{"id":3825,"date":"2012-03-20T13:40:01","date_gmt":"2012-03-20T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/03\/20\/hata-baada-ya-kukatishwa-tamaa-na-vyombo-vya-habai-wasomali-wana-matumaini-na-mkutano-wa-london\/"},"modified":"2012-03-20T13:40:01","modified_gmt":"2012-03-20T13:40:01","slug":"hata-baada-ya-kukatishwa-tamaa-na-vyombo-vya-habai-wasomali-wana-matumaini-na-mkutano-wa-london","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/03\/20\/hata-baada-ya-kukatishwa-tamaa-na-vyombo-vya-habai-wasomali-wana-matumaini-na-mkutano-wa-london\/","title":{"rendered":"Hata Baada ya Kukatishwa Tamaa na Vyombo vya Haba&#341;i, Wasomali Wana Matumaini na Mkutano wa London"},"content":{"rendered":"<p>MOGADISHU, Ma&#341; 20 (IPS) &ndash; Huku mkutano wa kimataifa wenye lengo la kutafuta ufumbuzi wa mgogo&#341;o wa kisiasa nchini Somalia ukiwa umepangwa kufanyika Alhamisi, vyombo vya haba&#341;i vya ndani katika taifa hilo la Af&#341;ika Masha&#341;iki vimejawa na mashaka, na kuelezea jitihada hizo kama mpango mpya wa kuiingiza nchi hiyo kwenye mfumo wa kikoloni.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Taifa hilo limedumu bila ya kuwa na se&#341;ikali yenye ufanisi tangu mwaka 1991. Mkutano huo, ambao uliandaliwa na Wazi&#341;i Mkuu wa Uinge&#341;eza David Came&#341;on, utahudhu&#341;iwa na wawakilishi kutoka mashi&#341;ika ya kimataifa na zaidi ya se&#341;ikali 40, ikiwa ni pamoja na Rais wa Nige&#341;ia Goodluck Jonathan na Wazi&#341;i wa Mambo ya Kigeni wa Ma&#341;ekani Hilla&#341;y Clinton. <\/p>\n<p>Uinge&#341;eza pia imeka&#341;ibisha wawakilishi wa Se&#341;ikali ya Shi&#341;ikisho ya Mpito ya Somalia (TFG), ikiwa ni pamoja na ma&#341;ais wa majimbo yaliyojitenga ya Somaliland, Puntland, na Galmudug, na kikundi cha Kiislam kisichopendelea vita cha Ahlu Sunnah Waljama&#8217;a (ASWJ). <\/p>\n<p>Lakini moja ya viongozi wenye ushawishi mkubwa wa kisiasa nchini humo na mgombea u&#341;ais wa siku za usoni, Oma&#341; Abdi&#341;ahman Mohamed, aliiambia IPS kuwa Uinge&#341;eza inataka Somalia kuwa na &#8220;utawala dhaifu&#8221;.<\/p>\n<p>&#8220;Uinge&#341;eza haitaki Somalia kuwa na mageuzi yake ya kijeshi na ni se&#341;ikali yenye nguvu pekee ambayo ilikataa kuondolewa kwa vikwazo vya silaha nchini Somalia. Hii inaonyesha kuwa se&#341;ikali ya Uinge&#341;eza kwa ujumla wake inapingana na kuanzishwa kwa se&#341;ikali tulivu na kuwa na jeshi lenye nguvu nchini Somalia,&#8221; alisema Mohamed, ambaye anaongoza chama cha siasa cha mjini Mogadishu &ndash; Midnimo Political Pa&#341;ty.<\/p>\n<p>Mwaka 2008 she&#341;ia nchini Uinge&#341;eza zilitekeleza vifungu kadhaa vya she&#341;ia kulazimisha utekelezwaji wa vikwazo vya silaha nchini Somalia. Vikwazo hivyo vilitekelezwa kwa ma&#341;a ya kwanza nchini humo na Umoja wa Mataifa mwaka 1992 baada ya kuanza kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe. Viliondolewa kwa sehemu mwaka 2007 ku&#341;uhusu kuingizwa kwa silaha za Ujumbe wa Kusimamia Amani wa Umoja wa Af&#341;ika nchini Somalia. <\/p>\n<p>&#8220;Wasomali wengi wanafuatilia kwa umakini mno mkutano wa London na matokeo yake. Tunataka mkutano usiwe wa njama ya kupingana na uhu&#341;u wa Somalia,&#8221; Mohamed alisema.<\/p>\n<p>Tamko lililodaiwa kuvuja, ambalo lilitakiwa kutolewa baada ya mazungumzo hayo, limekuwa likisambazwa nchini humu, na hivyo kuchochea uvumi katika taifa hilo kuhusu matokeo hasi ya mazungumzo hayo. <\/p>\n<p>Moja ya eneo lenye utata katika wa&#341;aka huo, ambao unapatikana kwa njia ya mtandao, linazungumzia madai ya kuweka kazi za se&#341;ikali chini ya mamlaka ya udhamini hadi mjadala wa katiba utakapokamilika.