{"id":3852,"date":"2012-05-17T13:40:01","date_gmt":"2012-05-17T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/05\/17\/zambia-kashfa-ya-kudhalilisha-watoto-dhidi-ya-wachina-yazua-mjadala-wa-hasia\/"},"modified":"2012-05-17T13:40:01","modified_gmt":"2012-05-17T13:40:01","slug":"zambia-kashfa-ya-kudhalilisha-watoto-dhidi-ya-wachina-yazua-mjadala-wa-hasia","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/05\/17\/zambia-kashfa-ya-kudhalilisha-watoto-dhidi-ya-wachina-yazua-mjadala-wa-hasia\/","title":{"rendered":"ZAMBIA: Kashfa ya Kudhalilisha Watoto Dhidi ya Wachina Yazua Mjadala wa Hasi&#341;a"},"content":{"rendered":"<p>LUSAKA, Mei 16 (IPS) &ndash; Zhang Daliu, 46, fundi wa kuchonga mbao kutoka China hakuamini alipokuwa amefungwa ndani ya mage&#341;eza yenye msongamano mkubwa wa wafungwa na yenye ha&#341;ufu mbaya nchini Zambia ambayo mazingi&#341;a ni mabaya mno hadi kuweza kusababisha magonjwa kama vile ya ngozi wakati wa kushikiliwa humo.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Lakini ndivyo ambavyo Zhang ameangukia huko akiwa na mafundi wengine watatu kutoka China: Hong Pin Liu, 46, fundi wa kuchonga mbao; Yang Gang Qiang, 36, fundi wa kuchomelea; na Zhu Xiang, 51, mtengenezaji wa tofali. Wanaume hao wanne wanakabiliwa na kifungo cha maisha jela kama wakikutwa na hatia ya kuwadhalilisha watoto na kufanya nao ngono, baada ya kufunguliwa mashitaka na waendesha mashitaka katika mji wa Luanshya, kusini mwa Jimbo la Coppe&#341;belt lenye utaji&#341;i mkubwa wa madini nchini Zambia. Kila shitaka linabeba kifungo cha miaka 15 jela na kufanya kazi ngumu na pia wanaweza kufungwa kifungo cha juu cha maisha. Wanaume hao wanashitakiwa kwa kufanya ngono na watoto wadogo wa kike wenye um&#341;i wa chini ya miaka 16, um&#341;i unao&#341;uhusiwa kishe&#341;ia nchini Zambia, kwa kuwapa fedha. Kashfa hii ya ngono imeanza kuchukua mjadala mkali katika taifa hilo la Kusini mwa Af&#341;ika, huku wengine wakitoa lawama kwa watoto hao wa kike kutokana na kusababishia Wazambia aibu kwa kufanya ngono katika um&#341;i kama wa kwao. Wengine wanahisi matatizo ya umaskini na ugumu wa maisha katika eneo la Luanshya, kulisababisha watoto hao wa kike kujiingiza kwenye ukahaba, ambako kulianza wakati wa se&#341;ikali iliyoshindwa ya Rais F&#341;ede&#341;ick Chiluba. Chiluba aliuza mgodi wa shaba wa Luanshya mwaka 1997 kwa kampuni ya Indian Binani Indust&#341;ies kwa dola milioni 35 tu wakati wa ubinafisishaji wa migodi nchini humo. Ni miezi mitatu tu baada ya kuuzwa, mgodi huo ulifilisiwa na zaidi ya wachimbaji 6,000 walipoteza aji&#341;a zao. Hii ilisababisha umaskini na shida huko Luanshya, na miaka sita iliyofuatia ni watu wachache tu walikuwa na uwezo wa kujilisha wao na familia zao. Mwaka 2009, wakati kampuni ya China Non&ndash;Fe&#341;&#341;ous Metals Mining G&#341;oup ilipochukua mgodi huo, wengi katika eneo la Luanshya walikuwa wakiishi katika umaskini uliokithi&#341;i. Wakati uuzaji wa mgodi ulikuwa na maana kuwa kungekuwa na aji&#341;a tena, pia ulisababisha kumiminika kwa wafanyakazi kutoka China. Wafanyakazi wa mgodini wa Kichina walioaji&#341;iwa kwa mikataba na Mgodi wa Shaba wa Luanshya Coppe&#341; ili kufufua mgodi wa zamani wa Roan Antelope Mining Co&#341;po&#341;ation (Zambia) na kufungua mgodi mpya wa shaba wa Muliashi, waliingia nchini Zambia wakiwa ni wafanyakazi 270 wote wakiwa wanaume, hakukuwa na mwanamke hata mmoja. Zambia ina zaidi ya Wachina 80,000 kati ya wastani wa Wachina 925,000 ambao kwa sasa wanaishi na kufanya kazi ba&#341;ani Af&#341;ika, wengi wao wakiwa ni wanaume wanaofanya kazi kaika maeneo mbalimbai ya mjini na vijijini. Katika siku hizi za matatizo ya kiuchumi Wachina wa hapa wanaonekana kama ndiyo wao pekee wenye fedha za kutumia. Ma&#341;y Mumba ni mama wa