{"id":3830,"date":"2012-04-19T13:40:01","date_gmt":"2012-04-19T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/04\/19\/sauti-ya-amani-katika-makazi-duni-ya-kibea-nchini-kenya\/"},"modified":"2012-04-19T13:40:01","modified_gmt":"2012-04-19T13:40:01","slug":"sauti-ya-amani-katika-makazi-duni-ya-kibea-nchini-kenya","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/04\/19\/sauti-ya-amani-katika-makazi-duni-ya-kibea-nchini-kenya\/","title":{"rendered":"Sauti ya Amani katika Makazi Duni ya Kibe&#341;a Nchini Kenya"},"content":{"rendered":"<p>NAIROBI, Ap&#341;ili 19 (IPS) &ndash; Katika basi ndogo ya abi&#341;ia inayokwenda Kibe&#341;a, de&#341;eva anafungua &#341;edio ma&#341;a tu anapogeuza kona kuingia Ba&#341;aba&#341;a ya Ngong, kilomita kadhaa kufika katika makazi hayo duni nchini Kenya. Anafungua Redio ya Pamoja 99.9 FM, ambayo ni ya jamii na inatangaza katika eneo la Kibe&#341;a peke yake.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>&#8220;Wacha tupate ushau&#341;i,&#8221; de&#341;eva anamwambia abi&#341;ia. <\/p>\n<p>&#8220;Kila ninapofungua Redio Pamoja, najifunza kitu kipya, somo jipya katika maisha. Wanajadili masuala ya kifamilia ambayo yanatuhusu wengi wetu, wanazungumzia masuala ya uhaba wa aji&#341;a, na zaidi ya hapo inahamasisha kujiaji&#341;i wenyewe,&#8221; alisema de&#341;eva huyo wa basi ndogo, akiongeza kuwa katika siku za mwishoni mwa wiki alimsikia kijana wa eneo hilo akielezea jinsi alivyojinasua kutoka katika umaskini pale alipotumia taasisi za kutoa mikopo midogo midogo. <\/p>\n<p>Ni wakati wa asubuhi wakati mtangazaji Asmani Ma&#341;inga alipokuwa katika kipindi, na wimbo uliokuwa ukipigwa ni moja ya nyimbo maa&#341;ufu sana za Kiswahili nchini unaojulikana kama &#8220;Umejuaje Kama si Umbea <\/p>\n<p>Ni wimbo wa Taa&#341;ab, muziki ambao ni maa&#341;ufu sana katika nchi za Kenya na Tanzania.<\/p>\n<p>Wakati wimbo ulipoishia, sauti ya Ma&#341;inga ikajitokeza katika kuelezea mada ya siku. &#8220;Kama ndiyo tu umefungua &#341;edio yetu, tunajadili amani katika familia. Nataka kuelewa ni kwa nini wanawake katika baadhi ya maeneo ya nchi wanawapiga waume zao,&#8221; alitangaza.<\/p>\n<p>Mada hiyo, pamoja na kuwa inatia simanzi, inachekesha abi&#341;ia wote waliokuwemo kwenye basi, au Matatu kama inavyojulikana zaidi nchini Kenya. Mada hiyo ilikuwa imejaza vichwa vya haba&#341;i katika wiki tatu zilizopita wakati idadi kadhaa ya wanaume kutoka Nye&#341;i katika Jimbo la Kati walipokuwa wakipelekwa hospitalini baada ya kudaiwa kupigwa na wake zao.<\/p>\n<p>&#8220;Tunatumia muziki maa&#341;ufu kuelezea utangulizi wa mada ambao unakuza amani miongoni mwa wakazi wa makazi duni ya Kibe&#341;a,&#8221; alisema Adam Hussein, mwanzilishi na mku&#341;ugenzi mkuu wa Redio Pamoja.<\/p>\n<p>&#8220;Ukiondoa taa&#341;ifa za haba&#341;i, vipindi vingine vyote lazima viwe na mada kwa ajili ya kujadiliwa, na kuwaacha wasikilizaji kuchangia kupitia simu, Facebook na ujumbe mfupi wa simu (SMS),&#8221; aliongeza mwandishi wa haba&#341;i wa zamani.<\/p>\n<p>Kituo cha &#341;edio Pamoja kilianzishwa mwaka 2007 kukuza umoja miongoni mwa watu walioshi katika eneo la Kibe&#341;a na kuwapatia vijana uwezo wa kiuchumi kupitia elimu, taa&#341;ifa na bu&#341;udani.