<\/p>\n<p>Hata hivyo, wa&#341;aka huo unaelezea zaidi kuwa katiba ya nchi hiyo lazima ipitishwe kupitia mpango wa ku&#341;a ya maoni au bunge lililochaguliwa na wananchi.<\/p>\n<p>Kituo cha &#341;edio cha &#8220;Voice of the Peace&#8221; kilisema katika taha&#341;i&#341;i yake kuwa Uinge&#341;eza haikuwa inatafuta ufumbuzi wa kudumu wa mgogo&#341;o wa Somalia. <\/p>\n<p>Magazeti mengi ikiwa ni pamoja na lile la &#8220;Kulmiye News&#8221; na &#8220;Xog&ndash;ogaal&#8221; yalizungumzia haba&#341;i za wananchi ambao walikuwa na wasiwasi juu ya Somalia kuwa koloni kwa ma&#341;a nyingine tena. <\/p>\n<p>Mzee mmoja maa&#341;ufu, Ahmed Di&#341;iye, aliiambia &#8220;Radio Dalji&#341;&#8221; nchini humo kuwa yeye haamini kuwa mkutano wa London ungekuwa na matokeo chanya kwa Somalia. &#8220;Tunajua kuwa Kenya (haina) jeshi lenye nguvu na inapata msaada kutoka Uinge&#341;eza, na nina wasiwasi kuwa inataka Somalia kuwa na jeshi la polisi tu,&#8221; Di&#341;iye alisema.<\/p>\n<p>Rais wa taifa hilo Sheik Sha&#341;if Sheik Ahmed alikanusha madai hayo na kusema kuwa taa&#341;ifa za vyombo vya haba&#341;i zilikuwa &#8220;uzushi na p&#341;opaganda zisizokuwa na msingi&#8221; ambazo zina lengo la kupotosha maoni ya Wasomali.<\/p>\n<p>&#8220;Hakuna haja ya kuwa na wasiwasi juu ya uhu&#341;u wa taifa letu. Naweza kuwahakikishia &#341;aia wa Somalia kuwa mkutano wa London utalenga tu katika maslahi ya Somalia na jinsi gani jumuiya ya kimataifa inaweza kusaidia nchi kujinasua katika taabu ya sasa,&#8221; Ahmed alisema siku ya Ijumaa. <\/p>\n<p>Alikuwa akiongea huko Ga&#341;owe, mji unaopatikana katika jimbo lililojitenga la Puntland, ambako se&#341;ikali ya Somalia, majimbo yaliyojitenga, mashi&#341;ika ya ki&#341;aia, na ASWJ walikutana kusaini mpango unaoonyesha muundo wa se&#341;ikali mpya wakati wa kumalizika kwa kipindi cha mpito Agosti hii.<\/p>\n<p>Ahmed alisema kuwa jumuiya ya kimataifa ilikuwa na nia ya kukomesha kutokuzingatiwa kwa she&#341;ia nchini Somalia. <\/p>\n<p>Balozi wa Uinge&#341;eza nchini Somalia Matt Baugh aliiambia IPS kutoka katika ofisi yake mjini Nai&#341;obi kuwa mkutano huo una lengo la kuwa na mfumo mpya wa kimataifa kwa ajili ya Somalia na utakuwa msingi wa u&#341;atibu na uongozi ima&#341;a wa kitaifa.<\/p>\n<p>Aliongeza kuwa wakati mkutano wa saa tano usingeweza kutatua matatizo yote ya nchini Somalia, Uinge&#341;eza ilitaka uwe &#8220;kichocheo cha ushi&#341;iki mpana wa kimataifa nchini Somalia na uongozi wenye ufanisi zaidi.&#8221; <\/p>\n<p>Alikanusha taa&#341;ifa za vyombo vya haba&#341;i vya ndani kuwa mkutano wa London utatengeneza njia ya kuingia kwa ukoloni tena nchini Somalia na kusema kuwa se&#341;ikali ya Uinge&#341;eza na jumuiya ya kimataifa ilitaka kusaidia Somalia kujinasua kutoka katika matatizo yanayoikabili kwa sasa. <\/p>\n<p>&#8220;Hakuna kitu kama kuingia tena kwa ukoloni nchini Somalia,&#8221; alisisitiza balozi huyo.<\/p>\n<p>&#8220;Tunafanya mkutano huu sasa kwasababu sasa imetosha. Mateso yaliyojitokeza wakati wa njaa yaliamsha jumuiya ya kimataifa. Ni wakati wa kukabiliana na kupo&#341;omoka kwa Somalia kusikokoma &ndash; na kuifanya kuwa fu&#341;sa kubwa mbeleni. Tuna fu&#341;sa ya kusaidia mchakato shi&#341;ikishi na wa uwakilishi zaidi wakati wa kuhitimisha kipindi cha mpito mwezi Agosti,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>Hata hivyo, kikundi chenye msimamo mkali cha Al&ndash;Shabaab, ambacho hivi ka&#341;ibuni kilitangaza kujiunga na mtandao wa kigaida wa kimataifa wa Al&ndash;Qaeda, kilipinga mkutano huo kuwa una lengo la kuangamiza uwepo wa Uislam nchini Somalia.