{"id":3859,"date":"2012-05-17T13:40:01","date_gmt":"2012-05-17T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/05\/17\/sheia-ya-kupambana-na-ugaidi-ya-maekani-yaifanya-somalia-kuendelea-kuwa-na-njaa\/"},"modified":"2012-05-17T13:40:01","modified_gmt":"2012-05-17T13:40:01","slug":"sheia-ya-kupambana-na-ugaidi-ya-maekani-yaifanya-somalia-kuendelea-kuwa-na-njaa","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/05\/17\/sheia-ya-kupambana-na-ugaidi-ya-maekani-yaifanya-somalia-kuendelea-kuwa-na-njaa\/","title":{"rendered":"She&#341;ia ya Kupambana na Ugaidi ya Ma&#341;ekani Yaifanya Somalia Kuendelea kuwa na Njaa"},"content":{"rendered":"<p>HELSINKI, Mei 17 (IPS) &ndash; Wakati Somalia yenye vita ikiwa pia imeandamwa na njaa mwaka jana, ambayo iliua makumi kwa maelfu ya watu na kukimbia kwa zaidi ya watu milioni, vyombo vya haba&#341;i vya kimataifa vililaumu kikundi cha Kiislam cha Al&ndash;Shabaab kutokana na kuzuia mashi&#341;ika ya misaada kufika maeneo yanayokaliwa na kikundi hicho cha kigaidi ya kusini mwa Somalia.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Lakini kwa mujibu wa Ken Menkhaus, p&#341;ofesa wa Sayansi ya Siasa katika Chuo cha Davidson katika jimbo la No&#341;th Ca&#341;olina, she&#341;ia za kupambana na ugaidi za Ma&#341;ekani kwa kiasi kikubwa zilichangia kwa kiasi kikubwa katika kuzuia misaada kufikia waathi&#341;ika wa njaa kupata misaada iliyohitajika. Akizungumza hapa katika semina siku ya Jumatano, ambayo iliandaliwa na Ida&#341;a ya Mafunzo ya Kidini kwenye Chuo Kikuu cha Helsinki, Menkhaus alisema kuwa mashi&#341;ika ya misaada ya kibinadamu yaliahi&#341;isha utoaji wa misaada ya chakula katika maeneo yaliyokumbwa na ukame yaliyodhibitiwa na Al&ndash;Shabaab kwa hofu ya kukiukwa kwa She&#341;ia ya Kupambana na Ugaidi ya Ma&#341;ekani. Ba&#341;aza la Cong&#341;ess lilipitisha She&#341;ia mwaka 2001 kama sehemu ya kukabiliana na shambulizi la kigaidi la Sep. 11 katika Kituo cha Biasha&#341;a cha Kimataifa na makao makuu ya kijeshi ya Pentagon na katika she&#341;ia hiyo, kila mtu anayetoa misaada, hata kama ni kwa nia njema, kwa kikundi cha kigaidi, angeweza kukabiliwa na adhabu kali. Kutokana na kwamba Al&ndash;Shabaab &ndash; tawi la Somalia la Kikundi cha Kigaidi cha Kiislam cha Al&ndash;Qaeda, kinachopambana na Se&#341;ikali ya Mseto ya Shi&#341;ikisho (FTG) nchini Somalia na kudhibiti eneo kubwa la kusini isipokuwa mji mkuu wa Mogadishu &ndash; kimeo&#341;odheshwa kama kikundi cha kigaidi na Ma&#341;ekani, mashi&#341;ika ya kibinadamu yalikuwa na mashaka ya kutuhumiwa kwa &#8216;kusaidia magaidi&#8217; na hivyo kuha&#341;ibu picha ya shi&#341;ika zima. Na hivyo wengi kufikia hitimisho kuwa hawawezi kuendesha shughuli zao katika maeneo yaliyokuwa chini ya Al&ndash;Shabaab. Pamoja na kuwa kikundi hicho kilizuia misaada kufikia maeneo yenye njaa kwa madai kuwa misaada ya chakula ni njama za Magha&#341;ibi kuwaondoa wakulima wa Somalia katika biasha&#341;a hiyo, Menkhaus, mtaalam katika pembe ya Af&#341;ika, ana imani kuwa hiyo haikuwa sabahu ya msingi. &#8220;Kuna mataifa mengi ya magha&#341;ibi, ikiwa ni pamoja na se&#341;ikali yangu, ambao wangependa kuona mjadala unaishia hapo na kusema kuwa hali nzima imesababishwa na kikundi cha Al&ndash;Shabaab.