{"id":3823,"date":"2012-03-20T13:40:01","date_gmt":"2012-03-20T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/03\/20\/ghana-inahitajika-kutambua-maadhi-ya-akili-kama-tatizo-la-kiafya\/"},"modified":"2012-03-20T13:40:01","modified_gmt":"2012-03-20T13:40:01","slug":"ghana-inahitajika-kutambua-maadhi-ya-akili-kama-tatizo-la-kiafya","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/03\/20\/ghana-inahitajika-kutambua-maadhi-ya-akili-kama-tatizo-la-kiafya\/","title":{"rendered":"GHANA: Inahitajika Kutambua Ma&#341;adhi ya Akili kama Tatizo la Kiafya"},"content":{"rendered":"<p>ACCRA, Ma&#341; 20 (IPS) &ndash; Kelele za mbu ni dalili ya kwanza kuwa kuna tatizo. Wakati Be&#341;na&#341;d Akumiah angeweza kusikia sauti za wadudu hao wadogo, hali haikuwa hivyo kabisa.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Kelele za mbu hatimaye zikawa sauti inayotoka katika vyumba vya ka&#341;ibu. Sauti zilisikika kama vile ni za lugha ya Kifa&#341;ansa, ambayo siyo Akumiah wala kaka yake, ambaye anaishi naye, wana uwezo wa kuiongea. <\/p>\n<p>Huo ulikuwa mwaka 1982 na uzoefu wa kusikia mbu ambao hawapo ni isha&#341;a ya kwanza ya Akumiah, halafu kijana mwingine ambaye ameishi katika maisha yake yote na ugonjwa wa akili unaojulikana kama schizoph&#341;enia. Ugonjwa huo wa akili, ambao kwa sasa unaweza kutibika kwa kuchanganya madawa ya kutibu matatizo ya kisaikolojia, una sifa ya kuleta hofu na matatizo ya kusikia ambayo ma&#341;a nyingi yanasababisha upweke na hofu.<\/p>\n<p>Lakini vipimo alivyofanyiwa Akumiah vilibadili maisha yake. Kama ilivyo kwa wengine wengi wenye ugonjwa wa schizoph&#341;enia, Akumiah alikabiliwa na unyanyapaa. <\/p>\n<p>&#8220;Hapo mwanzo nilipata msaada mkubwa kutoka kwa familia, wangeweza kuniletea chakula ili nisiweze kula chakula kilichoandaliwa na hospitali lakini nilipotoka hopsitali, kuna mahali ikaonekana kuna kiasi fulani chakubaguliwa,&#8221; Akumiah alisema.<\/p>\n<p>Unyanyapaa ni tatizo kubwa la utoaji wa tiba ya afya kwa watu wenye matatizo ya akili nchini Ghana. Nchi hiyo inata&#341;ajiwa kupitisha Muswada She&#341;ia ya Afya ya Akili ifikapo mwezi Machi ambao unaweza kubo&#341;esha kwa kiasi kikubwa huduma za afya ya akili kama ukitekelezwa vizu&#341;i.<\/p>\n<p>Akiwa sasa na um&#341;i wa miaka 59, Akumiah ameweza kudhibiti ma&#341;adhi yake kwa kutumia madawa ya akili yenye nguvu kila siku. Sasa ni mfanyakazi wa kujitolea katika Chama cha Afya ya Akili cha Ghana na anajitolea muda wake mwingi katika kupunguza unyanyapaa unaozunguka ma&#341;adhi ya akili nchini humo.<\/p>\n<p>Yeye anabaki kuwa mmoja wa &#341;aia wa Ghana wenye bahati ambao wanaweza kuishi maisha ya kawaida baada ya kuugua ma&#341;adhi mabaya ya akili.<\/p>\n<p>Alisema se&#341;ikali inahitaji kutambua ma&#341;adhi ya akili kama tatizo halisi la kiafya. &#8220;Unapopatwa na ma&#341;adhi familia yako inakukataa,&#8221; Akumiah alisema. &#8220;Hivyo ni nani anayepaswa kukutunza  Ni lazima se&#341;ikali kukubali na kutambua watu wenye ma&#341;adhi ya akili kwa moyo wao wote na wala siyo kwa maneno tu lakini kwa matendo pia.&#8221; <\/p>\n<p>Inakadi&#341;iwa kuwa asilimia 98 ya &#341;aia wa Ghana wenye ma&#341;adhi ya akili hawapati tiba. Kuna vituo vya afya ya akili vitatu tu nchini humo, na vyote vinapatikana katika eneo lenye wakazi wengi la kusini. Katika eneo maskini la kaskazini hakuna kabisa huduma za afya ya akili. Kuna zaidi ya watu milioni 24 nchini Ghana lakini kuna wataalam wa akili 12 tu. <\/p>\n<p>Ghana inatumia tak&#341;ibani asilimia moja ya bajeti yake ya mwaka ya afya katika afya ya akili. Watendaji wa afya ya akili wanakadi&#341;ia kuwa wakazi wapatao asilimia 10 wanaugua ma&#341;adhi ya akili ya aina fulani. Dk. Akwasi Osei, mku&#341;ugenzi wa Hospitali ya Akili ya Acc&#341;a, ambayo ndiyo kubwa kuliko zote nchini Ghana, alisema kuwa kwa uchache asilimia saba ya jumla ya bajeti ya afya nchini Ghana inapaswa kutengwa kwa ajili ya afya ya akili. <\/p>\n<p>&#8220;Mfumo wetu wa huduma za afya ya akili ni duni mno,&#8221; alisema Osei.