{"id":3839,"date":"2012-04-23T13:40:01","date_gmt":"2012-04-23T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/04\/23\/kuokoa-mahindi-nchini-kenya\/"},"modified":"2012-04-23T13:40:01","modified_gmt":"2012-04-23T13:40:01","slug":"kuokoa-mahindi-nchini-kenya","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/04\/23\/kuokoa-mahindi-nchini-kenya\/","title":{"rendered":"Kuokoa Mahindi Nchini Kenya"},"content":{"rendered":"<p>NAIROBI, Ap&#341;ili 23 (IPS) &ndash; Wakati baadhi ya wakulima wa mahindi katika Jimbo la Magha&#341;ibi nchini Kenya wanaishi kwa kutegemea mavuno ya msimu uliopita, Robe&#341;t Oduo&#341; anahesabu hasa&#341;a yake baada ya magugu vamizi yanayojulikana kama St&#341;iga au Kayongo kushambulia hekta yake moja ya mahindi.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>&#8220;Hapo zamani, niliweza kuvuna hadi gunia 14 za ujazo wa kilo 90 za mahindi katika kila nusu hekta. Lakini kutokana na maambukizi haya ya magugu, ambako sikuweza kudhibiti hata kidogo, nilivuna jumla ya gunia mbili na nusu za mahindi katika shamba langu,&#8221; alisema Oduo&#341;, ambaye anatoka eneo la Sega katika Jimbo la Magha&#341;ibi. Lakini anata&#341;ajia msimu ujao mavuno yatakuwa mazu&#341;i. Hapo ni kama ataweza kupata aina nyingine ya mahindi, ambayo imegunduliwa na wanasayansi kustahimili magugu aina ya Kayongo. Magugu aina ya Kayongo, ambayo yanajulikana pia kama magugu ya uchawi, ni mimea ambayo ina maua ya &#341;angi ya pinki au nyekundu, kutegemeana na aina yake. Hata hivyo, ni magugu shambulizi na yanaathi&#341;i zaidi mtama, uwele na mashamba ya miwa. Ma&#341;a tu shamba la mahindi linapovamiwa na magugu, wataalam wanasema uha&#341;ibifu unakuwa kati ya asilimia 70 hadi 100 ya mavuno. Na katika kipindi cha miaka 10 iliyopita, wanasayansi watafiti kutoka Kituo cha Kimataifa cha Kubo&#341;esha Nafaka za Mahindi na Ngano kijulikanacho kama Inte&#341;national Maize and Wheat Imp&#341;ovement Cente&#341; (CIMMYT), ambacho kipo chini ya Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Kenya, Taasisi ya Weizmann na Kampuni ya Kemikali ya BASF&ndash;wamekuwa wakitafiti jinsi ya kutengeneza mbegu za mahindi zenye mavuno mengi ambazo pia zinastahimili dawa za kuulia magugu zinazotumika kuua magugu aina ya Kayongo. &#8220;Aina hii ya mahindi haiwezi kustahimili magugu aina ya Kayongo,&#8221; alielezea Dk. Gospel Omaya, Meneja wa Mfumo wa Mbegu katika Mfuko wa Teknolojia ya Kilimo Af&#341;ika, ambao unawezesha ushi&#341;ikiano wa sekta binafsi na za umma. &#8220;Aina hiyo ya mahindi inastahimili moja ya dawa ya magugu inayofanya kazi vizu&#341;i aina ya Imazapy&#341;, mbayo inaua mimea mingine, ikiwa ni pamoja na magugu aina ya Kayongo.&#8221; Mbegu za mahindi zinapakwa dawa hiyo ya kuulia magugu kabla ya kufungwa kwenye mifuko na kupakazwa huku kunafanya kustahimili magugu hayo. Mahindi yanayostahimili dawa aina ya Imazapy&#341; yamepewa jina la &#8220;UaKayongo&#8221;. Aina ya mahindi inayostahimili dawa ya kuulia magugu iligundulika nchini Kenya ka&#341;ibu miaka kumi iliyopita. Hata hivyo, wapandikizaji mbegu za mahindi nchini Kenya wamekuwa wakichanganya na aina nyingine za mbegu ili kuwa na aina bo&#341;a zaidi inayozalisha mahindi mengi. &#8220;Tulichanganya aina mbalimbali ya mahindi yanayostahimili dawa ya kuulia magugu ili kuja na mahindi bo&#341;a ya kizazi cha kwanza, ambayo yaliingizwa kwenye maja&#341;ibio. Mimea inayofanya vizu&#341;i ilichaguliwa na kuchanganywa tena na mimea mingine ya aina hiyo hiyo, lakini yenye mavuno mengi. Hii ilitupatia mahindi bo&#341;a