&#8221; Hata hivyo, msingi mwingine wa se&#341;a ya Ma&#341;ekani, &#8220;ni kosa la jinai kuendesha biasha&#341;a zozote zile kusini mwa Somalia,&#8221; alisema. Mataifa mengine yana she&#341;ia kama hizo, lakini tangu Ma&#341;ekani iliposambaza chakula cha kutosha nchini Somalia, she&#341;ia imekuwa na madha&#341;a makubwa kabisa nchini humo. Katika hali ya kupindisha mambo, &#8220;kusitisha misaada ya chakula kusini mwa Somalia ni jambo pekee kwa se&#341;ikali ya Ma&#341;ekani na Al&ndash;Shabaab kukubaliana, na kusababisha atha&#341;i kwa mamilioni ya Wasomali,&#8221; Menkhaus aliiambia IPS. Katika hali halisi, Ma&#341;ekani ingeweza kupunguza makali, kulinda mashi&#341;ika ya misaada kutokana na she&#341;ia ya kupambana na ugaidi; kwani upunguzaji wa makali kama huo umeshatolewa kwa mashi&#341;ika ya misaada kusini mwa Lebanon na Benki ya Dunia katika majimbo ya Palestina yaliyokaliwa na walowezi, ambako makundi ya Hezbollah na Hamas yanaendesha shughuli zao. Lakini katika suala zima la Somalia, Menkhaus ana imani kuwa utawala wa Ma&#341;ekani haukutaka kuwapatia wapinzani wake wa Republican faida za kisiasa katika kuka&#341;ibia kwenye uchaguzi wa &#341;ais unaoka&#341;ibia kutokana na &#8220;kuwa dhaifu mno dhidi ya ugaidi&#8221;. Badala yake, se&#341;ikali ya Ma&#341;ekani iliandaa she&#341;ia ambayo ilitoa ahuani kwa mashi&#341;ika ya misaada kulindwa na she&#341;ia ambayo, baada ya kutathminiwa na wataalam wa she&#341;ia, ilionekana kukosa ulinzi kama huo, na kufanya mashi&#341;ika ya misaada kuwa &#341;ahisi kushambuliwa chini ya She&#341;ia ya Ugaidi. Utabi&#341;i wa hivi ka&#341;ibuni unaonyesha kuwa hivi punde Somalia itakabiliwa na ukame mwingine, ambao utasababisha mgogo&#341;o mwingine wa chakula nchini humo mwaka huu. Kwa sasa kuna haja ya kuwa na hatua za ha&#341;aka, zinazoweza kuchukuliwa na se&#341;ikali ya Ma&#341;ekani hasa katika kuzuia janga jingine la kibinadamu, Menkhaus alisema. Al&ndash;Shabab yadhoofika  Raia wa Somalia anayefanya kazi na mashi&#341;ika ya misaada nchini humo katika eneo la kusini, ambaye hakutaka kujulikana kutokana na kuhofia usalama wake, aliiambia IPS kuwa Al&ndash;Shabaab inaanza kupoteza kuungwa mkono na idadi kubwa ya Wasomali wanaanza kutoku&#341;idhishwa na se&#341;a za kulazimisha kuingiza watu katika kikundi hicho na pia matumizi ya mabomu ya kujitoa mhanga. Ikiwa imeanzishwa mwaka 2008 kupinga uvamizi uliofanywa na majeshi ya Ethiopia nchini mwao, Al&ndash;Shabaab iliwahi kuwa kikundi maa&#341;ufu mno, kikionekana kama kikundi halali cha kuweza kuondosha majeshi ya wavamizi kutokana na se&#341;ikali ya FTG kushindwa kuchukua hatua. Pia kikundi hicho kimeweza ku&#341;ejesha matumizi ya she&#341;ia na utulivu katika mikoa kadhaa na hivyo kukabiliana kisawasawa na vitendo vya wapiganaji na wababe wa vita. Hata hivyo, Menkhaus alisema kuwa kikundi hicho kimedhoofishwa kwa kiasi kikubwa na kushindwa vita inayoongozwa na walinzi 12,000 wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa nchini humo; na mbinu yake ya kutumia mabomu ya kujitoa mhanga dhidi ya &#341;aia kunakiondoa kikundi hicho kutoka kwa watu waliokuwa wanakiunga mkono. Abdi&ndash;Rashid (siyo jina lake halisi), alishutumu se&#341;ikali za Magha&#341;ibi kwa kile kilichoelezewa kama &#8220;kuingiza