{"id":3836,"date":"2012-04-19T13:40:01","date_gmt":"2012-04-19T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/04\/19\/bado-wanaume-nchini-ivoy-coast-wana-maamuzi-katika-haki-za-uzazi\/"},"modified":"2012-04-19T13:40:01","modified_gmt":"2012-04-19T13:40:01","slug":"bado-wanaume-nchini-ivoy-coast-wana-maamuzi-katika-haki-za-uzazi","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/04\/19\/bado-wanaume-nchini-ivoy-coast-wana-maamuzi-katika-haki-za-uzazi\/","title":{"rendered":"Bado Wanaume Nchini Ivo&#341;y Coast Wana Maamuzi Katika Haki za Uzazi"},"content":{"rendered":"<p>ABIDJAN, Ap&#341;ili 19 (IPS) &ndash; &#8220;Ningependa kutumia njia za uzazi wa mpango, lakini mume wangu hataki,&#8221; anasema Bintou Moussa*. Mama huyo mwenye um&#341;i wa miaka 32 ndiyo tu anatoka kujifungua mtoto wake wa sita katika Hospitali Kuu ya Abobo katika mji maa&#341;ufu kibiasha&#341;a wa Ivo&#341;y Coast, Abidjan.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Tangu kuzuka kwa vita wakati wa uchaguzi wa Novemba 2010 wakati &#341;ais wa zamani Lau&#341;ent Gbagbo alipokataa kuachia mada&#341;aka kwa m&#341;ithi wake Alassane Ouatta&#341;a, jambo ambalo liliingiza Ivo&#341;y Coast katika mgogo&#341;o wa kisiasa na kiuchumi kwa miezi sita, mume wa Moussa ambaye ni fundi se&#341;emala anayeitwa Ib&#341;ahim alipoteza aji&#341;a na amekuwa akipata shida kupata aji&#341;a mpya. Familia inaishi kwa shida kutokana na fedha ambazo Ib&#341;ahim anaingiza kutokana na kazi za viba&#341;ua anazofanya hapa na pale. Lakini pamoja na hali yao ngumu ya kiuchumi, Ib&#341;ahim anakataa kuzingatia uzazi wa mpango. &#8220;Mume hataki nitumie kondomu. Anasema inapingana na uasilia. Na siwezi kutumia njia za uzazi wa mpango kutokana na kuhofia anaweza kugundua,&#8221; Moussa anaelezea. Alipoulizwa kama anatambua kuhusu haki za kujamiana na afya ya uzazi, mwanamke huyo anatikisa kichwa. &#8220;Kama mkuu wa familia, ni mume wangu ambaye anatoa maamuzi juu ya afya ya familia,&#8221; anaelezea. Hii ni pamoja na mwili wangu, anasema mwanamke huyo. Moussa hana uelewa juu ya kutumia njia za uzazi wa mpango kwa kupigwa sindano ya kila mwezi, na kama anaweza kufanya hivyo bila mume kujua. Pia haelewi jinsi ya kupata huduma za afya kutokana na kukosekana kwa huduma za uzazi wa mpango katika hospitali au cliniki za umma huko Abobo, kitongoji cha makazi maskini kikubwa zaidi mjini Abidjan ambacho kinakadi&#341;iwa kuwa na wakazi milioni moja. Katika hali halisi, mji maa&#341;ufu kibiasha&#341;a wa Ivo&#341;y Coast, ambao unakadi&#341;iwa kuwa na wakaazi wasiopungua milioni tano, una kliniki moja tu inayotoa huduma za uzazi wa mpango bu&#341;e. Kliniki hiyo ipo katika mazingi&#341;a ya hospitali ya se&#341;ikali ya Yopougon, moja ya makazi makubwa zaidi ya nje ya mji katika jiji la Abidjan, umbali wa kilomita zipatazo 15 kusini magha&#341;ibi mwa Abobo na inaendeshwa na asasi isiyokuwa ya kise&#341;ikali ya Ivo&#341;ian Association fo&#341; Family Well&ndash; Being (AIBEF). Katika kliniki hii, wafanyakazi wanatoa ushau&#341;i nasaha kwa wagonjwa wapatao 80 kwa siku katika masuala yanayohusiana na haki za kujamiana na uzazi, ikiwa ni pamoja na njia za uzazi wa mpango, ngono salama, VVU na magonjwa mengine ya kujamiana, mimba za utotoni, na afya ya watoto wachanga na mama wajawazito. Kliniki pia inaendesha p&#341;og&#341;amu za uhamasishaji kupitia kliniki inayotembea kuhamasisha juu ya huduma wanazotoa. &#8220;Kikwazo chetu kikubwa ni kuondokana na mfumo dume na mtizamo wa kitamaduni kuwa mwanaume anapaswa kutoa maamuzi yote katika nyumba. Lakini wakati huo huo, wanaume wanasema ni jukumu la mwanamke kulea watoto na kutunza afya zao, ikiwa ni pamoja na mimba zao, uzazi na matunzo baada ya kupata ujauzito,&#8221; anasema Dk. Nathalie Yao&ndash;N&#8217;D&#341;y, meneja mipango wa kliniki hiyo. &#8220;Inapotokea wanawake hawawezi kutoa maamuzi yoyote juu ya upatikanaji wa huduma za afya bila ku&#341;uhusiwa na waume zao ni hata&#341;i kubwa.