{"id":3827,"date":"2012-04-03T13:40:01","date_gmt":"2012-04-03T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/04\/03\/afrika-kusini-shule-ya-kijiji-yaendeshwa-kwa-kutumia-gesi-ya-methane\/"},"modified":"2012-04-03T13:40:01","modified_gmt":"2012-04-03T13:40:01","slug":"afrika-kusini-shule-ya-kijiji-yaendeshwa-kwa-kutumia-gesi-ya-methane","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/04\/03\/afrika-kusini-shule-ya-kijiji-yaendeshwa-kwa-kutumia-gesi-ya-methane\/","title":{"rendered":"AFRIKA KUSINI: Shule ya Kijiji Yaendeshwa kwa Kutumia Gesi ya Methane"},"content":{"rendered":"<p>CAPE TOWN, Af&#341;ika Kusini, 3 Ap&#341;ili (IPS) &ndash; Ikiwa katika vilima kwenye jimbo la Cape ya Masha&#341;iki nchini Af&#341;ika Kusini, shule ndogo ya kijijini imeweza kubadili taka za jikoni, na nyingine zinazotokana na kilimo na binadamu kuwa gesi aina ya methane kwa ajili ya kuitumia kupikia, na kutengeneza mbolea, na shule hiyo inatumia mitambo ya kusafishia maji taka ili kuweza kuyatumia tena.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Ikiwa inatumia mfumo wa gesi inayotokana na taka, shule ijulikanayo kama Th&#341;ee C&#341;owns katika Wilaya ya Lady F&#341;e&#341;e inawapatia elimu wanafunzi, wanajamii, wahandisi kutoka maeneo mbalimbali nchini jinsi ya kusafisha tena maji taka, jinsi ya kutumia taka kuwa gesi na jinsi ya kuzalisha nishati. Kwa mujibu wa Ba&#341;aza la Utafiti wa Kisayansi na Viwandani, kama mfumo wa biasha&#341;a kama kawaida utafuatwa, &#341;asilimali za maji safi nchini Af&#341;ika Kusini zitakwisha kabisa ifikapo mwaka 2030, na hivyo kushindwa kufikia mahitaji ya watu au viwanda. &#8220;Matattizo yataongezeka zaidi kutokana na matukio ya ma&#341;a kwa ma&#341;a ya uchafuzi wa maji na kuongezeka kwa gha&#341;ama za jinsi ya kuyasafisha tena,&#8221; alisema mwandishi wa &#341;ipoti ya CSIR ya mwaka 2010, Pete&#341; Ashton. Kutokana na zaidi ya asilimia 40 ya mabwawa nchini Af&#341;ika Kusini kuathi&#341;ika na sumu kwa kuwa na vi&#341;utubisho vingi, mifumo ya maji taka ya migodi inatishia kueneza sumu katika maji ya chini ya a&#341;dhi katika Jimbo la Gauteng ambalo linajulikana kwa kuwa na wakazi wengi, na, kwa mujibu wa &#341;ipoti iliyopewa jina la G&#341;een D&#341;op ya mwaka 2010\/2011 ya Ida&#341;a ya Masuala ya Maji, asilimia 56 ya mitandao 821 ya maji taka nchini humo aidha inafanya kazi ikiwa katika &#8220;hali mbaya&#8221; au kufanya kazi &#8220;kwa matokeo duni zaidi,&#8221; Af&#341;ika Kusini yenye eneo la ukame lazima ibuni njia za jinsi ya kusafisha tena maji yake machache yaliyokwishatumika. Ukiwa unafadhiliwa na Benki ya Maendeleo ya Af&#341;ika Kusini, Mpango wa Kusimamia Mazingi&#341;a wa Manisipaa ya Wilaya ya Ch&#341;is Hani imekuwa ikifanya jambo hilo katika m&#341;adi wake wa maja&#341;ibio wa miaka miwili katika shule ya Th&#341;ee C&#341;owns. Mfumo wa kusaga taka wa shule hiyo unaingiza taka za jiko la shule, bustani, na vyooni katika mtambo wa kuzisindika ambapo mmeng&#8217;enyo wa kibaolojia hufanyika kusagasaga taka, na hivyo kutengeneza gesi aina ya methane. Taka zilizosagwa zinapelekwa katika mashimo kadhaa, ambapo taka zilizobaki huchangamana na hewa aina ya oksijeni na hivyo kutengeneza mbolea yenye &#341;utuba kubwa. Maji ambayo yanatoka katika shimo moja huhamishiwa katika shimo jingine, ambapo samaki kama vile aina ya pe&#341;ege wanaweza kuendelea kula mabaki ya taka. Bwawa la samaki linazalisha mbolea, na maji ya bwawa hilo yanakuwa taya&#341;i kwa kutumika kwa umwagiliaji. Matokeo ya mwisho ni mfumo ambao unabadili asilimia 100 ya taka kuwa gesi kwa ajili ya kupikia, mbolea, na maji yaliyosafishwa kutokana na maji taka kwa ajili ya kumwagilia bustani za shule. M&#341;adi huo pia una maaba&#341;a nzu&#341;i ambapo wanafunzi