{"id":3833,"date":"2012-04-19T13:40:01","date_gmt":"2012-04-19T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/04\/19\/jitihada-za-kujenga-mfumo-wa-afya-wa-cote-divoie\/"},"modified":"2012-04-19T13:40:01","modified_gmt":"2012-04-19T13:40:01","slug":"jitihada-za-kujenga-mfumo-wa-afya-wa-cote-divoie","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/04\/19\/jitihada-za-kujenga-mfumo-wa-afya-wa-cote-divoie\/","title":{"rendered":"Jitihada za Kujenga Mfumo wa Afya wa Cote d&#8217;Ivoi&#341;e"},"content":{"rendered":"<p>ABIDJAN, Ap&#341;ili 19 (IPS) &ndash; Angama Ouatta&#341;a mwenye um&#341;i wa mwaka mmoja amelala katika kitanda cha hospitali chenye kutu, huku d&#341;ipi ikiwa imefungwa katika mguu wake wa kulia mwembamba. Mama yake, Minata, amekaa pembeni mwa godo&#341;o, akija&#341;ibu kunyoosha shuka alilotoka nalo nyumbani.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Siku sita zilizopita, Angama alilazwa katika wodi ya watoto ya Hospitali Kuu ya Abobo katika mji maa&#341;ufu wa kibiasha&#341;a wa Cote d&#8217;Ivoi&#341;e wa Abidjan. Mtoto huyo wa kike anaumwa ugonjwa wa uti wa mgongo. Ni dhaifu mno hata kukaa na hata kunyoosha kichwa chake. She&#341;ia mpya ya afya, ambayo iliaaza kutumika Machi 1, kwa kutoa huduma za afya bu&#341;e kwa wanawake wajawazito, watoto wa chini ya um&#341;i wa miaka mitano na watu wanaougua mala&#341;ia kuweza kuokoa maisha yake. &#8220;Nina uwezo wa kupata pesa zinazotosha tu kwa chakula kwa ajili yangu na watoto wangu wawili. Sina pesa za kulipia huduma za hospitali,&#8221; anasema mama mwenye um&#341;i wa miaka 27, ambaye anafanya kazi ya kuuza samaki katika soko la Abobo, kitongoji cha makazi duni kikubwa zaidi mjini Abidjan. Asingeweza kumpeleka mtoto wake hospitali kama huduma zisingekuwa bu&#341;e. Miezi kumi baada ya nchi hiyo ya Af&#341;ika Masha&#341;iki kuanza kuibuka katika mgogo&#341;o wa uchaguzi wa &#341;ais ambapo ka&#341;ibu hospitali zote na kliniki zilifungwa kwa miezi sita kutokana na kuha&#341;ibiwa, kupo&#341;wa na kutekwa, se&#341;ikali mpya chini ya Rais Alassane Ouatta&#341;a inaja&#341;ibu kufanya huduma za afya kwa umma kuwa kipaumbele cha kwanza. Ouatta&#341;a aliingia mada&#341;akani Mei 2011, miezi sita baada ya uchaguzi wa &#341;ais, ambao ulifuatiwa na ghasia za kugombea mada&#341;aka kati yake na mtangulizi wake Lau&#341;ent Gbagbo, wakati ambapo watu 3,000 waliuawa na kwa uchache nusu milioni kuyahama makazi yao, kwa mujibu wa Shi&#341;ika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa. Moja ya hatua za kwanza za &#341;ais ni kuhakikisha hospitali zote zinafunguliwa kwa kutekeleza mpango wa huduma za afya za dha&#341;ula, uliojulikana kama G&#341;atuit&eacute;, ambao ulitoa huduma za bu&#341;e kwa &#341;aia wote kwa miezi tisa. Se&#341;a hii sasa nafasi yake imechukuliwa na she&#341;ia ya kudumu inayolenga akina mama, watoto wadogo na wagonjwa wa mala&#341;ia. Lakini katika nchi ambayo ndiyo tu inaibukia kutoka katika miaka 12 ya kukosekana kwa utulivu wa kisiasa tangu kufanyika mapinduzi ya kijeshi Desemba 1999 