{"id":3854,"date":"2012-05-17T13:40:01","date_gmt":"2012-05-17T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/05\/17\/libya-yakabiliwa-na-matatizo-ya-kiafya\/"},"modified":"2012-05-17T13:40:01","modified_gmt":"2012-05-17T13:40:01","slug":"libya-yakabiliwa-na-matatizo-ya-kiafya","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/05\/17\/libya-yakabiliwa-na-matatizo-ya-kiafya\/","title":{"rendered":"Libya Yakabiliwa na Matatizo ya Kiafya"},"content":{"rendered":"<p>TRIPOLI, Mei 16 (IPS) &ndash; Katika pembe iliyojaa watu wengi katika Kituo cha Afya cha T&#341;ipoli, watu wanakusanyika kila asubuhi kukabidhi nya&#341;aka za kutaka kwenda kutibiwa nje ya nchi, au wanatoa nakala za o&#341;odha mpya za majina yaliyopitishwa na kubandikwa ukutani.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Kaltoum Alhadi Ma&#341;wan, 29, ni miongoni mwa watu wenye bahati. Aliweza kupata viza na &#341;uhusa ya kwenda kufanyiwa upasuaji nchini Italia kusahihisha tatizo la mfupa katika mguu wake wa kulia. Yeye yupo katika TMC &ndash; hospitali kubwa kuliko zote mjini T&#341;ipoli &ndash; kupata hundi kutoka se&#341;ikali ya Libya kwa ajili ya nauli yake ya ndege. Kaltoum ni meneja katika kliniki ya walemavu. Lakini ana imani ndogo na ubo&#341;a wa huduma za afya nchini Libya. &#8220;Nilikuwa na matatizo mengine katika kidole changu na nimeweza kufanyiwa upasuaji kuondoa tatizo hilo mjini T&#341;ipoli,&#8221; anasema. &#8220;Haikufanya kazi. Ilinifanya kuwa na hali mbaya zaidi ya hapo awali.&#8221; Dk. A&#341;bi Gomati, mtaalam wa upasuaji aliyepata mafunzo yake nchini Uinge&#341;eza katika hospitali ya TMC, anavuta pumzi katika siku yenye kazi nyingi. Ni mmoja wa watoa maamuzi 11 katika kamati ya kuchagua watu wa kwenda kutibiwa nje ya nchi chini ya Wiza&#341;a ya Afya. Kikundi chake cha T&#341;ipoli ni kimoja kati ya vikundi vitatu nchini kote; vingine ni kile cha mjini Benghazi na Sebha. Vikundi vingine vitano vinata&#341;ajiwa kufunguliwa hivi ka&#341;ibuni. Dk. Gomati tangu walipoanza mwezi Novemba kamati yake imepitia mafaili ya hadi wagonjwa 250 kwa siku, ambapo kati ya hayo wastani wa asilimia 20 walipitishwa. Hawa ni &#341;aia wa Libya wanaougua ma&#341;adhi makubwa kama sa&#341;atani, kushindwa kufanya kazi kwa figo, upasuaji kwa watoto wachanga na kusimama kwa moyo. Nchi wanazokwendfa zaidi kwa ajili ya tiba ni pamoja na Uje&#341;umani, Ufa&#341;ansa, Uinge&#341;eza, Italia, Jo&#341;dan, Mis&#341;i na Tunisia. &#8220;Nchini Libya tuna uhaba wa madawa,&#8221; anasema Dk. Gomati. &#8220;Unaweza kuwa na vipimo bo&#341;a kabisa aina ya MRI au CT scan, lakini unaweza usiwe na dakta&#341;i mtaalam wa vifaa hivyo hata mmoja ambaye anaweza kusoma picha au kutoa &#341;ipoti sahihi. Wagonjwa wengi tunaopeleka nje wanahitaji mtaalam wa vifaa hivyo. &#8220;Kutokana na kukosekana kwa huduma za afya ma&#341;a tu baada ya mapinduzi na kutokana na watu wengi kuzihitaji, njia pekee ni kuwapeleka nje ya nchi. Lakini hatupendi mfumo huu na tungependa kuusitisha.&#8221; Kamati ya Dk. Gomati ni kitengo kinachojitegemea kutoka kwenye mpango wa mpito wa se&#341;ikali kupeleka wapiganaji wa waasi walioje&#341;uhiwa kupata tiba nje ya nchi. Hasi&#341;a ya hivi ka&#341;ibuni ya kutumia vibaya mpango huo, kwa kuwaacha walengwa na kuingiza watu kama wanaohitaji upasuaji wa plastiki, tiba ya utasa, kukaa kwa muda m&#341;efu katika hospitali wanakokwenda na kuongeza gha&#341;ama &ndash; kumeigha&#341;imu se&#341;ikali ya Libya wastani wa dola milioni 800 na hivyo kulazimika kufanyia ma&#341;ekebisho mpango huo. Hospitali Kuu ya T&#341;ipoli, ambayo ilijengwa katika zama ya Waitaliano katika mji huo mkuu, ina mabango ya majina ya watu yakiwa yamebandikwa katika kuta zake za vyumba vya dha&#341;ula. &#8220;Ilikuwa hata&#341;i kutoka nje, na ER haikuwa salama sana &ndash; watu wengi walikuwa na silaha. Kulikuwa na uhaba wa madawa, wafanyakazi na madakta&#341;i,&#8221; anasema Dk. Ezdeen Elnaam, mtaalam wa upasuaji ambaye alitumia usiku mwingi akiwa kazini hapa. Baadhi ya mambo ni mazu&#341;i sasa. &#8220;Muda mwingi kifaa cha CT scan ama MRI hakikufanya kazi, na tulikuwa hatuna kifaa cha ult&#341;asounds,&#8221; anasema mfanyakazi mwenzake, Dk. Naili Sama&#341;. &#8220;Kwa madakta&#341;i wengi, msisitizo ni katika mshaha&#341;a na wala siyo tiba.