{"id":3843,"date":"2012-04-23T13:40:01","date_gmt":"2012-04-23T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/04\/23\/watoto-wa-ivoy-coast-waishi-kwa-hofu\/"},"modified":"2012-04-23T13:40:01","modified_gmt":"2012-04-23T13:40:01","slug":"watoto-wa-ivoy-coast-waishi-kwa-hofu","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/04\/23\/watoto-wa-ivoy-coast-waishi-kwa-hofu\/","title":{"rendered":"Watoto wa Ivo&#341;y Coast Waishi kwa Hofu"},"content":{"rendered":"<p>ABIDJAN, Ap&#341;ili 23 (IPS) &ndash; Kundi la watoto wanaocheza katika eneo la wazi kwenye mji maa&#341;ufu kibiasha&#341;a wa Ivo&#341;y Coast wa Abidjan wanaonekana kutokuwa na uangalizi. Lakini ga&#341;i linapotoa ngu&#341;umo mkali na kutoa moshi, wanatetemeka. Wakati aska&#341;i wanapotembea kupita eneo hilo, wanatetemeka. Na wanaonekana kuwa na hofu wakati mtu mzima anapowasogelea.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Ni ka&#341;ibu mwaka mzima sasa baada ya taifa hilo la Af&#341;ika Magha&#341;ibi lilipotikiswa na miezi sita ya ghasia na vitisho wakati &#341;ais wa zamani Lau&#341;ent Gbagbo alipokataa kuachia mada&#341;aka kwa m&#341;ithi wake Alassane Ouatta&#341;a ambaye alishinda uchaguzi wa Novemba 2010. Lakini watoto wa Ivo&#341;y Coast bado wanaja&#341;ibu kupona kutokana na maje&#341;aha ya kisaikolojia na kijamii yaliyosababishwa na ghasia. <\/p>\n<p>&#8220;Watoto walikuwa waathi&#341;ika wakuu wa ghasia za baada ya uchaguzi. Wengi walisikia milio ya bunduki na makombo&#341;a, walishuhudia watu wakikimbia, waliona watu wazima wakiwa na hofu na walishuhudia ukatili, mapigano na mauaji,&#8221; anasema D&eacute;si&#341;&eacute; Koukoui, mku&#341;ugenzi wa ofisi ya Abidjan ya shi&#341;ika la misaada la kimataifa lijulikanalo kama Inte&#341;national Catholic Child&#341;en&#8217; (BICE), ambalo linafanya kazi ya kutetea haki za watoto. <\/p>\n<p>Watoto walihofia maisha yao, na waliweza kushughulikia vifo vya wanafamilia wao, njaa na kuyahama makazi kutokana na ghasia nchini, ambayo ilidumu kuanzia Disemba 2010 hadi Mei 2011. Maelfu walitenganishwa na wazazi wao kutokana na ghasia. Wengi walijikuta wakiwa peke yao katika miji ya nje ya Abidjan, na kulazimishwa kulala, kuomba, kuiba, kufanya kazi au kuuza miili yao kuweza kuishi. <\/p>\n<p>&#8220;Tuna wasiwasi kuwa kama hatutekelezi vizu&#341;i mipango ya &#8216;uka&#341;abati&#8217; hali hiyo, ya kuwakusanya watoto na familia zao, tutakabiliwa na kizazi kizima chenye matatizo miaka michache ijayo, huku kukiwa na kizazi cha vijana wasiokuwa na mustakabali wa baadaye,&#8221; anaonya Koukoui. <\/p>\n<p>BICE ilizindua nyumba salama kwa watoto waliotenganishwa na wazazi wao Julai 2011. Hadi wakati huo ghasia zilikuwa zimeshapoteza maisha ya watu 3,000 na kwa uchache nusu milioni kuyakimbia makazi yao. Wafanyakazi wake wanaja&#341;ibu kuwaunganisha na familia zao, kwa kupata msaada kutoka mashi&#341;ika ya kuhudumia watoto la kimataifa la Save the Child&#341;en na United Nations Child&#341;en&#8217;s Fund (UNICEF). <\/p>\n<p>Kwa mujibu wa takwimu &#341;asmi za Umoja wa Mataifa, watoto 3,700 wali&#341;ipotiwa kutenganishwa na wazazi wao wakati wa mgogo&#341;o wa Abidjan, jiji la wakazi wapatao milioni tano. Lakini Koukoui ana imani kuwa &#8220;idadi halisi ni kubwa zaidi; kwa uchache ma&#341;a 10 zaidi kwasababu hatujaweza kuwapata watoto wengi waliopotea.