na kufuatiwa na miaka 10 ya utawala wa kimabavu wa Gbagbo, ujenzi upya wa mfumo wa afya ya umma uliokwisha anguka utachukua muda. Hospitali zinakabiliwa na kukosekana kwa wataalam, vifaa vya msingi na teknolojia kwa miaka sasa. Mgogo&#341;o wa baada ya uchaguzi wa mwaka jana ulifanya utoaji wa huduma za afya kuwa duni zaidi, kwani vikosi vyenye silaha na &#341;aia waliweza kuiba kila kilichowezekana kubeba: madawa, vifaa vya maaba&#341;a, kompyuta, vitanda na magodo&#341;o. Hata maga&#341;i ya kubebea wagonjwa yaliibwa, anasema Dk. Mamadou Keita, mku&#341;ugenzi wa ida&#341;a ya afya ya taifa wa wilaya ya Abobo. Kitongji hicho duni, ambacho ni makazi ya wakazi wanaokadi&#341;iwa kuwa milioni moja, kwa sasa kina ga&#341;i moja tu la kubebea wagonjwa. &#8220;Hatujaweza kununua vifaa vyote kwa sasa kwasababu inabidi kujenga upya mfunmo wa afya kutoka sifu&#341;i. Ni mchakato ambao unahitaji muda kutokana na kuwa wa gha&#341;ama kubwa,&#8221; anaelezea. &#8220;Kwa sasa, tuna uwezo wa kutoa huduma chache tu. Tutafanya kazi bila ya kuwa na vifaa vya maaba&#341;a na tutaendelea kukosa vifaa vya msingi kama vile sindano na vifaa vya kupimia joto. Ma&#341;a nyingi tunapata uhaba wa madawa.&#8221; Mtoto Angama ni mfano halisi. Hata kama hospitali haitozi huduma za afya na kitanda, mama yake inampasa kununua madawa ya mtoto huyo kutoka duka la dawa &ndash; kwasababu hospitali haina madawa. Hii inamgha&#341;imu dola 20 kwa siku, wakati wastani wa kipato chake kwa siku ni dola zipatazo nne tu. &#8220;Binti yangu amekuwa hapa kwa siku sita. Inabidi kukopa fedha kutoka kwa wanafamilia mbalimbali. Na wakati Angama yupo hospitali, mimi sifanyi kazi, hivyo sina kipato kabisa. Itanichukua muda m&#341;efu kulipia deni hili,&#8221; Ouatta&#341;a anapumua. Mahitaji ya huduma bo&#341;a za afya kwa wakazi ni makubwa ikilinganishwa na siku za zamani. Wakati wa mgogo&#341;o wa kisiasa baada ya uchaguzi kati ya Novemba 2010 na Mei 2011, wakazi wengi wa Ivo&#341;y Coast walije&#341;uhiwa wakati wa mapigano, na maelfu ya waliokimbia makazi yao walikosa maji safi, usafi wa mazingi&#341;a na walikuwa &#341;ahisi kupatwa na mala&#341;ia. Mwaka 2011, watoto milioni nne walilazwa katika Hospitali Kuu ya Abobo pekee, ka&#341;ibu ma&#341;a mbili ikilinganishwa na mwaka jana, anasema Dk. Tenedia So&#341;o&ndash;Coulibaly, mtaalam wa magonjwa ya watoto katika hospitali hiyo. &#8220;Watoto wapatao asilimia 90 wanaugua mala&#341;ia. Hiyo ni idadi kubwa mno,&#8221; anasema, hata katika nchi kama Cote d&#8217;Ivoi&#341;e ambako mala&#341;ia ni chanzo namba moja kwa kusababisha vifo vya watoto, huku ka&#341;ibu nusu ya vifo vya watoto vikitokana na ugonjwa huo, kwa mujibu wa Shi&#341;ika la Afya Duniani. Ili kufanya mambo kuwa mabaya zaidi, masoko na mabenki ilibidi kufungwa wakati nchi ilipoingia kwenye mgogo&#341;o, ikiwa na maana kuwa watu hawakuweza kupata fedha wala chakula. Matokeo yake, kiwango cha utapiamlo kikaongezeka, hususani miongoni mwa watoto, ambao wameathi&#341;ika zaidi. &#8220;Pia tumeona ongezeko la magonjwa ya kipindupindu, uti