{"id":3841,"date":"2012-04-23T13:40:01","date_gmt":"2012-04-23T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/04\/23\/maji-yanapokauka-katika-mabomba-ya-mauitius\/"},"modified":"2012-04-23T13:40:01","modified_gmt":"2012-04-23T13:40:01","slug":"maji-yanapokauka-katika-mabomba-ya-mauitius","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/04\/23\/maji-yanapokauka-katika-mabomba-ya-mauitius\/","title":{"rendered":"Maji Yanapokauka Katika Mabomba ya Mau&#341;itius"},"content":{"rendered":"<p>PORT&ndash;LOUIS, Api&#341;ili 23 (IPS) &ndash; Rani Mu&#341;thy, mfanyakazi wa se&#341;ikali anayeishi Plaines Wilhems, katikati mwa Mau&#341;itius, anaamka saa tisa usiku kusubi&#341;i maji ya ga&#341;i kutoka Mamlaka ya Maji kuweza kupata maji ya kupikia na shughuli nyingine za nyumbani.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>&#8220;Haya siyo maisha. Kuamka saa tisa usiku kuchota maji, kufanya kazi za nyumbani kabla ya saa moja asubuhi, halafu kwenda kazini. Na&#341;ejea kazini usiku, naanza kuangalia watoto, naandaa chakula, nakula chakula cha jioni, nakwenda kulala muda wa saa sita usiku na kuamka saa tisa. Kama siyo hivyo, tunabaki bila maji,&#8221; anasema Mu&#341;thy. Lakini mazingi&#341;a ya watu waliopanga foleni ya maji yanaonekana katika maeneo kadhaa ya kisiwa hicho. Wakati hifadhi za maji zikikauka, maji ya bomba yamekuwa kitu cha anasa hapa. Uhaba umekuwa na maana kubwa na atha&#341;i katika kisiwa wakati wakulima kisiwani humo, hasa wa eneo la kaskazini, kwa sasa wanaweza kulima kipande kidogo tu cha a&#341;dhi. K&#341;eepallou Sunghoon, katibu wa Chama Cha Wakulima Wadogo, anasema wakulima ambao walikuwa wakilima mboga mboga katika hekta 10 hadi 15 sasa wanalima chini ya theluthi moja ya a&#341;dhi hiyo. &#8220;Kilimo hakima faida tena,&#8221; analalamika. K&#341;itanand Beeha&#341;&#341;y, mwenyekiti wa Shi&#341;ikisho la Vyama vya Ushi&#341;ika vya Masoko ya Mazao ya Kilimo, anasema kuwa wakulima wengi wameamua kuvuna maji ya mvua katika mapaa ya nyumba zao, ambayo huyatumia kumwagilia mashamba yao. &#8220;Baadhi wanajenga mabwawa ya kukinga maji katika mashamba yao, wakati wengine wananunua kutoka maga&#341;i binafsi ya kuuzia maji ambayo yanazunguka katika eneo lao kuleta maji kutoka kwenye mito,&#8221; anasema. Kabla ya uhaba wa mvua nchini Mau&#341;itius taya&#341;i ilikuwa inajulikana kuwa ni nchi yenye matatizo ya maji. Kwa mujibu wa viwango vya Umoja wa Mataifa nchi yenye uhaba wa maji ina kiasi cha maji cha chini ya mita za ujazo 1,700 kwa mwaka. Mau&#341;itius ina mita za ujazo 1,044. Nchi imekabiliwa na uhaba wa maji kwa miezi na inaonekana kana kwamba hakuna dalili ya kukabiliana na hali hiyo, kwani mvua zilizota&#341;ajiwa za maji&#341;a ya joto bado hazijanyesha huku ikiwa ni chini ya mwezi mmoja tu umesalia kabla msimu haujamalizika. Kwa kawaida, kisiwa hupata mbili ya tatu ya mvua zake za kawaida au milimita 1,344 kuanzia Novemba hadi Ap&#341;ili. &#8220;Zaidi ya nusu ya kipindi cha maji&#341;a ya joto kimemalizika na tumepata milimita 373 tu za mvua katika kisiwa kizima. Ma&#341;a nyingi inanyesha sana kati ya Janua&#341;i na Machi, lakini mwaka huu ilinyesha milimita 88 tu na milimita za kawaida 261 mwezi Janua&#341;i,&#8221; anasema Rajen Mung&#341;a, mku&#341;ugenzi wa Taasisi ya Huduma za Hali ya Hewa Mau&#341;itius. Katikati mwa kisiwa ambako kuna chanzo kikuu cha maji cha Ma&#341;e&ndash;aux&ndash;Vacoas, ambacho ni kikubwa kuliko zote kati ya vyanzo vitano nchini humo na kuwa na uwezo wa mita za ujazo milioni 27, wastani wa mvua za muda m&#341;efu ni milimita 2,173. Hata hivyo, mvua zilizonyesha ni milimita 549 tu katika maji&#341;a haya ya joto na kiwango cha maji katika chanzo hicho, ambacho kinahudumia miji mikubwa ya nchi na ka&#341;ibu nusu ya wakazi, ni asilimia 29 tu. Uzalishaji wa maji katika chanzo cha maji cha Ma&#341;e&ndash;aux&ndash;Vacoas umepungua kutoka mita za ujazo 110,000 hadi mita 40,000 kwa siku. Katika mikoa mingine, uzalishaji wa maji katika