{"id":3842,"date":"2012-04-23T13:40:01","date_gmt":"2012-04-23T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/04\/23\/jukwaa-la-maji-duniani-lasema-mabwawa-makubwa-siyo-endelevu\/"},"modified":"2012-04-23T13:40:01","modified_gmt":"2012-04-23T13:40:01","slug":"jukwaa-la-maji-duniani-lasema-mabwawa-makubwa-siyo-endelevu","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/04\/23\/jukwaa-la-maji-duniani-lasema-mabwawa-makubwa-siyo-endelevu\/","title":{"rendered":"Jukwaa la Maji Duniani Lasema Mabwawa Makubwa &#8216;Siyo Endelevu&#8217;"},"content":{"rendered":"<p>MARSEILLE, Ufa&#341;ansa, Ap&#341;ili 23 (IPS) &ndash; Mashi&#341;ika kadhaa yasiyokuwa ya kise&#341;ikali yalitumia Jukwaa la Maji Duniani (WWF) lililofanyika mjini Ma&#341;seille wiki iliyopita kama fu&#341;sa ya kukumbusha jumuiya ya kimataifa kuhusu madha&#341;a makubwa ya mabwawa makubwa duniani kote.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Yakiwa yanatafsi&#341;iwa kama mabwawa yenye u&#341;efu wa zaidi ya mita 15 au ukubwa wa kuhifadhi kwa uchache maji ya mita za ujazo milioni tatu, mabwawa makubwa hayapungui 48,000 duniani kote na yanawakilisha masuala kadhaa, ambayo miongoni mwao ni madha&#341;a katika maisha ya wakazi wa maeneo husika. <\/p>\n<p>Mashi&#341;ika matatu &ndash; shi&#341;ika la hifadhi ya asili la kimataifa lijulikanalo kama Inte&#341;national Union fo&#341; Conse&#341;vation of Natu&#341;e (IUCN), taasisi ya kimataifa ya mazingi&#341;a na maendeleo ijulikanayo kama Inte&#341;national Institute fo&#341; Envi&#341;onment and Development (IIED) na IRAM, ambayo inasimama kwa lugha ya Kifa&#341;ansa kama taasisi ya utafiti na matumizi ya njia za maendeleo &ndash; hivi ka&#341;ibuni yalitoa utafiti wao wenye jina la &#8220;Kutumia pamoja maji, kugawana faida &#8220;, ambao ulilenga katika mabwawa matatu katika Af&#341;ika Magha&#341;ibi kuonyesha jinsi gani yanaathi&#341;i wakazi wa eneo hilo. <\/p>\n<p>J&eacute;&#341;&#038;oci&#341;c;me Koundouno, mmoja wa waandishi wa &#341;ipoti, aliiambia IPS kuwa wakati mabwawa makubwa yanajengwa yanasababisha watu wengi kuhamishwa makazi yao, jambo ambalo huwa gumu. <\/p>\n<p>Alisema eneo la a&#341;dhi linalohitajika kwa mabwawa linalazimika &#8220;kuhamisha watu, kujenga upya nyumba, na kupatia watu a&#341;dhi mpya kwa ajili ya kilimo,&#8221; ambayo pia ina maana kutoa msaada na fidia kwa wanafamilia waliohamishwa. <\/p>\n<p>Hata hivyo, mabwawa mengi yaliyojengwa miaka ya 1980 na 1990 hayatoi aina yoyote ile ya fidia kwa wakazi waliohamishwa, na hivyo kusababisha madha&#341;a katika jamii. <\/p>\n<p>Ikichukua mfano wa bwawa la S&eacute;lingu&eacute; nchini Mali, lililojengwa mwaka 1981, Koundouno aliielezea IPS kuwa familia zilizohamishwa, ambazo zilipatiwa viwanja katika maeneo mapya nje kidogo ya bwawa, baadaye walihamishwa tena kwasababu walikuwa wamezoea umwagiliaji wa jadi na hivyo hawakuweza kutumia umwagiliaji wa aina nyingine. <\/p>\n<p>&#8220;Ikabidi kutelekeza mashamba yao kutokana na kuwa hawakuwa na uwezo wa kuzalisha kiasi cha kutosha na kufikia mata&#341;ajio yao ya mavuno. Hivyo jamii hizo zimehamishwa kabisa katika a&#341;dhi yao,&#8221; aliiambia IPS. <\/p>\n<p>Tatizo jingine lilizu&#341;ushwa na ujenzi wa mabwawa makubwa, Koundouno alidai, ni ujenzi &#8220;wa maendeleo ya kweli unaojikita katika hifadhi ya maji, ambayo maji yanatumiwa na watumiaji wengi, na hivyo kusababisha migogo&#341;o ya uhaba wa &#341;asilimali. Hii inatokana na kwamba usimamiaji wa maji ma&#341;a nyingine unakosa usawa.