{"id":3838,"date":"2012-04-19T13:40:01","date_gmt":"2012-04-19T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/04\/19\/kudhalilisha-mazungumzo-ya-kimataifa-ya-biashaa\/"},"modified":"2012-04-19T13:40:01","modified_gmt":"2012-04-19T13:40:01","slug":"kudhalilisha-mazungumzo-ya-kimataifa-ya-biashaa","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/04\/19\/kudhalilisha-mazungumzo-ya-kimataifa-ya-biashaa\/","title":{"rendered":"Kudhalilisha Mazungumzo ya Kimataifa ya Biasha&#341;a"},"content":{"rendered":"<p>GENEVA, Ap&#341;ili 19 (IPS) &ndash; India, B&#341;azili, na Af&#341;ika Kusini, kundi linalokuza ushi&#341;ikiano wa kimataifa miongoni mwa nchi hizo tatu unaojulikana kama IBSA, pamoja na China na nchi kadhaa zinazoendelea, wamekemea jitihada zinazoendelea za kuja&#341;ibu kuandaa mikataba ya kipekee ya biasha&#341;a hu&#341;ia ya sekta ya huduma bila kukamilisha mazungumzo ya biasha&#341;a ya kimataifa ya Shi&#341;ika la Biasha&#341;a Ulimwenguni.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Mikataba ya kibiasha&#341;a ya kipekee, wanasema wajumbe wa biasha&#341;a kutoka kambi ya IBSA, ina uwezekano wa kusababisha uha&#341;ibifu mkubwa wa mazungumzo ya biasha&#341;a ya Doha, na mazungumzo yoyote ya jumla ya WTO. Mazungumzo ya biasha&#341;a ya Doha yana lengo la kuleta mageuzi katika mfumo wa biasha&#341;a wa kimataifa kwa kuanzisha vikwazo vichache vya biasha&#341;a na ku&#341;ekebisha she&#341;ia za biasha&#341;a . Mbali ya hayo, mazungumzo yalizinduliwa kutoa gawio la maendeleo kwa nchi zinazoendelea kwa kuunganisha katika mfumo wa biasha&#341;a wa kimataifa. Kwa kulinganisha, mkataba wa kipekee wa mataifa hayo juu ya sekta ya utoaji wa huduma, ambao una lengo la kuifanya WTO kukubaliana na nchi 16 za mkataba huo, uta&#341;ejesha saa nyuma kupata mafanikio yaliyoahidiwa kwa nchi maskini na zinazoendelea. Kabla ya mtikisiko wa sasa wa mazungumzo ya biasha&#341;a ya kimataifa, mawazi&#341;i wa biasha&#341;a wa IBSA walionya kuwa &#8220;mikataba ya mataifa hayo inakwenda kinyume na kanuni za msingi za uwazi, ushi&#341;ikishwaji na mikataba inayogusa mataifa mengi ya dunia.&#8221; Mataifa 16, Ma&#341;ekani, mataifa kutoka Jumuiya ya Ulaya, Japan, Canada, No&#341;way, Uswiss, Aust&#341;alia, New Zealand, Singapo&#341;e, Ko&#341;ea Kusini, Taipei, Pakistan, Mexico, Colombia, na Chile, wanaojiita ma&#341;afiki wa kweli (RGF) wa kuingiza biasha&#341;a hu&#341;ia katika sekta ya utoaji wa huduma. Umoja wa RGF utafanya kikao chao cha tatu cha kujadiliana Machi 21 kuandaa mazingi&#341;a ya mkataba wa pekee wa kuingiza biasha&#341;a hu&#341;ia katika sekta ya utoaji wa huduma nje ya WTO. Pamoja na kuwa mfumo na maudhui ya mkataba bado hayajulikani, umoja huo unaonekana kuwa na nia ya kufikia matokeo ya uwakilishi, wanasema wajumbe wa biasha&#341;a katika umoja huo. Mataifa ya IBSA hayajatoa msimamo wowote ule &#341;asmi juu ya mkataba wa kipekee wa umoja wa RGF. Lakini wajumbe wa biasha&#341;a kutoka mataifa husika walizungumza juu ya hata&#341;i inayoweza kupatikana katika mazungumzo ya biasha&#341;a ya kimataifa kwa ujumla, na hasa kwa mazungumzo ya Doha. &#8220;Hatudhani kuwa mikataba ya kipekee itazingatia mahitaji ya uwazi na ushi&#341;ikishwaji, ambayo ni msingi wa mchakato wowote wa kimataifa,&#8221; mjumbe wa biasha&#341;a toka B&#341;azili katika WTO, Balozi Robe&#341;to Azevedo, aliiambia IPS. &#8220;B&#341;azili haiamini kuwa inajenga kambi kwa ajili ya kuanza mazungumzo ya kimataifa kufanya hivyo kutafanya mambo kuwa magumu zaidi.&#8221; B&#341;azili, alisema Azevedo, &#8220;ina dhami&#341;a ya kweli ya kujadili suala la upatikanaji wa masoko ya kimataifa katika sekta ya huduma kama ambavyo na wengine watakuwa na nia ya kujadili upatikanaji wa masoko katika sekta ya kilimo ambayo ni suala la msingi katika mazungumzo ya biasha&#341;a ya WTO ya Doha.