{"id":3822,"date":"2012-03-20T13:40:01","date_gmt":"2012-03-20T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/03\/20\/mageuzi-katika-ulimwengu-wa-kiaabu-yamekuja-nchini-moocco-kwa-kuchelewa\/"},"modified":"2012-03-20T13:40:01","modified_gmt":"2012-03-20T13:40:01","slug":"mageuzi-katika-ulimwengu-wa-kiaabu-yamekuja-nchini-moocco-kwa-kuchelewa","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/03\/20\/mageuzi-katika-ulimwengu-wa-kiaabu-yamekuja-nchini-moocco-kwa-kuchelewa\/","title":{"rendered":"Mageuzi Katika  Ulimwengu wa Kia&#341;abu Yamekuja Nchini Mo&#341;occo kwa Kuchelewa"},"content":{"rendered":"<p>CASABLANCA, 20 Ma&#341; (IPS) &ndash; Mapigano makali kati ya polisi na vijana katika mji wa kaskazini wa Taza wiki iliyopita yanaonyesha kuwa, ikiwa mbali ya kuleta mageuzi na utulivu, se&#341;ikali mpya ya Mo&#341;occo ina&#341;udia makosa ya zamani, na hivyo kuendelea kukusanya uhasama na hasi&#341;a ya maandamano dhidi ya se&#341;ikali hiyo.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Katika jitihada ya kuwadhibiti wakazi wake wakati wa Maandamano katika Ulimwengu wa Kia&#341;abu, se&#341;iklai ilizindua mchakato wa mageuzi Feb&#341;ua&#341;i mwaka jana na kupuuza kile ilichokiita &#8216;Mo&#341;occo kuwa ya kipekee&#8217;, kutokana na kuwa na utulivu wa kiasi cha kutosha wakati wa misukosuko katika ukanda huo.<\/p>\n<p>Katiba mpya ilianza kutumika Julai 1, 2011, na hivyo kutoa mamlaka makubwa kwa mtendaji wa se&#341;ikali mpya na kupunguza mamlaka ya kifalme.<\/p>\n<p>Hii ilifuatiwa na uchaguzi mkuu Septemba mwaka jana, ambao chama cha Kiislam cha &#8220;Islamists of the Justice and Development&#8221; (PJD) kilishinda, na katibu wake mkuu, Abdelilah Benki&#341;ane, kutangazwa kuwa kiongozi mpya wa se&#341;ikali.<\/p>\n<p>Lakini Benki&#341;ane, ambaye aliwasilisha mpango wake wa kiuongozi mwezi uliopita, hadi sasa ameshindwa kutekeleza ahadi zake alizozitoa wakati wa kampeni. <\/p>\n<p>Kwa mfano, ahadi ya kutokomeza kabisa uhaba wa aji&#341;a, ambao kwa sasa unafikia asilimia 19 ya wakazi wenye uwezo wa kufanya kazi, iliyeyuka ma&#341;a tu alipoingia mada&#341;akani, na hivyo kusababisha kupungua kwa kiasi kidogo sana cha watu wasiokuwa na aji&#341;a kwa asilimia moja tu.<\/p>\n<p>Habib El Maliki, &#341;ais wa chama cha Mo&#341;occan Cent&#341;e fo&#341; Conjunctu&#341;e (CMC), aliwaambia waandishi wa haba&#341;i Jan. 20, &#8220;Mipango ya se&#341;ikali ya kukabiliana na tatizo la uhaba wa aji&#341;a haikuwa na nguvu za kutosha. Mpango huo ulibainisha malengo bila ya kubainisha njia za jinsi ya kutekeleza malengo hayo, na mpango wowote usiokuwa na njia ya utekelezaji lazima utashindwa.&#8221;<\/p>\n<p>Upinzani wa umma dhidi ya siasa zisizotekeleza wajibu umekuwa mkubwa na mitaa ya Mo&#341;occo imekuwa eneo la msuguano wa waziwazi. <\/p>\n<p>Kufuatia polisi wa kutuliza ghasia kuwazima maandamano ya wahitumu wa chuo kikuu waliokuwa wakidai aji&#341;a nje ya wiza&#341;a ya elimu mjini Rabat Jan. 21, mhitimu asiyekuwa na aji&#341;a mwenye um&#341;i wa miaka 27 Abdelwahab Zaidoun alijichoma moto mtaani.