{"id":3826,"date":"2012-04-02T13:40:01","date_gmt":"2012-04-02T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/04\/02\/tanzania-waghana-wajifunza-kuhifadhi-mazingia-ya-pwani-kutoka-tanzania\/"},"modified":"2012-04-02T13:40:01","modified_gmt":"2012-04-02T13:40:01","slug":"tanzania-waghana-wajifunza-kuhifadhi-mazingia-ya-pwani-kutoka-tanzania","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/04\/02\/tanzania-waghana-wajifunza-kuhifadhi-mazingia-ya-pwani-kutoka-tanzania\/","title":{"rendered":"TANZANIA: Waghana Wajifunza Kuhifadhi Mazingi&#341;a ya Pwani Kutoka Tanzania"},"content":{"rendered":"<p>DAR ES SALAAM, MACHI 30 (IPS) &ndash; Ujumbe wa watu kumi kutoka nchini Ghana ulihitimisha zia&#341;a ya siku 10 nchini Tanzania kwa kuelezea hadithi kadhaa za mafanikio na mifano inayofaa kuigwa na nchi yao katika kuhifadhi mazingi&#341;a na &#341;asilimali zinazopatikana katika ukanda wa pwani na baha&#341;i.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Ujumbe huo katika zia&#341;a iliyoandaliwa na M&#341;adi wa Pwani wa Mpango wa Kusimamia Mazingi&#341;a ya Ukanda wa Pwani (TCM&ndash;Pwani) ambao unafadhiliwa na Shi&#341;ika la Misaada la Watu wa Ma&#341;ekani (USAID) na kupata msaada wa kiufundi kutoka Kituo cha Rasilimali za Baha&#341;i cha Chuo Kikuu cha Rhode Island nchini Ma&#341;ekani ulitumia siku kumi kutembelea baadhi ya mi&#341;adi ya hifadhi ya mazingi&#341;a na &#341;asilimali za pwani na baha&#341;i inayoendeshwa na TCMP&ndash;Pwani na washi&#341;ika wake katika vijiji vya Mlingotini wilayani Bagamoyo, wilayani Pangani mkoani Tanga, Zanziba&#341; na Kitengo cha Hifadhi za Baha&#341;i na Maeneo Tengefu (Ma&#341;ine Pa&#341;ks and Rese&#341;ves Unit).<\/p>\n<p>Akizungumza wakati wa kuhitimisha zia&#341;a hiyo, Afisa Wanyamapo&#341;i kutoka Mkoa wa Magha&#341;ibi mwa Ghana, Felix Nani alisema wamevutiwa mno na jinsi Tanzania inavyohifadhi mazingi&#341;a na &#341;asilimali za pwani na baha&#341;i kupitia Kitengo cha Hifadhi za Baha&#341;i na Maeneo Tengefu.<\/p>\n<p>&#8220;Tumekuja kujifunza jinsi gani maeneo tengefu baha&#341;ini yanahifadhiwa hapa kwani nchini Ghana hatuna mpango wowote wa kuyahifadhi maeneo hayo pamoja na kuwa na she&#341;ia,&#8221; alisema Nani, akiongeza kuwa zia&#341;a hiyo imehusisha wadau muhimu katika eneo la kusimamia mazingi&#341;a na &#341;asilimali za pwani kutoka nchini mwao. Wadau hao ni pamoja na watendaji waandamizi se&#341;ikalini, wavuvi, wachuuzi wa samaki, wasimamiaji wa wanyama po&#341;i na viongozi wa jamii zinazopatikana katika mwambao wa pwani.<\/p>\n<p>Kwa mujibu wa Meneja wa Kitengo cha Hifadhi za Baha&#341;i na Maeneo Tengefu, Dk. Adilian Chande, kitengo chake kilichopo chini ya Ida&#341;a ya Maendeleo ya Uvuvi kilianzishwa baada ya se&#341;ikali kuona kuwa kulikuwa na uha&#341;ibifu mkubwa katika maeneo ya baha&#341;i yenye wingi wa bayoanuwai. Hivyo ikaonekana kuna haja ya kuhifadhi maeneo hayo.<\/p>\n<p>Kikiwa kimeanzishwa chini ya She&#341;ia ya Maeneo Tengefu ya Baha&#341;i Namba 29 ya mwaka 1994, Kitengo hicho kinaendeshwa na Bodi ya Wadhamini ambayo lengo lake kuu ni kusimamia menejimenti na utawala wa maeneo tengefu ya baha&#341;i na kuhakikisha matumizi endelevu ya &#341;asilimali katika maeneo hayo. <\/p>\n<p>Kitengo kinatambua maeneo makuu matatu ya hifadhi. Maeneo ambayo matumizi ya &#341;asilimali ikiwa ni pamoja na uvuvi hau&#341;uhusiwi kabisa ambayo kwa lugha ya Kiinge&#341;eza yanajulikana kama &#8216;no take a&#341;ea&#8217;.