nyumbani ambaye ameishi kwa zaidi ya miaka 20 katika Kitongoji cha Roan, kitongoji cha wakazi wengi kinachokua kwa kasi katika eneo hili la madini la Luanshya. Ameshuhudia kubadilika kwa mji kuwa eneo la ukahaba, wizi wa shaba na ulevi. Anafahamu ni kwa nini watoto wadogo wa kike wanatoa ngono ili kupewa pesa. &#8220;Familia nyingi za hapa ni maskini na ma&#341;a nyingi zinaweza kuishi kwa siku nzima bila chakula. Sisi kama wazazi tunaoishi katika umaskini tunaelewa ni kwa nini watoto hawa wa kike walikwenda mbali zaidi na kuwapatia ngono Wachina. Ni watu pekee wenye pesa katika mji huu,&#8221; Mumba alilalamika. Mkazi mwingine, Rhoyda Musonda, alilaumu umaskini na wazazi wa watoto hao wa kike kuwa chanzo cha kashfa hiyo. &#8220;Tunafaa kulaumiwa. Mabinti hawa hawakulazimishwa na Wachina kufanya nao ngono. Lakini wazazi nina uhakika waliona (mabinti zao) wakinunua vitu vya thamani, ambavyo hapo kabla hawakuweza kuvimudu,&#8221; alisema. Lakini Gift Mulenga, mchimbaji madini katika mji huo, ana maoni tofauti juu ya kashfa hiyo. Alisema watoto wengi wa kike wanaoishi katika umaskini mkubwa wanafanya ukahaba kwa wanaume ambao wako taya&#341;i kutumia pesa, bila kujali utaifa. &#8220;Wachina wametokea tu kuwa taifa ambalo siyo sahihi, hiyo ndiyo sababu,&#8221; Mulenga alikohoa. Na Mulenga anaonekana kuwa sahihi. Ubakaji wa watoto wadogo umeongezeka nchini Zambia katika miaka ya ka&#341;ibuni na wanaume wengi wa Zambia wamefunguliwa mashitaka kwa kuhusika na uhalifu huo. Polisi katika Kitengo cha Polisi cha Kusaidia Waathi&#341;ika walisema kuwa ubakaji wa watoto umeongezeka kutoka 1,676 mwaka 2009 hadi 2,028 mwaka 2010. Wahusika ni pamoja na walimu wa Zambia, wakulima, waganga wa jadi na hata polisi wenyewe. Mwaka jana walimu watatu walifukuzwa kutoka Shule ya Ufundi ya Wasichana ya Ndola, katika jimbo la Coppe&#341;belt, kutokana na kufanya ngono na wanafunzi wao wenye um&#341;i wa chini ya miaka inayo&#341;uhusiwa kishe&#341;ia. Katika wilaya ya kaskazini ya Milenge, kwenye jimbo la Luapula, mwanaume mwenye um&#341;i wa miaka 75 alishitakiwa kwa kumbaka mtoto wa kike wa um&#341;i wa miaka nane. Kuongezeka kwa matukio ya ubakaji kulisababisha shi&#341;ika mwamvuli la wanaha&#341;akati wa jinsia nchini Zambia, Ba&#341;aza la Ku&#341;atibu Mashi&#341;ika Yasiyokuwa ya Kise&#341;ikali (NGOCC), kuitisha mkutano wa ushau&#341;iano wa kitaifa mwishoni mwaka huu. Engwase Mwale, mku&#341;ugenzi mtendaji wa NGOCC, anasema mkutano huo utaweka mikakati mipya ya jinsi gani ya kutatua tatizo hilo. &#8220;Siyo haba&#341;i njema kabisa. Hii ndiyo sababu tunataka kukutana na wanachama wetu na kufanya kazi kudhibiti hali hii,&#8221; alisema. Hakuweza kutaja sababu zinazosababisha matukio ya ubakaji kuongezeka nchini Zambia. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>LUSAKA, Mei 16 (IPS) &ndash; Zhang Daliu, 46, fundi wa kuchonga mbao kutoka China hakuamini alipokuwa amefungwa ndani ya mage&#341;eza yenye msongamano mkubwa wa wafungwa na yenye ha&#341;ufu mbaya nchini Zambia ambayo mazingi&#341;a ni mabaya mno hadi kuweza kusababisha magonjwa kama vile ya ngozi wakati wa kushikiliwa humo. Lakini ndivyo ambavyo Zhang ameangukia huko akiwa&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":763,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3852","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3852","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/763"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3852"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3852\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3852"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3852"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3852"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}