{"id":3858,"date":"2012-05-17T13:40:01","date_gmt":"2012-05-17T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/05\/17\/maswali-na-majibu-kuongeza-fusa-za-vitega-uchumi-baani-afika\/"},"modified":"2012-05-17T13:40:01","modified_gmt":"2012-05-17T13:40:01","slug":"maswali-na-majibu-kuongeza-fusa-za-vitega-uchumi-baani-afika","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/05\/17\/maswali-na-majibu-kuongeza-fusa-za-vitega-uchumi-baani-afika\/","title":{"rendered":"Maswali na Majibu: Kuongeza Fu&#341;sa za Vitega Uchumi Ba&#341;ani Af&#341;ika"},"content":{"rendered":"<p>CAPE TOWN, Af&#341;ika Kusini, Mei 17 (IPS) &ndash; Zaidi ya miaka mitatu baada ya kuanza kwa mgogo&#341;o wa kiuchumi duniani, ambao umekuwa na madha&#341;a makubwa kwa biasha&#341;a ba&#341;ani Af&#341;ika, uwekezaji na pato la taifa, mata&#341;ajio ya uwekezaji katika ba&#341;a yanazidi kuongezeka.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Kwa mujibu wa Nicky Newton&ndash;King, afisa mtendaji mkuu mwanamke wa Soko la Mitaji la Johannesbu&#341;g (JSE) ambalo limekuwa likiendeshwa na wanaume tu hapo kabla, kuna fu&#341;sa nyingi za uwekezaji katika Af&#341;ika leo hii. &#8220;Kuna fu&#341;sa nyingi za uwekezaji. Siyo tu katika madini, lakini pia katika mawasiliano ya simu, benki, huduma za simu za mkononi na teknohama. Ni kutokana na vitega uchumi hivyo kuwa na uwezo wa kuendeshwa bila kujali maendeleo makubwa ya miundombinu,&#8221; anasema Newton&ndash;King. Miezi minne ya uteuzi wake kama mkuu wa soko la hisa lenye um&#341;i wa miaka 123, mama mwenye um&#341;i wa miaka 44 ambaye amepata elimu yake ya she&#341;ia kutoka Camb&#341;idge na Af&#341;ika Kusini na mtaalam wa huduma za kifedha anazungumzia kuhusu fu&#341;sa za vitega uchumi za hivi ka&#341;ibuni na hata&#341;i yake. Sehemu ya mahoajiano yake inafuata. Swali: Je kuna fu&#341;sa za mataifa ya Kiaf&#341;ika, hasa mataifa yenye utaji&#341;i mkubwa wa malighafi, kufaidika na mgogo&#341;o wa kifedha  Jibu: Masoko yanayoibukia yamekumbwa na madha&#341;a aina mbili. Baada ya awali kujitoa katika masoko yanayoibukia, wawekezaji waligundua kuwa faida wanazopata kutoka mataifa hayo ni kubwa kuliko katika masoko yao ya nyumbani. Hilo lilifanya kuvutiwa kuwekeza tena. Swali: Ni kiasi gani cha utulivu wa kisiasa kinatakiwa kuvutia vitega uchumi vya kigeni  Jibu: Tupo katika hali ya chaguzi zinazokuwa na ushindani mkubwa. Hii ina maana kuwa mwelekeo wa kise&#341;a unapaswa kujadiliwa. Kutoka katika mtizamo wa kiuwekezaji, hiyo inajenga mazingi&#341;a makubwa ya kutokuwa na uhakikaki wa mambo. Watu hawana uhakika kama wanataka kuwekeza vitega uchumi vya muda m&#341;efu hadi wanapotambua jinsi gani mazingi&#341;a ya kisiasa ni tulivu. Hili ni suala muhimu kwetu sisi katika Af&#341;ika Kusini, katika Af&#341;ika, na kwetu sisi kama soko la hisa. Kwa hiyo tunatumia muda mwingi kuzungumza na se&#341;ikali na watunga se&#341;a kuamua juu ya mwelekeo wa pamoja wa kise&#341;a, ili kila mmoja aweze kutulia katika hali tulivu. Kwa upande mwingine, kuna wawekezaji ambao ni wavumilivu wa mazingi&#341;a ya kisiasa. Watu ambao wanaweza kuwekeza nchini Zimbabwe na Kazakhstan, kwasababu pesa ndiyo kipaumbele cha kwanza. Swali: Mwezi Disemba 2010 Af&#341;ika Kusini ilika&#341;ibishwa kujiunga na kambi ya B&#341;azili, Russia, India na China (BRIC) ya nchi zinazoibukia kiuchumi. Je jambo hili limeleta fu&#341;sa mpya za kibisha&#341;a katika ba&#341;a  Jibu: Ni wazi kuwa tunaona hali ya kuhamia katika kambi ya Kusini&ndash;Kusini na Kusini&ndash;Masha&#341;iki, badala ya kutegemea Magha&#341;ibi. BRICS na fu&#341;sa zinazohusiana