<\/p>\n<p>Maeneo ya matumizi ya jumla (gene&#341;al use&#341; zone), ambayo matumizi ya &#341;asilimali hata kwa watu wanaotoka nje ya hifadhi yana&#341;uhusiwa kwa uta&#341;atibu wa kupewa vibali maalum. Na maeneo mengine ni yale ya matumizi maalum (specified use&#341; zone) ambayo watu kutoka nje ya hifadhi hawa&#341;uhusiwi kutumia &#341;asilimali wala kufanya uvuvi. Hata hivyo, watu wanaoishi ndani ya hifadhi wana&#341;uhusiwa kuendesha uvuvi ila kwa kufuata uta&#341;atibu uliowekwa ikiwa ni pamoja na kutokutumia nyavu zinazokwenda chini sana hadi kuyafikia matumbawe. <\/p>\n<p>&#8220;Maeneo yote hayo yanabainishwa na wadau ikiwa ni pamoja na wanajamii wenyewe wanaoishi kuzunguka hifadhi,&#8221; alisema Dk. Chande. <\/p>\n<p>Matamshi yake yali&#341;ejewa na Nani ambaye alisema moja ya masomo muhimu ambayo wamejifunza na wange&#341;ejea nayo nyumbani ni jinsi Tanzania inavyoweza kushawishi jamii kuwa wadau muhimu katika hifadhi ya mazingi&#341;a na &#341;asilimali za pwani. &#8220;Nimevutiwa mno na muundo uliopo kuanzia se&#341;ikali kuu hadi se&#341;ikali ya kijiji. Muundo huu umehamasisha jamii kushi&#341;iki na kuwa wamiliki wa mi&#341;adi,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>&#8220;Tumekuja kujifunza kutokana na mambo yenu mazu&#341;i, kiwango cha ushi&#341;ikishwaji wa jamii, se&#341;a mlizonazo, njia zinazotumiwa na wavuvi kama ni endelevu &ndash; tumeshuhudia mengi na tumejifunza mengi.&#8221; <\/p>\n<p>Mjumbe mwingine, Emilia Abaka&ndash;Edu, ambaye ni mchuuzi wa samaki, pia aliki&#341;i kujifunza mengi jinsi jamii inavyoshi&#341;iki katika shughuli za hifadhi. &#8220;Nimevutiwa mno na ushi&#341;iki wa wanakijiji &ndash; kuona wanakijiji wanazingatia she&#341;ia,&#8221; alibainisha. <\/p>\n<p>Ushi&#341;iki wa wanawake pia ulipongezwa. Kwa mujibu wa John Eshun, ambaye ni mvuvi, ameshuhudia mazingi&#341;a mapya kabisa kuona wanawake katika ukanda wa pwani wanaendesha shughuli za kubo&#341;esha vipato vyao badala ya kutegemea uvuvi pekee. &#8220;Tumeona wanawake wilayani Bagamoyo, Tanga na Zanziba&#341; ambao wanajishughulisha na kilimo cha mwani. Wanawake hawa ni wajasi&#341;iamali wa ukweli kwani wanazalisha bidhaa mbalimbali kama vile sabuni kutokana na mwani. Wanafanya jamii za pwani kuwa na uwezo wa kuendesha maisha yao hata baada ya akiba ya samaki iliyopo baha&#341;ini kupungua kwa kiasi kikubwa,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>&#8220;Nimevutiwa kuona muundo uliojengeka vema, mfumo wa usimamiaji uliojengeka vizu&#341;i katika ida&#341;a ya uvuvi katika kila kijiji hasa ushi&#341;ikishwaji wa wanawake. Nchini Ghana, wanawake hawajashi&#341;ikishwa kikamilifu katika shughuli za uvuvi, kwa kiasi kikubwa uvuvi ni kazi ya wanaume.&#8221; <\/p>\n<p>Lakini kuna baadhi ya mambo yanayofanana kati ya Ghana na Tanzania katika suala zima la ushi&#341;iki wa wanawake. &#8220;Kama ilivyo nchini Tanzania, nchini Ghana wanaume wengi hawauzi samaki, wanaouza ni wanawake,&#8221; alisema Eshun.