{"id":3855,"date":"2012-05-17T13:40:01","date_gmt":"2012-05-17T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/05\/17\/askai-watoto-wanaoejea-nyumbani-nchini-sudan\/"},"modified":"2012-05-17T13:40:01","modified_gmt":"2012-05-17T13:40:01","slug":"askai-watoto-wanaoejea-nyumbani-nchini-sudan","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/05\/17\/askai-watoto-wanaoejea-nyumbani-nchini-sudan\/","title":{"rendered":"Aska&#341;i Watoto Wanao&#341;ejea Nyumbani Nchini Sudan"},"content":{"rendered":"<p>JUBA, Mei 17 (IPS) &ndash; Wakati mchakato wa kuwaunganisha upya aska&#341;i watoto wa Sudan Kusini katika maisha ya kawaida unaanza hivi ka&#341;ibuni, kwa jeshi la Sudanese People&#8217;s Libe&#341;ation A&#341;my ku&#341;ejea upya nia yake ya kuwaondoa aska&#341;i wote watoto katika jeshi mwezi Machi kungekuwa na maana kuwa katika kipindi cha miaka miwili watoto hawatakuwa tena sehemu ya vikundi vya wapiganaji nchini humo.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>SPLA, ambayo ni tawi la kijeshi la chama tawala cha South Sudanese, Sudan People&#8217;s Libe&#341;ation Movement,ni moja ya majeshi ya kitaifa yaliyosalia duniani katika o&#341;odha ya wanachama wa Umoja wa Mataifa katika vita ambayo yanaaji&#341;i na kutumia askati watoto. Shi&#341;ika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa linakadi&#341;ia kuwa kuna watoto 2,000 ambao ni aska&#341;i katika Sudan Kusini. Pamoja na kuwa hakuna hata mmoja ambaye yupo katika SPLA &#341;asmi, wamo kwenye vikundi vya wapiganaji ambavyo vimepatiwa msamaha kutoka se&#341;ikalini na vinaunganishwa na jeshi la kitaifa. Kama SPLA inafuata mpango wa utekelezaji ambao wameuandaa na kuusaini &ndash; kuwaondoa aska&#341;i watoto wote kutoka miongoni mwa wapiganaji na kufanya kazi ya kuwapatia elimu na fu&#341;sa za mafunzo &ndash; nchi hiyo inaweza kuondoka katika o&#341;odha hiyo hivi ka&#341;ibuni. Kwa aska&#341;i watoto, mchakato huo wa kuwaunganisha na jamii utachukua muda m&#341;efu zaidi, kama wataanza shule au kujifunza maa&#341;ifa ya kuwapatia vipato nje ya makambi ya jeshi. Mchakato utaanza, kwa mujibu wa Fatuma H. Ib&#341;ahim, mkuu wa kitengo cha ulinzi wa mtoto cha UNICEFnchini Sudan Kusini, kwa kubainisha na kuwaachia &#341;asmi watoto wote aska&#341;i. Watakapoondolewa watapatiwa nguo za ki&#341;aia, kwasababu &#8220;kila kitu cha jeshi kinabakia jeshini,&#8221; alisema. Vijana wadogo ambao wanaweza kuwa na um&#341;i kati ya miaka 12 hadi 18, watafanyiwa baadhi ya tiba za kimakundi kutoka kwa wafanyakazi wa jamii kuja&#341;ibu kuelewa ni jinsi gani waliweza kujiunga na wapiganaji na kuzungumzia unyanyasaji wowote ule ambao waliwahi kukutana nao. Alisema kutakuwa na watoto wapatao asilimia moja ambao &#8220;watahitaji baadhi ya usimamiaji wa kitabibu,&#8221; pamoja na kuwa machaguo yao yatakuwa machache katika nchi ambayo ina &#341;asilimali chache za kisaikolojia. &#8220;Ni tatizo kubwa mno. Wengi wanapata vidonge, lakini hawapati kitu kingine.&#8221; Wanafamilia pia watakutana na wafanyakazi wa jamii kujadili kuunganishwa tena kwa aska&#341;i watoto na kuhakikisha kuwa watoto hao wataka&#341;ibishwa na kuvunjwa moyo wa kujiunga tena na wapiganaji. &#8220;Wazazi wanapaswa kuwa taya&#341;i kuwapokea,&#8221; Ib&#341;ahim alisema. Katika baadhi ya jamii katika Sudan Kusini inamaanisha she&#341;ehe za kuonyesha wakati wa mpito. Katika nchi ambayo imeshuhudia vita kwa zaidi ya miongo miwili, jeshi ni moja ya fu&#341;sa chache za wazi zinazoweza kukuza uchumi kwa vijana wa kiume. Watoto wengi wanaoondolewa na UNICEF na washi&#341;ika wake kutoka miongoni mwa wapiganaji walifuata nyayo hizo &ndash; wakiangalia kujiunga na wapiganaji ili kuwa na usalama wa kifedha kwa ajili yao na familia zao. Moja ya changamoto kubwa za UNICEF ni kutoa fu&#341;sa ambazo