<\/p>\n<p>Hospitali ya Wagonjwa wa Akili ya Acc&#341;a kwa sasa ina wagonjwa 800 lakini ina vitanda 500 tu. Katika wodi ya wanaume wagonjwa wamelazwa katika sakafu kwenye ko&#341;ido. Wengi wako katika hali nzu&#341;i, hii ni kutokana na kupatiwa dawa, na wana uwezo wa kuomba chakula kizu&#341;i au kuomba &#341;uhusa ya kutoka nje. Baadhi walisema wanatembelewa na wanafamilia lakini wengi wao wametelekezwa na ndugu zao wa ka&#341;ibu. <\/p>\n<p>Osei alisema ma&#341;adhi ya akili siyo kipaumbele katika Ghana kwasababu ya unyanyapaa unaozunguka ma&#341;adhi hayo. Unyanyapaa huo unajionyesha katika njia kuu tatu: dhidi ya hali ya mgonjwa mwenyewe, ugonjwa na mhudumu wa ma&#341;adhi ya akili. <\/p>\n<p>&#8220;Suala kubwa hapa ni kuogopa kitu kisichojulikana,&#8221; alisema Osei. &#8220;Watu hawajui vizu&#341;i ma&#341;adhi ya akili ni nini na nini kinasababisha. Na binadamu ni viumbe wanaodanganyika kiu&#341;ahisi. Tunataka kuamini tu bila kuelewa matokeo yake tunatafuta ushi&#341;ikina. Ushi&#341;ikina unasababishwa na ujinga, hivyo tunahusisha ushi&#341;ikina na ma&#341;adhi ya akili.&#8221;<\/p>\n<p>Ushi&#341;ikina huo unaonekana wazi katika makambi ya maombi nchini kote Ghana. Watu wenye ma&#341;adhi ya akili wanafungwa minyo&#341;o&#341;o katika makambi wakati wahubi&#341;i wakiwaombea kupona kwa miujiza. <\/p>\n<p>Lakini wataalam na watetezi wa afya ya akili nchini Ghana wana imani kuwa Muswada mpya wa afya ya akili unaweza kusaidia kukomesha unyanyapaa dhidi ya ma&#341;adhi ya akili na ku&#341;uhusu tiba bo&#341;a nchini kote. <\/p>\n<p>Muswada wa Afya ya Akili ulipelekwa Bungeni mwaka 2006. Umeshasomwa kwa ma&#341;a ya kwanza na pili na sasa unasubi&#341;i hatua ya kamati. Humph&#341;ey Kofie, katibu mkuu wa Chama cha Afya ya Akili Ghana, alisema kamati ya afya nchini humo imehakikisha kuwa muswada huo utapitishwa ifikapo Machi 2012.<\/p>\n<p>Kofie alisema muswada huo unasaidia kulinda haki za watu ambao wanaugua ma&#341;adhi ya akili. Watu ambao wanajulikana kuwa na ma&#341;adhi ya akili nchini Ghana, kwa mfano, ma&#341;a nyingi wanazuiliwa kupiga ku&#341;a wakati wa uchaguzi. Kofie alisema Muswada wa Afya ya Aklili utakomesha aina hiyo ya ubaguzi. <\/p>\n<p>Osei alisema muswada mpya utakuwa moja ya she&#341;ia za kimaendeleo zaidi ba&#341;ani Af&#341;ika. &#8220;Huduma za afya zitajikita katika jamii badala ya kuwa chini ya taasisi, bodi ya afya ya akili na ba&#341;aza la wadhamini kukusanya fedha za huduma za afya ya akili litaanzishwa, utatoa nguvu ya utekeleza wa kukomesha ukiukwaji wa haki za wagonjwa wa akili na kuunda ida&#341;a ya elimu ya umma ili kupunguza unyanyapaa na kutoa mafunzo ikiwa ni pamoja na ufuatiliaji wa waganga wa jadi,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>Muswada huo pia utatoa fedha zaidi kwa afya ya akili nchini Ghana. Bado hakuna taa&#341;ifa yoyote juu ya kiasi cha fedha za nyongeza zitakazotolewa.<\/p>\n<p>Lakini Kofie alisema ili she&#341;ia hiyo kutekelezwa ingehitaji kanuni nzu&#341;i kutungwa. <\/p>\n<p>Muswada wa Watu wenye Ulemavu wa Ghana ulipitishwa mwaka 2006, lakini bado haujatekelezwa hadi sasa. Bado taasisi nchini humo hazifikiki kwa watu ambao wana ulemavu wa kimaumbile. Kofie ana wasiwasi kuwa hali kama hiyo inaweza kukumba pia Muswada wa Afya ya Akili. <\/p>\n<p>&#8220;Mustakabali mzu&#341;i ni kuwa na kanuni,&#8221; alisema. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>ACCRA, Ma&#341; 20 (IPS) &ndash; Kelele za mbu ni dalili ya kwanza kuwa kuna tatizo. Wakati Be&#341;na&#341;d Akumiah angeweza kusikia sauti za wadudu hao wadogo, hali haikuwa hivyo kabisa. Kelele za mbu hatimaye zikawa sauti inayotoka katika vyumba vya ka&#341;ibu. Sauti zilisikika kama vile ni za lugha ya Kifa&#341;ansa, ambayo siyo Akumiah wala kaka yake,&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":905,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3823","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3823","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/905"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3823"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3823\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3823"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3823"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3823"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}