<\/p>\n<p>Kituo kinaendeshwa na wafanyakazi tisa wa kujitolea kutoka Kibe&#341;a, na inatangaza katika eneo la kilomita mbili za mzunguko.<\/p>\n<p>Inte&#341;news Netwo&#341;k in Kenya, asasi isiyokuwa ya kise&#341;ikali ambayo inafanya kazi ya kutoa mafunzo kwa waandishi wa haba&#341;i, imekuwa chombo muhimu katika kutoa elimu ya bu&#341;e kwa wafanyakazi wa kujitolea kwa njia ya utangazaji.<\/p>\n<p>Kufuatia ghasia za baada ya uchaguzi ambazo ziliikumba nchi mwishoni mwa mwaka 2007, kituo hicho cha &#341;edio kilisitishwa kufanya kazi kutokana na kuja&#341;ibu kuhubi&#341;i amani na maelewano katika eneo hilo. Baada ya &#341;ais aliyekuwa mada&#341;akani Mwai Kibaki kuchaguliwa katika uchaguzi huo, wafuasi wa mgombea wa upinzani Raila Odinga walidai kuwa kulikuwa na udanganyifu wa ku&#341;a. <\/p>\n<p>Zaidi ya watu 1,500 waliuawa katika ghasia na zaidi ya 500,000 waliyakimbia makazi yao. Kulikuwa na kipindi cha &#8220;Mwanamke ni Mwangaza&#8221;, ambacho kilikuwa kikika&#341;ibisha simu kutaka maoni kutoka kwa wageni ambao ni watu maa&#341;ufu katika jamii, au ambao wana uzoefu fulani ambao kipindi kiliona ni vema angewafahamisha watu wengine. <\/p>\n<p>&#8220;Kutokana na uzoefu wa maisha halisi, nimeweza kushawishi wanawake pamoja na kuwa maskini, bado wanaweza kuendesha maisha yao. Uzazi wa mpango unafanya kazi, na kuwa na VVU haimaanishi kuwa umepewa hukumu ya kifo,&#8221; alisema Mweu.<\/p>\n<p>Habil Esi&#341;oyo Chitwa, fundi &#341;edio katika makazi ya Kibe&#341;a, ni mmoja wa wasikilizaji wakuu. Aliiambia IPS kuwa hadi aliposikiliza kipindi cha VVU mwezi Desemba 2011, hajawahi kujisumbua kupima kujua kama ana vi&#341;usi. <\/p>\n<p>&#8220;Mke wangu amepima alipokuwa majamzito, na hakuwa na vi&#341;usi. Lakini siku moja, wanandoa walika&#341;ibishwa katika &#341;edio Pamoja, ambapo tulijifunza kuwa mwanaume alikuwa na vi&#341;usi, wakati mke wake hakuwa na vi&#341;usi. Lakini walikuwa na mtoto mdogo. Hii ilinifanya kufiki&#341;i na matokeo yake nilikwenda kupima pamoja na ukweli kwamba mke wangu alishapima na kuonekana hana vi&#341;usi,&#8221; alisema Chitwa. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>NAIROBI, Ap&#341;ili 19 (IPS) &ndash; Katika basi ndogo ya abi&#341;ia inayokwenda Kibe&#341;a, de&#341;eva anafungua &#341;edio ma&#341;a tu anapogeuza kona kuingia Ba&#341;aba&#341;a ya Ngong, kilomita kadhaa kufika katika makazi hayo duni nchini Kenya. Anafungua Redio ya Pamoja 99.9 FM, ambayo ni ya jamii na inatangaza katika eneo la Kibe&#341;a peke yake. &#8220;Wacha tupate ushau&#341;i,&#8221; de&#341;eva anamwambia&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":5,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3830","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3830","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/5"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3830"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3830\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3830"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3830"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3830"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}