nayo itakuja kuwa na nafasi zaidi katika maisha yetu ya baadaye kuliko ilivyokuwa hapo zamani. Tunata&#341;ajia kuona maeneo makubwa ya kumiminika kwa vitega uchumi kutoka Masha&#341;iki na B&#341;azili. Baadhi ya mabenki makubwa ambayo yanakadi&#341;ia kuwa hadi mwaka 2020, asilimia 40 ya utaji&#341;i wa dunia utakuwa katika mataifa ya BRICS. Swali: Je JSE inashi&#341;ikiana na masoko mengine ya hisa ba&#341;ani Af&#341;ika  Jibu: Kuna masoko ya hisa 24 katika ba&#341;a la Af&#341;ika, lakini baadhi yanafanya biasha&#341;a 10 tu kwa siku (wakati JSE kwa uchache inafanya biasha&#341;a 120,000 kwa siku). Sisi ni tembo wa ba&#341;a hili. Hata hivyo, ningependa kuona ushi&#341;ikiano wa kina zaidi. Kuna mawasiliano mazu&#341;i kati ya timu tofauti za menejimenti katika masoko mengine ya hisa ya Af&#341;ika, kwa mfano nchini Nige&#341;ia na Kenya. Kuna mambo kadhaa ambayo tunayafanyia kazi katika suala zima la ushi&#341;ikiano bo&#341;a, kama vile kushi&#341;ikiana katika bidhaa na teknolojia. Lakini hiyo bado haijatafsi&#341;iwa katika biasha&#341;a mpya. Swali: Je itakuwa na mantiki kuanzisha soko moja la hisa ba&#341;ani Af&#341;ika  Jibu: Siyo lengo ambalo tunalitekeleza. Tumeshuhudia jitihada nyingi mno, ushi&#341;ikiano mkubwa wa kimataifa ambao unahusu masuala ya udhibiti wa kishe&#341;ia baina ya mataifa. Tunadhani tunaweza kufikia faida za pamoja kama tunafanya kazi kwa kuwa na &#341;atiba za pamoja na fu&#341;sa za kuwa na bidhaa mseto. Hapo ndipo jitihada zetu zinapoelekea. Swali: Mwaka 2009, JSE ilizindua Bodi ya Af&#341;ika ambapo makampuni makubwa katika ba&#341;a yangeweza kufanya biasha&#341;a, kukuza ukuaji wa soko la mitaji la Af&#341;ika. Je huu umekuwa mkakati wenye mafanikio  Jibu: Bodi ya Af&#341;ika haikufikia mafanikio yoyote ya kile ambacho tulitaka kukipata. Tulitaka kujenga chombo cha soko cha ha&#341;aka kuonyesha makampuni ya Af&#341;ika, lakini tuna makampuni 14 tu ba&#341;ani Af&#341;ika yameo&#341;odheshwa leo hii. Tunata&#341;ajia kupata zaidi, lakini haitajitokeza ma&#341;a moja. Swali: Unajionaje kuwa mwanamke wa kwanza kuongoza JSE  Jibu: Inavutia sana. Miaka kumi na sita iliyopita, nilipojiunga na JSE, nilikuwa na hofu kubwa kwenda kwenye ukumbi wa kuuzia hisa, kwasababu lilikuwa eneo la kutisha kwa mtu yoyote anayevaa sketi. Leo hii, tuna watu 500 wanaofanya kazi katika JSE, na ka&#341;ibu idadi ya wanawake na wanaume ni 50 kwa 50, na katika ngazi za juu ni ka&#341;ibu uwiano wa saba kwa sita. Shi&#341;ika linalokuwa na watu tofauti linavutia mambo tofauti. Kuna nguvu kubwa mno katika jambo hilo. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>CAPE TOWN, Af&#341;ika Kusini, Mei 17 (IPS) &ndash; Zaidi ya miaka mitatu baada ya kuanza kwa mgogo&#341;o wa kiuchumi duniani, ambao umekuwa na madha&#341;a makubwa kwa biasha&#341;a ba&#341;ani Af&#341;ika, uwekezaji na pato la taifa, mata&#341;ajio ya uwekezaji katika ba&#341;a yanazidi kuongezeka. Kwa mujibu wa Nicky Newton&ndash;King, afisa mtendaji mkuu mwanamke wa Soko la Mitaji la&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":916,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3858","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3858","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/916"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3858"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3858\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3858"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3858"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3858"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}