&#341;i ya kujisaidia katika maeneo ya wazi, na pia kuima&#341;isha miundombinu bo&#341;a.&#8221; Mkakati utaongoza uwekezaji na kukuza usafi wa mazingi&#341;a, na upatikanaji wa maji safi katika maeneo ya mjini na mijini. Wiki hii, Wazi&#341;i wa Afya na Masuala ya Watoto alitoa tahadha&#341;i kuwa magonjwa yanayosababishwa na maji kama vile kipindupindu yanaondelea kuzidi kuwa tishio. Takwimu zilizotolewa wiki hii na Kitengo cha Udhibiti wa Magonjwa ya Milipuko na Idadi ya Watu katika Wiza&#341;a ya Afya na Mambo ya Watoto zinaonyesha kuwa wagonjwa wa kipindupindu waliongezeka ma&#341;a mbili katika &#341;obo ya kwanza ya mwaka 2012 hadi kufikia 8,154 kutoka wagonjwa 4,000 walio&#341;ipotiwa katika kipindi kama hicho mwaka jana. Nusu ya wagonjwa hawa walikuwa ni watoto chini ya um&#341;i wa miaka mitano. Wiza&#341;a ilisema inajipanga kuanzisha chanjo kuzuia idadi ya watoto wanaopatwa na ugonjwa wa kipindupindu kwa watoto. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>BULAWAYO, Zimbabwe, Juni 5 (IPS) &ndash; Se&#341;ikali na wataalam wa usafi wa mazingi&#341;a wanasema Zimbabwe inahitaji kuongeza jitihada za kukuza usafi na kuwekeza katika vyoo na utoaji wa maji salama, wakati nchi ikikabiliwa na ugonjwa wa homa ya matumbo. Taifa hilo lime&#341;ipoti kuwa zaidi ya watu 3,000 wamekabiliwa na gonjwa la homa ya matumbo tangu&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":540,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3860","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3860","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/540"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3860"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3860\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3860"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3860"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3860"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}