&#8221; Njia ya kuwa na mikataba ya kipekee katika sekta ya huduma itazo&#341;otesha &#8220;mizania&#8221; katika mazungumzo ya biasha&#341;a ya Doha, alisema Balozi Jayant Dasgupta, mjumbe wa biasha&#341;a wa India. Mjumbe wa biasha&#341;a wa Af&#341;ika Kusini Balozi Faizel Ismail alielezea wasiwasi wake kuwa mkataba wa kipekee utazo&#341;otesha matokeo ya kimaendeleo yaliyoahidiwa katika mazungumzo ya biasha&#341;a ya Doha. Hata EU, ambayo inachukua nafasi kubwa katika mkataba wa kipekee wa sasa wa RGF inabakia kutokukubaliana. &#8220;Msimamo wetu ni kwamba tusijiingize katika makubaliano ambayo yatadhoofisha WTO kwasababu WTO ni muhimu mno katika biasha&#341;a,&#8221; kamishina wa biasha&#341;a wa EU Ka&#341;el de Gucht alisema mwezi Machi 12. Chini ya Mikataba ya Jumla ya Biasha&#341;a Katika Sekta ya Kutoa Huduma ya WTO (GATS), ambayo inaongoza biasha&#341;a ya utoaji huduma duniani, kundi lolote la nchi linaweza kufanya jitihada za kuunganisha uchumi wao kwa kuwa na mikataba ya kina ya utoaji wa huduma miongoni mwao. Hadi sasa, hakuna jitihada za kundi lolote la nchi ambalo linaandaa mikataba maalum ya biasha&#341;a hu&#341;ia katika sekta ya utoaji wa huduma miongoni mwa makundi ya nchi wanachama wa WTO tangu kuundwa kwake mwaka 1995. Katika siku za nyuma kulikuwa na mikataba ya wazi kama vile Mkataba wa Teknolojia ya Haba&#341;i wa WTO inayohusiana na biasha&#341;a hu&#341;ia katika vifaa mbalimbali vya elekt&#341;oni, na mkataba wa huduma za mawasiliano. Mazungumzo yanayoendelea miongoni mwa nchi 16 yanafanyika wakati ambapo wanachama wa WTO hawajaweza kuhitimisha mazungumzo ya Doha, ambayo yalianza mwaka 2001. Msuguano unaoendelea katika mazungumzo hayo kati ya nchi nyingi zinazotaka kuwa na matokeo mazu&#341;i na taifa moja lenye viwanda vingi ambalo linaingiza masuala ya kikomunisti kumefanya kuchelewa kuhitimishwa kwa mazungumzo, walisema wanadiplomasia wa biasha&#341;a. Ikilinganishwa na mazungumzo mengine ya kimataifa ambayo wanachama wote wana fu&#341;sa sawa ya kutoa maoni, angalau katika ka&#341;atasi, mchakato wa majadiliano ya mkataba wa kipekee ulikuwa katika milango iliyofungwa miongoni mwa wanachama waliochaguliwa. Hata hivyo, Ma&#341;ekani na nchi nyingine zenye viwanda vingi inakumbuka kuwa ni vigumu kuendesha mazungumzo na nchi 153 kwani itahusisha mjadala mkubwa. &#8220;Tunaishi katika shi&#341;ika linalojikita kwenye ma&#341;idhiano na hiyo ina maana kuwa wanachama 153 wanapaswa kupitisha kila kitu na hiyo kiutekelezaji ina maana kuwa kuchagua wawakilishi wachache,&#8221; mjumbe wa biasha&#341;a wa Ma&#341;ekani katika WTO, Balozi Michael Punke, aliiambia semina iliyoandaliwa na Kituo cha Uchumi wa Siasa Ulaya mjini B&#341;ussels. Alisema &#8220;tunapaswa kuangalia mkataba wa kipekee katika sekta ya huduma kwa utofauti, kwa njia tofauti kabisa, ya kuandaa mkataba huo.&#8221; Punke alisema kuwa kundi la RGF lingetoa mazingi&#341;a sahihi ya kukamilisha mkataba unaozingatia uwakilishi halisi&#8221; kwani wengi wao wanashi&#341;iki katika kuingiza biasha&#341;a hu&#341;ia kwenye sekta ya huduma. Hata hivyo, mataifa yanayoendelea yanazidi kupinga udhalilishaji wa mfumo wa kimataifa. &#8220;Jinsi idadi ya washi&#341;iki inavyokuwa kubwa, ndivyo inavyozidi kuwa vigumu kufikia makubaliano ya pamoja lakini inakuwa na faida kubwa,&#8221; alisema Azevedo. &#8220;Kwa kifupi, matokeo ya kawaida kutokana na idadi kubwa ya washi&#341;iki yanakuwa ya kuvutia na kuwa na maana zaidi.&#8221; <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>GENEVA, Ap&#341;ili 19 (IPS) &ndash; India, B&#341;azili, na Af&#341;ika Kusini, kundi linalokuza ushi&#341;ikiano wa kimataifa miongoni mwa nchi hizo tatu unaojulikana kama IBSA, pamoja na China na nchi kadhaa zinazoendelea, wamekemea jitihada zinazoendelea za kuja&#341;ibu kuandaa mikataba ya kipekee ya biasha&#341;a hu&#341;ia ya sekta ya huduma bila kukamilisha mazungumzo ya biasha&#341;a ya kimataifa ya Shi&#341;ika&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":544,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3838","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3838","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/544"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3838"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3838\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3838"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3838"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3838"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}