ya kizazi cha pili, ambayo baadaye yalichanganywa na aina nyingine po&#341;a,&#8221; alielezea Ha&#341;on Ka&#341;aya, mtafiti msaidizi na mwandaaji wa mbegu katika CIMMYT. Maja&#341;ibio ya kupata mbegu za kizazi cha tatu yamehitimishwa tu hivi ka&#341;ibuni na kwa mujibu ya watafiti, yameleta matokeo bo&#341;a. &#8220;UaKayongo III, ambayo ni mbegu bo&#341;a za kizazi cha tatu, imeonyesha kuwa inaweza kuzalisha hadi tani tano kwa hekta moja, kutoka tani tatu kwa hekta zilizozalishwa na kizazi cha kwanza,&#8221; alisema Ka&#341;aya. Aina hiyo mpya itatolewa mwishoni mwa Machi na kusambazwa na Kampuni ya Mbegu ya Kenya, ambayo ina uwezo wa kuzalisha kiasi kikubwa cha mbegu. &#8220;Tupo katika mchakato wa kuvuna mavuno ya kwanza, ambayo kwa sasa yatawafaidisha wakulima wachache wenye bahati. Lakini mbegu za kutosha zitapatikana katika msimu wa kupanda mwaka ujao,&#8221; alisema Willy Bett, mku&#341;ugenzi mkuu wa kampuni hiyo. Hata hivyo, kutokana na mbegu kupakwa dawa za kuulia magugu, inaleta changamoto ya kuzishughulikia na hata kuzipanda. &#8220;Mbegu aina ya UaKayongo hazitakiwi kuchanganywa na aina nyingine ya mbegu, kwasababu madawa yataziathi&#341;i. Hata hivyo, mtu anaweza kuzipanda pamoja na mazao kama ya maha&#341;age, ka&#341;anga au mazao mengine yoyote yanayofaa ikiwa tu hayajapandwa katika shimo moja,&#8221; alisema Omaya. Alishau&#341;i zaidi kuwa wakulima ambao wanachagua kupanda mbegu ya UaKayongo wanatakiwa kutumia glavu, na kunawa mikono baada ya kupanda ili kuzuia kupaka mbegu nyingine ambazo haziwezi kustahimili dawa hiyo. &#8220;Tumekubali kuwa kuna changamoto ya jinsi ya kutumia, na tunachukua tahadha&#341;i zinazostahili,&#8221; alisema Bett. Taya&#341;i kampuni imeanza p&#341;og&#341;amu za kutoa mafunzo kwa wafanyabiasha&#341;a wa pembejeo za kilimo na wakulima wadogo kupitia mashi&#341;ika ya kijamii na yasiyokuwa ya kise&#341;ikali. &#8220;Wakati wa kuzifunga, kila mfuko unakuja na glavu mbili, na mwongozo kwa ajili ya maelezo ya jinsi ya kutumia mbegu hizo,&#8221; alisema Bett. Katika Jimbo la Magha&#341;ibi, ambako mahindi ni zao kuu la kibiasha&#341;a na chakula, inakadi&#341;iwa kuwa magugu aina ya Kayongo yanaathi&#341;i hekta 250,000 za mahindi. Na aina hiyo mpya ya mbegu inakubalika ili kuleta ahueni kwa wakulima kama Oduo&#341;. &#8220;Nilikuwa napanga kuachana na kilimo cha mahindi baada ya kupata hasa&#341;a hii kubwa. Lakini kwa maendeleo haya mapya, nitatoa nafasi ya pili na kupanda mbegu zinazostahimili magugu,&#8221; alisema Oduo&#341;. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>NAIROBI, Ap&#341;ili 23 (IPS) &ndash; Wakati baadhi ya wakulima wa mahindi katika Jimbo la Magha&#341;ibi nchini Kenya wanaishi kwa kutegemea mavuno ya msimu uliopita, Robe&#341;t Oduo&#341; anahesabu hasa&#341;a yake baada ya magugu vamizi yanayojulikana kama St&#341;iga au Kayongo kushambulia hekta yake moja ya mahindi. &#8220;Hapo zamani, niliweza kuvuna hadi gunia 14 za ujazo wa kilo&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":742,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3839","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3839","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/742"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3839"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3839\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3839"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3839"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3839"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}