wanakuja kuona jinsi ya kutengeneza mbolea kwa kutumia taka, hatua za kibaolojia katika usagaji wa taka na matumizi endelevu ya maji na taka. &#8220;Siyo jambo geni kwa watoto kuzungumzia kuhusu mtambo wa kusaga taka na bakte&#341;ia na bwawa la kutengenezea mbolea na kufugia samaki. Ni matumaini yetu kuwa vijana hawa watakapomaliza shule watasaidia kuendeleza aina hii ya mawazo katika siku sijazo,&#8221; alisema Ma&#341;k Wells wa People&#8217;s Powe&#341; Af&#341;ica (PPA), mkusanyiko wa makampuni ya teknolojia ya baolojia ambalo lilipewa kazi ya kufunga, kusimamia na kufuatilia mfumo huo. F&#341;ancois Nel, mkuu wa afya ya mazingi&#341;a na huduma za jamii katika Manisipaa ya Wilaya ya Ch&#341;is Hani, alisisitiza juu ya uwezo wa m&#341;adi kubadili jinsi watu wanavyofiki&#341;i. &#8220;Jambo la awali ni elimu ya watoto na kubadili mawazo juu ya dhana nzima ya nishati, taka, na mabadiliko ya tabia nchi. Na katika umiliki &ndash; watoto wanachukua umiliki wa mazingi&#341;a na umuhimu wa kuyahifadhi.&#8221; Na siyo watoto pekee wanaofaidika. &#8220;M&#341;adi huu ni muhimu mno. Kwanza naweza kusema juu ya maisha yangu mwenyewe, kwasababu nimejifunza mambo mengi mno juu ya asili,&#8221; alisema Zothe, mtunzaji wa shule hiyo ambaye anasimamia jinsi ya kuingiza taka katika mtambo. &#8220;Tumejifunza jinsi ya kutumia mambo ambayo yameunganishwa na asili, kama vile kuwa na jiko linalotumia nishati ya jua, mtambo wa kusaga taka, nishati ya upepo, na hivyo hatuwezi kutumia fedha nyingi, na hatupotezi kitu.&#8221; M&#341;adi wa Th&#341;ee C&#341;owns umekuwa na mafanikio makubwa, huku shule nne zikiomba kufungiwa mfumo kama huo, na jumuiya ya ka&#341;ibu na eneo hilo ya Intsikayethu na Engcobo inapanga kufunga mitambo mikubwa zaidi. M&#341;adi pia umepata tuzo mbalimbali za mafanikio, ikiwa ni pamoja na tuzo inayodhamiwa na Uholanzi ya mwaka 2011 ya Moolah fo&#341; Amanzi kama dhana bo&#341;a kabisa ya mi&#341;adi ya maji na usafi wa mazingi&#341;a, pia umeshinda tuzo mbili zinazotolewa na shi&#341;ika la Eskom ETA, na tuzo ya juu kwa mi&#341;adi bo&#341;a ya Cape ya Masha&#341;iki. Pamoja na kuwa kujifunza kutokana na M&#341;adi wa Th&#341;ee C&#341;owns kunaonekana kujitokeza, mji wa ka&#341;ibu katika eneo la East London kwenye Manisipaa ya Buffalo, m&#341;adi unaojulikana kama People&#8217;s Powe&#341; Af&#341;ica unaja&#341;ibu kubo&#341;esha thamani yake kwa manisipaa hiyo iliyokata tamaa. Kama ilivyo kwa Th&#341;ee C&#341;owns, &#8220;eMonti G&#341;een Hub&#8221; ya PPA ni eneo la kuokoa &#341;asilimali (mfano mbolea yenye &#341;utuba) inayotokana na maji, lakini wakati huu inahusisha maji taka yanayotolewa na manisipaa hiyo, taka zinazotokana na mife&#341;eji ya maji machafu na taka ngumu ikiwa ni pamoja na taka kutoka kwenye bustani na machinjioni. Kwa sasa lita milioni 10 za taka hizo zinazalishwa kila siku na kutupwa katika eneo la kukusanyia taka la Jiji la Buffalo. M&#341;adi huo unapendekeza kutumia mtambo mkubwa ambao una uwezo wa kuunguza taka muda wote na kuwa na kasi kubwa. Kwa kujikita katika upembuzi yakinifu wa PPA, m&#341;adi wa &#8220;g&#341;een hub&#8221; unakadi&#341;iwa kuja kuzalisha gesi aina ya methane ya kilo 300 kwa sasa, na hivyo kuwa na uwezo wa kuzalisha kipato endelevu kuendeshea m&#341;adi. Kampuni ya maga&#341;i ya Me&#341;cedes Benz Af&#341;ika Kusini taya&#341;i imeshapeleka ba&#341;ua ya kuonyesha kuvutiwa kwao kununua gesi hiyo kwa ajili ya kutumika katika duka lao la kupaka maga&#341;i &#341;angi kwa ajili ya kukaushia. Mtambo huo unatumia lita milioni nane za taka za viwandani, lita milioni nane za maji taka kutoka majumbani, lita milioni mbili za maji taka kutoka kwenye mife&#341;eji ya maji ya mvua, tani 48 za taka zinazotokana na mabaki ya chakula, tani 