{"id":3849,"date":"2012-05-08T13:40:01","date_gmt":"2012-05-08T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/05\/08\/mauitania-hatua-ndogo-za-kutokomeza-tohaa-kwa-wanawake\/"},"modified":"2012-05-08T13:40:01","modified_gmt":"2012-05-08T13:40:01","slug":"mauitania-hatua-ndogo-za-kutokomeza-tohaa-kwa-wanawake","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/05\/08\/mauitania-hatua-ndogo-za-kutokomeza-tohaa-kwa-wanawake\/","title":{"rendered":"Mau&#341;itania: Hatua Ndogo za Kutokomeza Toha&#341;a kwa Wanawake"},"content":{"rendered":"<p>NOUAKCHOTT, Mei 8 (IPS) &ndash; Mkakati mkali wa kukomesha toha&#341;a kwa wanawake nchini Mau&#341;itania unaleta mafanikio ya polepole, pamoja na kwamba wanaha&#341;akati wanatambua bado kuna mambo mengi ya kufanyika katika taifa ambalo theluthi mbili ya wasichana wamefanyiwa toha&#341;a.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Utafiti wa Idadi ya Watu wa mwaka 2007 uligundua kuwa asilimia 71 ya wanawake na watoto wa kike nchini Mau&#341;itania wamefanyiwa toha&#341;a, ambayo inaendeshwa na wakunga wa jadi kwa watoto wa kike kabla hawajafikisha um&#341;i wa miaka mitano. Utafiti huo uli&#341;ipoti kuwa sababu zinazotolewa kuungwa mkono kwa kitendo hicho ni za kidini na ili kuwa mtu wa kisasa. Pia ilikutwa kuwa kitendo hicho hakijatumika sana miongoni mwa familia zenye elimu nzu&#341;i. Khatto Mint Jiddou, ambaye anaendesha kampeni dhidi ya unyanyasaji wa kijinsia katika Wiza&#341;a ya Masuala ya Jamii, Watoto na Familia ya Mau&#341;itania, aliiambia IPS kuwa mpango huo unahusisha watu wengi, ikiwa ni pamoja na wanaha&#341;akati wa mashi&#341;ika ya kijamii, madakta&#341;i na viongozi wa kidini. Mpango wa kitaifa, unaosaidiwa na washi&#341;ika kadhaa wa maendeleo, ikiwa ni pamoja na kushawishi kupitishwa kwa she&#341;ia ya kupiga ma&#341;ufuku toha&#341;a, kutoa elimu ya ufahamu wa fatwa (tangazo la kidini) la kupiga ma&#341;ufuku toha&#341;a, na kuanzishwa kwa ofisi za kikanda kufuatilia kitendo hicho. Mwezi Machi, manga&#341;iba 35 &ndash; ikiwa ni pamoja na katika mkoa wa kati wa Tagant, ambapo wastani wa asilimia 97 ya wasichana wamefanyiwa toha&#341;a &ndash; walitangazwa waziwazi kuwa waliachana na kazi hiyo kwa &#341;idhaa yao. Jiddou alisema wanawake wameshawishiwa juu ya hata&#341;i ya kitendo hicho kwa maelezo yaliyoandaliwa na madakta&#341;i na wataalam wa dini. Djeinaba Ba, mtalaam wa uzazi kwa wanawake katika mji mkuu wa Mau&#341;itania, Nouakchott, aliiambia IPS kuwa toha&#341;a inasababisha maumivu makali na atha&#341;i za kiakili, na ma&#341;a nyingine inasababisha maambukizi mabaya. Kutokwa damu nyingi, ambayo inaweza kusababisha kifo, pia kunajitokeza ma&#341;a kwa ma&#341;a. Aziza Mint Meslem, mkunga na mwanaha&#341;akati wa mashi&#341;ika ya kijamii anayefanya kazi kupambana na toha&#341;a, alisema wasichana ambao wanapona kutokana na kitendo hicho kibaya wanapatwa na matatizo katika siku za usoni. &#8220;Baadhi ya maambukizi yanasababisha kushindwa kufanya kazi kwa baadhi ya tishu zinazotoa uteute katika mfuko wa uzazi, na hivyo kuzuia kuingia kwa mbegu za kiume katika mfuko huo, kitendo kinachosababisha utasa,&#8221; alisema. Aliongeza kuwa kitendo hicho pia kinachochea kupatwa na ugonjwa wa fistula na kutokwa damu nyingi wakati wa kujifungua. Viongozi wa dini pia wameingiza sauti zao katika kampeni. Hademine Ould Saleck, imamu wa msikiti wa Nouakchott, alisema kuwa yeye na jamaa zake katika dini walitoa tangazo la kidini au fatwa, likitaka kuzuia toha&#341;a mwaka 2010, kwa kujikita katika hata&#341;i zinazobainishwa na madakta&#341;i na kuzingatia