{"id":3857,"date":"2012-05-17T13:40:01","date_gmt":"2012-05-17T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/05\/17\/usambazaji-wa-maji-ya-bomba-nchini-zimbabwe-bado-ni-ndoto\/"},"modified":"2012-05-17T13:40:01","modified_gmt":"2012-05-17T13:40:01","slug":"usambazaji-wa-maji-ya-bomba-nchini-zimbabwe-bado-ni-ndoto","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/05\/17\/usambazaji-wa-maji-ya-bomba-nchini-zimbabwe-bado-ni-ndoto\/","title":{"rendered":"Usambazaji wa Maji ya Bomba Nchini Zimbabwe Bado ni Ndoto"},"content":{"rendered":"<p>BULAWAYO, Zimbabwe, Mei 17 (IPS) &ndash; Wakazi wa mji wenye matatizo mengi ya maji wa Zimbabwe, Bulawayo, wana wasiwasi kuhusu hatua ya polepole ya se&#341;ikali kupata ufumbuzi wa kudumu wa maji kufikia mahitaji yao.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Katika mwezi Machi jiji lilitangaza lingekuwa na maji yanayotosheleza kwa miezi 20 tu kama mvua za msimu zisingenyesha. Zimbabwe imekabiliwa na uhaba wa mvua katika kipindi cha miaka michache iliyopita. Pamoja na kuwa Ida&#341;a ya Huduma za Hali ya Hewa ya Zimbabwe imetabi&#341;i kuwa mvua zingeanza kunyesha kuanzia Oktoba hadi Disemba 2011 katika baadhi ya maeneo ya nchi, imetabi&#341;i kuwa katika Matebeleland, mvua zitakuwa chini ya kiwango cha wastani. Bulawayo ni mji wa pili kwa ukubwa, pamoja na kwamba uko katika jimbo la zamani la Matebeleland, kwa sasa inachukuliwa kama jimbo linalojitegemea. Mabwawa manne kati ya matano yanayosambaza maji, ambayo yana uwezo wa kuzalisha lita milioni 362, yana nusu ya maji. Bwawa la nne halifanyi kazi. Matokeo yake, mamlaka ya manisipaa yametekeleza mpango wa mgawo wa maji. Kwa sasa matumizi ya maji ya kila siku mjini Bulawayo ni mita za ujazo 145,000, ambayo jiji linasema linahitaji kupunguzwa hadi lita 120,000. &#8220;Watumiaji wa majumbani wanapata lita 400 na lita 350 kwa siku katika maeneo ya wakazi wa kipato cha juu na chini,&#8221; mku&#341;ugenzi wa jiji anayejishughulisha na Mipango Miji Job Ndebele aliiambia IPS. &#8220;Viwanda vinavyotumia maji vinapatiwa asilimia 80 ya wastani wa matumizi yake, wakati viwanda vingine vinapatiwa asilimia 75 ya wastani wa matumzii yao.&#8221; Lakini wakazi kama Hen&#341;y Sithole wana wasiwasi kuwa mgawo wa maji unaweza kuwa wa kudumu katika siku zijazo. Wengi wanahisi mipango ya se&#341;ikali ya kufufua dhana ya miaka 100 kupata maji kutoka Mto Zambezi kwa ajili ya jimbo la Matabeleland ya Kusini, ambalo linahusisha Bulawayo, inaweza kuchukua muda m&#341;efu kutekeleza. &#8220;Mgawo wa maji ni mkubwa na nadhani wakazi wamekabiliwa na tatizo hilo kwa muda m&#341;efu,&#8221; Sithole aliiambia IPS. &#8220;Mpango wa kutumia maji ya Zambezi haupaswi kuwa ufumbuzi pekee wa kuzungumziwa kwasababu hautamaliza mgawo wa maji leo au kesho, hata kama ni sehemu kubwa ya ufumbuzi.&#8221; M&#341;adi wa Maji ya Zambezi kwa ajili ya Matabeleland ni m&#341;adi mkubwa, ambao ulipendekezwa kwa ma&#341;a ya kwanza kupunguza tatizo la maji mjini Bulawayo mwaka 1912 kwa ujenzi wa bomba kutoka Mto Zambezi hadi jijini humo. Mpango huo umeahi&#341;ishwa na se&#341;ikali kadhaa kutokana na gha&#341;ama kubwa za ujenzi wa bomba la zaidi lenye u&#341;efu wa kilomita 400. Hata hivyo, mwezi Machi se&#341;ikali ilitangaza kuwa dola milioni 900 zimepatikana kutoka benki ya Kichina kwa ajili ya ujenzi wa Bwawa la Gwayi&ndash;Shangani, ambayo ni awamu ya kwanza ya m&#341;adi huo. Unakadi&#341;iwa kuja kugha&#341;imu jumla ya dola bilioni 1.3. Lakini wakazi na mashi&#341;ika ya ki&#341;aia wanataka se&#341;ikai kutangaza Bulawayo kuwa katika mgogo&#341;o wa maji, ili kuongeza kasi ya uchukuliwaji wa hatua. Mashi&#341;ika ya ki&#341;aia yalipeleka pingamizi mwezi Machi. Lengo lao lilikuwa kukusanya saini milioni kushawishi se&#341;ikali kupata chanzo madhubuti cha maji kwa ajili ya jiji la Bulawayo. Mwenyekiti wa Chama cha Kitaifa cha Mashi&#341;ika Yasiyokuwa ya Kise&#341;ikali, Goodwin Phi&#341;i,aliiambia IPS kuwa ufumbuzi unahitajika hivi punde. &#8220;Se&#341;ikali haiwezi kupuuzia suala la maji kwasababu ni suala la kitaifa &#8230;tunasema ni wakati sasa kwa se&#341;ikali kuthibitisha dhami&#341;a yake kwasababu bila ya kuwa na maji, mkoa unaweza kuwa kama uliokufa.