{"id":3856,"date":"2012-05-17T13:40:01","date_gmt":"2012-05-17T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/05\/17\/adhi-haijawahi-kukosea-asema-mkulima-wa-togo\/"},"modified":"2012-05-17T13:40:01","modified_gmt":"2012-05-17T13:40:01","slug":"adhi-haijawahi-kukosea-asema-mkulima-wa-togo","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/05\/17\/adhi-haijawahi-kukosea-asema-mkulima-wa-togo\/","title":{"rendered":"&#8216;A&#341;dhi Haijawahi Kukosea &#8216;, Asema Mkulima wa Togo"},"content":{"rendered":"<p>LOME, Mei 17 (IPS) &ndash; Awuissa Walla hana cha kulaumu akiwa kama mkulima. Alipata shahada ya uchumi wa kilimo miaka kumi iliyopita, na akakopa fedha kutoka ma&#341;afiki, akaanzisha shamba la eka&#341;i 18 katika eneo la Badja, baadhi ya kilomita 50 kutoka Lom&eacute;, mji mkuu wa Togo.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>&#8220;Ma&#341;a nyingi tunasema hapa kuwa a&#341;dhi haiwezi kukudanyanga, na naweza kuthibitisha hili kutokana na mimi mwenyewe kuwa katika biasha&#341;a hiyo,&#8221; Walla mwenye um&#341;i wa miaka 40 aliiambia IPS. &#8220;Napanda mazao ya aina nyingi kuja&#341;ibu kupata faida zaidi kutoka katika shamba langu,&#8221; alisema. A&#341;dhi yake imejaa kila aina ya matunda, hasa machungwa, malimau, machenza, ndizi na mananasi. Sehemu ya shamba lake imepandwa minazi na miwese, na kuna miti aina ya mivule na viazi vikuu katika upande mwingine, lakini zao lake kubwa ni mahindi. &#8220;Napanda mahindi katika hekta zangu nane na siku zote navuna tani nne za mahindi kwa msimu &ndash; kama gunia 40 za mahindi,&#8221; alisema. Anapanda mahindi ma&#341;a mbili kwa mwaka, kwa kuvuna kila baada ya miezi mitatu na kuingiza dola 1,250 kutoka kila zao. Walla amekodisha wakulima wa kushi&#341;ikiana naye ambao wanatumia njia za kisasa kuongeza uzalishaji, ikiwa ni pamoja na t&#341;ekta. Baadhi ya mazao yanapandwa kwa njia ya umwagiliaji kwa kutumia maji kutoka kisima ki&#341;efu katika shamba hilo. Yeye pia anafaidika na mpango ulioanzishwa na se&#341;ikali ya Togo kuwapatia wakulima mbolea, Mpango wa Uwekezaji katika Kilimo wenye thamani ya dola bilioni 1.3 (PNIASA). PNIASA imetengeneza tani 30,000 za mbolea na kugawa kwa wakulima kila mwaka kwa bei ya &#341;uzuku, mpango huo unalipia theluthi ya pembejeo za shambani mwake. Se&#341;ikali ya Togo inataka kufanya sekta ya kilimo cha kujikimu kuingia katika uchumi wa soko wa kweli, na imesema kuwa utoaji wa mbegu bo&#341;a na upatikanaji wake itakuwa kipaumbele kikuu kijacho. &#8220;Se&#341;ikali imetusaidia mbegu na mbolea, ambayo imetusaidia kuwa na mavuno mazu&#341;i,&#8221; alisema Donn&eacute; Am&eacute;madon, mkulima mdogo huko Ts&eacute;vi&eacute;, kaskazini mwa Lom&eacute;. Kila misimu ya kilimo mitatu iliyopita nchini humo ilipata &#341;ikodi za uzalishaji wa nafaka, hususan mahindi na uwele: na kuongezeka kutoka tani zipatazo 31,000 mwaka 2009 hadi tani 95,000 mwaka 2010 na tani 110,000 mwaka 2011. Ziada iliuzwa kwa Shi&#341;ika la Taifa la Usalama wa Chakula (ANSAT) kwa ajili ya Shi&#341;ika la Chakula la Umoja wa Mataifa (WFP) kwa ajili ya kutumiwa katika nchi nyingine za Af&#341;ika. Mwanzoni mwa mwaka huu, WFP ilinunua tani 8,000 za mahindi, ikilinganishwa na 6,000 mwaka jana. Mwezi Ap&#341;ili 7, WFP na ANSAT walisaini mkataba mpya ambapo Togo itatoa tani 10,300 za mahindi kwa taifa linalokabiliwa na baa la njaa la Nige&#341;, kwa gha&#341;ama ya dola milioni 4.8 ambazo zitalipwa moja kwa moja kwa wazalishaji. WFP pia itanunua tani nyingine 6,000 za nafaka zitakazoelekezwa nchini Ghana. Kwa kuongeza katika kusaidia wakulima wadogo nchini, wakulima wameba&#341;ikiwa kutokana na kuwepo kwa hali ya hewa nzu&#341;i. &#8220;Nchi yetu bado inafaidika na mvua ambayo ikitumiwa na se&#341;a nzu&#341;i ya kilimo, inahakikisha usalama wetu wa chakula,&#8221; alisema Zacka&#341;i Nandja, wazi&#341;i wa maji. Lakini, alisema, kama inaweza kusaidia kama chombo cha maendeleo, menejimenti ya maji inapaswa kuzingatiwa. Mfanyakazi wa ugani katika kilimo Koudjo Kligb&eacute; anakubali: &#8220;Tunahitaji ushau&#341;i sahihi kwa wakulima katika ngazi zote, hususan usimamiaji wa maji. Tunahitaji kuanza kutoka kwenye kile ambacho wakulima wanakijua, kutokana na kile ambacho taya&#341;i wanakifahamu, halafu tunaweza kuona ni mambo gani mapya wanaweza kujifunza.&#8221; Kwa mujibu wa takwimu za se&#341;ikali, kilimo kinaaji&#341;i asilimia 70 ya wakazi wa Togo ambao ni sawa na milioni sita na wanawakilisha asilimia 40 ya pato la taifa. Asilimia zipatazo 10 ya bajeti ya kitaifa imetengwa kwa ajili ya sekta hii. &#8220;Tumezindua mi&#341;adi mingi, ikiwa ni pamoja na M&#341;adi wa Kusaidia Maendeleo ya Kilimo, ambao utasaidia wakulima wadogo kuendeleza a&#341;dhi yao na kujenga vifaa vya kuhifadhia,&#8221; alisema Messan Kossi Ewovo&#341;, wazi&#341;i wa kilimo. Alihamasisha wakulima wadogo kujiunga katika mashi&#341;ika ili kuima&#341;isha sauti zao katika utoaji wa maamuzi ambayo yatawaathi&#341;i. Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo ya Kilimo (IFAD) unatoa dola milioni 13.5 katika kufadhili mpango huu. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>LOME, Mei 17 (IPS) &ndash; Awuissa Walla hana cha kulaumu akiwa kama mkulima. Alipata shahada ya uchumi wa kilimo miaka kumi iliyopita, na akakopa fedha kutoka ma&#341;afiki, akaanzisha shamba la eka&#341;i 18 katika eneo la Badja, baadhi ya kilomita 50 kutoka Lom&eacute;, mji mkuu wa Togo. &#8220;Ma&#341;a nyingi tunasema hapa kuwa a&#341;dhi haiwezi kukudanyanga, na&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":497,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3856","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3856","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/497"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3856"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3856\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3856"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3856"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3856"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}