{"id":3853,"date":"2012-05-17T13:40:01","date_gmt":"2012-05-17T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/05\/17\/vita-vya-maendeleo-yanayoongozwa-na-utandawazi\/"},"modified":"2012-05-17T13:40:01","modified_gmt":"2012-05-17T13:40:01","slug":"vita-vya-maendeleo-yanayoongozwa-na-utandawazi","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/05\/17\/vita-vya-maendeleo-yanayoongozwa-na-utandawazi\/","title":{"rendered":"Vita Vya Maendeleo Yanayoongozwa na Utandawazi"},"content":{"rendered":"<p>GENEVA, Mei 16 (IPS) &ndash; Mataifa yenye viwanda vingi duniani yameanzisha kampeni kabambe kusitisha Shi&#341;ika la Biasha&#341;a na Maendeleo la Umoja wa Mataifa kutoa ushau&#341;i wa kise&#341;a kwa nchi maskini zaidi katika ba&#341;a la Af&#341;ika na duniani kote.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Wakati UNCTAD ikija&#341;ibu kupata &#341;idhaa kutoka kwenye mkutano wa mawazi&#341;i mjini Doha, Qata&#341;, kuanzia Ap&#341;ili 21 hadi 26, mataifa yenye viwanda vingi duniani yametoa sauti zao za kutoku&#341;idhishwa kwao na ushau&#341;i wa kise&#341;a wa shi&#341;ika hilo kwa mataifa yanayoendelea. Kwa mujibu wa wakuu wa biasha&#341;a kutoka mataifa yanayoendelea, ikiwa ni pamoja na nchi zinazoaminika kuwa zinapata ushau&#341;i wa kifedha, mazingi&#341;a, usalama wa chakula na haki miliki na mgongano wa kiuchumi unaotokana na ajenda ya soko hu&#341;ia kutoka shi&#341;ika hilo. &#8220;Mataifa yaliyoendelea hayataki UNCTAD kujiingiza katika masuala ya fedha ikiamini kuwa ni Shi&#341;ika la Fedha Ulimwenguni na Benki ya Dunia pekee wanaoweza kushughulikia masuala ya kifedha,&#8221; alisema balozi wa Lesotho katika Umoja wa Mataifa na Shi&#341;ika la Biasha&#341;a Ulimwenguni (WTO), Dk. Anthony Mothae Ma&#341;uping. Yeye pia ni mwenyekiti wa kamati ya mazungumzo ya UNCTAD ambayo ilipewa jukumu la kuandaa wa&#341;aka kwa ajili ya mkutano unaokuja. Ma&#341;uping alisema kuwa alikuwa akifanya kazi kuziba pengo la utofauti kati ya nchi zenye viwanda vingi, zikiongozwa na Umoja wa Ulaya (EU) na Ma&#341;ekani (U.S.), na mataifa chini ya G77 na China &ndash; ambayo yanaundwa na nchi zinazoendelea. Rasimu ya wa&#341;aka huo kuhusu shi&#341;ika hilo kupewa &#341;idhaa ya miaka minne ijayo ya kutoa ushau&#341;i wa kiutafiti na kise&#341;a katika masuala kama kupo&#341;omoka kwa uchumi, kutokuwepo kwa usawa katika ubadilishanaji wa fedha, kutokutulia kwa bei ya bidhaa za msingi katika masoko, kupatiwa kwa upendeleo maluum kwa mataifa yanayoendelea, ushi&#341;ikiano wa kifedha wa kikanda, na haja ya kuleta mageuzi katika mfumo wa kifedha na kiuchumi wa kimataifa. Katika &#341;ipoti yake ya mkutano wa Doha, Katibu Mkuu wa UNCTAD Dk. Supachai Panitchpakdi anatoa wito wa kufanyika kwa mabadiliko makubwa kutoka kwenye ukuaji wa kiuchumi unaotegemea maendeleo ambao utaleta maendeleo endelevu ya kiuchumi na kijamii katika nchi zenye maendeleo duni (LDCs). &#8220;Mchanganyiko wa udhibiti wa uchumi mkuu, kuingia kwa kasi katika biasha&#341;a hu&#341;ia na ubinafisishaji na kupunguza udhibiti wa kise&#341;a katika biasha&#341;a siyo tu kwamba kumeshindwa kuleta mapinduzi katika upande wa wazalishaji lakini, badala yake, kumefanya ukanda wa Af&#341;ika ku&#341;udi nyuma kiuchumi; kuufanya kusimama kwa uzalishaji katika sekta nyingi, na uchumi usiokuwa &#341;asmi umekua kwa kasi tangu kuanza kwa mgogo&#341;o wa madeni wa kimataifa mapema miaka ya 1980,&#8221; Panitchpakdi alisema katika &#341;ipoti. Alisema wakati umefika sasa wa kuondoka kutoka utandawazi unaoendeshwa na fedha, ambao umekuwa sifa kuu ya mwelekeo wa kutawaliwa na mahusiano ya kiuchumi ya kimataifa yanayojikita katika dhana ya ajenda moja inatosheleza kwa wote. Alisema hii imekuwa na madha&#341;a mabaya kwa nchi zote, na hususan kwa nchi zenye maendeleo duni. Hata hivyo, mtikisiko uliojitokeza baada ya mgogo&#341;o wa kiuchumi duniani mwaka 2008 unaendelea kuathi&#341;i nchi mbalimbali duniani kama vile Ma&#341;ekani, Uinge&#341;eza, Ufa&#341;ansa, Uje&#341;umani, Ugi&#341;iki, na U&#341;eno. Inashangaza kuwa pamoja na hali hii, mataifa yenye viwanda