<\/p>\n<p>Ikiwa ni matukio yaliyojitokeza ma&#341;a chache hapo kabla, kwa sasa kujiua kwa kujitoa mhanga ni jambo linalojitokeza ma&#341;a kwa ma&#341;a katika ulimwengu wa Kia&#341;aba, baada ya Mohamed Bouazizi, muuza mbogamboga nchini Tunisia, ambaye alijiunguza moto akiwa hai mwaka jana, na hivyo kuchochea mapinduzi ambayo bado hayajaisha katika kile kinachojulikana kama Mageuzi ya Ulimwengu wa Kia&#341;abu.<\/p>\n<p>Zaidoun alijichoma moto Jan. 24 na mke wake mwenye um&#341;i wa miaka 25 aliyekuwa amejawa na kilio aliliambia shi&#341;ika la haba&#341;i la Associated P&#341;ess mwezi uliopita, akiongeza kuwa, &#8220;Nawatuhumu makhzen (tabaka la wasomi wanaotawala nchi) kwa kumuua mume wangu.&#8221;<\/p>\n<p>Kifo cha Zaidoun, siku tano baada ya se&#341;ikali kuzinduliwa mbele ya bunge, kilichochea wimbi la maandamano katika nchi nzima. Katika miji kadhaa, waandamanaji wametoa wito wa kukomeshwa kwa utawala wa kifalme.<\/p>\n<p>Moja ya maandamano yaliyoongoza kwa kuchoma vitu mbalimbali hadi sasa yalianza katika mji wa Taza, moja ya maeneo maskini kabisa katika ufalme huo, uliopo kilomita 340 Kaskazini mwa Casablanca, Feb. 1. <\/p>\n<p>Katika eneo hilo, se&#341;ikali mpya ya Kiislam imeonyesha &#341;angi yake halisi, na kukandamiza kwa nguvu zake zote upinzani wowote kwa kutumia polisi wa kutuliza ghasia ambao uliwaacha watu 100 wakiwa wameje&#341;uhiwa.<\/p>\n<p>Rahim Moktafi, mwanaha&#341;akati kutoka shi&#341;ika la ha&#341;akati la &#8216;Feb&#341;ua&#341;y 20th&#8217;, alikuwa shahidi wa tukio hilo. <\/p>\n<p>&#8220;Hapo awali, waandamanaji waliandamana kwa amani. Polisi walizingi&#341;a jiji. Walifunga mtandao wa intaneti na kukata laini za simu kabla ya kuanza kupiga vi&#341;ungu kila waliyekutana naye,&#8221; aliiambia IPS.<\/p>\n<p>&#8220;Polisi pia waliingia katika nyumba za &#341;aia na kuwapiga vi&#341;ungu,&#8221; aliongeza.<\/p>\n<p>Video zilizotoa taa&#341;ifa kwenye mitandao ya kijamii zilionyesha &#341;aia wakidai kuwa walitishiwa kupigwa na kubakwa katika makazi yao.<\/p>\n<p>&#8220;Mo&#341;occo imekuwa moja ya se&#341;ikali zinazotumia mabavu zaidi duniani, na se&#341;ikali ya Kiislam ni maficho tu ya kuendeleza se&#341;a hizo,&#8221; Moktafi alisema.<\/p>\n<p>Ikiwa mbali kufikia mabadiliko ambayo yanahitajika zaidi, &#8220;Se&#341;ikali hii itazidisha tu umabavu kwa miaka mitano zaidi,&#8221; alisema. <\/p>\n<p>Hasi&#341;a dhidi ya &#8220;se&#341;ikali ya madevu&#8221;, kama ambavyo inajulikana katika vyombo vya haba&#341;i nchini humo, haitokani tu na matumizi ya nguvu yanayofanywa na polisi.<\/p>\n<p>Katika Ma&#341;&#341;akesh, kilomita 250 kusini mwa Casablanca, ambapo maandamano yalifanyika kwa kushi&#341;ikiana na Taza, hasi&#341;a ya umma ni kubwa mno.<\/p>\n<p>Abou Zah&#341;ah, mwanaha&#341;akati katika mji wa Ma&#341;&#341;akesh anayefanya kazi na chama cha ha&#341;akati cha Feb&#341;ua&#341;y 20th, aliiambia IPS, &#8220;Kuingia kwa Waislam katika se&#341;ikai ni ujanja tu wa kisiasa uliofanywa na se&#341;ikali.