{"id":3829,"date":"2012-04-03T13:40:01","date_gmt":"2012-04-03T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/04\/03\/haki-dr-congo-walemavu-waachwa-kujilea-wenyewe\/"},"modified":"2012-04-03T13:40:01","modified_gmt":"2012-04-03T13:40:01","slug":"haki-dr-congo-walemavu-waachwa-kujilea-wenyewe","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/04\/03\/haki-dr-congo-walemavu-waachwa-kujilea-wenyewe\/","title":{"rendered":"HAKI&ndash;DR CONGO: Walemavu Waachwa Kujilea Wenyewe"},"content":{"rendered":"<p>KIKWIT, DR Congo, Ap&#341;ili 3 (IPS) &ndash; Mustakabali wa watu wanaoishi na ulemavu katika Jamhu&#341;i ya Kidemok&#341;asia ya Kongo unabakia katika kiza, pamoja na jitihada mbalimbali zilizochukuliwa kubo&#341;esha maisha yao na kuwaleta katika hali nzu&#341;i kwenye jamii.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>&#8220;Kwa kuangalia ha&#341;aka ha&#341;aka kuna watu milioni 9.1 wenye ulemavu nchini Kongo, asilimia 11 kati ya wakazi milioni 60,&#8221; alisema Pat&#341;ick Pindu, m&#341;atibu wa Shi&#341;ikisho la Vyama vya Wenye Ulemavu Kongo (FENAPHACO). Pindu, ambaye alikuwa akizungumza katika hafla ya siku ya kwanza ya &#8220;Siku ya Kubadilishana Uzoefu na Mshikamano&#8221;, iliyoandaliwa mjini Kikwit, kusini magha&#341;ibi mwa DRC mwezi Feb&#341;ua&#341;i, alisema, &#8220;Miongoni mwa watu wenye ulemavu, asilimia 90 hawajui kusoma na kuandika, asilimia 93 hawana aji&#341;a na asilimia 96 wanaishi katika mazingi&#341;a yasiyofaa kiafya na yasiyokuwa na utu.&#8221; Godef&#341;oid Kiyaka anafika katika kitongoji cha N&#8217;djili katika mji mkuu wa Kinshasa, kwa kutumia mikono yake kutokana na ulemavu mkubwa wa miguu yake. &#8220;Sina kiti cha magu&#341;udumu kuweza kwenda umbali m&#341;efu,&#8221; aliiambia IPS. &#8220;Watu wengi wananikimbia ninapowaomba msaada.&#8221; Katika mji wa Kikwit, Alphonse Mumbaka mwenye um&#341;i wa miaka 22 anategemea zaidi magongo kwenda umbali mfupi. Baba yake alifa&#341;iki dunia alipokuwa mdogo, na kuachwa akijitunza mwenyewe, Mumbaka hajaenda shule au kujifunza kusoma. &#8220;Hakuna aliyenisomesha.&#8221; Jolie Apelo ni mmoja wa wanachama wapatao 350 wa Chama kijulinakacho kama &#8220;Association des handicap&eacute;s et pe&#341;sonnes invalides de Kikwit&#8221; (Chama cha Watu Wenye Ulemavu Kikwit). &#8220;Kama unavyoniona hapa, sili chakula vizu&#341;i kutokana na kukosekana kwa &#341;asilimali fedha. Siwezi kununua nguo ili niweze kuwa binadamu ninayeweza kuitwa jina langu, hata kama ni mwanachama wa chama hiki.&#8221; Chama cha Apelo ni moja ya vyama 226 ambavyo ni sehemu ya FENAPHACO, kikundi mwamvuli kinachofanya kazi ya kulinda na kukuza haki za walemavu. M&#341;atibu wa FENAPHACO Pindu amelaumu kutokana na ukweli kwamba DRC bado haija&#341;idhia Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Haki za Wenye Ulemavu wa mwaka 1993, pamoja na kuwa katiba ya mwaka 2006 nchini humo inatoa ga&#341;antii kwenye ka&#341;atasi. &#8220;Wazee na watu wenye ulemavu wana haki ya kupewa ulinzi maalum kutokana na maumbile yao, mahitaji ya kiakili na kimaadili,&#8221; kinasema kifungu cha katiba cha 49. &#8220;Se&#341;ikali ina wajibu wa kukuza uwepo wa watu wenye ulemavu katika taasisi za kitaifa, kijimbo na ngazi ya mtaa.