&#8221; <\/p>\n<p>Mgogo&#341;o unaojitokeza ma&#341;a nyingine ni kati ya wavuvi, wakulima na wafugaji samaki, na kwa upande mwingine kati ya wakazi wazawa na wahamiaji, ambao wanadanganywa kwa kuahidiwa aji&#341;a katika kituo hiki kipya cha maendeleo. <\/p>\n<p>Tume ya Mabwawa Duniani inakadi&#341;ia kuwa watu 40 hadi 80 milioni wamehamishwa katika makazi yao kupisha ujenzi wa mabwawa kama hayo duniani kote. <\/p>\n<p>Mabwawa makubwa pia yanasababisha atha&#341;i za kimazingi&#341;a kama vile mafu&#341;iko, ukataji wa miti, kupunguza a&#341;dhi ya malisho, na kupungua kwa idadi ya wanyama wakubwa &ndash; mambo yote hayo ambayo yanatishia usalama wa chakula kwa wakazi. <\/p>\n<p>Jane Madgwick, Afisa Mtendaji Mkuu wa shi&#341;ika la a&#341;dhi chepechepe duniani linalojulikana kama Wetlands Inte&#341;national, aliiambia IPS kupungua kwa maji ya Mto Nige&#341; kunaweza kusababisha madha&#341;a kwa maisha na vipato vya wakazi wanaoishi katika mabonde ya mto ambao wanategemea uvuvi. <\/p>\n<p>Nia ni kwamba kueneza mabwawa hayo makubwa hakupaswi kuonekana kuzingatia &#8220;nishati mbadala ya kijani&#8221; kama yatakuwa hayajapangwa katika njia iliyo endelevu. <\/p>\n<p>Je&#341;emy Bi&#341;d, ambaye hivi ka&#341;ibuni atakuwa mku&#341;ugenzi mkuu wa Taasisi ya Kimataifa ya Kusimamia Maji, alisisitiza haja ya kuongeza ufahamu juu ya uendelevu wa nishati mbadala. <\/p>\n<p>Kwa kuwa na lengo hili Chama cha Kimataifa cha Nishati ya Maji kijulikanacho kama Inte&#341;national Hyd&#341;opowe&#341; Association kilichapisha Ripoti ya Tathmini ya Uendelevu wa Nishati ya Maji kufasili njia bo&#341;a na kuja&#341;ibu kuziingiza kwenye mi&#341;adi ya ujenzi. <\/p>\n<p>Njia mbadala za mabwawa makubwa <\/p>\n<p>Wataalam wengi kwa sasa wana imani kuwa matatizo yanayotokana na mabwawa makubwa yanazidi faida zake &ndash; ambazo ni kutoa maji na nishati &ndash; na yanatakiwa nafasi yake kuchukuliwa na aina nyingine ya nishati mbadala, kama vile nishati ya jua na upepo. <\/p>\n<p>&#8220;Katika Ame&#341;ika Kusini na hasa nchini Chile, kwa mfano, fu&#341;sa za nishati ya jua hazina ukomo,&#8221; Juan Pablo O&#341;&#341;ego, &#341;ais wa NGO ya Ecosistemas nchini Chile aliiambia IPS, akiongeza kuwa se&#341;ikali ya Chile inapaswa kuwekeza katika aina hii ya nishati. <\/p>\n<p>Ufumbuzi mwingine ulijadiliwa pia wakati wa Jukwaa la Maji Duniani (linalojulikana kwa kifupi cha Kifa&#341;ansa kama FAME), lililofanyika pamoja na WWF. Suala la matumizi kidogo ya nishati ya maji liliungwa mkono na wengi. <\/p>\n<p>Kwa kulenga katika mahitaji ya wakazi wa maeneo husika, wataalam ambao walihudhu&#341;ia FAME walijadili ufanisi wa mitambo midogo na mabwawa madogo. <\/p>\n<p>Ronack Monabay, mwanaha&#341;akati wa shi&#341;ika la ma&#341;afiki wa dunia au F&#341;iends of the Ea&#341;th, anazungumzia uamuzi wa se&#341;ikali ya Nepal ya kufungua soko la nishati kwa wazalishaji wadogo, ili kutekeleza mi&#341;adi ya mabwawa ya ukubwa wa kati na madogo, yenye uwezo wa kuzalisha megawati hadi 100. <\/p>\n<p>Uamuzi huu ulifuatiwa na kampeni iliyoongozwa na NGOs nyingi za