zitazuia watoto walioondolewa kutoka vikundi vya wapiganaji kutoku&#341;ejea huko tena. Baada ya du&#341;u nyingine za kuwaondoa kufanyika, watoto hao watapatiwa fu&#341;sa za kuchagua kati ya kwenda shule, ambapo vijana wadogo zaidi wengi wao watachagua, Ib&#341;ahim alisema, au kujifunza biasha&#341;a. Uhaba wa aji&#341;a ncini humo una maana kuwa vijana wakubwa wanahamasishwa kujifunza ujuzi kama vile ufundi se&#341;emala, ambao unahitajika zaidi katika uchumi wa miji inayokua. Katika siku za baadaye, watapatiwa mafunzo ya aina mbili ya ujuzi, kama ujuzi wa kwanza hauwapatii soko. UNICEF na mashi&#341;ika mengine pia wanafanya kazi kutoa motisha ili kuwafanya aska&#341;i watoto kubakia katika jamii. Ib&#341;ahim alisema kuwa hii ni pamoja na ufugaji wa mifugo, ambapo aska&#341;i watoto wa zamani wanapewa mbuzi kuwafuga. Kama p&#341;og&#341;amu hiyo itafanya kazi, alisema, motisha itakuwa na maana.&#8221; Mpango mpya wa utekelezaji wa Sudan Kusini ulizinduliwa &#341;asmi na kusainiwa Machi 16 na Wazi&#341;i wa Ulinzi, Ujumbe wa Kulinda Amani wa Umoja wa Mataifa wa Sudan Kusini &ndash; UNMISS, UNICEF na Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu Watoto ni Vita Radhika Cooma&#341;aswamy. Tangu ilipopata uhu&#341;u wake mwaka jana, Sudan Kusini imeshuhudia ghasia za hapa na pale nchini kote. Katika upande wa kaskazini, kuna uadui unaoendelea na Sudan. Na katika pande kadhaa za nchi &ndash; hasa jimbo la Jonglei &ndash; wameshuhudia vita vya kikabila juu ya haki ya kumiiki a&#341;dhi na mifugo ya n g&#8217;ombe. Cooma&#341;aswamy alisema aska&#341;i wengi watoto wanapatikana kaskazini, ambapo ghasia zimekuwepo kila ma&#341;a. Mkataba wa Amani wa mwaka 2006 ulisainiwa kati ya kaskazini na Sudan ya kusini, ambao ulimaliza miongo ya vita na kuweka njia ya uhu&#341;u wa Sudan Kusini. Wakati huo huo SPLA ilisaini mpango wa kuachia aska&#341;i watoto, pamoja na kuwa hawajafuata ahadi hiyo kikamilifu. Mwaka 2009, mashi&#341;ika ya kufuatilia hali ya manbo yaligundua hakukuwa na aska&#341;i watoto katika SPLA, pamoja na kuwa walikuwepo katika vikundi vya wapiganaji. Na wakati Umoja wa Mataifa haujawahi kutoa adhabu kwa Sudan Kusini, alisema daima kuna fu&#341;sa hiyo kujitokeza. Jamhu&#341;i ya Kidemok&#341;asia ya Kongo (DRC), kwa mfano, imewahi kupewa adhabu Cooma&#341;aswamy alisema ofisi yake kwa sasa inawasiliana na DRC, Myanma&#341;, ambayo pia inajulikana kama Bu&#341;ma, na Somalia &ndash; mataifa pekee yenye majeshi yao yenye aska&#341;i watoto duniani ambayo bado hayajasaini mpango wa utekelezaji. &#8232; *And&#341;ew G&#341;een ana&#341;ipoti kutoka Sudan Kusini kwa msaada wa shi&#341;ika la Inte&#341;national Repo&#341;ting P&#341;oject,&#8232;mpango hu&#341;u wa uandishi wa haba&#341;i mjini Washington, D.C. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>JUBA, Mei 17 (IPS) &ndash; Wakati mchakato wa kuwaunganisha upya aska&#341;i watoto wa Sudan Kusini katika maisha ya kawaida unaanza hivi ka&#341;ibuni, kwa jeshi la Sudanese People&#8217;s Libe&#341;ation A&#341;my ku&#341;ejea upya nia yake ya kuwaondoa aska&#341;i wote watoto katika jeshi mwezi Machi kungekuwa na maana kuwa katika kipindi cha miaka miwili watoto hawatakuwa tena sehemu&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":912,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3855","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3855","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/912"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3855"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3855\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3855"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3855"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3855"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}