wa mgongo na su&#341;ua ikiwa ni pamoja na kuha&#341;a na maambukizi ya koo,&#8221; anaongeza Keita. Mchanganyiko wa upo&#341;aji na kuongezeka kwa ma&#341;adhi taya&#341;i kumekuwa mzigo katika mfumo wa afya ambao taya&#341;i unakabiliwa na matatizo ambayo yatachukua miezi zaidi ku&#341;ekebisha. &#8220;Ma&#341;a nyingi hatuna vifaa muhimu vya dha&#341;ula kuokoa maisha ya wagonjwa,&#8221; analaumu So&#341;o&ndash;Coulibaly. Chupa za oksijeni za wodi ya watoto hazina kitu, wakati jene&#341;eta zilizoha&#341;ibika zinazuia madakta&#341;i kufanya kazi zao wakati wa kukatika kwa umeme ma&#341;a kwa ma&#341;a, anasema. Madha&#341;a ya ghasia baada ya uchaguzi katika afya ya watoto yamekuwa makubwa mno kiasi kwamba Shi&#341;ika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa (UNICEF) lina wasiwasi kuwa hali hiyo ingeweza kuwa na madha&#341;a ya muda m&#341;efu kwa watoto wa Ivo&#341;y Coast &ndash; hasa kama se&#341;ikali haisimamii ujenzi wa mfumo wa afya ha&#341;aka nchini humo. Wakati utoaji wa huduma za afya mjini Abidjan, makao makuu ya kiuchumi nchini humo, kunapata mafanikio polepole, upatikanaji wa huduma za afya unabakia kuwa duni magha&#341;ibi mwa Cote d&#8217;Ivoi&#341;e na katika mikoa ya katikati mwa nchi, ambayo hadi hivi ka&#341;ibuni kunaendelea kupatwa na ghasia za ma&#341;a kwa ma&#341;a. &#8220;Tunaomba se&#341;ikali kutoa bajeti kubwa zaidi, lakini pia kuwataka kuuondoa mfumo huo katika ngazi ya kitaifa. Kwa sasa, fedha nyingi zinaelekezwa kwenye hospitali tatu mjini Abidjan, wakati bado kuna utoaji duni wa huduma za afya katika maeneo ya vijijini,&#8221; anasema naibu mwakilishi wa UNICEF Cote d&#8217;Ivoi&#341;e Ch&#341;istina de B&#341;uin. &#8220;Miezi ijayo itakuwa migumu zaidi kutokana na madha&#341;a ya muda m&#341;efu ya mgogo&#341;o kwa mustakabali wa baadaye wa watoto na maisha yao kwa ujumla,&#8221; anaongeza. &#8220;Ku&#341;ejea kwa ha&#341;aka katika utoaji wa huduma za afya na huduma nyingine za jamii ni suala la msingi kuleta utulivu nchini.&#8221; <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>ABIDJAN, Ap&#341;ili 19 (IPS) &ndash; Angama Ouatta&#341;a mwenye um&#341;i wa mwaka mmoja amelala katika kitanda cha hospitali chenye kutu, huku d&#341;ipi ikiwa imefungwa katika mguu wake wa kulia mwembamba. Mama yake, Minata, amekaa pembeni mwa godo&#341;o, akija&#341;ibu kunyoosha shuka alilotoka nalo nyumbani. Siku sita zilizopita, Angama alilazwa katika wodi ya watoto ya Hospitali Kuu ya&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":523,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3833","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3833","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/523"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3833"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3833\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3833"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3833"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3833"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}