{"id":3821,"date":"2012-03-16T13:40:01","date_gmt":"2012-03-16T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/03\/16\/siea-leone-yatengeneza-mpango-wa-maendeleo-wa-miaka-50-ijayo\/"},"modified":"2012-03-16T13:40:01","modified_gmt":"2012-03-16T13:40:01","slug":"siea-leone-yatengeneza-mpango-wa-maendeleo-wa-miaka-50-ijayo","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/03\/16\/siea-leone-yatengeneza-mpango-wa-maendeleo-wa-miaka-50-ijayo\/","title":{"rendered":"Sie&#341;&#341;a Leone Yatengeneza Mpango wa Maendeleo wa Miaka 50 Ijayo"},"content":{"rendered":"<p>FREETOWN, Machi 16 (IPS) &ndash; Miaka hamsini iliyopita wakati Sie&#341;&#341;a Leone ilipopata uhu&#341;u baada ya kuwa chini ya utawala wa kikoloni kwa miaka 150, kulikuwa na matumaini kuwa kutokana na kuwa na utawala mpya, nchi hiyo ingefaidika na utaji&#341;i wake mkubwa wa maliasili, kama vile mbao, samaki, madini na mafuta. Badala yake, katika miaka 50 iliyopita, taifa hilo limeshawahi kuwa na mapinduzi ya kijeshi 13 na vita vya wenyewe kwa wenyewe vilivyodumu kwa miaka 11 ambavyo viliacha uchumi kuwa katika hali mbaya na nchi kutegemea zaidi misaada ya kigeni.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Kufuatia kufanyika kwa Mkutano wa Maendeleo na Mabadiliko mjini F&#341;eetown, tamko lilitolewa kwa bunge likielezea mapendekezo ya jinsi ya kuendeleza nchi katika miaka mingine 50 ijayo.<\/p>\n<p>&#8220;Tunashe&#341;ehekea miaka 50 ya uhu&#341;u, na katika miaka hiyo 50, tumeona uchumi na jamii ukishuka kwa kiasi ambacho imesababisha mgogo&#341;o. Tulikuwa na kila aina ya dalili za kuja kupata mafanikio, lakini hatukupata mafanikio hayo,&#8221; alisema He&#341;be&#341;t McLeod, m&#341;atibu wa mkutano wa taifa. Nchi hiyo ilipata uhu&#341;u wake kutoka kwa Uinge&#341;eza Ap&#341;. 27, 1951. &#8220;Pamoja na kuwa tulitoka kutoka katika mgogo&#341;o, bado tunajitahidi kupata nguvu. Suala muhimu ni kuwa: kama tunaendelea kufanya kama ilivyokuwa hapo kabla, kutakuwa na uhakika wowote kuwa hatuta&#341;ejea katika hali ya zamani &#8220;<\/p>\n<p>Na pamoja na kiasi cha madini nchini humo kuongezeka, Sie&#341;&#341;a Leone bado inaendelea kuwa ka&#341;ibu na nafasi ya mwisho katika Ripoti ya Maendeleo ya Binadamu, na kushika nafasi ya 180 kati ya mataifa 187 katika kuwapatia wananchi maisha ma&#341;efu na yenye afya, elimu na maisha yenye utu. <\/p>\n<p>Mapendekezo mengi katika tamko hilo ya kubo&#341;esha uchumi yanatofautina na kuongezeka kwa shinikizo katika kuongezeka kwa vitega uchumi vya kigeni katika madini, na badala yake kulenga katika faida za muda m&#341;efu za kiafya, elimu na miundombinu. Kwa ukweli halisi, inaonyesha kuwa hakuna mikataba mipya ya uchimbaji wa madini itaandikwa na se&#341;ikali bila ya kufanya uchambuzi wa kina wa umma wa kiwango cha &#341;asilimali hizo zitakazochimbwa. <\/p>\n<p>&#8220;Tumekuwa na mfumo ambao haujaanzishwa kwa ajili ya kuwezesha uchumi unaokua kwa kasi ambao ungeleta maendeleo, ni mfumo ambao umeanzishwa kuhakikisha kuwa tunakuwa na nchi ya kimyakimya ambapo &#341;asilimali zitachimbwa huku sisi wenyewe tukipata kiasi kidogo cha faida,&#8221; alisema McLeod. &#8220;Uchimbaji wa &#341;asilimali hizo ungeendelea kuwa na madha&#341;a ya hata&#341;i kama zisingesimamiwa vizu&#341;i. Tugeweza kuwa na jamii ambayo haina usawa kwani faida zinazopatikana zinakuwa ndogo mno kwa ajili ya jamii.