{"id":3850,"date":"2012-05-08T13:40:01","date_gmt":"2012-05-08T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/05\/08\/vyoo-ni-muhimu-kuwafanya-watoto-kubakia-shuleni-katika-sudan-kusini\/"},"modified":"2012-05-08T13:40:01","modified_gmt":"2012-05-08T13:40:01","slug":"vyoo-ni-muhimu-kuwafanya-watoto-kubakia-shuleni-katika-sudan-kusini","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/05\/08\/vyoo-ni-muhimu-kuwafanya-watoto-kubakia-shuleni-katika-sudan-kusini\/","title":{"rendered":"Vyoo ni Muhimu Kuwafanya Watoto Kubakia Shuleni katika Sudan Kusini"},"content":{"rendered":"<p>JUBA, Mei 8 (IPS) &ndash; Kabla Shule ya Msingi Bo&#341; B haijajenga vyoo katika mazingi&#341;a ya shule miaka miwili iliyopita, wanafunzi waliondoka shule katika kipindi cha kwanza cha mapumziko ku&#341;udi nyumbani. Wengi wao hawaku&#341;ejea tena hadi asubuhi iliyofuata.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Walimu walimaliza muda wa da&#341;asa mapema, kwasababu hawakuwa na vyoo pia. Walikwenda kwenye mji wa ka&#341;ibu, kuomba kutumia vyoo vya hoteli, halafu waka&#341;ejea kuwakusanya tena wanafunzi waliosalia. Madin Chie&#341;, naibu mwalimu mkuu katika shule hiyo katika mji mkuu wa jimbo la Jonglei, alisema ubo&#341;a wa elimu uliathi&#341;ika shuleni hapo. Lakini kutokana na kwamba sasa matundu ya vyoo 16 yameshajengwa, &#8220;hakuna matatizo tena,&#8221; alisema. Kujenga mfumo wa elimu unaofanya kazi vizu&#341;i katika Sudan Kusini kunahitaji zaidi ya kuwa na matundu ya vyoo. Chini ya nusu ya watoto waliopaswa kuwepo shuleni hawaendi shule sasa. Nchi hiyo haina mada&#341;asa ya kutosha, walimu na vifaa vya shule kwa ajili ya kutosheleza watoto wote. Watoto wadogo katika mada&#341;asa ya shule za msingi wanashindania vifaa vichache na vijana walionyimwa fu&#341;sa za elimu wakati wa vita vilivyodumu kwa miongo kadhaa nchini humo. Mada&#341;asa mengi yanafanyika katika maeneo ya wazi na chini ya miembe. Hii ina maana kuwa mvua zinaponyesha, matokeo yake ni mapumziko ya miezi sita hadi mvua zitakapoisha. Lakini kwa wanafunzi walioweza kwenda shule &ndash; hata wale wanaoshi&#341;iki mada&#341;asa chini ya miti &ndash; upatikanaji wa matundu ya vyoo ni suala la msingi la kuwafanya kuendelea kusoma. Hali hii inawapata zaidi watoto wa kike, kwa mujibu wa Emily Lugano, mshau&#341;i wa kiufundi wa masuala ya elimu wa shi&#341;ika la kimataifa la Save the Child&#341;en katika Sudan Kusini. Shi&#341;ika la Save the Child&#341;en limejenga au kuka&#341;abati matundu ya vyoo katika shule 71 katika majimbo saba nchini humo. Uka&#341;abati huu umehusisha pia maeneo ya kunawia mikono. Ni sehemu ya mpango wa NGO yake kubo&#341;esha mazingi&#341;a ya kujisomea, alisema. Lakini pia ni tahadha&#341;i ya usalama kwa wanafunzi wa kike. Katika Sudan Kusini, wasichana wana uwezekano mkubwa wa kupata mimba wakiwa na um&#341;i wa miaka 15 wakiwa nje ya shule kuliko wakiwa shuleni. Wanapokuwa shuleni, hata hivyo, ma&#341;a nyingi wanakabiliwa na unyanyasaji na vitisho, alisema Lugano. Hii inazidishwa na baadhi ya mashule ambayo shi&#341;ika la Save the Child&#341;en linafanya kazi. Katika maeneo mengi watoto wa kike walita&#341;ajiwa kutumia vyoo pamoja na wenzao wa kiume au kutumia eneo la shamba ka&#341;ibu na shule. &#8220;Wanadhalilishwa na kunyanyaswa wanapotumia matundu ya vyoo pamoja na wenzao wa kiume,&#8221; alisema Lugano. Na &#8220;wasichana wanahisi kutokuwa salama kwenda kujisaidia vichakani &#8230; ni suala kubwa mno la kiusalama kwa watoto wa kike shuleni.&#8221; Wakati wa siku zao, watoto wa kike walikataa kwenda shule, ambako wasingekuwa na fu&#341;sa ya falagha. Chie&#341; alisema baadhi ya watoto wa kike katika shule walishindwa kwenda shule kwa ka&#341;ibu wiki au na zaidi kila mwezi, na hivyo kuendelea kupata alama za chini da&#341;asani. &#8220;Katika nchi nyingi zinazoendelea,&#8221; alisema Lugano, kukosekana kwa matundu ya vyoo yenye falagha &#8220;kunachangia watoto wengi wa kike kufanya vibaya da&#341;asani, kwasababu wanashindwa kwenda na mtaala.