vyanzo na visima vi&#341;efu umepungua kwa zaidi ya asilimia 50, kwa mujibu wa CWA. Viwango vya maji katika mito vimeshuka hadi kuka&#341;ibia asilimia 70 katika maeneo kadhaa ya kisiwa, kwa mujibu wa Kitengo cha Rasilimali Maji nchini humo. &#8220;Tunakabiliwa na ukame mkubwa wa kukosa maji. Tuna mashaka,&#8221; P&#341;em Saddul, mwenyekiti wa CWA, aliiambia IPS. CWA inasafi&#341;isha maji kutoka vyanzo vyenye uwezo mkubwa kwenda vyanzo vyenye uwezo mdogo na kubainisha visima vi&#341;efu vipya kuanza kufanya kazi. Machujio matano mapya yamefungwa katika mito ambayo hapo kabla ilimwaga maji baha&#341;ini kuchuja maji na kuyaelekeza kwenye vyanzo. Se&#341;ikali pia inatoa msaada wa dola zipatazo 100 kwa kila kaya zinazoingiza chini ya dola 330 kwa mwezi kununua matenki ya maji. Wakati huo huo, CWA imeanisha mgawo wa maji ili kuendeleza huduma kwa wakazi kadi&#341;i inavyowezekana. &#8220;Tunahakikisha kuwa kila kaya inapata kiasi cha chini cha maji kwa kila siku,&#8221; anasema Jeet Munbahal, mhandisi mkuu katika CWA. CWA imetunga kanuni zinazozuia watu kutokupoteza maji kwa kutumia mipi&#341;a ya maji, mashine za kumwagilia na vifaa vingine kama hivyo. Mau&#341;itiaus imeshaonywa dhidi ya matumizi ya maji katika kuosha maga&#341;i, kupiga tofali na kujenga nyumba. Watumiaji wa majumbani ambao wanakiuka kanuni wanaweza kukamatwa na kulipishwa faini isiyozidi dola 1,800 na kifungo kisichozidi miaka miwili jela. Kwa watumiaji wengine faini ni kubwa pamoja na kwamba haizidi dola 7,200. Pamoja na jitihada za CWA kuhifadhi maji na kufanya kampeni ya umma kuwataka wananchi wote wa Mau&#341;itiaus kuokoa maji, Saddul anasema wakazi wengi hawazingatii she&#341;ia na maji bado yanapotea ovyo. Saddul anasema maafisa wa CWA wamekuwa wakifuatilia vituo vya kuuzia mafuta kuhakikisha kuwa vinasitisha kuosha maga&#341;i. &#8220;Maafisa wetu wanawafuatilia ma&#341;a kwa ma&#341;a. Tunataka ushi&#341;ikiano na umma ambao pia wanaweza kutupatia taa&#341;ifa kupitia simu yetu ya bu&#341;e juu ya watu wanaopoteza maji. Hatuadhibu watu, lakini kuwakatalia kupoteza maji,&#8221; anaongeza. Hata Kamishina wa Polisi nchini humo amewataka maafisa wa polisi kufuatilia upotevu wa maji wakati wanafanya do&#341;ia. Wakati huo huo, Kheswa&#341; Beeha&#341;&#341;y&ndash;Pan&#341;ay, mku&#341;ugezni wa Shi&#341;ika la Kuhifadhi na Kulinda Mazingi&#341;a, ana imani kuwa uhaba wa mvua nchini Mau&#341;itius unatokana na mabadiliko ya tabia nchi. &#8220;Mzunguko wa maji umebadilika duniani na sasa Mau&#341;itius haiwezi kuta&#341;ajia kupata mvua za kawaida kama ilivyuokuwa miaka ya nyuma kama 20\/30 iliyopita,&#8221; anasema, na hivyo kukadi&#341;ia zaidi kuwa miti mingi sasa imekatwa nchini katika vyanzo vya maji. &#8220;Hii inaelezea uhaba wa mvua. Kwa sasa ni vema kwetu sisi kuongeza uwezo wetu wa kuhifadhi maji &ndash; katika mapaa ya nyumba, kwenye matenki, mabwawa madogo na kila mahali,&#8221; Beeha&#341;&#341;y&ndash;Pan&#341;ay anasema. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>PORT&ndash;LOUIS, Api&#341;ili 23 (IPS) &ndash; Rani Mu&#341;thy, mfanyakazi wa se&#341;ikali anayeishi Plaines Wilhems, katikati mwa Mau&#341;itius, anaamka saa tisa usiku kusubi&#341;i maji ya ga&#341;i kutoka Mamlaka ya Maji kuweza kupata maji ya kupikia na shughuli nyingine za nyumbani. &#8220;Haya siyo maisha. Kuamka saa tisa usiku kuchota maji, kufanya kazi za nyumbani kabla ya saa moja&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":357,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3841","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3841","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/357"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3841"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3841\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3841"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3841"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3841"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}