&#8221;<\/p>\n<p>Mapendekezo hayo yanaangalia masuala ya wanawake, ambao wanaendelea kuwa na uwakilishi mdogo katika siasa. Haya ni pamoja na kuwa na uwakilishi wa lazima wa asilimia 30 ya wanawake katika ofisi za kisiasa, ku&#341;ekebisha katiba ya Sie&#341;&#341;a Leone ya mwaka 1991, na kuundwa kwa &#8220;Tume Hu&#341;u ya Wanawake&#8221; se&#341;ikalini. <\/p>\n<p>&#8220;Wanawake nchini Sie&#341;&#341;a Leone wanateseka kutokana na wengi wao kutokujua kusoma na kuandika, kuwa na vyeo vya chini, kunyonywa kingono na kudhalilishwa,&#8221; alisema Nasu Fofana, meneja mipango wa Shi&#341;ika la Idadi ya Watu la Umoja wa Mataifa anayejishughulisha na Jinsia na Utetezi nchini Sie&#341;&#341;a Leone. &#8220;Wanawake ni moja ya &#341;asilimali tulizonazo nchini, lakini hatuna uwezo wa kutafutia ufumbuzi masuala ambayo yanahusiana na wanawake na wasichana.&#8221;<\/p>\n<p>Tamko hili linatetea kuundwa kwa &#8220;kamati ya &#341;aia,&#8221; ikiongozwa na Rais wa Jamhu&#341;i. Maswali yamekuwa yakiulizwa na chama cha upinzani cha Sie&#341;&#341;a Leone People&#8217;s Pa&#341;ty (SLPP), na kupendekeza kuwa hiki ni chombo cha kisiasa cha Rais E&#341;nest Bai Ko&#341;oma na chama tawala cha All People&#8217;s Cong&#341;ess (APC). Pamoja na kuwa uchaguzi hautafanyika hadi Novemba 2012, mapigano kadhaa kati ya wafuasi wa chama cha APC na kile cha upinzani cha SLPP taya&#341;i wameshaondokana na mawazo kuwa nchi iko hata&#341;ini kugawanyika katika misingi ya kiubaguzi.<\/p>\n<p>&#8220;Mkutano ni hatua nzu&#341;i ya kuchukuliwa, lakini ni lazima kuwa na vyama vyote vya siasa ku&#341;idhia wa&#341;aka huo, kutoa mapendekezo yao na kutia saini,&#8221; alisema Thomas Babadi, ambaye anafanya kazi katika shi&#341;ika la Fo&#341;um of Sie&#341;&#341;a Leonean Youth Netwo&#341;k. &#8220;Hii inapaswa kuwa itikadi ya watu na wala siyo chama cha siasa wala wawakilishi waliochaguliwa kuziacha.&#8221;<\/p>\n<p>McLeod anasisitiza kuwa wakati se&#341;ikali ina wajibu wa kufanya kazi kwa maslahi bo&#341;a ya watu, mabadiliko ambayo yanapelekea maendeleo yanapaswa kutoka kwa &#341;aia wenyewe. <\/p>\n<p>&#8220;Tumelaumu wanasiasa lakini tulipaswa kujilaumu wenyewe,&#8221; alisema McLeod. &#8220;Hili siyo pendekezo la se&#341;ikali; ni pendekezo la watu wa Sie&#341;&#341;a Leone.&#8221;<\/p>\n<p>Kutoka hapa, waandaaji wanasema maandalizi ya tamko yatakamilika kabla ya kuwakilishwa kwa bunge, ambapo mkakati wa utekelezaji unaweza kuandaliwa. Hata hivyo, suala hili siyo miongoni mwa masuala ambayo bado hayajashughulikiwa katika mapendekezo hayo.<\/p>\n<p>&#8220;Kila kitu walichosema ni kizu&#341;i katika ka&#341;atasi, lakini sina uhakika na ufanisi wa mkutano huu,&#8221; alisema Hawanatu She&#341;iff, mwanafunzi wa shule ya sekonda&#341;i mwenye um&#341;i wa miaka 18 ambaye alihudhu&#341;ia mkutano huo kama mshindi wa shindano la uandishi wa insha la taifa. &#8220;Kama tunataka kubadili nchi hii tunatakiwa sote kubadili mitizamo yetu na kuwajibika kwa kila jambo tunalofanya.&#8221; <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>FREETOWN, Machi 16 (IPS) &ndash; Miaka hamsini iliyopita wakati Sie&#341;&#341;a Leone ilipopata uhu&#341;u baada ya kuwa chini ya utawala wa kikoloni kwa miaka 150, kulikuwa na matumaini kuwa kutokana na kuwa na utawala mpya, nchi hiyo ingefaidika na utaji&#341;i wake mkubwa wa maliasili, kama vile mbao, samaki, madini na mafuta. Badala yake, katika miaka 50&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":904,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3821","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3821","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/904"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3821"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3821\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3821"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3821"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3821"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}