{"id":3844,"date":"2012-05-08T13:40:01","date_gmt":"2012-05-08T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/05\/08\/njaa-nchini-chad-wanawake-wavunja-vichuguu-kutafuta-nafaka-zilizohifadhiwa-na-mchwa\/"},"modified":"2012-05-08T13:40:01","modified_gmt":"2012-05-08T13:40:01","slug":"njaa-nchini-chad-wanawake-wavunja-vichuguu-kutafuta-nafaka-zilizohifadhiwa-na-mchwa","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/05\/08\/njaa-nchini-chad-wanawake-wavunja-vichuguu-kutafuta-nafaka-zilizohifadhiwa-na-mchwa\/","title":{"rendered":"Njaa Nchini Chad: Wanawake  Wavunja Vichuguu Kutafuta Nafaka Zilizohifadhiwa na Mchwa"},"content":{"rendered":"<p>N&#8217;DJAMENA, Mei 7 (IPS) &ndash; &#8220;Ni Mungu tu anayejua nini kinatokea kwangu mimi na watoto &ndash; kwa miezi miwili hatukuwa na kitu cha kula. Tunaishi kama ombaomba,&#8221; Hen&#341;iette Sangla&#341;, mama wa watoto wanne katika majengo ya makazi ya Mou&#341;sal kwenye mji mkuu wa Chad, N&#8217;Djamena, aliiambia IPS.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>&#8220;Njaa inazidi kushika kasi hata hapa N&#8217;Djamena,&#8221; alisema Diane Nelmall Ko&iuml;d&eacute;&#341;&eacute;, nesi katika kituo cha afya cha A&#341;depdjoumal, sehemu nyingine ya mji huo. &#8220;Kati ya watoto 14 ambao nimewaona, ni wachache mno wana uzito ambao wanastahili kuwa nao kwa kulinganisha na um&#341;i wao. Unaweza kuona kuwa watoto hawa hawajala katika wiki zipatazo mbili zilizopita. Watoto wadogo wanaugua utapiamlo mkali.&#8221; Moja ya dalili za ukali wa njaa hiyo ni kuwa inaathi&#341;i kwa kiasi kikubwa hata mikoa ambayo kwa asili inazalisha mazao ya kilimo kwa wingi kusini mwa nchi. Blandine Ka&#341;&eacute;bey alihamia katika mji mkuu huo akitokea katika kijiji kidogo cha B&eacute;pala ili kuishi na mdogo wake wa kiume, Joseph Nga&#341;madji. Hataki ku&#341;ejea kijijini, na watoto wake wawili &ndash; wenye um&#341;i wa miaka miwili na mitano &ndash; hata baada ya mvua kuanza kunyesha, kwasababu wanakijiji wameshamaliza kutumia akiba yote ya chakula na hivyo kulazimika kusaka matunda po&#341;i na kuchimba mizizi ambayo haitumiki kwa chakula wakati ambapo hakuna njaa. Madha&#341;a ya njaa yameonekana zaidi katika eneo linalozunguka mji mkuu, linalojulikana kwa uzalishaji mkubwa wa mazao ya chakula nchini. Lakini madha&#341;a yameonekana kuwa mabaya zaidi katika ukanda wa ukame wa Sahel, ambao huwa hupokea mvua chache za milimita 300 kwa mwaka katika kipindi kifupi cha mvua cha miezi mitatu. Kama ilivyokuwa mwaka 2011, wakati mvua ziliposhindwa kunyesha, njaa imepiga sehemu ya masha&#341;iki mwa nchi vibaya zaidi, na hivyo kuathi&#341;i vibaya jamii zinazoishi katika eneo lenye hali ya jangwa katika mikoa ya Kanem, Gu&eacute;&#341;a na Salamat. Mvua haba zimesababisha mavuno haba. Katika maeneo mengi, katika kipindi cha miezi mitatu ya kuvuna mazao yamekwishaliwa yote, na hata kuanza kutumia mbegu ambazo zilitengwa kwa ajili ya msimu wa kupanda. Ili kuweza kuishi aidha wamegeukia mashi&#341;ika ya kibinadamu kuwapatia msaada au wamefu&#341;ika katika miji midogo na majiji makubwa ambako wanaweza kupata aji&#341;a ndogondogo kama vile kupiga pasi, kutunza mazingi&#341;a ya nyumba na bustani. Wakati wakiingia katika mji mkuu hivi ka&#341;ibuni, Stephen Cockbu&#341;n,m&#341;atibu wa kanda ya Af&#341;ika Magha&#341;ibi wa shi&#341;ika la Oxfam Inte&#341;national anayeshughulikia masuala ya kampeni na se&#341;a, alielezea hatua za kusikitisha ambazo zimekuwa zikichukuliwa na wakazi wa nchi hiyo katika maeneo ya vijijini. &#8220;Katika Tassino, kijiji katika wilaya ya Mangalm&eacute; katikati mwa eneo la kati la Gu&eacute;&#341;a, wanawake walionekana wakivunja vichuguu vya mchwa, wakitafuta nafaka zilizohifadhiwa na mchwa hao,&#8221;alisema. &#8220;Wanawake na watoto ni waathi&#341;ika wakuu katika jamii. Hali kama hii, ambapo uhaba wa chakula unapelekea bei kupanda kati ya asilimia 100 na 200, inakuwa na madha&#341;a makubwa mno kwa watu wenye maisha duni zaidi,&#8221; alisema Ma&#341;cel Ouatta&#341;a, mwakilishi wa Shi&#341;ika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa (UNICEF) nchini Chad. &#8220;Mgogo&#341;o