&#8221; <\/p>\n<p>Mafanikio yamekuwa madogo, kwasababu ma&#341;a nyingi wazazi wameyakimbia makazi yao pia, au watoto ni wadogo mno au kuumia mno kisaikolojia kuweza kukumbuka wazazi wao au majina ya vijiji vyao. Hadi sasa, BICE imeweza tu kupata familia za watoto wa kiume na wa kike wapatao 250. &#8220;Tunafanya vizu&#341;i kutafuta familia, kuweka watoto mashuleni, kuwapatia ushau&#341;i nasaha wa kisaikolojia na kijamii, na kama yote yanashindikana, kuwaweka katika uangalizi wa mama wa kambo au vituo vya yatima,&#8221; Koukoui anaelezea. <\/p>\n<p>Mmoja wa watoto hao ni Judith* mwenye um&#341;i wa miaka 12 ambaye aliwasili katika nyumba salama miezi ipatayo mitatu iliyopita. Mtoto huyo wa kike aliishi na shangazi yake na mjomba katika kitongoji cha Yopougon, moja ya vitongoji katika mji wa Abidjan ambacho kinaathi&#341;ika zaidi na ghasia za baada ya uchaguzi, eneo ambalo lilipewa jina la ngome ya Gbagbo. <\/p>\n<p>Wazazi wa Judith, ambaye anaishi katika kijiji kidogo katika maeneo ya vijijini kaskazini mwa nchi, Benju&eacute;, alikuwa amepeleka mtoto wake huyo katika mji mkuu wa nchi kwa matumaini ya kupata shule nzu&#341;i. Lakini badala yake, ndugu walimnyonya mtoto huyo, kumlazimisha kufanya kazi kama mfanyakazi wa ndani katika nyumba yao. Wakati uchaguzi ulimaliza ghasia, mjomba wa Judith, ambaye ni mfuasi wa Gbagbo, aliamua kukimbia Abidjan kutokana na hofu ya usalama wake. <\/p>\n<p>&#8220;Baada ya kuondoka, hali yangu ilizidi kuwa mbaya. Kutoka di&#341;ishani, niliona watu wakiuawa mitaani. Niliogopa mno. Hatukuwa na chakula, na shangazi yangu alimalizia hofu yake kwangu. Alinipiga sana,&#8221; anasema Judith ambaye hatimaye alikimbia na kufika katika nyumba salama huku uso wake ukiwa na maje&#341;aha na kukatwa na kuacha makovu ya maisha. <\/p>\n<p>Mtoto huyo pia alibakwa, lakini kwa sasa inabakia kutokueleweka uhalifu huo ulifanyika lini na ni nani alihusika, anasema mfanyakazi wa nyumba salama. <\/p>\n<p>&#8220;Kwa bahati mbaya ni haba&#341;i halisi. Tumeshuhudia kuongezeka kwa unyanyasaji wa majumbani nchini kote, matumizi ya pombe na unyanyasaji wa watoto kutokana na vita,&#8221; anaelezea Dali&eacute; P&#341;iva&#341;y, meneja mipango wa nyumba salama. <\/p>\n<p>Baada ya wiki kadhaa, mfanyakazi wa nyumba salama aliweza kuwapata wazazi wa Judith lakini mchakato wa kuwaunganisha ni mgumu na unachukua muda m&#341;efu, kwani mashi&#341;ika ya misaada yanahitaji kuhakikisha kuwa watoto watapelekwa kwenye mazingi&#341;a salama na familia yenye afya. <\/p>\n<p>&#8220;Tunawapatia ushau&#341;i nasaha wazazi na watoto kabla ya kuwaunganisha, kuwapatia watoto mustakabali mzu&#341;i,&#8221; anaelelezea meneja p&#341;og&#341;amu ya hifadhi ya watoto wa shi&#341;ika la Save the Child&#341;en Monique Apie. &#8220;Tunataka kuwa na uhakika kuwa wazazi wana nia ya kuwachukua watoto.