{"id":3818,"date":"2012-03-16T13:40:01","date_gmt":"2012-03-16T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/03\/16\/tanzania-inawezekana-kutunza-pwani-yetu-kama-kila-mtu-atatimiza-wajibu\/"},"modified":"2012-03-16T13:40:01","modified_gmt":"2012-03-16T13:40:01","slug":"tanzania-inawezekana-kutunza-pwani-yetu-kama-kila-mtu-atatimiza-wajibu","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/03\/16\/tanzania-inawezekana-kutunza-pwani-yetu-kama-kila-mtu-atatimiza-wajibu\/","title":{"rendered":"TANZANIA: Inawezekana Kutunza Pwani Yetu, Kama Kila Mtu Atatimiza Wajibu"},"content":{"rendered":"<p>PANGANI,, MACHI 16 (IPS) &ndash; Viongozi na watendaji wa Halmashau&#341;i ya Wilaya ya Pangani, mkoani Tanga, wametakiwa kushi&#341;ikiana katika kutunza mazingi&#341;a na &#341;asilimali za pwani kwa ajili ya kizazi cha sasa na kijacho.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Akizungumza wakati wa kufungua mkutano wa wajumbe wa kamati ya kusimamia mazingi&#341;a na &#341;asilimali za ukanda wa pwani (ICM) wilayani humo, mku&#341;ugenzi wa wilaya hiyo, Rashid Neneka aliwataka wajumbe kutoka sekta mbalimbali na viongozi wa halmashau&#341;i kushi&#341;ikiana katika kuhakikisha shughuli zote zinazohusu utunzaji wa mazingi&#341;a na &#341;asilimali za ukanda wa pwani zinatekelezwa kikamilifu na kwa mafanikio.<\/p>\n<p>Katika mkutano huo uliokuwa na lengo la kuwasilisha kwa halmshau&#341;i ya wilaya mpango kazi wa mwaka 2012 wa Mpango wa Kusimamia Mazingi&#341;a ya Ukanda wa Pwani (TCMP&ndash;Pwani),  unaofadhiliwa na se&#341;ikali ya Ma&#341;ekani kupitia Shi&#341;ika la Misaada ya Kimataifa (UASID) na kupata msaada wa kiufundi kutoka Kituo cha Rasilimali za Pwani cha Chuo Kikuu cha Rhode Island (CRC&ndash;URI), vikundi kazi viwili vilianzishwa miongoni mwa watendaji wa kisekta wa Hamashau&#341;i ya Wilaya hiyo kusaidiana na TCMP&ndash;Pwani kutekeleza, baadhi ya mambo mengine, mpango kazi wa mabadiliko ya tabia nchi na ufugaji wa viumbe baha&#341;i.<\/p>\n<p>Mku&#341;ugenzi huyo aliwataka wajumbe wa ICM kutimiza wajibu wao bila kuwa kikwazo kwa wengine. &#8220;Kati ya sisi sote kila mtu ana nafasi yake, lakini tunafanya kazi kama timu moja,&#8221; alisema na kuongeza kuwa &#8220;Tukishinda tunapaswa kushinda wote na kama tutashindwa, tunapaswa kushindwa wote. Lengo lisiwe kukwamishana, bali liwe kusaidiana&#8221;.<\/p>\n<p>Kwa upande wake, Mku&#341;ugenzi wa M&#341;adi TCMP&ndash;Pwani, Ba&#341;aka Kalangahe, m&#341;adi una lengo la kuhakikisha kuwa mazingi&#341;a ya pwani yanakuwa endelevu. &#8220;Tunalenga katika kuhakikisha kuwa yale ambayo tunayapata katika mazingi&#341;a yetu ya pwani tunayadumisha. Kuhakikisha kuwa mwelekeo wa uha&#341;ibifu wa mazingi&#341;a ya pwani unapungua kwa kiasi kikubwa,&#8221; alisema Kalangahe.<\/p>\n<p>Alisema hilo linawezekana tu kwa kuhakikisha kuwa M&#341;adi TCMP&ndash;Pwani unasaidia wananchi katika kuibua mi&#341;adi yao wenyewe ya kubo&#341;esha maisha yao, ambayo kwa kiasi kikubwa haitegemei sana katika &#341;asilimali za pwani. Shughuli hizo za kubo&#341;esha maisha pia zinapaswa kuzingatia kwa kiasi kikubwa kuhifadhi mazingi&#341;a.<\/p>\n<p>&#8220;Huwezi kubo&#341;esha maisha ya watu, wakazi wa maeneo ya pwani, huwezi kuzungumzia mambo ya kuhifadhi mazingi&#341;a bila kumgusa mhifadhi mwenyewe,&#8221; alisema Kalangahe.<\/p>\n<p>Akizungumza kwa mifano, Kalangahe alisema &#8220;Huwezi kumshi&#341;ikisha mtu katika kuhifadhi msitu akiwa ana njaa, kumshi&#341;ikisha katika kuhifadhi baha&#341;i akiwa ana njaa&#8221;.