<\/p>\n<p>Kwa upande wake, Nani alisema Ghana ina she&#341;ia mpya ya mwaka 2009 ambayo pamoja na mambo mengine, inataka kuhifadhi mazingi&#341;a na &#341;asilimali za pwani na baha&#341;i na moja ya sababu kuu za zia&#341;a yao ni kuona jinsi gani Ghana inaweza kutekeleza she&#341;ia hiyo mpya. <\/p>\n<p>&#8220;Tulikuwa bado wadogo, nyie mlikuwa ni watu wazima. Mnatambua jinsi gani Mwalimu (Julius Kamba&#341;age Nye&#341;e&#341;e) na (Kwame) Nk&#341;umah walivyoishi pamoja. Tumejifunza mambo mengi mno kutoka kwenu,&#8221; aliwaambia washi&#341;iki wa mkutano wa kuwapokea wageni hao ulioandaliwa na Kitengo cha Hifadhi za Baha&#341;i na Maeneo Tengefu baada ya kuhimitimishwa kwa zia&#341;a hiyo iliyofanyika kati ya Mei 27 na Juni 4 mwaka jana.<\/p>\n<p>Hifadhi ya mazingi&#341;a ya pwani na baha&#341;i na &#341;asilimali zake inatambuliwa na mikataba mbalimbali ya kimataifa. Kwa mujibu wa Tamko la Jeddah la Kukuza Utekelezaji wa Mipango ya Kikanda ya Kuhifadhi Baha&#341;i kwa Ajili ya Maendeleo Endelevu wa mwaka 2007, &#341;asilimali za baha&#341;i na pwani ni chanzo kikuu na akiba kubwa ya chakula, huchangia kuima&#341;isha uchumi na afya ya watu wengi duniani.<\/p>\n<p>Tamko hilo linasema mazingi&#341;a na &#341;asilimali za pwani na baha&#341;i yanakabiliwa na changamoto kubwa ya mabadiliko ya tabia nchi ikiwa ni pamoja na madha&#341;a ya kuendelea kuongezeka kwa uchafuzi wa mazingi&#341;a ya baha&#341;i na pwani.<\/p>\n<p>Tamko la Cape Town la Mpango wa Af&#341;ika wa Kukuza na Kulinda Mazingi&#341;a ya Pwani na Baha&#341;i, hasa katika Af&#341;ika Kusini mwa Jangwa la Saha&#341;a la mwaka 1998 linatambua &#8220;umuhimu wa mazingi&#341;a ya pwani na baha&#341;i kama chanzo kikuu cha maendeleo endelevu ya kijamii na kiuchumi, na chanzo cha ustawi wa watu wake&#8221;.<\/p>\n<p>Kwa upande wake, Tamko la Jeddah linatoa wito wa kukuza na kuongezeka kwa ushi&#341;iki wa mamlaka za kitaifa na kikanda, wanajamii na wadau wengine katika kusimamia na kuhifadhi mazingi&#341;a na &#341;asilimali za pwani na baha&#341;i. <\/p>\n<p>Hata hivyo, utekelezaji wa Ghana wa yale waliyojifunza kutoka nchini Tanzania juu ya hifadhi ya mazingi&#341;a na &#341;asilimali za pwani kwa kushi&#341;ikisha wanajamii hautakuwa &#341;ahisi sana. Kwa mujibu wa Dk. Chande, hatua za awali za kuanzisha hifadhi za baha&#341;i siyo &#341;ahisi sana kwani kuna wakati inabidi matumizi ya nguvu yatumike ili kuhakikisha she&#341;ia zinazingatiwa, &#8220;kwani siyo &#341;ahisi kwa wanajamii wote kukubaliana na mambo mazu&#341;i, ni lazima wengine watapinga&#8221;. <\/p>\n<p>&#8220;Katika miaka mitano ya awali nina uhakika kuwa mtakabiliwa na baadhi ya upinzani, lakini baada ya hapo wanajamii watawaelewa na kuwa wadau kamili&#8221;, alisema Dk. Chande. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>DAR ES SALAAM, MACHI 30 (IPS) &ndash; Ujumbe wa watu kumi kutoka nchini Ghana ulihitimisha zia&#341;a ya siku 10 nchini Tanzania kwa kuelezea hadithi kadhaa za mafanikio na mifano inayofaa kuigwa na nchi yao katika kuhifadhi mazingi&#341;a na &#341;asilimali zinazopatikana katika ukanda wa pwani na baha&#341;i. Ujumbe huo katika zia&#341;a iliyoandaliwa na M&#341;adi wa Pwani&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":536,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3826","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3826","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/536"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3826"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3826\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3826"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3826"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3826"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}