vingi duniani yakiongozwa na Ma&#341;ekani na EU yanashinikiza kwa nguvu zao zote kuendelea na se&#341;a zao za kiuchumi zilizopata mafanikio makubwa hadi zikashindwa vibaya, wanasema wachambuzi wa mambo. Kutokana na histo&#341;ia hii, mkutano wa UNCTAD mjini Doha umeonekana kuwa ni muhimu sana katika kuanzisha ajenda mpya. &#8220;Inajitokeza ma&#341;a nyingine kama utawala wa uchumi duniani unapokuwa chini ya uangalizi mkubwa, huku kukiwa na wasiwasi mkubwa juu ya afya ya ajenda za kimataifa,&#8221; alisema Richa&#341;d Kozul&ndash;W&#341;ight, mkuu wa Kitengo cha Ushi&#341;ikiano wa Kiuchumi na Muungano miongoni mwa Mataifa Yanayoendelea katika UNCTAD. Alikuwa akiongelea suala zima la jitihada za kuungana kwa nchi chache zenye viwanda vingi ili kuwa na makubalino ya kibiasha&#341;a katika utoaji wa huduma katika mazungumzo ya biasha&#341;a ya Doha. Makubaliano ya mataifa machache yana&#341;uhusu nchi wanachama kukubaliana kwa &#341;idhaa yao kutumia she&#341;ia mpya. Kwa kulinganisha, katika makubaliano ya kimataifa ambapo kila mwanachama anapaswa kukubaliana. &#8220;Mazungumzo yaliyosimama ya Doha, kasi ndogo ya kuendesha majadala huo na kushindwa kwa jumuiya ya kimataifa kukabiliana na migogo&#341;o ya chakula kumeongeza upinzani wa ushi&#341;ikiano wa kimataifa,&#8221; aliiambia IPS. UNCTAD ni shi&#341;ika la kwanza la kimataifa, tangu kuanzishwa kwake mwaka 1964, kuelezea hata&#341;i ya madeni ya nyumba na madeni ya umma na binafsi yasiyokuwa endelevu ya mataifa yenye viwanda vingi. Ripoti yake ya mwaka 1997ilitahadha&#341;isha hata&#341;i ya utandawazi unaoendeshwa na nguvu ya fedha. Shi&#341;ika hilo la Umoja wa Mataifa pia limetahadha&#341;isha dhidi ya mtanziko uliotokana na mataifa yanayoendelea katika mazungumzo ya Doha wa kupunguza ushu&#341;u wa bidhaa kutoka nchi zenye viwanda vingi hadi sifu&#341;i. &#8220;Kazi ya UNCTAD katika maeneo yote ni nzu&#341;i,&#8221; alisema Dk. Mate&#341;n Yakobo Ch&#341;istian Lumbanga, balozi wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa na WTO. &#8220;Msaada wa UNCTAD katika maeneo mbalimbali ya kise&#341;a ni muhimu kwa nchi za LDCs na imeweza kutoa ushau&#341;i sahihi kwetu sisi tusitegemee katika eneo moja au mawili ya bidhaa za kusafi&#341;isha nje au mali ghafi.&#8221; Alisema kuwa mataifa ya LDCs ba&#341;ani Af&#341;ika yamekuja kukubali faida ya kuwa na bidhaa tofauti, kama inavyoshau&#341;iwa na UNCTAD. Mkutano ujao wa UNCTAD utakuja kuangalia masuala maalum ya LDCs, na utalenga katika mabadiliko ya kudumu ya kiuchumi kama vile &#8220;kuongeza aina ya bidhaa na huduma pamoja na ubo&#341;a wake ili mataifa ya LDCs yasiathi&#341;ike zaidi na mitikisiko ya nje,&#8221; alisema Kozul&ndash;W&#341;ight. &#8220;Hili ni suala la msingi zaidi katika kuleta usawa wa mabadiliko, ambayo ni lazima kuhusisha msisitizo wa kujenga aji&#341;a, hifadhi ya jamii na mazingi&#341;a endelevu ili kufanya fu&#341;sa zinazotokana na uchumi wa uwazi zaidi duniani kuweza kubo&#341;esha maisha ya wengi badala ya kusaidia wachache,&#8221; alisema. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>GENEVA, Mei 16 (IPS) &ndash; Mataifa yenye viwanda vingi duniani yameanzisha kampeni kabambe kusitisha Shi&#341;ika la Biasha&#341;a na Maendeleo la Umoja wa Mataifa kutoa ushau&#341;i wa kise&#341;a kwa nchi maskini zaidi katika ba&#341;a la Af&#341;ika na duniani kote. Wakati UNCTAD ikija&#341;ibu kupata &#341;idhaa kutoka kwenye mkutano wa mawazi&#341;i mjini Doha, Qata&#341;, kuanzia Ap&#341;ili 21 hadi&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":915,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3853","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3853","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/915"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3853"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3853\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3853"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3853"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3853"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}