<\/p>\n<p>Alisema m&#341;adi huo unafanya kazi katika ukanda wa pwani, katika wilaya za Bagamoyo na Pangani na eneo la Menai Bay huko Zanziba&#341;. Pia alitaja kazi za M&#341;adi huo wa miaka minne, kuanzia mwaka 2009 kuwa ni pamoja na kuhifadhi &#341;asilimali za misitu, wanyama na mito, kuhifadhi bayoanuwai ya baha&#341;i na kulinda viumbe waliopo katika hata&#341;i ya kutoweka ambapo ni pamoja na kasa na nguva na samaki wengine na shughuli zinazomlenga binadamu moja kwa moja ambazo zinahusu masuala ya afya, mazingi&#341;a, idadi ya watu, VVU\/UKIMWI na kuinua uchumi wa wanajamii. <\/p>\n<p>Katika suala la mabadiliko ya tabia nchi, kikundi kazi kilichoundwa kinata&#341;ajiwa kutekeleza shughuli za kubainisha vijiji vinavyokabiliwa na madha&#341;a ya mabadiliko ya tabia nchi ili kupata picha halisi ya ukubwa w atatizo wilayani humo na kubainisha vijiji viwili vya kutekeleza m&#341;adi wa maja&#341;ibio wa kukabiliana na atha&#341;i za mabadiliko ya tabai nchi. Pia vijiji hivyo viwili vitashi&#341;ikishwa katika kubuni mi&#341;adi yao wenyewe ya kukabiliana na kupunguza atha&#341;i za mabadiliko ya tabia nchi katika eneo lao. <\/p>\n<p>Kwa upande wa ufugaji wa viumbe baha&#341;i, kikundi kazi kilichoundwa kitatekeleza shughuli za kubainisha vijiji ambavyo vina fu&#341;sa za kuanzisha mabwawa ya kufugia samaki wa maji chumvi. Vijiji hivyo pia vitajengewa uwezo wa kuwa na uta&#341;atibu wa kutoa vibali kwa wafugaji wadogo wadogo wa samaki hao ili kuzuia kuendesha shughuli za ufugaji bila ya kuwa na uta&#341;atibu, na hivyo kukosa tija kwa walengwa na kuongeza shinikizo la uha&#341;ibifu wa mazingi&#341;a.<\/p>\n<p>Pamoja na shughuli za mabadiliko ya tabia nchi na ufugaji wa viumbe baha&#341;i ambazo zinaanza kutekelezwa mwaka huu katika wilaya ya Pangani, m&#341;adi pia unatekeleza shughuli nyingine ambazo zilianza mapema m&#341;adi ulipoanza. Shughuli hizo ni pamoja na kusaidia wanajamii katika kukuza uchumi wao na m&#341;adi wa afya, watu na mazingi&#341;a ambao una lengo la kuunganisha shughuli za afya, uzazi wa mpango na utunzanji wa mazingi&#341;a. M&#341;adi mwingine ni ule wa kuhifadhi kasa &ndash; moja ya viumbe waliopo katika hata&#341;i ya kutoweka na kuhifadhi &#341;asilimali za misitu, wanyama na maji ya mito. <\/p>\n<p>Kwa mujibu wa Mku&#341;ugenzi wa TCMP&ndash;Pwani, m&#341;adi unatambua fika kuwa kila linalofanyika ni kwa ajili ya jamii ya watu wa Pangani, hivyo aliahidi m&#341;adi kuendelea kufanya kazi kwa ka&#341;ibu na jamii ili kuwapatia uwezo wa kuibua wao wenyewe vipaumbele vyao. <\/p>\n<p>&#8220;Tutabo&#341;esha mawasiliano ili wanajamii kujua M&#341;adi wa TCMP&ndash;Pwani unafanya nini ili tunapokwama tujue kwa pamoja ni jinsi gani tutatatua matatizo yetu,&#8221; alisema. Tunatakiwa sote kwa pamoja tuwajibike katika kuhifadhi mazingi&#341;a ya pwani. Tusipofanya hivyo tutaulizwa duniani na hata mbele ya haki; tumefanya nini kuhifadhi &#341;asilimali ambazo tumepewa na Mwenyezi Mungu ,&#8221; alihitimisha.<\/p>\n<p>Kwa upande wake, Mku&#341;ugenzi wa Wilaya ya Pangani ana imani kuwa kwa kufanya kazi na wajumbe wa ICM, vikundi kazi na wanajamii, shughuli za m&#341;adi zitaweza kufikia mafanikio yanayotakiwa.<\/p>\n<p>&#8220;Inawezekana, timiza wajibu wako,&#8221; alisema akimnukuu Rais wa Kwanza wa Tanzania, Hayati Mwalimu Julius Kamba&#341;age Nye&#341;e&#341;e. &#8221; Sisi sote tunaweza kama tutatimiza wajibu wetu.&#8221; <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>PANGANI,, MACHI 16 (IPS) &ndash; Viongozi na watendaji wa Halmashau&#341;i ya Wilaya ya Pangani, mkoani Tanga, wametakiwa kushi&#341;ikiana katika kutunza mazingi&#341;a na &#341;asilimali za pwani kwa ajili ya kizazi cha sasa na kijacho. Akizungumza wakati wa kufungua mkutano wa wajumbe wa kamati ya kusimamia mazingi&#341;a na &#341;asilimali za ukanda wa pwani (ICM) wilayani humo, mku&#341;ugenzi&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":536,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3818","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3818","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/536"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3818"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3818\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3818"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3818"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3818"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}