{"id":3851,"date":"2012-05-17T13:40:01","date_gmt":"2012-05-17T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/05\/17\/umaskini-mkubwa-wa-watoto-unaweza-kuangamiza-mustabali-wa-baadaye-wa-lesotho\/"},"modified":"2012-05-17T13:40:01","modified_gmt":"2012-05-17T13:40:01","slug":"umaskini-mkubwa-wa-watoto-unaweza-kuangamiza-mustabali-wa-baadaye-wa-lesotho","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/05\/17\/umaskini-mkubwa-wa-watoto-unaweza-kuangamiza-mustabali-wa-baadaye-wa-lesotho\/","title":{"rendered":"Umaskini Mkubwa wa Watoto Unaweza Kuangamiza Mustabali wa Baadaye wa Lesotho"},"content":{"rendered":"<p>MASERU, Mei 16 (IPS) &ndash; Kuzo&#341;ota kwa uchumi na kuendelea kwa atha&#341;i za gonjwa la UKIMWI kumeathi&#341;i vibaya taifa la Lesotho, na hivyo kuacha matumaini madogo ya kuwa kuna uwezekano wa kujinasua kutoka katika mtego wa umaskini. Watoto watatu kati ya watano wa taifa hilo la Kifalme la kusini mwa Af&#341;ika wanaishi katika umaskini uliokithi&#341;i. Kati ya watoto watano wanne ni yatima.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Ma&#341;a tu jua lilipochomoza, Moliehi* anaamka, anafagia ndani ya kibanda chao cha tope, anachota maji na kupika kifungua kinywa. Anaamsha watoto wengine, anawapatia chakula na kuwapeleka shule. Lakini Moliehi siyo mzazi. Kutokana na mama yake kufa&#341;iki dunia miaka mitatu iliyopita, yatima huyo mwenye um&#341;i wa miaka 17 alianza kuwa analea wadogo zake wa kiume wenye um&#341;i wa miaka 9 na 15. Watoto hao wanaishi katika kijumba kidogo cha tope chenye chumba kimoja, ambacho kimeezekwa kwa mabati. Mabeseni, sufu&#341;ia, bi&#341;ika vimening&#8217;inizwa katika ukuta mdogo, huku meza iliyopinda na mabegi ya nguo za zamani na mablanketi yamening&#8217;inizwa pia ukutani. Wakati wa usiku, watoto hao wanajilaza wote katika godo&#341;o dogo lililochanikachanika. &#8220;Nina hamu ya kumuona mama yangu. Kubeba jukumu lake ni mzigo mkubwa. Baba yangu anatupatia matumizi, lakini hatuna kitu,&#8221; anaelezea Moliehi, wakati wadogo zake wakimuegemea. &#8220;Ma&#341;a nyingi nakwenda nyumba hadi nyumba kuomba kikombe cha unga wa mahindi au mafuta ya kula.&#8221; Lakini watu wa Mohasoa, kijiji kama nusu saa hivi nje ya mji mkuu wa Lesotho wa Mase&#341;u ambako Moliehi anaishi, ni maskini sana. &#8220;Kaya tisa kati ya 10 hapa zinaishi katika umaskini uliokithi&#341;i. Ni vigumu kukuta mtu ana aji&#341;a hapa,&#8221; anasema chifu wa kijiji hicho Malipontso Mokasoa. &#8220;Tangu kuanza kwa mgogo&#341;o wa kiuchumi mateso yetu yamezidi na kufikia kiwango cha kutisha.&#8221; Hali ya watoto wa Lesotho ni mbaya. Katika nchi ya watu milioni 1.8, watoto wa kiume na wa kike 500,000 kati ya 825,000 wanaishi chini ya dola 1.25 kwa siku na hawana malazi ya kueleweka, kwa mujibu wa Shi&#341;ika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataoifa (UNICEF). Ka&#341;ibu asilimia 40 ya watoto chini ya um&#341;i wa miaka mitano wanaugua utapiamlo mkali na wamedumaa. Vifo vya watoto wachanga na wenye um&#341;i wa chini ya miaka mitano vimeongezeka katika muongo uliopita. &#8220;Watu wanataabika kupata mahitaji yao ya lazima kama vile chakula, malazi na nguo. Lakini hawawezi hata kufikia mahitaji hayo kwa kipindi ki&#341;efu. Wengine wanakula kila baada ya siku mbili,&#8221; anasema ofisa wa Ida&#341;a ya Jamii na Watoto Lineo Lephoto. &#8220;Inahusu kutafuta kuishi tu, na hatuwezi kuona matumaini ya hali kubo&#341;eka hivi ka&#341;ibuni.&#8221; Lesotho imekuwa moja ya mataifa mabaya zaidi duniani kwa watoto. Sababu ni madha&#341;a makubwa ya mgogo&#341;o wa kiuchumi duniani katika nchi hii ndogo yenye ukubwa wa taifa la Ubelgiji, ambayo imezungukwa na Af&#341;ika Kusini na hivyo kuwa na uchumi tegemezi. Kushuka kwa bei ya almasi na kupungua kwa bidhaa za nguo zinazosafi&#341;ishwa kwenda nje kumesababisha kuzo&#341;ota kwa sekta mbili muhimu nchini Lesotho, wakati asilimia 60 ya mapato yamepungua kutoka Umoja wa Fo&#341;odha wa Kusini mwa Af&#341;ika (SACU) na kusababisha mgogo&#341;o wa kiuchumi na hivyo kukausha mapato ya ufalme huo. Ongezeko la pato la taifa lilishuka hadi asilimia 0.9 mwaka 2009 kutoka asilimia 6.5 mwaka 2006, kwa mujibu wa Benki ya