siasa kwenye misaada ya Somalia&#8221;, ambapo ajenda za kiutu zinakuwa suala la pili baada ya ajenda ya kisiasa. Umuhimu mkubwa umewekwa kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe na &#8220;hali ya usalama &#8220;, kwa ajili ya sababu muhimu: hadi mwaka 2008 Somalia ilikuwa moja ya eneo hata&#341;i zaidi duniani kwa wafanyakazi wa misaada. &#8220;Moja ya tatu ya mauaji ya wafanyakazi wa mashi&#341;ika ya misaada yalitokea siyo nchini Afghanistan au I&#341;aq lakini nchini Somalia,&#8221; Menkhaus alisema. Hata hivyo, hii haifanyi kuwa na sababu ya ku&#341;uhusu waathi&#341;ika wa njaa kuangamia kwa wingi, alisisitiza. &#8220;Kazi ya maendeleo ya muda m&#341;efu inapaswa kuendelea kufanyika pamoja na vita &#8221; ili ku&#341;ejesha haki za msingi za binadamu miongoni mwa watu kwa kutumia vitu vinavyoonekana kama vile &#8220;shule na visima vya maji ya kunywa &#8220;, Abdi&ndash;Rashid aliiambia IPS. Kama masuala hayo ya muda m&#341;efu yanapuuzwa kwa muda m&#341;efu, kutakuwa na madha&#341;a makubwa siyo tu kwa Somalia lakini pia kwa ukanda mzima. &#8220;Njaa hii &ndash; ambayo tumekuwa nayo mwaka jana na ambayo tunaweza kuwa nayo mwaka 2012 &ndash; inaleta mtikisiko ikiwa ni pamoja na kupoteza vipato katika maeneo ya kijijini kusini mwa Somalia, na hivyo kupeleka mawimbi katika maeneo ya mpakani mwa Kenya na Ethiopia,&#8221; aliongeza Abdi&ndash;Rashid. Kambi ya wakimbizi ya Dadaab nchini Kenya, ambayo ina wakazi 520,000, kwa sasa ni mji wa tatu kwa ukubwa nchini Kenya, na ambao siyo endelevu kabisa. Wakati huo huo, ufuka&#341;a wa wafugaji wanaohama na wakulima ambao hawawezi kuendesha maisha yao katika maeneo ya vijijini wanakimbilia maeneo ya mijini. Watu hawa, ambao hawaji na ujuzi wowote wa kiufundi katika eneo lenye matatizo makubwa ya aji&#341;a, wanaanzisha makazi duni makubwa yenye wakazi wapatao mamia kwa maelfu kadhaa katika vijiji ambavyo hapo kabla vilikaliwa na wakazi elfu chache tu. &#8220;Hili ni bomu linalosubi&#341;i kulipuka nchini Somalia kwasababu siyo Al&ndash;Shabaab peke yake lakini pia kikundi chochote kile chenye silaha au majambazi watakuta watu walioko taya&#341;i kuwaaji&#341;i katika maeneo haya ya miji ya makazi duni yanayokua kwa kasi,&#8221; Abdi&ndash;Rashid alihitimisha. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>HELSINKI, Mei 17 (IPS) &ndash; Wakati Somalia yenye vita ikiwa pia imeandamwa na njaa mwaka jana, ambayo iliua makumi kwa maelfu ya watu na kukimbia kwa zaidi ya watu milioni, vyombo vya haba&#341;i vya kimataifa vililaumu kikundi cha Kiislam cha Al&ndash;Shabaab kutokana na kuzuia mashi&#341;ika ya misaada kufika maeneo yanayokaliwa na kikundi hicho cha kigaidi&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":409,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3859","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3859","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/409"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3859"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3859\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3859"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3859"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3859"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}