huu unaathi&#341;i familia ambazo zina uwezo mdogo wa kupata huduma za afya ya msingi na ambao watoto wao ndiyo wanaougua utapiamlo mkali,&#8221; alisema. Mwezi Janua&#341;i mamlaka ilianza kutambua hata&#341;i inayokuja, na ilitangaza uwepo wa nafaka kwa bei ya &#341;uzuku na wakati huo huo ikizindua kampeni ya kuomba msaada kutoka kwa jumuiya ya kimataifa. Se&#341;ikali ilijenga hifadhi ya chakula inayofikia tani 4,000 za nafaka katika Ofisi ya Taifa ya Usalama wa Chakula (ONASA), chombo cha se&#341;ikali kilichoanzishwa kuzuia njaa. Wakati janga la njaa lilitangazwa &#341;asmi mapema mwaka huu, bei ya gunia la kilo 100 za nafaka (mahindi, mtama na uwele) ilifikia dola zipatzo 80, lakini ONASA inauza nafaka hizo kwa bei ya &#341;uzuku ya dola 20 tu kwa gunia. Hata hivyo, watu walioathi&#341;ika kwa njaa wanapata faida chache tu ya msaada huu wa se&#341;ikali kwa misimu miwili: kutokana na wengi kukosa pesa ya kununua chakula, hata katika bei ambayo imepunguzwa kwa kiasi kikubwa. Pia wafanyabiasha&#341;a wanatumia mbinu ya kuepuka kuuza kwa bei ya jumla kwa kujenga maghala makubwa ya vyakula ambavyo wanaweza kuja kuviuza tena baadaye kwa bei ya soko na hivyo kuongeza faida ma&#341;a tatu. Se&#341;ikali ina mifumo ya kudhibiti bei, lakini haijachukua hatua dhidi ya wafanyabiasha&#341;a ambao wana&#341;ubuni se&#341;ikali na hivyo kufanya mawazi&#341;i kushindwa kutoa matamko ya kuonya hali hiyo isiendelee. Wachambuzi wanakosoa kukosekana kwa hatua ya se&#341;ikali kutokana na kushami&#341;i kwa &#341;ushwa. Mwezi Machi 19, Adoum Djimet, wazi&#341;i wa kilimo na umwagiliaji, alija&#341;ibu kuhakikishia umma katika kile alichokiita &#8220;su&#341;a hasi mno inayotolewa na vyombo vya haba&#341;i vya kimataifa kuhusu atha&#341;i za njaa katika maeneo ya nchi.&#8221; &#8220;Se&#341;ikali,&#8221;alisisitiza, &#8220;inachukua hatua kuokoa ndugu zetu ambao wanatishiwa na njaa.&#8221; Lakini katika hali ya kuendelea kukosekana kwa msaada wa nyongeza uliotangazwa na se&#341;ikali &ndash; ambayo haijatoa ufafanuzi wowote juu ya nini kitafanyika wala kuelezea ucheleweshwaji wa kuchukua hatua &ndash; na kutokana na mashi&#341;ika ya kibinadamu kuchukua hatua polepole mno, watu wanaachwa wakiwa na matumaini madogo. Wakala wa Shi&#341;ika la Chakula la Umoja wa Mataifa ambaye hakutaka kutajwa, aliiambia IPS kuwa chakula cha kusambaza kwa waathi&#341;ika kipo njiani kuelekea N&#8217;Djamena lakini kimeshikiliwa katika banda&#341;i ya Douala, nchini Came&#341;oon, ambayo inapakana na kusini mwa Chad. NGOs kadhaa zimeonyesha wasiwasi wao juu ya kuanza kwa kasi kwa msimu wa mvua, wakitahadha&#341;isha kuwa kama msaada hautasambazwa hivi punde, maeneo mengi ambayo yameathi&#341;ika kwa kiasi kikubwa hayatafikika tena kwani ba&#341;aba&#341;a zitakuwa hazipitiki. &#8220;Utapiamlo utaendelea kuathi&#341;i watoto ikiwa hatua za ha&#341;aka na za nguvu hazitachukuliwa na se&#341;ikali na mashi&#341;ika ya misaada,&#8221; alisema Codjo Edoux, mkuu wa shi&#341;ika la Madakta&#341;i Wasiokuwa na Mipaka au M&eacute;decins Sans F&#341;onti&#038;eg&#341;ave;&#341;es nchini Chad. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>N&#8217;DJAMENA, Mei 7 (IPS) &ndash; &#8220;Ni Mungu tu anayejua nini kinatokea kwangu mimi na watoto &ndash; kwa miezi miwili hatukuwa na kitu cha kula. Tunaishi kama ombaomba,&#8221; Hen&#341;iette Sangla&#341;, mama wa watoto wanne katika majengo ya makazi ya Mou&#341;sal kwenye mji mkuu wa Chad, N&#8217;Djamena, aliiambia IPS. &#8220;Njaa inazidi kushika kasi hata hapa N&#8217;Djamena,&#8221; alisema&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":910,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3844","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3844","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/910"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3844"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3844\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3844"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3844"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3844"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}