&#8221; <\/p>\n<p>Kutokana na ghasia, ambayo imesababisha atha&#341;i za kisaikolojia na kupoteza matumaini kwa watu wazima, mmoja kati ya wazazi watano walikuwa wanasita kuka&#341;ibisha watoto waliopotea katika familia, kwa mujibu wa takwimu za BICE. &#8220;Wakati kuna vita, kila mtu anajiangalia mwenyewe, hata ndani ya familia. Inatisha, lakini kwa bahati mbaya ni suala la kweli,&#8221; anasema Apie. <\/p>\n<p>Hata hivyo, wazazi wengi wanahisi kuwa hawawezi kulea watoto wao, kutokana na kuwepo kwa umaskini hapo nyuma &ndash; ka&#341;ibu nusu ya &#341;aia wa Ivo&#341;y Coast wanaishi chini ya umaskini wa dola 1.25 kwa siku &ndash; na ghafla walichanganywa na kupungua kwa kipato kwa kiasi kikubwa kwani mamia ya familia zililazimishwa kuyahama makazi yao. Matokeo yake, mchakato wa kuwaunganisha upya unaweza kuchukua miezi, hata baada ya wazazi kupatikana. <\/p>\n<p>Mbali na kusaidia michakato ya kuunganisha wanafamilia, UNICEF inafanya kazi kuhakikisha kuwa watoto wa kike waliotendewa vibaya na kudhalilishwa na watoto wa kiume kupata haki kwa watoto. &#8220;Tunafanya kazi na ida&#341;a ya she&#341;ia na polisi katika kulinda masuala ya watoto,&#8221; anaelezea naibu mwakilishi wa UNICEF nchini Ivo&#341;y Coast Ch&#341;istina de B&#341;uin. <\/p>\n<p>Kwa sasa, watoto wachache wana fu&#341;sa ya kupata haki kutoka mfumo wa utoaji wa haki, ambao kwa pamoja na polisi walikuja kusimama wakati wa ghasia za baada ya uchaguzi, wakati jeshi la Ivo&#341;y Coast na vikosi vya wapiganaji wa upinzani waliposababisha tishio la amani nchini. <\/p>\n<p>&#8220;Rais Ouatta&#341;a na se&#341;ikali yake wameshasema juu ya wasiwasi wao kuhusu haki za watoto, lakini itachukua muda m&#341;efu kutekeleza maamuzi mapya ya kise&#341;a,&#8221; anasema de B&#341;uin. Hadi wakati huo, maelfu ya &#341;aia wa Ivo&#341;y Coast watabakia kuwa katika hali tete. <\/p>\n<p>*Majina yalibadilishwa kulinda kutambuliwa kwa mtoto. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>ABIDJAN, Ap&#341;ili 23 (IPS) &ndash; Kundi la watoto wanaocheza katika eneo la wazi kwenye mji maa&#341;ufu kibiasha&#341;a wa Ivo&#341;y Coast wa Abidjan wanaonekana kutokuwa na uangalizi. Lakini ga&#341;i linapotoa ngu&#341;umo mkali na kutoa moshi, wanatetemeka. Wakati aska&#341;i wanapotembea kupita eneo hilo, wanatetemeka. Na wanaonekana kuwa na hofu wakati mtu mzima anapowasogelea. Ni ka&#341;ibu mwaka mzima&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":523,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3843","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3843","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/523"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3843"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3843\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3843"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3843"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3843"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}