mazingi&#341;a kutoka asasi za ki&#341;aia kusitisha uliofadhiliwa na Benki ya Dunia wa &#8216;A&#341;un III&#8217;, bwawa kubwa ambalo lingeangamiza misitu ya Himalaya. <\/p>\n<p>Mchakato huo wa kusikiliza sauti za wazalishaji wadogo na wanajamii unawapatia washika dau uhu&#341;u zaidi katika mchakato wa kutoa maamuzi na ku&#341;uhusu wanajamii kukubaliana na kile ambacho ni bo&#341;a kwao. <\/p>\n<p>Machi 14 shi&#341;ika la Mito ya Kimataifa au Inte&#341;national Rive&#341;s, pamoja na mashi&#341;ika mengine ya mazingi&#341;a, yaliongoza kampeni dhidi ya &#8220;taa&#341;ifa zenye lengo la kusafisha mipango ya ujenzi wa mabwawa makubwa&#8221;. <\/p>\n<p>Waliiambia IPS kuwa kinachohitaji ni dhami&#341;a zaidi ya kisiasa kutoka kwa watoa maamuzi kutekeleza mipango hii, badala ya kukuza mi&#341;adi ya mabwawa makubwa ambayo yanaleta faida kubwa kwa makampuni za kimataifa. <\/p>\n<p>Mbadala ni Bwawa la mchanga <\/p>\n<p>Ili kuzuia matatizo ya kijamii na kimazingi&#341;a yanayotokana na ujenzi wa mabwawa makubwa, na kwa lengo la kusambaza maji kwa kila mtu, maeneo ya hali ya ukame yanatumia teknolojia nyingine inayojulikana kama mabwawa ya mchanga. <\/p>\n<p>NGO ya Excellent ilikuja katika WWF kukuza uelewa wa jinsi gani ya kukabiliana na kukosekana kwa usalama wa chakula na uhaba wa maji duniani, hasa katika maeneo ambayo mvua ni kubwa lakini zinanyesha katika kipindi kidogo sana cha mwaka. <\/p>\n<p>Mabwawa ya Mchanga yana uwezo wa kuhifadhi maji ya kutosha kwa watu elfu moja kutumia kwa maisha yao yote. Zaidi ya hapo, mabwawa ya mchanga yanajengwa na kusimamiwa na jamii za eneo husika, ufumbuzi ambao ni wa gha&#341;ama nafuu. <\/p>\n<p>Simon Madd&#341;ell, Afisa Mtendaji Mkuu wa Excellent, aliiambia IPS, &#8220;Suala zu&#341;i kuhusu mabwawa ya mchanga ni kwamba yanahifadhi maji pale ambapo watu wanaishi, wakati watu wanapoyahitaji. Kwa sasa, kanuni kuu ya bwawa kubwa siyo kuhifadhi maji pale ambapo watu wanayahitaji, na siyo njia ambayo inaweza kuwapatia maji watu wanaoishi maeneo ya vijijini.&#8221; <\/p>\n<p>Wakati mabwawa ya mchanga hayawapatii wakazi nishati kama ilivyo kwa mabwawa makubwa, Madd&#341;ell ana imani kuwa nishati siyo kipaumbele kwa wanajamii, ambao kwanza wanahitaji maji halafu chakula.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>MARSEILLE, Ufa&#341;ansa, Ap&#341;ili 23 (IPS) &ndash; Mashi&#341;ika kadhaa yasiyokuwa ya kise&#341;ikali yalitumia Jukwaa la Maji Duniani (WWF) lililofanyika mjini Ma&#341;seille wiki iliyopita kama fu&#341;sa ya kukumbusha jumuiya ya kimataifa kuhusu madha&#341;a makubwa ya mabwawa makubwa duniani kote. Yakiwa yanatafsi&#341;iwa kama mabwawa yenye u&#341;efu wa zaidi ya mita 15 au ukubwa wa kuhifadhi kwa uchache maji&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":909,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3842","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3842","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/909"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3842"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3842\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3842"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3842"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3842"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}