&#8221; Kutokana na kwamba hiyo ni shule, pia kuna suala la elimu ambalo linakuja na matundu ya vyoo na maeneo ya kunawia mikono mambo ambayo yanavuka mipaka ya jinsia. Chie&#341; alisema shule inatumia vyoo kuwafundisha watoto juu ya usafi na afya, jambo ambalo linasaidia kupunguza ma&#341;adhi. Mpango huo umekuwa maa&#341;ufu mno katika Bo&#341; B, na hivyo kupelekea wanafunzi kuanzisha Klabu za Usafi wa Mazingi&#341;a na Afya. Simon Pete&#341; Maiu&#341;, mwanafunzi wa da&#341;asa la 7 mwenye um&#341;i wa miaka 20, alijiunga na klabu hivi ka&#341;ibuni. Anajifunza mashai&#341;i na nyimbo za shule, jambo ambalo linahamasisha wanafunzi kunawa mikono yao na kujitunza. Pia anawafundisha kuzunguka katika maeneo ya shule na kuokota taka. &#8220;Inatufundisha jinsi ya kusafisha miili yetu, kwa kusafisha shule yetu,&#8221; alisema. Moja ya dhana ya kuanzisha klabu ni kuwafanya wanafunzi kuwa walimu, na kubeba ujumbe juu ya usafi wa mwili na kuzingatia afya kutoka shuleni na ku&#341;ejesha nyumbani kwenye jamii. &#8220;Kukuza hali ya usafi siyo suala linalofanyika kwa ufanisi nchini humu,&#8221; Lugano alisema. Miji mingi na maeneo ya vijijini yanakosa huduma za msingi kama vile maji ya bomba, lakini alisema wanafunzi wanaweza kuendelea kusaidia &#8220;kutafsi&#341;i misingi ya tabia za usafi na kufikisha kwa wanajamii.&#8221; Maiu&#341; alisema kuwa ni sehemu ya lengo la klabu, kugawana taa&#341;ifa na ma&#341;afiki zao na familia. Alisema, kutokana na kuhamasika, familia yake kwa sasa inafanya kila inavyoweza kuendeleza usafi, kama vile kunawa mikono. Lakini jitihada hizi zinafanya kazi tu katika maeneo ambayo yana mfumo wa elimu wenye muundo mzu&#341;i. Se&#341;ikali ya Sudan Kusini ilitenga chini ya asilimia sita ya bajeti yake ya mwaka 2011 kwa ajili ya elimu. Na wengi wao, Lugano alisema, zinakwenda kuwalipa walimu mishaha&#341;a. Kwa ujumla wake ufadhili wa elimu unaonekana kushuka, kwani kufungwa kwa bomba la mafuta nchini humo kumechukua asilimia 98 ya mapato nchini humo. Katika Bo&#341; B, Chie&#341; amem&#341;uhusu mwanafunzi wake wa da&#341;asa la 8 ku&#341;udi nyumbani mapema, kwasababu mada&#341;asa yote yamekuwa yakitumika na wanafunzi wadogo, huku mengine yakiwa na wanafunzi 150 katika da&#341;asa moja. Hali imeachiwa NGOs, kama ile ya Save the Child&#341;en, kuendelea kufadhili maendeleo ya miundombinu na kupata vifaa vya msingi, kama vile madafta&#341;i, kwa ajili ya wanafunzi. Wakati mipango ya kubo&#341;esha usafi wa mazingi&#341;a na usafi wa mwili katika mazingi&#341;a ya shule inaweza kuwa na faida kubwa za afya na usalama nje ya mazingi&#341;a ya shule, Lugano alisema, jitihada hizo zinaweza kuwa na ufanisi tu kama kuna shule. *And&#341;ew G&#341;een anaandika kutoka Sudan Kusini kutokana na ufadhili wa Inte&#341;national Repo&#341;ting P&#341;oject, shi&#341;ika hu&#341;u la uandishi wa haba&#341;i lenye makao yake mjini Washington, D.C. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>JUBA, Mei 8 (IPS) &ndash; Kabla Shule ya Msingi Bo&#341; B haijajenga vyoo katika mazingi&#341;a ya shule miaka miwili iliyopita, wanafunzi waliondoka shule katika kipindi cha kwanza cha mapumziko ku&#341;udi nyumbani. Wengi wao hawaku&#341;ejea tena hadi asubuhi iliyofuata. Walimu walimaliza muda wa da&#341;asa mapema, kwasababu hawakuwa na vyoo pia. Walikwenda kwenye mji wa ka&#341;ibu, kuomba&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":912,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3850","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3850","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/912"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3850"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3850\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3850"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3850"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3850"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}