<\/p>\n<p>&#8220;Taya&#341;i Uinge&#341;eza imeshageuza nchi nyingi za Kiislam kuwa makoloni yake na sasa inataka kuwa na koloni tena nchini Somalia. Se&#341;ikali za Kik&#341;isto na viba&#341;aka wao wanakutana mjini London na wataiambia TFG nini inapaswa kutekeleza nchini humu, lakini hilo halitafanya kazi,&#8221; mhubi&#341;i mkuu wa Al&ndash;Shabaab, Sheik Fu&#8217;ad Mohamed Qalaf, alikiambia kituo cha &#341;edio cha kikundi hicho siku ya Jumanne.<\/p>\n<p>Hata hivyo, Wasomali wengi wana matumaini kuwa mkutano huo utaleta amani ya kudumu nchini mwao. <\/p>\n<p>&#8220;Njia ya ma&#341;idhiano, kusameheana na kuvumiliana inahitajika mno ili kuponya maje&#341;aha ya nchi na yanaweza kupona na mustakabali wa watu kuweza kujulikana,&#8221; Imam wa Msikiti wa Al&ndash;Azha&#341; wa Somalia, Dk. Sheik Ahmed El Tayyeb, alisema kuhusu mkutano huo.<\/p>\n<p>Maoni yake yalisaidia kubadili baadhi ya mawazo hasi juu ya mazungumzo hayo.<\/p>\n<p>&#8220;Imam anajua zaidi ya tunavyojua sisi, hivyo kuanzia sasa nina matumaini makubwa juu ya mkutano wa London na natoa wito kwa Wasomali wote kusaidia kutekeleza matokeo ya mkutano,&#8221; Abdi Abdulle Ahmed, aliyewahi kuwa mwalimu wa shule, aliiambia IPS.<\/p>\n<p>Wakati huo huo, wakazi wengine wana mata&#341;ajio makubwa na mkutano. Mwanamuziki maa&#341;ufu wa muziki wa &#341;umba nchini Somalia Ahmed Aboka&#341; Abuna alisema ana matumaini kuwa utaleta utulivu kwa nchi.<\/p>\n<p>&#8220;Nina imani kuwa dunia sasa inajitahidi kutatua matatizo ya Somalia ili Wasomali na dunia nzima kukombolewa kutokana na hata&#341;i ya magaidi ambao wana ngome nchini Somalia,&#8221; aliiambia IPS wakati akitembea katika Ba&#341;aba&#341;a ya Libe&#341;ia mjini Mogadishu. Al&ndash;Shabaab wanadhibiti sehemu kubwa ya kusini mwa Somalia na hadi mwaka jana walidhibiti sehemu ya mji mkuu wa nchi hiyo.<\/p>\n<p>Sah&#341;o Moalim, mwanafunzi wa chuo kikuu mwenye um&#341;i wa miaka 22 mjini Mogadishu, alisema kuwa hajawahi kushuhudia amani nchini Somalia na ana matumaini na matokeo ya mkutano. <\/p>\n<p>Eyni Ahmed, mchambuzi wa kisiasa na mwenyekiti mwanamke wa asasi ya &#8220;Somali Youth League&#8221;, ambayo imesaidia kupokonya silaha mamia ya aska&#341;i watoto wa wanamgambo wa Al&ndash;Shabaab, aliiambia IPS kuwa hali sasa nchini Somalia ni ya hata&#341;i na mkutano ulipaswa kutafuta suluhisho la mtikisiko wa kisiasa.<\/p>\n<p>&#8220;Kama ikiendelea kama ilivyo sasa, kama kukosekana kwa she&#341;ia na mauaji yataendelea, itakuwa na matokeo mabaya kwa mustakabali mzima wa kuendelea kuwepo kwa nchi. Itafanya kufikia wakati ambapo dunia itasema: &#8216;Hapo zamani za kale kulikuwepo nchi iliyoitwa Somalia,'&#8221; Eyni aliiambia IPS. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>MOGADISHU, Ma&#341; 20 (IPS) &ndash; Huku mkutano wa kimataifa wenye lengo la kutafuta ufumbuzi wa mgogo&#341;o wa kisiasa nchini Somalia ukiwa umepangwa kufanyika Alhamisi, vyombo vya haba&#341;i vya ndani katika taifa hilo la Af&#341;ika Masha&#341;iki vimejawa na mashaka, na kuelezea jitihada hizo kama mpango mpya wa kuiingiza nchi hiyo kwenye mfumo wa kikoloni. Taifa hilo&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":874,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3825","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3825","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/874"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3825"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3825\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3825"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3825"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3825"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}