&#8221; Wanawake wengi wanaungana na uzoefu wa Moussa nchini Ivo&#341;y Coast, taifa la Af&#341;ika Magha&#341;ibi ambapo uzazi wa mpango unaonekana kwa kiasi kikubwa kama &#8220;suala la wanawake&#8221; ambalo waume hawaoni haja ya kulijali. Matokeo yake, wanaume wachache wanatumia idadi ndogo ya huduma zinazotolewa na se&#341;ikali, wakati wanawake wanaendelea kukabiliana na hali ili kufikia haki zao za kujamiana na za uzazi. AIBEF inaja&#341;ibu kubadili hali hii. &#8220;Kila ma&#341;a mwanaume anapokuwa mgonjwa na kufika kupata huduma za afya za jumla, tunaja&#341;ibu kupendekeza pia suala la huduma za uzazi wa mpango. Lakini ni vigumu mno kuwafanya wanaume kuvutika,&#8221; anasema Yao&ndash;N&#8217;D&#341;y. Kikwazo kingine ni upatikanaji wa huduma. Wakati AIBEF inajitahidi kuwafanya wanaume kuunga mkono dhana ya uzazi wa mpango, vituo vingine vingi vya afya nchini humo hata havikuweza kutoa huduma hizo. Moja ya sababu ni kuwa se&#341;ikali haijawahi kupanga maeneo maluum ya kutoa huduma za uzazi wa mpango katika bajeti yake ya afya ambayo ni ndogo. Ni asilimia 4.5 ya bajeti ya nchi hiyo inaingia kwenye afya, pamoja na ukweli kwamba Ivo&#341;y Coast ni moja ya nchi wanachama wa Umoja wa Af&#341;ika ambayo imeahidi kutumia kwa uchache asilimia 15 ya bajeti yake katika huduma za afya kwa mujibu wa Azimio la Abuja. &#8220;Vituo vya afya nchini kote vinakosa fedha, wafanyakazi wa afya wenye ujuzi na &#341;asilimali,&#8221; analaumu Ge&#341;maine Moket, mku&#341;ugenzi wa huduma za afya wa tawi la nchini humo la shi&#341;ikisho la kimataifa la Inte&#341;national Planned Pa&#341;enthood Fede&#341;ation, ambalo kazi yake ni kutoa misaada ya afya ya uzazi na huduma za uzazi wa mpango katika zaidi ya mataifa 180 duniani kote. &#8220;Matokeo yake, vituo vingi vya afya vya se&#341;ikali nchini havina akiba ya vifaa vya uzazi wa mpango, na kama wanakuwa navyo siyo kila ma&#341;a,&#8221; anaelezea. &#8220;Na wakiwa nazo wanauza kwa bei ambayo wakazi wa kawaida hawawezi kumudu.&#8221; Katika kipindi cha miezi kumi tangu Ivo&#341;y Coast ilipoanza kuja&#341;ibu kuibuka kutoka kwenye vita vya baada ya uchaguzi, se&#341;ikali mpya nchini humo imeweka hatua kadhaa za kubo&#341;esha huduma za afya nchini. Wakati Ouatta&#341;a alipoapishwa Mei 2011, alianza kutekeleza utoaji wa huduma za afya bu&#341;e nchini kote kusaidia umma kupona kutokana na madha&#341;a ya ghasia za baada ya uchaguzi. Tangu Machi 1, mpango huo umebakia kutoa huduma bu&#341;e kwa wanawake wajawazito, watoto chini ya miaka mitano na wagonjwa wa mala&#341;ia. &#8220;Afya ya akina mama na watoto wachanga ni vipaumbele vya wiza&#341;a ya afya ambavyo vinahitaji kushughulikiwa kwa ha&#341;aka,&#8221; alisema P&#341;ofesa Allou Assa, msemaji wa wiza&#341;a ya Afya. Lakini huduma za afya ya kujamiana na za uzazi, ambazo zinahusiana na kuzuia badala ya kuponya, kwa sasa siyo sehemu ya huduma za bu&#341;e. Hii ina maana wanawake kama Bintou Moussa wataendelea kuachwa wakiwa na uchaguzi mdogo. Katika siku chache, ata&#341;ejea akiwa na kichanga chake katika kibanda chake, huku akijua kuwa anaweza kupata mimba wakati wowote wa ka&#341;ibu. &#8220;Tunalea watoto wetu watano kwa shida sana. Kwa sasa tuna kichwa kingine cha kulisha. Kwa kweli sijui ninawezaje kukabiliana na mimba nyingine,&#8221; Moussa anasema. *Jina limebadilishwa kulinda kutambuliwa kwa mtu aliyehojiwa <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>ABIDJAN, Ap&#341;ili 19 (IPS) &ndash; &#8220;Ningependa kutumia njia za uzazi wa mpango, lakini mume wangu hataki,&#8221; anasema Bintou Moussa*. Mama huyo mwenye um&#341;i wa miaka 32 ndiyo tu anatoka kujifungua mtoto wake wa sita katika Hospitali Kuu ya Abobo katika mji maa&#341;ufu kibiasha&#341;a wa Ivo&#341;y Coast, Abidjan. Tangu kuzuka kwa vita wakati wa uchaguzi wa&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":523,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3836","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3836","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/523"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3836"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3836\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3836"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3836"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3836"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}