16 za taka kutoka kwenye machinjio na tani 82 za taka za bustanini. Kwa mwaka m&#341;adi utazalisha lita bilioni 5.8 za maji yaliyosafishwa kutokana na maji taka, tani 2,300 za gesi, na tani 10,000 za mbolea, na kubadili tani 30,000 za taka kutoka mashimo ya taka kila mwaka kwa ajili ya matumizi mengine. &#8220;Hapo ndipo patamu,&#8221; Wells alielezea. &#8220;Hasa wakati ambapo unaangalia nini kinajitokeza katika mazingi&#341;a, manisipaa inahitaji kuongoza katika kutumia tena &#341;asilimali zake za taka ambazo kwa sasa hazitumiki kabisa, ambazo zinatupwa tu katika maeneo ya kutupia taka na katika baha&#341;i. Dhana ambayo haina mantiki kabisa.&#8221; Hatimaye PPA inataka m&#341;adi kuwa na faida kwa jamii zinazouzunguka, na ina mipango ya kufanya mtambo huo kutekelezwa kwa kushi&#341;ikiana na wanajamii na bodi ya wadhamini ya manisipaa, kwa kuwa na umiliki wa binafsi na umma. Kwa bahati mbaya kufanya m&#341;adi kufanya kazi kubwa ya kuvuka vikwazo vingi vya uki&#341;itimba wa kiutawala, ambao unaweza kubadilika kwa kubadili mitizamo ya wahandisi na watawala wa jiji hilo. &#8220;Tunatambua kuwa kila jambo linawezekana, lakini kuufanya m&#341;adi kupitishwa na jiji kulikuwa kazi ngumu. Mi&#341;adi hii ni migumu mno kuiunganisha kwasababu unazungumzia juu ya &#341;asilimali za manisipaa na kuna masuala mengi mno katika suala hilo. Na manisipaa yanapaswa kubadili jinsi wanavyoendesha mambo yao. Tunashinikiza mipaka. Tuna uelewa wa kiufundi, lakini sasa suala ni jinsi gani ya kufanya jambo hilo,&#8221; Wells alisema. F&#341;ancois Nel alikubaliana kuwa PPA ingekabiliwa na kazi ngumu ya kuufanya m&#341;adi kupitishwa. &#8220;Ni wazo zu&#341;i sana. Tatizo ni kwamba watu hawataelewa. Hawaelewi mazingi&#341;a, hawaelewi mabadiliko ya tabia nchi,&#8221; Nel alitoa maoni yake, na kukumbushia jinsi gani hata sasa anavyojitahidi kuwashawishi wahandisi &#8220;kujiunga na m&#341;adi,&#8221; pamoja na kujua mafanikio ya m&#341;adi wa Th&#341;ee C&#341;owns. Hata hivyo, PPA na washi&#341;ika wake wanata&#341;ajia kuwa tathmini ya mazingi&#341;a ya m&#341;adi wa &#8220;hub&#8221; itaanza hivi ka&#341;ibuni, na wanafanya kazi na manisipaa katika kuhakikisha mchakato wa uhamasishaji wa umma unasonga mbele. Wanaendelea kuwa na matumaini kuwa mwishoni mwa mwaka 2013 m&#341;adi wa &#8220;hub&#8221; utaanza kuzalisha mbolea, nishati na maji kusafisha maji. &#8220;Hasa tunaona m&#341;adi huu kama &#341;asilimali za watu. Hata kama manisipaa yatakuwa yakisimamia m&#341;adi, wanautupilia mbali, hivyo tunataka kuona faida za m&#341;adi zina&#341;ejea kwa wanajamii. Hata kama hatuwekezi sana katika m&#341;adi huo sisi wenyewe, m&#341;adi utasonga mbele. Jambo kubwa ni kutatua tatizo na kuonyesha ufumbuzi huu,&#8221; alisema Wells. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>CAPE TOWN, Af&#341;ika Kusini, 3 Ap&#341;ili (IPS) &ndash; Ikiwa katika vilima kwenye jimbo la Cape ya Masha&#341;iki nchini Af&#341;ika Kusini, shule ndogo ya kijijini imeweza kubadili taka za jikoni, na nyingine zinazotokana na kilimo na binadamu kuwa gesi aina ya methane kwa ajili ya kuitumia kupikia, na kutengeneza mbolea, na shule hiyo inatumia mitambo ya&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":906,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3827","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3827","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/906"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3827"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3827\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3827"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3827"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3827"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}