&#8221;<\/p>\n<p>Kampeni nyingine ya uchaguzi katika Benki&#341;ane iliahidi kutoa mshaha&#341;a wa kima cha chini cha 3000 di&#341;ham, wastani wa dola 465. <\/p>\n<p>Ukiwa umewahi kuahidiwa na mfalme, ongezeko hilo la mshaha&#341;a sasa limeahi&#341;ishwa hadi mwaka 2016, na kuacha mshaha&#341;a wa kima cha chini wa sasa wa 2300 di&#341;ham, kama dola 290 hivi kwa mwezi.<\/p>\n<p>Kwa mujibu wa Rachid Abou Zah&#341;ah, &#8220;se&#341;ikali ya Kiislam haitakuwa na matokeo yoyote yale chanya kwa maisha ya wananchi. Tutakaloliona likiongezeka litakuwa tu idadi ya wanawake wanaovalia vazi linaloficha mwili mzima na nyuso zao.&#8221;<\/p>\n<p>Siyo kwamba anakejeli hapa. Mustakabali wa haki za wanawake katika zama hizi za se&#341;ikali ya madevu unatia shaka zaidi miongoni mwa wakazi wengi. <\/p>\n<p>Wakati wa kuwasilisha azimio la se&#341;ikali yake mbele ya bunge mapema mwaka huu, Benki&#341;ane alificha ukweli juu ya upinzani wa wabunge wanawake dhidi ya kukosekana kwa uwakilisha wa wanawake katika se&#341;ikali yake. Pamoja na kuwepo kwa she&#341;ia ya kuhifadhi &#341;obo ya nafasi za uongozi kwa ajili ya wanawake, ni mmoja tu ame&#341;uhusiwa kutumikia se&#341;ikali iliyopita. <\/p>\n<p>&#8220;Se&#341;ikali imebanwa kati ya nguzo ya zama za kisasa, inayowakilishwa na wanaha&#341;akati wa Feb&#341;ua&#341;y 20th, na wahafidhina,&#8221; Aziz Nidae, mwanaha&#341;akati wa siasa kutoka mji wa Fez, ka&#341;ibu kilomita 300 kaskazini mwa Casablanca, aliiambia IPS.<\/p>\n<p>Lakini kwa kuangalia hatua za hivi ka&#341;ibuni za se&#341;ikali na kwa mujibu wa uchambuzi wa vyombo vya haba&#341;i vya nchini humo, se&#341;ikali imeonyesha kuwa inaunga mkono wahafidhina.<\/p>\n<p>Gazeti la nchini humo la Akhba&#341; Al Yaoum, lilisema kuwa neno &#8216;kisasa&#8217; linakosekana kabisa katika hatua za kutekeleza mpango wa se&#341;ikali. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>CASABLANCA, 20 Ma&#341; (IPS) &ndash; Mapigano makali kati ya polisi na vijana katika mji wa kaskazini wa Taza wiki iliyopita yanaonyesha kuwa, ikiwa mbali ya kuleta mageuzi na utulivu, se&#341;ikali mpya ya Mo&#341;occo ina&#341;udia makosa ya zamani, na hivyo kuendelea kukusanya uhasama na hasi&#341;a ya maandamano dhidi ya se&#341;ikali hiyo. Katika jitihada ya kuwadhibiti wakazi&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":206,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3822","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3822","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/206"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3822"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3822\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3822"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3822"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3822"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}