&#8221; Kuna mipango kadhaa &ndash; ya umma na binafsi &ndash; kuja&#341;ibu kushughulikia changamoto zinazokabili jamii hii. &#8220;Tulianzisha Taasisi ya Taifa ya Watu Wenye Ulemavu zaidi ya miaka mitatu iliyopita, ambapo wanaweza kujifunza teknolojia inayofaa kuzalisha sabuni, manukato, kutengeneza mikate bo&#341;a nakadhalika. Hii itawasaidia kujitunza,&#8221; alisema Jean Etienne Makila, mku&#341;ugenzi mkuu wa taasisi hiyo, ambaye na yeye ni mlemavu. &#8220;Katika Jimbo la Bas&ndash;Congo (magha&#341;ibi mwa nchi), se&#341;ikali ya jimbo, kwa ma&#341;a ya kwanza, ilitoa fa&#341;anga milioni mbili za Kongo (kama dola 2,180) kuunda taasisi za fedha ndogo ndogo zinazofanya kazi kwa ajili ya watu wenye ulemavu,&#8221; alisema. &#8220;Kama nisingejitahidi mwenyewe kuuza mikate sokoni, nisingeweza kupatia chakula familia na watoto wangu,&#8221; Madeleine Mu&#341;akupa, mama wa watoto wawili mwenye ulemavu, aliiambia IPS. &#8220;Ni ma&#341;a chache kukuta watu wenye ulemavu ambao wanafanya biasha&#341;a.&#8221; Kwa mujibu wa Makila, pia kuna &#8220;Kitengo cha Wanawake, Familia na Watoto Wanaoishi na Ulemavu&#8221; mjini Kinshasa, ambacho kinatoa mafunzo na msaada kwa wanawake na wasichana wadogo kuima&#341;isha mata&#341;ajio ya kipato chao. Kanisa la Katoliki pia linaendesha mi&#341;adi kadhaa. Miaka mitano iliyopita, Dayosisi ya Kikwit ilianzisha shule mbili za walemavu. Moja, iliyojulikana kama &#8220;Bo ta mona&#8221; &ndash; ikiwa na maana, &#8220;wataona&#8221; katika lugha ya kienyeji, Kikongo &ndash; inafundisha watu wenye upofu kusoma na kuandika. Shule nyingine, &#8220;Bo ta tuba&#8221; &ndash; &#8220;watazungumza&#8221; &ndash; ni shule kwa ajili ya viziwi au wenye ulemavu wa kuongea. Lakini waangalizi wa mambo wanahisi kuwa pamoja na jitihada hizi, hali ya watu wenye ulemavu inabakia kuwa ya wasiwasi mno hasa ikizingatiwa idadi yao kubwa nchini kote. &#8220;Haikubaliki kuwa se&#341;ikali bado haijajishughulisha na kutatua matatizo yanayowakabili walemavu. Watu hawa lazima wafaidi haki zao zote,&#8221; alisema Cy&#341;ile Mupasa, kutoka Chama cha Kulinda Haki za Watoto na Wanafunzi katika Ukanda wa Kati. Kaseya Kibishi, katibu mkuu wa Wiza&#341;a ya Masuala ya Jamii, alisema bunge jipya lililochaguliwa lita&#341;idhia mkataba wa Umoja wa Mataifa. Wiza&#341;a hiyo, aliongeza, &#8220;taya&#341;i inasaidia vyama vingi vya watu wenye ulemavu mjini Kinshasa na katika majimbo kadhaa,&#8221; pamoja na kuwa alikataa kutoa maelezo zaidi. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>KIKWIT, DR Congo, Ap&#341;ili 3 (IPS) &ndash; Mustakabali wa watu wanaoishi na ulemavu katika Jamhu&#341;i ya Kidemok&#341;asia ya Kongo unabakia katika kiza, pamoja na jitihada mbalimbali zilizochukuliwa kubo&#341;esha maisha yao na kuwaleta katika hali nzu&#341;i kwenye jamii. &#8220;Kwa kuangalia ha&#341;aka ha&#341;aka kuna watu milioni 9.1 wenye ulemavu nchini Kongo, asilimia 11 kati ya wakazi milioni&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":907,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3829","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3829","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/907"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3829"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3829\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3829"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3829"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3829"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}