&#8221; Kwa kuwa se&#341;ikali kwa sasa inajenga bomba la u&#341;efu wa kilomita 42 kutoka Bulawayo hadi Bwawa la Mtshabezi, katika jimbo la Matabeleland ya Kusini, m&#341;adi umekuwa ukikabiliwa na upinzani kutoka jamii za eneo hilo. Manisipaa ya Gwanda katika Matabeleland ya Kusini imelaumu kuwa haijapewa nafasi ya kutoa ushau&#341;i, na kuonyesha wasiwasi wao kuwa kama ukitekelezwa, m&#341;adi utaacha mji wa Gwanda ukiwa hauna maji kabisa. Pamoja na kwamba m&#341;adi huo unaendelea sasa, inabakia kutokueleweka kama utakamilika. Lakini maji yanaonekana kutokuwa na uwezekano wa kuwa chombo cha majadala wa kisiasa kwa wapiga ku&#341;a wa chama cha Rais Robe&#341;t Mugabe cha Zimbabwe Af&#341;ican National Union &ndash; Pat&#341;iotic F&#341;ont, moja ya washi&#341;ika wa Se&#341;ikali ya Umoja wa Kitaifa, ambao watafanya uchaguzi baadaye mwaka huu. Mashi&#341;ika ya ki&#341;aia yanaona hii kama fu&#341;sa ya kuvifanya vyama vya kisiasa kuchukulia hatua suala hili. Hata hivyo, hakuna ta&#341;ehe halisi ya uchaguzi kwani nchi inakabiliwa na kazi ya kupata katiba mpya inayofaa kwa pande zote. Mchambuzi wa kiuchumi E&#341;ic Bloch, ambaye alishi&#341;iki katika M&#341;adi wa Maji wa Zambezi mwaka 1987 kwa ajili ya Matabeleland, ambao tangu wakati huo umekuwa mpango wa kitaifa, alisema kuwa hatimaye kumekuwepo na hatua ya kutekeleza m&#341;adi huo kutokana na kuwa na lengo la kupata ku&#341;a. &#8220;Kutokana na ufahamu ambao tunaweza kuwa nao katika taifa kwenye uchaguzi wenye ushindani mkubwa, kuna ongezeko la wasiwasi kuhusu kupata ku&#341;a katika eneo la Matabeleland. Kwa hiyo kwa se&#341;ikali kuunda Mfuko wa Wenye Matatizo na Watu Wanaoishi Kwenye Maeneo Yaliyosahaulika (Dimaf) na kuendelea kwa m&#341;adi wa maji wa Zambezi yote hayo ni kwa ajili ya kupata ku&#341;a. Lakini itajitokeza kwasababu m&#341;adi ulitakiwa kuanza chini ya mkataba wake kabla ya uchaguzi,&#8221; Bloch aliiambia IPS. Zaidi ya makampuni 87 yalifunga shughuli zao mjini Bulawayo mwaka 2011. Hii ilisababisha se&#341;ikali kuanisa mfuko wa thamani ya dola milioni 40 mwaka huo. Dimaf unapaswa ksuaidia makampuni ambayo yamekabiliwa na matatizo ya kifedha, ikiwa ni pamoja nay ale yaliyofunga biasha&#341;a zao. Hata hivyo, mpango huo umegubikwa na utata kwani hakuna kampuni hadi sasa ambayo imefaidika na mpango huo. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>BULAWAYO, Zimbabwe, Mei 17 (IPS) &ndash; Wakazi wa mji wenye matatizo mengi ya maji wa Zimbabwe, Bulawayo, wana wasiwasi kuhusu hatua ya polepole ya se&#341;ikali kupata ufumbuzi wa kudumu wa maji kufikia mahitaji yao. Katika mwezi Machi jiji lilitangaza lingekuwa na maji yanayotosheleza kwa miezi 20 tu kama mvua za msimu zisingenyesha. Zimbabwe imekabiliwa na&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":698,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3857","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3857","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/698"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3857"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3857\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3857"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3857"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3857"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}