mafundisho ambayo Uislam unaweka katika kuzingatiwa kwa utu wa binadamu. &#8220;Tunazingatia tendo hili, katika hali yake ya kawaida, kuwa hali&#341;uhusiwi kutokana na uha&#341;ibifu inaosababisha, na kutoa wito wa mamlaka ya ki&#341;aia na inayoshughulikia makosa ya jinai kuchukua hatua dhidi ya wanaohusika,&#8221; aliiambia IPS. Saleck alisema kuwa fatwa iliyotolewa na jumuiya ya wanadini nchini Mau&#341;itania mwaka 2011 ilipata msaada kutoka kwa wenzao kutoka mataifa mengine ya Af&#341;ika Magha&#341;ibi: Bu&#341;kina Faso, Gambia, Guinea, Guinea&ndash;Bissau, Mali, Nige&#341;, Senegal, na Chad. Kuna motisha nyingine kwa wakunga wanaopinga toha&#341;a: pamoja na kuwa wale wanaoacha kitendo hicho hawapatiwi fidia yoyote, ila tu watapewa kipaumbele katika kupatiwa mikopo kwa ajili ya kuanzisha shughuli za kujiingizia kipato na kupatiwa upendeleo kushi&#341;iki katika mada&#341;asa ya kusoma na kuandika. Lakini Meslem, ambaye anafanya kazi katika NGO alitoa wito kwa Chama cha Afya na Maendeleo ya Wanawake Mau&#341;itania, akisema kuwa uzoefu wake katika fani unaonyesha haja ya kupitishwa kwa she&#341;ia zinazolenga kukomeshwa kwa toha&#341;a. Hivyo aliiambia IPS kuwa ma&#341;a mbili katika miaka miwili iliyopita, amekutana na matukio ya watoto wa kike waliofa&#341;iki dunia kutokana na kutokwa na damu nyingi wakati wa kufanyiwa toha&#341;a. Katika kila tukio, ni NGO yake kuliko wazazi wa watoto hao wameweza kutoa taa&#341;ifa polisi; katika matukio yote mawili, mwanamke aliyeshi&#341;iki katika toha&#341;a alikamatwa, kushikiliwa kwa ajili ya kuhojiwa kwa siku kadhaa, lakini ameweza kuachiwa hu&#341;u na hakuna hatua zaidi imechukuliwa. Mkunga huyo alilaumu kukosekana kwa she&#341;ia dhidi ya manga&#341;iba katika uta&#341;atibu wa mashitaka ya makosa ya jinai nchini Mau&#341;itania. &#8220;Ni ukiukwaji wa wazi wa haki za watoto wa kike, kwasababu she&#341;ia za haki za binadamu za kimataifa zinasema wazi kuwa kila mtu ana haki ya kutambuliwa utu wa mwili wake,&#8221; alisema Meslem. Mtaalam wa uzazi kwa wanawake Ba aliiambia IPS amekuwa akibadili mitizamo inayotambua madha&#341;a mabaya ya toha&#341;a, ndoa za utotoni na mimba za ka&#341;ibu ka&#341;ibu. Hata hivyo, alisema kuwa mabadiliko yanaonekana zaidi miongoni mwa wale wenye elimu wanaoishi katika miji mikubwa, na wala siyo kwa wale wanaoendesha maisha ya kuhama hama. Meslem pia anaona sababu za kuwa na matumaini. &#8220;Tunaona mwelekeo chanya, hata kama tendo hili, linalojikita katika masuala ya kitamaduni na kijamii, liko mbali kuweza kudhibitiwa kabisa.&#8221; <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>NOUAKCHOTT, Mei 8 (IPS) &ndash; Mkakati mkali wa kukomesha toha&#341;a kwa wanawake nchini Mau&#341;itania unaleta mafanikio ya polepole, pamoja na kwamba wanaha&#341;akati wanatambua bado kuna mambo mengi ya kufanyika katika taifa ambalo theluthi mbili ya wasichana wamefanyiwa toha&#341;a. Utafiti wa Idadi ya Watu wa mwaka 2007 uligundua kuwa asilimia 71 ya wanawake na watoto wa&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":914,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3849","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3849","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/914"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3849"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3849\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3849"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3849"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3849"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}