Dunia. Vile vile katika maeneo ya vijijini, ambako asilimia zaidi ya 70 ya wakazi wa Lesotho wanapigania asilimia tisa ya a&#341;dhi ya kilimo, kilimo cha kujikimu kimeshuka. Mafu&#341;iko ya ma&#341;a kwa ma&#341;a na ukame umepunguza mazao ya shambani, na hivyo kuacha zaidi ya &#341;obo ya wakazi wakikabiliwa na uhaba wa chakula. Lesotho ni ya 141 kati ya mataifa 162 katika Ripoti ya Maendeleo ya Umoja wa Mataifa, ikiwa nyuma ya Benin, Yemen na Bangladesh. Kufanya mambo kuwa mabaya zaidi, Lesotho ni moja ya nchi tatu duniani ambazo zimeathi&#341;ika zaidi na janga la VVU\/UKIMWI. Kila wananchi wanne wa Lesotho mmoja ameambukizwa vi&#341;usi hivyo, na hivyo kuacha &#341;obo ya watoto wakiwa yatima. &#8220;Lesotho ina moja ya idadi kubwa ya yatima duniani,&#8221; anasema mwakilishi mkaazi wa UNICEF Dk. Ahmed Magan. &#8220;Hali ni mbaya, na wakati huu, kiwango cha kukosa mahitaji kinazidi kuongezeka badala ya kupungua.&#8221; Kamba tatu za VVU, umaskini na uhaba wa chakula zinazidi kuongeza uwezekano wa watoto kunyanyasika, kunyonywa na kukabiliwa na ukiukwaji mwingine wa haki za binadamu. &#8220;Kama hatuwezi kusimamia suala la kupunguza umaskini katika miaka mitano ijayo, tutaona kupungua kwa kiasi kikubwa kwa ubo&#341;a wa maisha ya watoto na maendeleo yao,&#8221; anaonya Magan. Katika jitihada za kupunguza kiwango cha umaskini kwa watoto, UNICEF, ikiwa na msaada wa dola milioni 29.6 kutoka Umoja wa Ulaya (EU), ilizindua mpango wa kutoa msaada kwa watoto yatima na wanaoishi kwenye mazingi&#341;a magumu mwaka 2008. Mpango huo unatekelezwa na ida&#341;a ya masuala ya watoto ya Lesotho, ambayo inatenga dola 14.8 kwa mwezi kwa ajili ya kaya maskini zaidi. Hadi sasa, msaada huo unajazia kwenye kipato cha kaya 10,200, na kufikia watoto 28,000 katika wilaya tano kati ya kumi nchini humo. Hadi ifikapo mwaka 2014, wakati ufadhili utakapofikia kikomo, watoto 75,000 &ndash; ambao ni moja ya tano ya yatima wote na watoto wanaoishi katika mazingi&#341;a magumu nchini Lesotho watakuwa wamefaidika na mafao hayo. Kuanzia mwaka 2015 na kuendelea, se&#341;ikali inata&#341;ajiwa kufadhili mpango huo yenyewe. Ni jinsi gani taifa hilo linalokabiliwa na umaskini kwa kiasi kikubwa litaweza kuendeleza mpango huu, ni suala ambalo limezua maswali na wasiwasi mwingi. &#8220;Se&#341;ikali ina hatua kubwa ya kwenda,&#8221; anakubali mkuu wa se&#341;a za kijamii wa UNICEF Mohammad Fa&#341;ooq. &#8220;Inabidi kuja&#341;ibu kuendeleza matumizi yake ya kijamii, lakini kutokana na uhaba mkubwa wa mapato, inabidi kuona kama wanaweza kuuchukua mpango mwaka 2015.&#8221; Njia pekee ya kutimiza jambo hili ni kwa kupata msaada kutoka kwa wafadhili wa kimataifa, kama EU, ambayo taya&#341;i inapatia Lesotho msaada wa kusaidia bajeti wa zaidi ya dola milioni 134.7. Kwa watoto kama Moliehe na wadogo zake, kuendelea kupata mafao hayo kutaamua mustakabali wao wa baadaye. Pamoja na kuwa dola 14.8 zinaoneakana kuwa kidogo, fedha hizo zina&#341;uhusu watoto kununua chakula na kwenda shule. Anasema mtoto: &#8220;Msaada huu ni fedha pekee nilizonazo. Taya&#341;i tunaona ugumu wa kuendesha maisha yetu. Ma&#341;a zote nakuwa na wasiwasi.&#8221; * Jina la ukoo limehifadhiwa kumlinda mtoto. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>MASERU, Mei 16 (IPS) &ndash; Kuzo&#341;ota kwa uchumi na kuendelea kwa atha&#341;i za gonjwa la UKIMWI kumeathi&#341;i vibaya taifa la Lesotho, na hivyo kuacha matumaini madogo ya kuwa kuna uwezekano wa kujinasua kutoka katika mtego wa umaskini. Watoto watatu kati ya watano wa taifa hilo la Kifalme la kusini mwa Af&#341;ika wanaishi katika umaskini uliokithi&#341;i&#8230;.<\/p>\n","protected":false},"author":523,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3851","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3851","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/523"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3851"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3851\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3851"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3851"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3851"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}