&#8221; &#8220;Hospitali za hapa hazifai,&#8221; Fawzia Toshani anasema. Yeye ni msemaji wa vyombo vya haba&#341;i katika wiza&#341;a ya afya, sehemu ambayo amefanya kazi kwa miaka 15. Wiza&#341;a ya afya ilipokea wastani wa dola bilioni 2.3 katika bajeti ya se&#341;ikali ya hivi ka&#341;ibuni. &#8220;Kuna tatizo la uki&#341;itimba na usimamizi mbovu,&#8221; anasema. &#8220;Rushwa  Ndiyo, ni kweli. &#8220;Madakta&#341;i wasomi nchini Libya wanakwenda nje kupata elimu au kupata pesa nzu&#341;i. Hapa madakta&#341;i wanapewa kati ya dina&#341;i zipatazo 1000 (dola 800) kwa mwezi. Wagonjwa wanapendelea kwenda kliniki za binafsi kama wakiwa na pesa. Lakini hiyo haina maana kuwa utapata tiba bo&#341;a.&#8221; Dk. Rami Ben Ahmeida, dakta&#341;i wa jumla wa Kituo cha Tiba cha Uinge&#341;eza nchini Libya, ambacho kina ga&#341;i la wagonjwa na eneo la kufanyia upasuaji, hakubaliani. &#8220;Eneo hili ni bo&#341;a. Kuna mazingi&#341;a mazu&#341;i ya kiafya, wafanyakazi bo&#341;a, na limepangiliwa vizu&#341;i. Hakuna o&#341;odha inayosubi&#341;i kufanyiwa ope&#341;esheni, wakati katika hospitali ya se&#341;ikali unaweza kusubi&#341;i kwa mwezi mzima.&#8221; Mfumo wenye pande mbili uliokomaa chini ya se&#341;ikali ya Gaddafi kusaidia &#341;aia mataji&#341;i na wafanyabiasha&#341;a wakubwa umezaa hospitali nyingi binafsi kama Kituo cha Afya cha Uinge&#341;eza nchini Libya. Wakati manesi kutoka Ufilipino wakipita katika ve&#341;anda nyeupe, wagonjwa waliohojiwa na IPS wanasema walikuwa na bima ya afya kwa kufanya kazi na mabenki, makampuni ya ujenzi na mafuta. Katika Libya baada ya zama za Gaddafi, wakati uchumi wa kitaifa unaotegemea zaidi mafuta ukizidi kukua na biasha&#341;a na vitega uchumi viki&#341;ejea, mjaladala wa utawala mpya wa Libya, na mfumo wa afya unazidi kuima&#341;ika. Dk. Gomati kutoka Kituo cha Afya cha T&#341;ipoli anasema angependa kuona makampuni ya bima ya afya yakianzishwa nchini kote, na kuhimiza mfumo wa ushi&#341;ikiano wa sekta za umma na binafsi. &#8220;Watu wanapaswa kulipia huduma za afya. Kwa sasa zinaigha&#341;imu nchi.&#8221; &#8220;Nakuambia kuna haja ya kubo&#341;esha huduma za afya hapa, au kuzitangaza vizu&#341;i,&#8221; anasema ofisa katika ubalozi wa Ma&#341;ekani uliofunguliwa upya hivi ka&#341;ibuni mjini T&#341;ipoli. &#8220;Ni kweli kwamba Walibya wana imani hii kali kuwa hawawezi kupata huduma za afya bo&#341;a katika nchi yao. &#8220;Lakini tumefanya tafiti kubwa za kitabibu hapa, tulipokuwa tuna&#341;ejea na kwa upande wa mipango, kuna huduma nzu&#341;i sana hapa Libya katika hospitali za se&#341;ikali na za binafsi.&#8221; Katika Kliniki ya Al Mokhta&#341; ambayo ni ya binafsi katika kitongoji chenye watu wenye maisha bo&#341;a zaidi mjini T&#341;ipoli, Salma Gouma, msimamizi wa manesi ambao wengi wao ni wageni kutoka Ufilipino, Uk&#341;aine, Mo&#341;occo, Tunisia na Alge&#341;ia, anasema wanapunguza bei kwa wanafamilia maskini. &#8220;Sijui kama watu wanakwenda nje kupata tiba. Watu hawana imani na Libya, lakini tumefanya ope&#341;esheni nyingi za kusahihisha makosa yaliyofanywa na hospitali za Tunisia.&#8221; <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>TRIPOLI, Mei 16 (IPS) &ndash; Katika pembe iliyojaa watu wengi katika Kituo cha Afya cha T&#341;ipoli, watu wanakusanyika kila asubuhi kukabidhi nya&#341;aka za kutaka kwenda kutibiwa nje ya nchi, au wanatoa nakala za o&#341;odha mpya za majina yaliyopitishwa na kubandikwa ukutani. Kaltoum Alhadi Ma&#341;wan, 29, ni miongoni mwa watu wenye bahati. Aliweza kupata viza na&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":623,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3854","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3854","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/623"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3854"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3854\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3854"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3854"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3854"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}